MAJIBU YANGU KWA MPOTOSHAJI KASSIM MAFUTA KUHUSU ARAFA _SEHEMU YA PILI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 488

  • @dalalimjinga.144
    @dalalimjinga.144 2 роки тому +4

    Abuidi Mwenyeenzi mungu akueke sana,hawa mabidaaa wanataka kutuvuruka toka kuanzia miaka ya 1980

  • @إلىاللهمرجعناجميعا

    Asant shkh Wang Allah akujalie kher sana mzee wangu tupo pamoja

  • @khalidsalim9412
    @khalidsalim9412 3 роки тому +4

    Alhamdulillah, tunamshkuru Mungu sana kwa kutupa Mtu kama ww ndani ya Jamie yetu, Wallahi tunakupenda sannaaa sheikh Muhammad Idd,
    Endelea kuwabainisha wapotoshaji,

  • @abdulrahmanmwadini5925
    @abdulrahmanmwadini5925 2 роки тому +1

    Alhamdulillah,unachonifurahisha Sheikh Abuu,HOJA zako ni KIRUNGU na Preferences ya Vitabu Unatoa Allah akubariq

  • @husseinyusuf8997
    @husseinyusuf8997 2 роки тому +1

    بارك الله فيك يا شيخنا لا يفضض الله فاك في نصرك لدين الله الحنفي

  • @shamsiyyahtamtatv2992
    @shamsiyyahtamtatv2992 3 роки тому +6

    Mungu akulipe kher sheikh

  • @kondomuhammed745
    @kondomuhammed745 3 роки тому +8

    Shukran sheikh iddi

    • @alawijunior9628
      @alawijunior9628 3 роки тому

      Wew pia hujielewi...nenda kasome

    • @mhrmahir3756
      @mhrmahir3756 3 роки тому

      shekh uyu askofu

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 9 місяців тому

      ​@@mhrmahir3756acha matusi ya kumuita muislamu mwenzako askofu kama Muhammad idd kakosea wewe Lete hujja zako utufundishe nasi badala ya matusi

  • @suleimansaid4244
    @suleimansaid4244 3 роки тому +9

    MashaAllah MashaAllah yaani hoja zinaeleweka maneno ya kisomi kabisa anayeelewa na aelewe asante sana alhabib tusomeshe sheikh wangu

    • @Mohamedmjenga
      @Mohamedmjenga Рік тому

      Tuko pamoja ndug Hawa mawahabi wapotosha watu

  • @abuufarheenfarid9320
    @abuufarheenfarid9320 2 роки тому +1

    Hoja nyepesi

  • @yusuphmpenja3288
    @yusuphmpenja3288 2 роки тому +1

    Shekh mimi nimekuelewa mungu akulindie elimu ulionayo kwa kutufundisha alama ya mambo mema alama ya kuanza jambo na kumaliza jambo muandamo wa mwezi shuklani

  • @khalfansuleiman6206
    @khalfansuleiman6206 3 роки тому +10

    MAASHAALLAAH ,ALLAAH AKUPE UMRI MREFU WENYE MANUFAA KTK DUNIA NA AKHERA YAKO

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 3 роки тому +6

    ALHAMDULIL-LAAHI RAB-BIL'AALAMIIN,,, NAMSHUKURU SANA MWENYEZI MUNGU,KUNIJAALIA KUA NA MASHEIKH BADALA YA KUA NA TECHNOLOGY KUA NDO MUONGOZO !!!
    AL-LAAH AKUHIFADHI SHEIKH ABUU IIDI
    AAMIIN YAA RAB-BAL'AALAMIIN.

  • @abuukilanga2249
    @abuukilanga2249 3 роки тому +5

    Hawa wanaopiga kelele watuambie sunna na biddah ni ipi kati ya wale wanao angalia mwezi kwenye sim. Tv. Na hawa wanao angalia mwezi moja kwa moia. ALLAH AUJAALIE KILA LENYE KHERI WALE WANAOFATA SUNNA ALIO TUACHIA MTUME MUHAMMAD SWALALLAH U ALEY WASSALAM. YA MWEZ

  • @othmanjr113
    @othmanjr113 3 роки тому +4

    Wallah, kama haujelewa hizi hoja , wewe unashidaa ya mafuhum. Maaana shiekh amaeeleza kisawa sawaa yani mashAllah.

  • @markazalqaim
    @markazalqaim 2 роки тому

    احسنتم

  • @user412
    @user412 3 роки тому +10

    Assalamu a'laykum.
    Sheikh twaomba umueke sawa na Muhammad bachu. mrejeshee zawad yake.

