GPS: Netanyahu alikoroga tena, nchi 50 zamlaani vikali, kisasi cha Israel huko Iran ni tumbo joto!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

КОМЕНТАРІ • 178

  • @osmanmohammedosman5493
    @osmanmohammedosman5493 4 години тому +14

    Henry anajua sana na akiwepo GPS inakua tamu zaidi

    • @mrishoally55
      @mrishoally55 2 години тому

      Kabisa mimi nakubaliana nawew, jamaa nimtu muhim sana kwenye kipindi hiko

    • @nasibugunda7927
      @nasibugunda7927 Годину тому

      yeah iliyopita ilipoa lkiasi

  • @nailabakari9494
    @nailabakari9494 2 години тому +5

    Nawapenda. Naangalia kutoka Amsterdam Netherland ❤

  • @muhsinmwamkunja9702
    @muhsinmwamkunja9702 33 хвилини тому +1

    Hii chanel naamini ni namba moja kwa uchambuzi bora zaidi SNS

  • @merrymwakunje4108
    @merrymwakunje4108 5 годин тому +6

    Mungu akulinde kaka sky nimekua shabik yako kindakindak

  • @SaleheWassima
    @SaleheWassima 2 години тому +1

    Mnachambua vizuri sana,safii ,kazi nzuri nawapenda

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 4 години тому +6

    Mungu awalinde. ,SNS,

  • @mussamabawa2973
    @mussamabawa2973 2 години тому +1

    Henry anajua sana kuchambua, HONGERA zake

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 Годину тому +1

    Big up Gps

  • @HassanAbdallah-f6o
    @HassanAbdallah-f6o 3 години тому +12

    Dj smaa ndio mchambuzi mzuri alisema kwamba irone dome imefail , inatumika kuzuia vikombola vidogo vya hamas. Ona sasa hezzbullah anajipigia tu tena ndani tel avivi . Leo kwenye kambi ya binyamasi nchini islael hazbullah amepiga kambi ya jeshi ya islael kwa kutumia drone wanajeshi zaidi ya 70 wamejeruiwa vibaya na 5 wamefariki. Na pia drone zimeingia islael bila mfumo wa ulinzi wa islael kujua

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 3 години тому

      Na hiyo ndo Hali ya vita...sasa uzuri ni kuwa wanajeshi WA Israel huwa wametenga kambi zao mbali na wanaanchi....ila sasa ukirudi Kwa Hezbollah...jamaa wanatumia nyumba za raia kufanyia mashambulizi na kujificha...sasa Israel ikilipiza kisasi wanakuwa hawana chaguo bali kuwachanganya wote

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 2 години тому

      ​@@omondiowino7875bado unaishi kwenye zama za propaganda tu???

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 2 години тому

      ​@@omondiowino7875mnajulikana makafiri hmkosi lakusema Hezbollah wanapiga sehem za jeshi tu ila Israel yy anakimbilia kuuwa raia ili watu waogope lakin yeye muache auwe raia watu watapambana nao na ushindi utakuja

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 Годину тому

      ​​@@omondiowino7875 Una ushabiki sana
      Izreal haijawah na haitowah kufata utaratibu wala Sheria yyt ya Umoja Mataifa

    • @henrymatebe
      @henrymatebe Годину тому

      Hassan hujui chochote una ushabiki wa kidini ndo maana hata hujui kuandika jina Israel

  • @suleimanh1826
    @suleimanh1826 3 години тому +4

    GPS ni bora sana. Si ya kukosa kabisa. Hongereni wandaaji nyote na wana SNS.
    Karibuni Zanzibar

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 42 хвилини тому +1

    SNS🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @KhamisJuma-yw8xw
    @KhamisJuma-yw8xw 5 годин тому +24

    Nd wakwanz leo kutoka zanzibar naomba like zang km zote

  • @RichardMwaja
    @RichardMwaja Годину тому +2

    Hii GPS Ipewe heshim maan ni sehem y kufungua faham z watu wengi lkn ss n platform inayotakiw kuw inatoa dira n mitazamo y ss nin cha kufny km dira yetu km taifa.

