Dodoma Adventist Chorus
Dodoma Adventist Chorus
  • 10
  • 383 349
Nahodha || Dodoma Adventist Chorus
NAHODHA
Siku moja Yesu aliwaambia
Wanafunzi wake hebu na tuvukeni ng'ambo
Wakapanda wote ndani ya chombo
Mara tufani chombo kikaanza kujaa maji
Wakati huo Yesu amelala
Wakamwendea kumwamsha
"Bwana Twaangamia"
Akasimama, kakemea upepo
kukawa shwari dhoruba zikakoma
Kisha akageuka
(Kisha akageuka)
Akawauliza
(Akawauliza)
Imani yenu i wapi
(Je imani yenu i wapi nao wakaogopa)
Ni nani huyu ambaye
(Je ni nani huyu ambaye)
Pepo na Bahari vinasikia sauti yake.
Huyu ni Nahodha mwenye uzoefu mkuu
Mikononi mwake chombo huwa salama.
Unawezamwamini maana Chombo hakijawahizama Akiwa ni Nahodha
Mambo yote huwa salama
Katikati ya Dhoruba na Shida
Pepo zivumapo na Bahari ichafukapo
Unaweza kudhani amelala
Na hajali kuhusu shida zote upitiazo
"Je ni kweli huyu ndiye ambaye
Alisema 'takuwa nami Tena nisiogope
Nina mashaka na uwezo wake
Je ni kweli anaweza kuokoa?"
Usiogope ndugu
(Usiogope ndugu)
Na usifadhaike
(Na usifadhaike)
Imani yako weka kwake (hajawahi kushindwa)
Nahodha huyu si mwingine
Bali Bwana Yesu, amini utafika salama
Huyu ni Nahodha..
Huyu ni Nahodha mwenye uzoefu mkuu
Mikononi mwake chombo huwa salama.
Unawezamwamini maana Chombo hakijawahizama Akiwa ni Nahodha
Mambo yote huwa salama
Mambo huwa ni salama Bwana Yesu akiwa ni Nahodha
Huyu ni Nahodha mwenye uzoefu mkuu
(Mikononi mwake)
Mikononi mwake chombo huwa salama.
(Usiwe na shaka)
Unawezamwamini maana chombo hakijawahizama Akiwa ni Nahodha
(Akiwa ni Nahodha..)
Mambo yote huwa salama
(Bwana akiwa chomboni)
Mambo yote huwa salama
(Weka tumaini lako kwake)
Mambo yote huwa salama.
Luka 8:22-25
[22]Ikawa siku zile mojawapo alipanda chomboni yeye na wanafunzi wake, akawaambia, Na tuvuke mpaka ng’ambo ya ziwa. Wakatweka matanga.
[23]Nao walipokuwa wakienda, alilala usingizi. Ikashuka tufani juu ya ziwa, chombo kikaanza kujaa maji, wakawa katika hatari.
[24]Wakamwendea, wakamwamsha, wakisema, Bwana mkubwa, Bwana mkubwa, tunaangamia. Akaamka, akaukemea upepo na msukosuko wa maji, vikakoma; kukawa shwari.
[25]Akawaambia, Imani yenu iko wapi? Wakaogopa, wakamaka, wakisema wao kwa wao, Ni nani huyu basi hata anaamuru upepo na maji, navyo vyamtii?
Artist: Dodoma Adventist Chorus
Song Title: Nahodha
Audio Mixing and mastering: Job Music
Video: RJ Studio (Mr RJ)
Email: dodomaadventistchorus21@gmail.com
CONTACTS
+255 746 698 570
+255 622 309 142
You can also find us on:
audiomack.com/dodomaadventistchorus/song/nahodha
Instagram
dodomaadventistchorus
and all other digital platforms for audio.
Переглядів: 28 362