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 3 роки тому

      Acha ushabiki ww muhammad macho kafanya nn mmbaka awekwe sana acha ushabiki ww

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 3 роки тому

      Muhammad macho kafanya nn mmbaka awekwe sawa acha ushabiki ww

    • @salamakhamis8092
      @salamakhamis8092 3 роки тому

      @@ramadhanjuma610 kwani huna khabari wa anachokifanya??

    • @hamisibakari7271
      @hamisibakari7271 3 роки тому +2

      Huyo ni bwana mdogo sana si wa kujibiwa na sheikh muhammad idd

    • @gshdhvdhf8283
      @gshdhvdhf8283 3 роки тому +2

      Mohamed Bacho ni moto wa kuotea mbali...

  • @asiabaruani280
    @asiabaruani280 3 дні тому

    Allah akuingize peponi kwa Rehma zake

  • @seifseif5093
    @seifseif5093 3 роки тому

    Asante SNA shekh Abuu Iddi. Wapeleke darasani vishekh ambavo havikupata kukaa darasani na walimu baadala take wanasoma vitabu wenywe kwasababu wanaelewa kiarabu than wakatupotosha watu kumbe hawajapata kusomeshwa na walimu walioelewa

    • @abuumaryam7970
      @abuumaryam7970 3 роки тому

      Darsa ya matusi naona hoja za msingi alizo zisema sheikh kasim hakuzijibu zaidi ya matusi😂

    • @mustafaramadhan5941
      @mustafaramadhan5941 3 роки тому

      Kwa darsa ya matusi jamaa kwel yupo juu

  • @haydarhamad6532
    @haydarhamad6532 3 роки тому +3

    Masha'Allah,naomba umsomeshe na Muhammad Bachu pia! Shukran.

    • @ally5814
      @ally5814 3 роки тому

      Naam

    • @salhacker7728
      @salhacker7728 3 роки тому

      🤣🤣🤣 huyu mtoto wa bachu hamuwezi akomae na wazee wenzake

    • @haydarhamad6532
      @haydarhamad6532 3 роки тому

      @@salhacker7728 Keep your breath to cool your porridge bro!😂😂😂

    • @swaalehomar2748
      @swaalehomar2748 3 роки тому

      Tara

  • @abuusingano9086
    @abuusingano9086 Рік тому

    Ninyi mashekhe zetu mnao tuongoza kila mmoja kunionesha mwenziwe nimsomi zaidi ya mwenziwe paspo kutufundisha kuhofu allah paspo kuoneshana nani zaidi ya mwenziwe hii itakuwekeni pabaya kesho inshallah kwaelimu mliyo nayo lakin mmekuwa watu wakutoleana fatua kutuelimisha msiwe kama mnagombea kiti na wadhfa

  • @aminaomary1404
    @aminaomary1404 2 роки тому

    Tunakuelewa vzr sana

  • @sheikhabdulmajidabdallah9625
    @sheikhabdulmajidabdallah9625 3 роки тому +6

    Maashallah, baaraka llahu fiika

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 3 роки тому +4

    رضي الله عنك شيخنا وستاذنا اباعيد جعلك الله عيدا لجميع المسلمين عامة وللطلاب علم خاصة

  • @hajisimaikhatibu443
    @hajisimaikhatibu443 3 роки тому +2

    Usisahau kumkosowa na alhadi kuhusu haleluya anasema lailaha ila waaa

  • @kondomuhammed745
    @kondomuhammed745 3 роки тому +4

    Maashaallah sheikh

  • @abdulrahimmuhammad2844
    @abdulrahimmuhammad2844 3 роки тому +3

    ALHAMDULILLAH MOLA MLEZI ATUFAHAMISHE SOTE

    • @abdulkaderaljabry9582
      @abdulkaderaljabry9582 3 роки тому +1

      Huwezi kuijua siku ya Arafa bila kufuata Mwandamo, na hapo ndio mwanzo wa kuhesabu masiku, bila hivo, siku ya Arafa hutaweza kuijua. Nakubaliana sana na wewe Sh. Idi. Allah Yahfadhak. Ameen