  • @Chw_Kdmn83
    @Chw_Kdmn83 3 години тому +3

    Msisahu pia wenye malengo yao wanatumia fursa kupenyeza majasusi wao ktk jeshi hilo la UN. Sikila anaepeleka jeshi anania njema...

  • @domajosep3797
    @domajosep3797 2 години тому +2

    Gps🔥🔥🔥

  • @bakarijewel2082
    @bakarijewel2082 5 годин тому +3

    Pa1 sana wana GPS

  • @r.m.a7570
    @r.m.a7570 3 години тому +6

    Israel hawana lolote lile chief kamanda kadanya huko ali una penda kuwakuza sana Israeli hao n mbwa tu

    • @WilliamKileta
      @WilliamKileta 2 години тому

      Hawa jamaa huu mgogoro bado hawajapata source za hbr za ndani zai maana walijikita zaid Kwa Putin na zelensky lkn huko Israel bado hawapo vzr kiuchambuzi taarifa nyng hawana ndyo maana Sasa nashndwa kumaliza kpnd chote ila Kuna mwamba anaitwa I ra rahby yule ukimpa dk 15 tu anamaliza kpnd

  • @josephorkitok1374
    @josephorkitok1374 3 години тому +1

    Taarifa zenu huwa nazipenda maana ni za kweli kabisa

  • @hamismiraji3591
    @hamismiraji3591 2 години тому +2

    Ali umeulizwa swali israel vita ya chini sio mzuri kama tulivyoaminishwa ww unazungua sana mara israel anatumia f-16 unatakiwa kuwa straight forward

  • @AzizihFarijala
    @AzizihFarijala 25 хвилин тому +1

    Hata Israel yenyewe haiko salama TEL Aviv nayo inachapwa Haifa imepigikaa vibaya mji wote umepondeka

  • @RamaHRIzmaelov
    @RamaHRIzmaelov 3 години тому +1

    Persona nãn grata-----Mtu asiye na shukrani

  • @HassanRamadhanPashua
    @HassanRamadhanPashua 4 години тому +3

    Hio UN yenyewe waliitengeza wao 1920 kipindi icho walikua wanaiita Christian united Nations 1921 ndio wakabadilisha wakatoa ile Christian unaona sasa Israel yuaona inakuaje huyu

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 4 години тому +7

    Yote haya anaesababisha ni marekani

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 3 години тому +1

      Marekani ndo kamtuma Hamas sio..? Marekani ndo kamtuma Hezbollah kuwauwa watoto waisraeli sio...? 😊

    • @FredMwamgogwa-td6ni
      @FredMwamgogwa-td6ni 3 години тому

      Bila marekani dunia ingekua na vurugu sana😂😂😂😂

    • @hamismiraji3591
      @hamismiraji3591 2 години тому

      Akili ndogo​@@omondiowino7875

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 2 години тому

      @@FredMwamgogwa-td6ni wewe kweli shoga marekani ndie gaidi wa Dunia ukrein amesababisha yeye, anampa israil silaha awauwe wanyonge, mpaka anaeneza ushoga

    • @SwedyMohamed-vt5zm
      @SwedyMohamed-vt5zm 2 години тому

      Wazungu wa Marekani na Ulaya ndio walio muweka hapo Israel na wanamlinda kwa gharama yoyote ikiwemo damu za wenye haki.Na Marekani na Ulaya ndio waliokuwa wanawalinda Makaburu wa Afrika kusini.Sasa kama mtu anakataa huu ukweli,huyo ni shabiki TU,Hajui lolote.

  • @raymrash
    @raymrash Годину тому +1

    Vikosi vya amani vina tafuta nini Lebanon!? Wakati Israel inashambuliwa mbona Vikosi havikwenda

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 2 години тому +1

    Kaka Sky kuna jama anaitwa Ibrahim Rahby anakuwaga sana AZAM TV na VOA huyo jama ana madini sana akiletwa hapo mambo yatachangamka.

