Yu Hai || Dodoma Adventist Chorus

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 вер 2024
  • Luka 24:4-8
    [4]Ikawa walipokuwa wakifadhaika kwa ajili ya neno hilo, tazama, watu wawili walisimama karibu nao, wamevaa nguo za kumeta-meta;
    [5]nao walipoingiwa na hofu na kuinama kifudifudi hata nchi, hao waliwaambia, Kwa nini mnamtafuta aliye hai katika wafu?
    [6]Hayupo hapa, amefufuka. Kumbukeni alivyosema nanyi alipokuwa akaliko Galilaya,
    [7]akisema, Imempasa Mwana wa Adamu kutiwa mikononi mwa wenye dhambi, na kusulibiwa, na kufufuka siku ya tatu.
    [8]Wakayakumbuka maneno yake.
    Katika maisha ya mwanadamu kuna nyakati ambazo anakutana na changamoto nyingi sana zenye kukatisha tamaa kama kupata misiba kupoteza vitu vya thamani kiasi kwamba anaweza kuona hakuna tumaini lolote lililo mbele.
    Lakini katika yote tunaweza kuwa na hakika ya kuwa kama Kristo alifufuka asubuhi ile hata sisi tuna tumaini kuwa yote yatapita na furaha itarejea tena maishani mwetu maana Kristo yu hai na yuko nasi.
    Barikiwa na wimbo huu ulioimbwa na Dodoma Adventist Chorus (DAC) utakutia nguvu kukumbuka kuwa Kristo yu hai.
    Don't forget to SUBSCRIBE
    Artist: Dodoma Adventist Chorus
    Song Title: Yu hai
    Audio Mixing and mastering: BJ Brand
    Email: dodomaadventistchorus21@gmail.com
    CONTACTS
    +255 712 227 383
    +255 784 291 945
    You can also find us on:
    Audiomack
    audiomack.com/...
    Instagram
    / dodomaadventistchorus

КОМЕНТАРІ • 162