    • @liheweswalehe538
      @liheweswalehe538 3 роки тому

      Kila mtu ss anajua ukwelj kuhusu alafa acha uongo ww

  • @sinaniwalii5533
    @sinaniwalii5533 3 роки тому +4

    Mashaallah, Jazakallahu khayra. Alla akupe umri mrefu uzidi kuwasaidia waislamu

    • @ismailhassan5662
      @ismailhassan5662 3 роки тому

      Huyu nishee mzushi hafai kumfata

    • @salamakhamis8092
      @salamakhamis8092 3 роки тому +1

      @@ismailhassan5662 mzushi kakumalizeni mawahabi

    • @mustafaramadhan5941
      @mustafaramadhan5941 3 роки тому

      @@salamakhamis8092 wallah hana hoja aloijibu kiufasaha ni ubabaishaji tu na tuhma pamoja na matusi ndio aloyapa kipau mbele

  • @hamzasima
    @hamzasima Рік тому

    Ww sheikh Allah akuongoze huna elimu we ni muongo2

  • @abuuhudhaifa5134
    @abuuhudhaifa5134 3 роки тому +6

    Inshaa Allah Leo 26/7/2021 baada ya magharibi Shekh kassim atajibu hoja zako tunasubiri tuone ni zipi hoja zenye dalili sahihi

  • @swalehbakari2667
    @swalehbakari2667 3 роки тому +6

    😁😁 funua mi zigo iyo utupe Elim

    • @ally5814
      @ally5814 3 роки тому

      Hhhhhhhhhhh aifungiwe vo mizigo tusipotoshwe

    • @mustafaramadhan5941
      @mustafaramadhan5941 3 роки тому +1

      Dah na hio mizigo kwel maana hamna haikuwa na haja ata ya kuiweka hapo alikuwa achukue vitabu vyenye hoja tu aweke apo mbele hakuna haja ya kieka library nzima apo wala hana alichokifungua

  • @daudmharami4722
    @daudmharami4722 3 роки тому +7

    Barakallahu fiiik

  • @abuuqusaysuqry6002
    @abuuqusaysuqry6002 3 роки тому +1

    Masha Allah sheikh Mohammed idd

  • @saamiaabdallah2160
    @saamiaabdallah2160 2 роки тому +1

    Etyy mzigo kwa vitabu vyako viwili hivyo hhhhhh pole Sana mudi iddi

  • @ahmadsaid5845
    @ahmadsaid5845 3 роки тому +3

    Kesho 26 july 2021 moto anauzma mwwnyew fundi kassim mafuta anaijibu hii fitna

  • @chundesaalim6540
    @chundesaalim6540 2 роки тому +1

    Genius

  • @jumaajunior7914
    @jumaajunior7914 3 роки тому +4

    Masha,lah

  • @iddikibwana9185
    @iddikibwana9185 2 роки тому

    Masha Allah. Shehe nimekuelewa Sanaa. Kuna mashehe wanacheza na ufahamu wa watu.

  • @abuukilanga2249
    @abuukilanga2249 3 роки тому

    ALHAMDULILLAH. ALLAH AKUJAALIE MAISHA MAREFU YENYE KHERI NA WEWE

  • @salamakhamis8092
    @salamakhamis8092 3 роки тому +4

    Bora tu Shekh Kassim urudi huku uje tusome maulidi tupige na dufu

    • @swaleheally9814
      @swaleheally9814 3 роки тому

      NYINYI MTAISHIA USHINDI WA MATUKIO NA IDADI

    • @swaleheally9814
      @swaleheally9814 3 роки тому

      JITAHIDINI KUSOMA KWA MALENGO YA KUJUA NA KUFANYIA KAZI OGOPENI KUMALIZA NYUMRI ZENU KWENYE NYIMBO NA MICHEZO HII SI DINI YA IBADA ZA NYIMBO NA KUCHEZA
      MMEKUA WAFUASI WA BIADAA BADALA YA KUA WAFUASI WA SUNNAH
      NAONA UMESHINDWA KUTULIA KWENYE MADA UNAENDA KUZUNGUMZIA KITU KILICHOUTIA KUTU MOYO WAKO (MAULIDI)
      MCHENI ALLAH KWANI UNAFURAHI KUA TKT ORODHA YA WAZUSHI ? JAMBO AMBALO(BIDAA) MTUME ALIKUA AKILIKEME MPKA USO UNABADILIKA ?
      AU MNAFURAHI KUITWA WAPINZANI WA MAWAHABI IJAPO MNAHARIBU DINI KWA UZUSHI MLIOUKUMBATIA ?
      KUBAKI MJINGA MAISHA YOTE NI BORA KULIOO KUA MZUSHI
      BAKI KTK MADA YA ARAFA HII INAZUNGJMZIKA
      USILETE MADA ZA KIZUSHI