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 4 години тому +3

    Ali masuby nikuweke sawa hapo, mashambulizi ya hizbollah yanatumika kwa magari hivo gari Linarusha makombora Kisha linaondoka sasa hata ukishambulia hiyo sehemu hutopata chochote

  • @shabanimataka8418
    @shabanimataka8418 3 години тому +3

    Vita inaenea taratibu duh

  • @phestostanley4019
    @phestostanley4019 4 години тому +2

    Mbona sijasikia kuhusu waziri mkuu wa Lebanon aliepeleka pendekezo umoja wa mataifa kuomba vita isitishwe!..?

  • @osmanmohammedosman5493
    @osmanmohammedosman5493 5 годин тому +1

    Leo mapema sanaaa

  • @malulamuhoja1692
    @malulamuhoja1692 2 години тому

    Hawa jamaa wakiwepo gps inakuaje nzuri sana, yule jamaa smaaa Huwa anaharibu sana Yuko biased sana, congratulations brothers

  • @rajdaboy
    @rajdaboy Годину тому +1

    Kama kawa Nairobi Kenya tunawapata

  • @merrymwakunje4108
    @merrymwakunje4108 5 годин тому +4

    Mwambie masub aje aoe hint yangu ana hakir sana

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 3 години тому +4

    URUSI anapambana na NATO huko Ukraine na NATO hao hao wanapambana na Hezbollah na hamas huko mashariki ya kati. Ni wale wale wakoloni anaipiga Lebanon sio Israel ni NATO uliza marekani ametuma wanajeshi wangapi kwenda izraeli ingieni indeep msicheze na propaganda za wakoloni

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 3 години тому

      Acha uongo buda... Putin alisema kuwa punde Tu NATO atakapoingilia vita vya Ukraine basi atatumia Nuclear...sasa ukisema kuwa NATO wapo Ukraine hivi wadhani unaakili Sana kumshinda Putin..?😂

    • @SwedyMohamed-vt5zm
      @SwedyMohamed-vt5zm Годину тому

      Ni kweli NATO wapo Ukrein isipokuwa hawajatangaza rasmi kwamba wako Ukrein.

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 Годину тому +1

      @@SwedyMohamed-vt5zm Uturuki yupo NATO na huyo ndo undercover wa Urusi ndani ya NATO hivyo NATO akiingia pale hata Kwa Siri Urusi atajua Tu... wanachokifanya wale jamaa ni kumpa silaha Ukraine... halafu sasa hivi ni wazi kuwa wanajeshi WA North Korea tayari wapo pale wanamsaidia Urusi ...Hilo nalo lilidhibitishwa maana kuna wale walioshikwa na kuna wale waliouliwa

    • @FilbertRobert-e4u
      @FilbertRobert-e4u Годину тому

      Tuangalie peji gani bos?

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 Годину тому

    Saiv huo mfumo unafeli wa Israel mana watu wanampiga sana na wanaendelea kumpiga sana

  • @MohammadiSefu
    @MohammadiSefu 2 години тому +2

    Ila minaona wamarekani na israel wanahadaa ulimwenguo

  • @ManusuraWalumona
    @ManusuraWalumona 4 години тому +1

    Mkiwa uwanjani nasisi tupo macho yatu masikio yetu na akili yetu yapo kwenu tusikie kinacho zungumziwa mpo vizuri na tunawapenda!!

  • @musajack7276
    @musajack7276 4 години тому +2

    Nyinyi ni zaid ya darasa

  • @SeifMassoud
    @SeifMassoud 4 години тому +3

    Netanyahu kama anadhani kuwa vita vitamsaidia kisiasa asahau mana upepo sasa unaenda kuwa mwengine, ndani ya siku Hizbollah wamepiga zaidi ya wanajeshi 25 huko lebanon lkn hapo hapo wametuma drone kwenye kambi ya jeshi ndani ya Israel Haifa na kusababisha madhara makubwa sana mpaka sasa majeshi 4 wameshakufa na zaidi ya 60 wamejeruhiwa

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 3 години тому

      Halafu huyo mwengine ndo unaambiwa ni mbaya zaidi maana Yeye alitaka Netanyahu atumie Nuclear

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 2 години тому

      ​@@omondiowino7875muache atumie nuclear aone kama na yeye atakaa kama hajapigwa nuclear

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 Годину тому

      @@MohamedAhmada-ie7ke vita vya Nuclear Hilo hata sio swali maana ni lazima Israel atatumia Nuclear

