MAREKANI YAZITAJA URUSI,CHINA,IRAN NA CUBA KUWA NCHI TISHIO|YAHOFU MUUNGANIKO WAO UNAOIBUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 20

  • @salehal-oufy5380
    @salehal-oufy5380 Рік тому +5

    Marekani anaona hajapata kupenyeza sera zake za USHOGA kwa nchi hizo waache watu na nchi zao acha vurugu

  • @manmanonline6394
    @manmanonline6394 Рік тому +2

    Nice 👍

  • @bahatimanoti235
    @bahatimanoti235 Рік тому +2

    Sasa esi yy ni super kw nn awe& hofu huyu shoga!!!!!!

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 Рік тому

    Good urus na china

  • @omarothman6608
    @omarothman6608 Рік тому +3

    Wataisoma namba mwakahuu mashoga

  • @AbdallahBakar-oc3ue
    @AbdallahBakar-oc3ue Місяць тому

    Watu wengi kwa sasa hivi wanaipenda urusi

  • @MichaelMathew-ke6bi
    @MichaelMathew-ke6bi Рік тому +3

    Ukisikia jina hili, Taifa kuu la kaskazini bac ujue ni Urusi, Russia. Ndilo taifa pekee ambalo lina nguvu kubwa ya kuangusha dola za magharibi. Mwangalie sana huyu mtu anayeitwa Russia, atafanya mambo ya kushangaza sana.

  • @niyonzimabakari
    @niyonzimabakari Рік тому +1

    Mchezo wa siasa imekua shida ulimwenguni

  • @idrisamara6510
    @idrisamara6510 Рік тому +2

    Wagner PMC wameelekea wapi Adam Hussein? hawapo Belarus

  • @omariathumanchigwe5776
    @omariathumanchigwe5776 Рік тому +1

    Marekani kupangia mataifa ndiotatizo nakupendelea nchinyingine

  • @fredrickkagwa8853
    @fredrickkagwa8853 Рік тому +3

    U communist ndo shida hapo. Remember the war 1887 between Turkey & Russia

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm 4 місяці тому

    Muanfusheni huyo shetani wa kimarekani kwani ni mshoga mkubwa asie jielewa huyoo

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 Рік тому +2

    Mungu awaangamize viva putin

  • @josephwaigama-sb8hz
    @josephwaigama-sb8hz Рік тому

    Bora waungane watukomnboe na mabeberu

  • @ibrahimally7637
    @ibrahimally7637 Рік тому

    Ukimwaga mboga tuna mwaga biriani yani nuclear ulikuwa nayo ww ukaona une fika sasa tunayo na sisi kila kona mwaka huu mpaka tukuuuwe

  • @mwanaidiomari2676
    @mwanaidiomari2676 Рік тому

    Zero president mrkni and nato zro
    jarbuni kuangalia dunia imewachoka tafuteni suluhu siyo mlivyo zoea mauji kila nchi mnajifanya watetezi lakini mnafanya maasi dunia magharibi mjichunge

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Рік тому +2

    tunahitaji kuipima icc kwakumshitaki kiongozi wa Nato aliehusika kuzuia viongozi wa Afrika waliokuwa wanaenda Ribia kusuruhisha mgogoro wa gaddafi halafu nato wakaenda kuua kiongozi wa nchi na mkuu wa nchi ya Ribia. mahakama ya Icc ni mahakama ambayo mtu au nchi yoyote inaweza kushitakiwa pale.icc siyo sehem ya marekani kupeleka watu pale,hata marekani anaweza kupelekwa pale,kwani marekani si nchi kama nchi nyingine? dunia tuache mazoea yakuona marekani pekeake anawekea vikwazo wengine,hata sisi tunaweza wekea vikwazo Biden asije Afrika atatuambukiza ushoga au anakuja kuangalia nini cha kuiba kwasababu niwezi.Walivamia Iraq wakaua mkuu wa nchi ,waenda Ribia wakaua mkuu wanchi wakaenda.balaza la umoja wa mataifa lipo Icc ipo ilikaa kimya,leo wanatoa hati putin akamatwe,kwa lipi kubwa kuliko yaliyofanywa na marekani sehemu mbali mbali duniani?.dunia tuamke nakujiuliza marekani ni nani ambaye anaruhusiwa kufanya vitu vile wengine hawaruhusiwi?