    • @salamakhamis8092
      @salamakhamis8092 3 роки тому

      @@swaleheally9814 SHUKRAN AKHY KWA ASIYE KUJUENI NYINYI MAWAHABI NADHANI ANGEPATA TABU SANA KWA HICHI ULICHONIJIBU HAPA ILLA SIPATI TABU KWA VILE NAKUJUENI KAMA ANAVYO KUCHAMBUANI HAPO SHEKH MUHAMMAD IYDI KWAMBA UELEWA KWENU MDOGO SANA HIVI NIKIKUTAJIA BIDAA MULIZO ZIANZISHA NYINYI UTASEMA JE? MUMELETA MIFARAKANO KTK JAMII KWA UKOSEFU WENU WA UWELEWA MPAKA SASA ALLA KAKUKATENI MAPANDE MUNASHAMBULIANA NYINYI KWA NYINYI

    • @swaleheally9814
      @swaleheally9814 3 роки тому

      @@salamakhamis8092
      WEWE KAMA UNAELiMU KTK HAYA ULIYOYASEMA YATAJE HAYO MAMBO YA BJDAA KWA LENGO ZURI
      LA KUTAADHARISHA JAMII YA KIISLAAM KWENYE JAMBO HILO KWANI LEMGO SI KUORODHESHA IDADI YA BIDAA.
      LENGO WATU WATOKE KWENYE BIDAA WAFUATE MAFUNZO YA MTUME
      صلى الله عليه وسلم
      KUMBUKA KUA ALIE TAHADHARISHA BIDAA NI MTUME
      صلى الله عليه وسلم
      NA WAFUASI WAKE WANALIFANYA HILO .
      AMA WENGINE HAWANAHAJA YA KUTAHADHARISHA BALI NI NGUMU, KWA SABABU BIDAA NDIO CHOMBO CHAO CHA USAFIRI
      Wazushi mmeichakaza dini Ya ALLAH
      kwa kuacha mafunzo ya MTUME صلى الله عليه وسلم
      Kwenye vipengele vingi vya dIni kama si vyote

    • @swaleheally9814
      @swaleheally9814 3 роки тому

      WAWEZE PIGA MIFANO JUU YA HIYO MIFARAKANI?

  • @salimhajj2371
    @salimhajj2371 3 роки тому +4

    Asie na sheikh sheikh wake no shetaniiii

  • @daudmharami4722
    @daudmharami4722 3 роки тому +5

    🔥🔥🔥🔥

  • @hamadatahir9307
    @hamadatahir9307 3 роки тому +3

    Anayoyazungumza ni kweli maana hayo ya kuzimwa Umeme,kutokuwepo Mahujaji uwanjani katika viwanja vya Arafa yoote yanawezekana

  • @omarisuleiman6285
    @omarisuleiman6285 3 роки тому +2

    mafuta next level kwako kwaiyo kaa utulie na ukasome kwake

  • @nazamustationery-g2u
    @nazamustationery-g2u Місяць тому

    kweli we shekhe hauna elimu kabisa allah akuongoze

  • @jumaajunior7914
    @jumaajunior7914 3 роки тому +1

    Swadact All,Habiiiib

  • @إلىاللهمرجعناجميعا

    Shkh asnt sanaaaa Allah akulipe kher

  • @manhajul_haq2585
    @manhajul_haq2585 3 роки тому +1

    sheikh mjibu sheikh abulfadhwil kasim mafuta qasim

  • @idarousomar1
    @idarousomar1 2 роки тому +1

    Wewe ndio mpotoshaji kabisa haufai hata kuitwa sheikh labda uitwe shehena

  • @rukundoibrahim807
    @rukundoibrahim807 3 роки тому +3

    قال تعالى (ولاتنازعوا فتفشلوا وتذهب ريحكم واصبرواان الله مع الصابرين.)

    • @abuhafs4774
      @abuhafs4774 3 роки тому

      لقد أنزلتَ الآية اخي الكريم في غيره منزله

    • @ashrafseif9460
      @ashrafseif9460 3 роки тому

      Sasa vtabu kukuzunguka ndo nn?

  • @abuufarheenfarid9320
    @abuufarheenfarid9320 2 роки тому

    Wewe mzee umepotea hakika

  • @abdulbogoyo1243
    @abdulbogoyo1243 3 роки тому +7

    MAS'ALA YA DINI HAYATAKI USHABIKI KAMA SIMBA NA YANGA: SOTE TUFUATILIE HOJA HIZI KISHA NAAMINI MWISHO WA SIKU TUTAPATA MAJIBU YALIYO SAHIHI.