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke Годину тому

      @@omondiowino7875 tunasubir aanze

  • @erickrakitic9113
    @erickrakitic9113 3 години тому +2

    SNS🔥

  • @JohnKaliadi
    @JohnKaliadi 2 години тому +2

    Tukumbuke!!!!,mwaka mzima hezbollal wanarusha makombora israel,hamas waliingia israel wakateka wakaua, wakae kimya hebu semeni,minaona shida ipo,mbili hapo kwanza ni nchi hamasi wanasema nchi yao,israel nao wanasema yutaenda wap, pia dini mbili ,wazayun na shia ,tatizo hili haliji kuisha mpaka mmoja awe mshindi wa kimabavu

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op 4 години тому +1

    Smaa yupo wapi?

  • @WazirBoy-fe5ew
    @WazirBoy-fe5ew 4 години тому +2

    Habari za kupotezana au habari za kupoteana , vipi hapo ?

  • @peteremanuel2367
    @peteremanuel2367 3 години тому

    Jamani, Umoja wa Mataifa hauwezi kufanya lolote wakati wanaosabisha matatizo ni hao wanne wa Baraza la Umoja wa Mataifa, USA, UK, France na Germany.

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 3 години тому +1

    Msisau wamepigwa na projecter

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m Годину тому

    Tunashkuru san kwa uchambuzi mzri

  • @jumadaima1833
    @jumadaima1833 4 години тому +2

    Nikikosa Jps mmm....

  • @PlatnamMogo
    @PlatnamMogo 2 години тому

    Alie vaa suti yuko vizuri kwenye uchambuzi.

  • @heriurio6410
    @heriurio6410 4 години тому +1

    Dj smaa aliahid kutuletea makala ya mgogoro wa Israel kimaandiko naona kmya vp

  • @peterjr8073
    @peterjr8073 4 години тому +2

    Hawa ndio uwa nawahelewa uchambuzi wao kwasababu hawako upande wowote

  • @JafariNyallu
    @JafariNyallu 4 години тому +1

    Aya mwageni utam Sasa tufurahi

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 4 години тому +5

    Wanalaani Israel kilasiku ndiyo mana wanapigwa anaejuwa maana ya jina ISRAEL ni nani apa aniambie?

    • @HassanRamadhanPashua
      @HassanRamadhanPashua 4 години тому +1

      Israel ni makabila 12

    • @fadhilngalanda7520
      @fadhilngalanda7520 4 години тому +1

      Israel hii siyo ile ya manabii
      Israel ya manabii siyo yenye uuwaji
      Israel ya manabii siyo ya kusapoti mashoga

    • @Awatee
      @Awatee 4 години тому +2

      ISRAEL ni mwenda usiku ambae ni nabii Yakoub As na hakuna Israel bali ni wana wa Israel

    • @dorcaskarago2876
      @dorcaskarago2876 4 години тому

      @@fadhilngalanda7520 hello hawa watu wana Agano la milele Mungu wao anaweza akaruhusu wapigwe ila mwishoni analikumbuka lile Agano nakuwaokowa na zaidi yayote wana akili sana

    • @sylvestermalisha5292
      @sylvestermalisha5292 4 години тому

      Israel ni mbarikiwa hivyo wanaoilaani wataangamia

  • @AyubuMotima
    @AyubuMotima 2 години тому

    Bila hendry siangalii gps

  • @RobertBitambaOfficial
    @RobertBitambaOfficial 2 години тому

    Nawapataje live mbona nakutana na recorded

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 10 хвилин тому

    Israel ni kitaifa kidgo san dhidi ya Iran 🇮🇷

  • @j4amas5
    @j4amas5 4 години тому +1

    Jirani yako anapopata madhara kisha usishirikianenae katika utatuzi kwa kudhani kwamba hayatokufika basi ujue kesho itakuwa ni zamu yako.