Відео

Chagueni || Dodoma Adventist Chorus
Переглядів 35 тис.8 місяців тому
Yoshua 24:14-15 Basi sasa mcheni BWANA, mkamtumikie kwa unyofu wa moyo na kwa kweli; na kuiweka mbali miungu ambayo baba zenu waliitumikia ng’ambo ya Mto, na huko Misri; mkamtumikie yeye BWANA. Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng’ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika...
Safisha Njia || Dodoma Adventist Chorus
Переглядів 49 тис.Рік тому
SAFISHA NJIA Verse 1 Mimi ni mdhaifu Siwezi kutembea, Nimebeba mzigo mzito, Sijui ni nani atanitua, Nimesikia leo, yupo mtu anaeweza kunitua mzigo wangu, Yesu naomba nionane naye. Verse 2 Nguo zangu Ni chafu Siwezi jisafisha Hata mwili huu wa udongo Naona hauna thamani tena Kweli ninayo haja Kuonana naye sasa tabibu na mwokozi wangu Yesu naomba anitakase. Chorus Safisha njia ili nipite Nataka k...
Maji ya Uzima || Dodoma Adventist Chorus
Переглядів 37 тис.Рік тому
Yohana 4:13-14 Yesu akajibu, akamwambia, Kila anywaye maji haya ataona kiu tena; [walakini ye yote atakayekunywa maji yale nitakayompa mimi hataona kiu milele; bali yale maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji, yakibubujikia uzima wa milele. Ubarikiwe Sana unapotazama na kusikiliza wimbo huu. Email: dodomaadventistchorus21@gmail.com CONTACTS 255 712 227 383 255 784 291 945 You ca...
Wimbo wa Sifa || Dodoma Adventist Chorus
Переглядів 45 тис.Рік тому
Ufunuo wa Yohana 15:2-4 [2]Tena nikaona kitu kama mfano wa bahari ya kioo iliyochangamana na moto, na wale wenye kushinda, watokao kwa yule mnyama, na sanamu yake, na kwa hesabu ya jina lake, walikuwa wamesimama kando-kando ya hiyo bahari ya kioo, wenye vinubi vya Mungu. [3]Nao wauimba wimbo wa Musa, mtumwa wa Mungu, na wimbo wa Mwana-Kondoo, wakisema, Ni makuu, na ya ajabu, matendo yako, Ee Bw...
Yu Hai || Dodoma Adventist Chorus
Переглядів 51 тис.2 роки тому
Luka 24:4-8 [4]Ikawa walipokuwa wakifadhaika kwa ajili ya neno hilo, tazama, watu wawili walisimama karibu nao, wamevaa nguo za kumeta-meta; [5]nao walipoingiwa na hofu na kuinama kifudifudi hata nchi, hao waliwaambia, Kwa nini mnamtafuta aliye hai katika wafu? [6]Hayupo hapa, amefufuka. Kumbukeni alivyosema nanyi alipokuwa akaliko Galilaya, [7]akisema, Imempasa Mwana wa Adamu kutiwa mikononi m...
Tazameni Mwana-kondoo || Dodoma Adventist Chorus
Переглядів 37 тис.2 роки тому
"Siku ya pili yake amwona Yesu anakuja kwake, akasema, Tazama, Mwana-kondoo wa Mungu, aichukuaye dhambi ya ulimwengu!" Yohana 1:29 Mwana-kondoo wa Mungu (Yesu Kristo) miaka mingi iliyopita aliwahi kujitoa kafara kwa ajili ya wenye dhambi wote ili kwamba kila anayeamini na kumkubali awe na uzima wa milele. Hadi hivi leo kafara ile ina thamani na yeyote anayeamini anaweza kuupata uzima huo unaoto...
Muumbaji Mkuu || Dodoma Adventist Chorus
Переглядів 43 тис.2 роки тому
Suala la chanzo cha uhai katika dunia yetu linaweza lisiwe geni katika akili zetu leo. Kwa namna mbali mbali unaweza kuwa umekutana na nadharia tofauti kuhusu chanzo cha maisha katika dunia hii. Katika nadharia zote zilizopo haziwezi kushindana na uhalisia mmoja ya kwamba kuna nguvu isiyoonekana tena iliyo kuu mahali fulani ambayo sio tu kwamba iliumba vyote tunavyoviona, lakini pia inaendelea ...
'Tajificha Kwako (Hiding in Thee) || Dodoma Adventist Chorus
Переглядів 57 тис.2 роки тому
Mara ngapi katika majaribu umechagua kimbilio lako binafsi ukamsahau Kristo Yesu ambaye ni Mwamba wa kale? Ni tumaini letu kuwa wimbo huu utakukumbusha kuwa japokuwa umechoka na majaribu yamekusonga, unaweza kujificha kwa Yesu Kristo ambaye ni Mwamba wa kale. Karibu sana na ubarikiwe unapotazama wimbo huu. English How often in temptations have you chosen your own refuge and forgot Christ Jesus ...

КОМЕНТАРІ

  • @billgeitsheldon8863
    @billgeitsheldon8863 2 дні тому

    Robinson Mark Williams Jessica Wilson Carol

  • @user-yr3ho5hl4k
    @user-yr3ho5hl4k 6 днів тому

    Ni kweli mwenyi enzi Mungu anaumia wakati pumzi ya viumbe vidogo inapokatika. Hii yaonesha kabisa gunsi upendo wake ni mkuu sana

  • @user-yr3ho5hl4k
    @user-yr3ho5hl4k 6 днів тому

    Nami ni muadventisti kama nyinyi. Nyimbo zenu zina ujumbe unaoweza kusababisha kujitoa kwa Mungu milele. Asante kwa kuiponya miyoyo kwa namna hii

  • @eliyahclay4461
    @eliyahclay4461 10 днів тому

    Maneno yana sikika vizuri sana utulivu safi kabisa

  • @AmaniAudax
    @AmaniAudax 14 днів тому

    Amen

  • @maligamaduhu6292
    @maligamaduhu6292 19 днів тому

    Barikiwen sana ❤

  • @elihudimbonea4940
    @elihudimbonea4940 20 днів тому

    Nabarikiwa Sana na nyimbo zenu.