  • @hamadatahir9307
    @hamadatahir9307 3 роки тому +3

    Mimi nasema huyu jamaa watu waendelee kumpinga lakini kielimu na kuufahamisha Umma Wallahi hawamuwezi ibaki tu kumpinga kwa taasubbi zetu baaaaaaasssss

  • @salimhajj2371
    @salimhajj2371 3 роки тому +3

    Jambo jipyaaaaaaaaaaa

  • @shabanimdamanyi7870
    @shabanimdamanyi7870 2 роки тому +5

    Masuni wakosahihi kabisa

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 9 місяців тому

      Masuni wako sawa hao masuni ni kina nani mbona unajichangnya hebunieleze nami nifahamu

  • @mohamedseifpaz3248
    @mohamedseifpaz3248 2 роки тому

    Ebana shekhe vp mbona kimya toka mwaka jana jiiiiiiiiiiii au dawa imefika mahala pake hahahahahaha au umempigia sim kisiri siri umeyamaliza 😂😂

  • @amiriissa9675
    @amiriissa9675 2 роки тому

    Mh hhh

  • @sempaysensey6486
    @sempaysensey6486 3 роки тому +2

    Mzee misijasoma ila hunidanganyi Arafa ni mojatu duniani hakuna mbili hiyapili Tanzania weumetoa wapi

  • @alhashimy2625
    @alhashimy2625 3 роки тому +2

    LAKINI WEWE ABU IDI PIA NI MUWAHABI, MAANA WEWE PIA HUKUBALI KUA JAMBO HILI LA ARAFA LINA IKHTILAFU BAINA YA WANA WACHUONI, NA KWAMBA, UPANDE WAPILI NAO WANA HOJA, LAKINI HILO HULIKUBALI KABISAAA,

    • @swaalehomar2748
      @swaalehomar2748 3 роки тому

      Haya pia huna🙄🙄🙄

    • @jamalsalum8726
      @jamalsalum8726 2 роки тому

      Hakuna ikhtilafi kwny tarehe,ikhtilafu ni ktk muandamo wa mwezi, kila watu na kuona kwao

  • @daudmharami4722
    @daudmharami4722 3 роки тому +5

    Ma shaa Allah

  • @kuluthumbausi2749
    @kuluthumbausi2749 3 роки тому +1

    Jazaka Allah Khair
    Mungu akupe umri tupate ukumbusho mpaka nyoyo zithibiti

  • @ayubukasimu7280
    @ayubukasimu7280 2 роки тому

    Ww shekh muogope muumba ipo siku itajibu huo upotoshaji wako watafuta umaarufu bila elim

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 9 місяців тому

      Upotoshaji Gani unao uzungumzia hapa mche mola wako Lete hoja kama unazo acha chuki zako

  • @omarhaji751
    @omarhaji751 2 роки тому

    وكما قال رسول الله (صومو ا بيومكم

  • @omarhaji751
    @omarhaji751 2 роки тому

    Unakubalika shekhe wetu km hawaelewi basii ni ahlu lbidaa aoooo

  • @abuhafs4774
    @abuhafs4774 3 роки тому +3

    Maswali ya kitoto wallaahi mm ni wa thaanawiy tu lkn naweza in shaa llaah kumjibu ila sheikh abal fadhli ndie mwenyewe tumpe nafasi yake

  • @alhashimy2625
    @alhashimy2625 3 роки тому +1

    Mashaallah umejitajidi sana kuongea na mafuta kwa hishma na adabu kubwa,
    Kuliko mashekh wengine,
    au Mdigo na mzigua Dugu moja🤣😅😂

  • @أبوبكرحسينسلم-ص1ذ
    @أبوبكرحسينسلم-ص1ذ 3 роки тому

    Allh atujalie khery lkn mashekhe was bakwata mnakosa elim sahihi ktk Dini mnapotosha sn Dini

  • @samsonkatigiri2344
    @samsonkatigiri2344 2 роки тому

    Shida ni kwamba Saudia wanapanga tarehe kwa kutumia kalenda, wakati Bakwata wanapanga tarehe kwa kufuata mwandamo wa mwezi,sasa hapo hawawezi kwenda pamoja,ila kuna kipindi Arafa zinakuwa sawa,kutatua tatizo hili tunahitaji kupata kiongozi mkuu wa waislam Duniani,vinginevyo,kila mtu afanye anavyoona inafaa,tunakoelekea viongozi watavunjiana heshma.