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 2 години тому

    Mm mislaam siipend,inazan mtamshinda Israel ht mngemchangia hamtowez hlo taifa teule kmandko litapgwa ndo yesu atashuk lasmi ss

  • @abuukajembe-to6sd
    @abuukajembe-to6sd 2 години тому

    Habali mnanyo mkuu wamajeshi wa Israel auwawa

  • @nanguniMtaita-hz4zt
    @nanguniMtaita-hz4zt 4 години тому +5

    Ok ACHA 50 hao wamlaani Netanyau, it's not a problem, Mungu amesema ktk vitabi vitakatifu hivi; nanukuu, " Atakaye mlaani Israel nitayarudisha kwake, maana huyu ni mboni ya jicho lake, kwasababu ya Ibrahim baba wa Imani" laana hiyo itarudi wenyewe. Subiri tuone.

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 4 години тому +3

      Unajidanganya kumalamamayako. Kwa mungu anarizika kuuwa watoto na watu wasio na hatia? Alafu amrpora ardhi ya wapalestina jee ni haki?

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 4 години тому +1

      ​@@Mumewanguhii vita mwenye Aridhi ni Myahudi ila mwisho wa siku katika vitabu vya hadithi za Imani watapigwa vibya mno naita leta anguko lanyangumi

    • @GoodluckHassan
      @GoodluckHassan 4 години тому +1

      Wewe hiyo Israel unayoiona sasa hivi sio taifa teule ni makao ya mashetani tu tazama Ufunuo 2:13

    • @hassanmlawa-o6s
      @hassanmlawa-o6s 4 години тому

      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 umedanganywa na wazungu amka

    • @leonardgervas7515
      @leonardgervas7515 3 години тому +1

      ​​@@Mumewangumatusi ya nini jibu hoja kwa hoja auna maharifa ya kumpa elimu akakuelewa zaidi ya matusi

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 2 години тому

    kuna mda unasema bila kufikiria sasa iyo vita wanao sapoti wakina nani American na urop yote wanasapotiana ndo maana vita aiwezi kuisha

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 3 години тому

    Nyie mnaikosoa marekani na washilika wake

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 3 години тому +1

    Makomando wa marekani ni ushuzi tu hawana ubora huo unaoueleza hapo ni propaganda tu

  • @NurdinOzil
    @NurdinOzil 3 години тому

    Wakisema wanajesh 4 ujue 40 hao sema hawasemag ukweli

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 2 години тому

    Gaza Wana pigwa Líbanon, iraqui, hizo nchi zote IDF ina tandikwa, bali ukweli hutolewi😂😂😂😂😂

  • @Williamstozzo
    @Williamstozzo 4 години тому +1

    UN,,,wanaruhusujee hezbollah kuweka mahandaki kwenye eneo lao la ulinzi? Na wanafanya nini kama wamewekwa kulinda mipaka na usalama na hawafanyii hivyoo?

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 3 години тому +1

    Hizbullah wanaposhambulia kutuma makombora au rocket mda si mrefu lile eneo huwaga wanahama. Ndio maana israil ile sehemu huwaga anashambulia nakubaki kuvunja majumba

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 3 години тому +1

    Msulimoto

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 3 години тому

    Misram inapenda kusifiw Israel piga wte

  • @Hawa-qc9fo
    @Hawa-qc9fo 3 години тому +1

    HAPO BADO😅😅😅

  • @ericmutalemwa8040
    @ericmutalemwa8040 3 хвилини тому

    Sky mueleweshe kijana wako vita vya Russia ni kukidhohofisha kwanza jeshi la Ukraine ndiyo MAANA wanawaaua tuu na SI kusonga mbele Kwa haraka inakadiriwa mpaka sasa Ukraine imeshapoteza wanajeshi wapatao million ndiyo MAANA inskanata watu na kuwapeleka front line na Russia ingetumia Method za Israel kisingekuwepo na Ukraine Leo hii

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 4 години тому +1

    Wakalaaniwa sio netanyau TU bali ni marekani na ndio shetani namba moja duniani. Kwa sasa natamani nuclear kutokea popote pale zishuke marekani na miji ya marekani iwake moto maana marekani ndio anaefadhili mizozo yooote duniani sasa kwa nini dunia isisimame kinyume na shetani hili marekani na washirikina wake NATO. Hao nato wanachosema mdomoni sicho wanachokisema kwenye vikao vyao wakiwa na Israel.