  • @LovenessClinton
    @LovenessClinton 26 днів тому

    Mungu awabariki sanaa

  • @getwellwithessie
    @getwellwithessie 29 днів тому

    The melody, the rhythm, the lyrics, and the singers are so uplifting and full of joy, radiating such an incredible warmth that makes me want to listen to this type of music over and over again. I just can't stop listening to this song, "kumwona Mwokozi Kwanza ndo Nataka, niongee nae, nimweleze yote." It fills my heart with joy! God bless you guys!

  • @user-fi4co4vq6o
    @user-fi4co4vq6o Місяць тому

    Na zaidi zimejaa mafundisho

  • @isaacnicolao5684
    @isaacnicolao5684 Місяць тому

    Mungu awabariki sana kwa nyimbo tamu zenye ujumbe wa Neema ya Mungu.

  • @Samsoni-yn6zu
    @Samsoni-yn6zu Місяць тому

    Mungu aendelee Kuwabaliki

  • @isaacnicolao5684
    @isaacnicolao5684 Місяць тому

    You guys are the best. Bwana aendelee kuwatumia zaidi na zaidi. Nyimbo zenu tamu na zinaujumbe mzuri sana. Mungu awabariki sana.

  • @LTech255
    @LTech255 Місяць тому

    A masterpiece, absolutely love it❤

  • @denischarleskalwenje856
    @denischarleskalwenje856 Місяць тому

    Mnanibariki sanaaa ila niwaombe fanyeni EP tuzidi kubarikiwa wapendwa zaidi

    • @dodomaadventistchorus
      @dodomaadventistchorus Місяць тому

      Amina. Tumelipokea hilo brother. Tutalifanyia kazi siku zijazo🙏😇💙

  • @mussakilasa5680
    @mussakilasa5680 Місяць тому

    Mungu awabariki Dodoma Adventist, nyimbo zenu zinamaudhui mazuri sana. Nabarikiwa sana.

  • @FloraMangalu
    @FloraMangalu Місяць тому

  • @vanceeconcee7469
    @vanceeconcee7469 Місяць тому

    This is Heavenly..blessings!!

  • @user-iz9rd6ww4f
    @user-iz9rd6ww4f Місяць тому

    Bwana awabariki sana mko vzur mnoo

  • @itsjosh41
    @itsjosh41 Місяць тому

    From the pen and paper to the piano or vice cersa.Either way, to deep thought in writing.🎉❤ "Kifo chake sio mwisho,bali mwanzo wa mwisho." This was deep. God Bless y'all😢.

    • @dodomaadventistchorus
      @dodomaadventistchorus Місяць тому

      Amen. God bless you more brother. We are happy that you've been blessed 🙏😇💙

  • @kelsvins6447
    @kelsvins6447 Місяць тому

    Natafuta album nzima ya hii choir..., soo deeply inspired!!

    • @dodomaadventistchorus
      @dodomaadventistchorus Місяць тому

      Amen. Nyimbo zetu zote zipate kwenye hii playlist link. ua-cam.com/play/PL0jjhWfS1VG3B2fo889llsJwQ5hF4ZQqq.html&si=MAqGigxUXUeQwktH

  • @kelsvins6447
    @kelsvins6447 Місяць тому

    Nabarikiwa mnoooo..

  • @user-qg3sx7vr4j
    @user-qg3sx7vr4j 2 місяці тому

    Imekoseka sauti yangu ya kwanza hapo, Ila bado ni org, nabarkiwa. Tu record nyimbo tano za Makambi 2024🎉

  • @dineod6830
    @dineod6830 2 місяці тому

    Giving "Heritage Singers "vibes yet original! Amazing music guys.....many blessings!

  • @AnnaMrombo
    @AnnaMrombo 2 місяці тому

    Ameeeeen amennn....nakuonea dada deboraaa

  • @Aaron-nu7dv
    @Aaron-nu7dv 2 місяці тому

    Sauti ya pili na ya tatu mmeua hamfai kabisaaaaa

  • @dineod6830
    @dineod6830 2 місяці тому

    Can we just take a moment to appreciate the quality background/instruments🙌. World class👌 listening from🇧🇼. I don't understand Swahili but my heart does ❤😊

    • @dodomaadventistchorus
      @dodomaadventistchorus 2 місяці тому

      Amen. We praise God for that appreciation. God bless you more through this music 😇😇💙🎵

