Tazameni Mwana-kondoo || Dodoma Adventist Chorus

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • "Siku ya pili yake amwona Yesu anakuja kwake, akasema, Tazama, Mwana-kondoo wa Mungu, aichukuaye dhambi ya ulimwengu!"
    Yohana 1:29
    Mwana-kondoo wa Mungu (Yesu Kristo) miaka mingi iliyopita aliwahi kujitoa kafara kwa ajili ya wenye dhambi wote ili kwamba kila anayeamini na kumkubali awe na uzima wa milele.
    Hadi hivi leo kafara ile ina thamani na yeyote anayeamini anaweza kuupata uzima huo unaotolewa bure. Kwa maana damu yake iliyomwagika ina nguvu ya kusafi dhambi za mtu awaye yote anayemkubali.
    Ni imani yetu kuwa wimbo huu ulioimbwa na Dodoma Adventist Chorus (DAC) utakukumbusha leo tena kumtazama Mwana-kondoo ambaye ni Yesu Kristo kwa kafara yake pale msalabani.
    Ubarikiwe sana unapotazama na kusikiliza.
    Don't forget to SUBSCRIBE
    Artist: Dodoma Adventist Chorus
    Song Title: Tazameni Mwana-kondoo
    Audio Mixing and mastering: BJ Brand
    Email: dodomaadventistchorus21@gmail.com
    CONTACTS
    +255 712 227 383
    +255 784 291 945
    You can also find us on instagram:
    / dodomaadventistchorus

КОМЕНТАРІ • 134