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 4 години тому

      Sema akili zako ziko matakoni unajua unachokitaja hapo kitumike alf una jua madhara yake au mnaongea utumbo aisee napenda Russian na Iran but nyukilia sipo upande huo hakuna kitaka chobaki alf uku ndo tukufa na huku wana pigana wao

  • @mohdhilaly7900
    @mohdhilaly7900 3 години тому +1

    Nyatanyau kachanganyikiwa kama zelesky

  • @JafariNyallu
    @JafariNyallu 4 години тому +1

    mmetukimbia wanetu

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 Годину тому

    Inapigik vby Israel

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 3 години тому

    Mlitabili lebanoni ina nguvu haiwezi shambuliwa na islaeli leo hiii lebanon inashumbuliwa inakuja magofu

  • @WilliamKileta
    @WilliamKileta 3 години тому +1

    Siku moja muiteni ibrahim rahby awape uchambuzi wa hiyo middle east maana naona gps ilijikita sana kwa ajili ya urus na ukraine lkn huo mgogoro naona hamjauchimba vzr zaidi tafuten wachambuzi wabobezi zaid ila nawakubali wote

  • @issajohn5996
    @issajohn5996 4 години тому +2

    Ally Masubi ni dini gani? Plz guys don't take this personal

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 2 години тому

    Sio kichapo kidogo anacho ki chezea israel Brow anachezea ki chapo chá mbwa koko😂😂😂

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 4 години тому +1

    Netanyau amechanganyikiwa😂😂😂

    • @Awatee
      @Awatee 4 години тому +1

      😂😂😂😂Alidhani atakula bata na kuamka ALLAH hajaghafilika na madhwalim anawapa muda tuu na hufanya mambo yake kwa hekima wengi hawajui

  • @NELVIS-p6g
    @NELVIS-p6g 2 години тому

    Swali ni hili inawezekanaje Irani kuishambulia Israeli Kwa madai ya kulipiza kisasi Kwa mauaji ya Ismail Haniyeh wakati Israel haikukiri kuhusika na suala Hilo naomba ufafanuzi

    • @salhawaziri1668
      @salhawaziri1668 2 години тому

      Haikusema ni ismail haniyeh wamesema wamelipiza kisasi cha Nasarallah

  • @allykomsonde7813
    @allykomsonde7813 3 години тому

    Chama cha wasomba comenti Tanzania (chawaconta) 😅

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 2 години тому

    Kila siku ni iran

  • @hamadiharuna9974
    @hamadiharuna9974 2 години тому

    Aly unaboa bwana

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 2 години тому

    Hv mbona hamtupi uchambuz kuhusu urusi yan had mnaboa sku iz

  • @hamismiraji3591
    @hamismiraji3591 2 години тому

    Ali anamahaba na Israel na marekani

    • @hassanisaidi5422
      @hassanisaidi5422 42 хвилини тому

      Anaulizwa swali flani anajibu kingine,hawi straight,,tatizo yeye ni pro Israel na siyo mchambuzi

  • @hassanihamidu8546
    @hassanihamidu8546 4 години тому +1

    Ali kunamuda unaongea vitu vya uwongo Putin alishatangaza hanashida na kakive sasa wewe unatwambia hajatoboa

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 20 хвилин тому

    Waajemi hao wameweka mikwala hatari😂😂 wazee wa vilemba

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 2 години тому

    Walikufa wengi tu israil

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 Годину тому

    Ali masubi tena😂😂😂😂 aiponde israil haiwezekani😂

  • @yassinmohamed8241
    @yassinmohamed8241 4 години тому +1

    GPS

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 3 години тому

    Mbona putin hamsemi nayeye ananufaika kisiasa

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 3 години тому

    Akili ndogo yaaani Israeli wakose makombora yakufika Irani Irani waweze

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o 2 години тому

    Netanyau hana mna huo, anatoa tahadhari mkileta siasa yeye anafyeka tu..😂😂 isitoshe hao walinda wanashirikiana na magaidi maana jirani tu kuna andaki la hezboallah