  • @dineod6830
    @dineod6830 2 місяці тому

    Harmony ✅ Instruments✅ I'm left speechless.....thank you ❤

  • @dineod6830
    @dineod6830 2 місяці тому

    Listen from Botswana ❤🇧🇼

  • @dineod6830
    @dineod6830 2 місяці тому

    I've just discovered you guys and I'm hooked. Thanks for giving us authentic music! To God be the glory 🙌

  • @186MUKUNGUGU
    @186MUKUNGUGU 2 місяці тому

    Nawapenda sana na mnaimba vizuli from 🇴🇲 & 🇧🇮

  • @davidmkwizu25
    @davidmkwizu25 2 місяці тому

    hii nyimbo usiiskilize wakati unaendesha gari unaeza kujikuta ghafla umefika 240km/hr bila kujua.. so sweet..

    • @dodomaadventistchorus
      @dodomaadventistchorus 2 місяці тому

      😂😂😂 Be blessed Brother. Remember to be careful on the road😇🙏💙

    • @davidmkwizu25
      @davidmkwizu25 2 місяці тому

      @@dodomaadventistchorus indeed.. Mungu azidi kuwatumia.. yani hata muda huu nauskiliza hapa om.. wimbo safi kabisa.. nadhani nimeuskiza kwa mara ya elfu sasa.. na siuchoki.. Hongereni kwa kukubali kutumiwa na Mungu ndugu zangu.. Mumebarikiwa sana..!!

  • @MelinaTiblius
    @MelinaTiblius 2 місяці тому

    Mungu wa mbinguni awainue sana, msibadilike watu wa Mungu ,maana siku hizi kupata nyimbo kama hizo ni nadra sana ,your songs are very touching spiritually 🙏

  • @barakagalus162
    @barakagalus162 3 місяці тому

    AHSANTENI KWA KUTUNZA AFYA YA AKILI ZETU KWA MUZIKI HUU MTAKATIFU...MUNGU AZIDI KUWATUMIA MSIACHE MUZIKI HUU...MSIBADILISHWE NA ULIMWENGU NAWAOMBEA KWA JINA LA YESU

    • @dodomaadventistchorus
      @dodomaadventistchorus 2 місяці тому

      Amina. Tunafurahi kwa namna ulivyobarikiwa. Zidi kutuombea. Kwa Neema ya Mungu nasi tutazidi kusonga mbele💙🙏😇

  • @186MUKUNGUGU
    @186MUKUNGUGU 3 місяці тому

    I always love your voices ❤

  • @186MUKUNGUGU
    @186MUKUNGUGU 3 місяці тому

    Awesome ❤❤

  • @samwelinzunda2311
    @samwelinzunda2311 3 місяці тому

    Underrated song ❤

  • @samwelinzunda2311
    @samwelinzunda2311 3 місяці тому

    Aaah guys u bring something extra ordinary to the table,May God be with u guys msiache maana mnatubariki wengi fans from Tanga ❤🎉

  • @marymwita385
    @marymwita385 3 місяці тому

    ❤❤❤ wow

  • @denischarleskalwenje856
    @denischarleskalwenje856 3 місяці тому

    Nimebarikiwa sanaaa but andae jambo apo dodoma haraka it will sound well

  • @denischarleskalwenje856
    @denischarleskalwenje856 3 місяці тому

    Eu me rendo mais Deus seja louvado por tudo

  • @kenanjustine165
    @kenanjustine165 3 місяці тому

    mbarikiwe Sana kwa wimbo mzuur, namuona Deborah Mbia, Kazi nzuri

  • @hamis2g629
    @hamis2g629 3 місяці тому

    ❤❤mnanibariki Sana kwa mpangilio wa sauti zenu

  • @ntunzwesimon172
    @ntunzwesimon172 3 місяці тому

    best singing

  • @boniphacesenkoro-im6yu
    @boniphacesenkoro-im6yu 3 місяці тому

    Mnanibariki sana mmeutendea haki wimbo

  • @faresmuganda9412
    @faresmuganda9412 3 місяці тому

    What a masterpiece and uplifting song. May our good Lord bless you and your ministry. Can’t stop listening to this beautiful and inspiring item.

  • @opapasteve7036
    @opapasteve7036 3 місяці тому

    Amen

  • @opapasteve7036
    @opapasteve7036 3 місяці тому

    Amen

  • @jacksonpetro9558
    @jacksonpetro9558 3 місяці тому

    Mungu awe nanyi daima. Nyimbo zinabariki na kufariji Sana😍❤️🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿💞💞

  • @SmilingChihuahua-qo7qu
    @SmilingChihuahua-qo7qu 3 місяці тому

    Am ur neighbour apah moro town i can hear wonderful voice from i wanna join ue but am still a student but i wish oneday nitakuw nanyi❤❤❤❤❤❤❤❤