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 4 години тому +1

    👁️👁️🇫🇮🇫🇮🤝💪

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 2 години тому

    Netanyahu amekuwa akiwavimbia Marekani, Ufaransa, Uturuki na nchi kibao tu na kwa sasa hata sasa kiongozi wa UN...na hajakomea hapo Peacekeepers wa UN pale Lebanon pia amewapa salamu zao...hiyo inapasa kukufanya ujiulize swali ..huu ujasiri Israel anautoa wapi...? jibu ni kuwa Wayahudi ndo wanautawala dunia...na hiyo ilikuwa sababu kubwa ya mgogoro wa Wayahudi na Hitler

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er 41 хвилина тому

      Hiyo sio sababu, sababu ya hitla kuwauwa masyahudi, nikukataa kushiriki ktk vita km wanajeshi

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 29 хвилин тому

      @@salimali-rf9er hapo wadanganya maana wayahudi walishiriki vita na hata ushahidi ulikwepo wa wayahudi wengi waliouliwa kwenye frontline... tatizo nikuwa wajerumani walijiamini Sana hivyo hawakuamini kuwa walishindwa hivyo kukawa na msemo kuwa wayahudi waliwasaliti ... hiyo ilikuwa sababu moja na pia watu wa ujerumani na Austria walikuwa hawawaelewi wayahudi maana walikuwa wanafanikiwa kwenye biashara na walikuwa na hela nyingi so jamaa pia wakawa na fikra kuwa kuna nguvu za kishetani ambazo wayahudi walikuwa wanatumia ndo zilizokuwa zikiwasaidia kimafanikio ila hapakuwa na evidence..na hivyo Hitler alikuwa akisema kuwa hawa wayahudi wakiachwa watakuwa wao ndo kusema kwa nchi yao ... hivyo akichukuwa uongozi atawaondoa wote na kwasababu walikuwa wakichukiwa na wengi Hitler alipewa uongozi and the rest is history

  • @youngb8672
    @youngb8672 2 години тому

    Hata zikimlaani wanamsaidia nn wao walichofanya palestina oct 7 kilikua kizuri??

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Годину тому

      Hakikuwa kizuri hata kidogo ila usijizime data kusahau wapalestina wanachofanyiwa toka 1948 bro.

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita Годину тому +1

    Sisi unapotetea Warabu so kwamba Tunawapenda hapana ni ubinadam tuh mbali na roho Yao mbaya bado hawastahili kufa kama hapo tizama vita yaani boss anakuterekeza hajali utakufa ama vip yeye anaondoka anakuacha Bila passport Sasa unafanyaje utarudije kwenu roho mbaya ubinafsi Hawa watu wanao nikiwa Oman for 6 years hicho ndo kitu nimekiona mbali na yote ni binadam hawastahili hayo wanapitia Amani ipatikane tuh siku moja😢😢😢😢😢

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 Годину тому

    Umoja wamataifa unapendea sana ,Mbona kipindi Israel wanapigwa hawakuingilia Sasa ivi wanaona hesborah wanapigwa et ndo wanaingilia

  • @aftapat5365
    @aftapat5365 3 години тому +2

    kwanza umoja wa taifa la marekani na Eu a.k.a Un wenyewe hapo ulipo hawajamlipa myahudi aridhi yake alionunuliwa na kaka yao enzi hizo
    mshahara wenyewe wanapewa na myahudi

  • @raydanfrenk
    @raydanfrenk 4 години тому +4

    Netanyahu ni mtu na nusu 😅

    • @Awatee
      @Awatee 4 години тому

      Ni kichaa alie changanyikiwa ndio maana wanahangaika kila sehemu hivi unafikiri ndivo akili ya binaadam?

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk 2 години тому

      ​@@Awateendio maana nimesema mtu na nusu so siyo binadam wa kawaida

    • @aasatt78
      @aasatt78 2 години тому

      @@raydanfrenk Ni kichaa tu we ata humuoni alivyochanganyikiwa

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 3 години тому +2

    Mwambie huyo bwege akajifunze Vita kwa zelensky, hajui Vita anajifunza kutoka kwa mu US, akati hao wanao mwambia aache Vita wamepigana Vita kabla ya mmarekani na nimadora makubwa sana