  • @rashidinjoe8167
    @rashidinjoe8167 2 роки тому

    Tunatakiwa kufunga siku ya A'arafa na Kisimamo Cha A'arafa hufanyika Makka.Tanzania na Saudiarabia hatujapishana masaa.'Arafa ni moja sio zaidi ya moja.Usilazimishe majibu ya masheikh yafanane wakati wanatofautiana elimu na ufahamu wa mambo.Ndugu zangu tusomeni.

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 Рік тому

      Afu ndgu usicho elewa weww kwan kuna mtu anasema huku tz tunasimama arafa au huku twa funga sku ya arafa ???

  • @mullestv2680
    @mullestv2680 3 роки тому +1

    Shekhe unaonekna una kiburi haikua na ulazma kukushanya vitabu vote hvo nyuma ya kamera kwa lengo gani

  • @abdallahkengia.1131
    @abdallahkengia.1131 3 роки тому +1

    Duh. Nilikua nikikudhania kua ni sheghe, kumbe ni mbumbumbu hauna kitu. Umejirundikia vitabu kama vile punda ayebeba mzigo asijue kilichomo NDANI ya mzigo. Bora ungekaa kimya tusingekuju kua ni mtupu kiasi hicho.

    • @fulgencearsene9829
      @fulgencearsene9829 2 роки тому

      Ndugu yangu. Hivi kweli, huwoni kama sheikh huyu amejitahidi kwa hoja? Usijali vitabo hivyo. Sikiliza tu hoja zake. LAMSINGI NIKUWA SWALA HILI LA ARAFA NILA IHTILAFU. Tizama usul fiqhi inasemaje huhusu swala la ihtilafu.

  • @ankaldally2734
    @ankaldally2734 Рік тому

    Huu mjalada shykh abuu Eid ameukimbia ahhhhhhh ila nyie mliokuwa humu hamfatilii mijadala ya majibizano ahhhhhhh

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 3 роки тому +2

    Naam wape wape sheikh, mpaka waelewe

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 3 роки тому

      Huyo sheikh abuu idd hajijui

    • @abujamalaalghammawiy7470
      @abujamalaalghammawiy7470 3 роки тому +1

      @@mussamsuya8595 Awe anajua au hajui, hiyo sio hoja, HOJA NI NINYI KUJIBU MAELEZO YA SHEIKH

  • @madhuru2554
    @madhuru2554 3 роки тому +1

    Ikiwa Mnafata kuwa zamani hakukuwa na TV au Simu basi kwanini hao mahujaji wasende makkah na ngamia badala ya Ndege maana zamani hakukuwa na ndege sasa ikawaje Leo wende na ndege?

    • @mustafaramadhan5941
      @mustafaramadhan5941 3 роки тому

      Iyo sio hoja ya kielimu. Rekebisha ufahamu wako kwanz

    • @madhuru2554
      @madhuru2554 3 роки тому +1

      @@mustafaramadhan5941 Na hao mashekhe wanaosema kuwa eti zamani kulikuwa hakuna Tv au smu za mikono au mtandao pia sio huja za ki elimu wajirekebishe wao kwanza halafu sisi tufuate.

    • @madhuru2554
      @madhuru2554 3 роки тому

      @Yphware HCo Mimi nakusudia Technology maana zatumika kila wakati na kila Mahali Sasa kwanini tusizifuate hizo technologia kila mahala zipo na inafikia wakati lazima tuzifuatiye na tuzihudumiye.

    • @madhuru2554
      @madhuru2554 3 роки тому

      @Yphware HCo Hiyo kitambulisho chako na Passport ni Biometric na ni Technologia Ikatae hiyo kwanza.

    • @madhuru2554
      @madhuru2554 3 роки тому

      @Yphware HCo Telescope 🔭 twaangalia nayo mwezi,mwezi unaonekana Saudia twaona Live yatangazwa Time zetu za E.Africa na Saudia Iko katika Degree Moja, kwanini iwe ni utesi tukifuata nchi nyengine ambayi Time ni Moja na sisi mkondo mmoja ,Siku ni Moja?

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 2 роки тому

    Mi nimependa na nafuatilia sn mawaidha yenu na jua lengo ni kuwaelimisha waamini wenu waelewa kwa ufasaha na watimize ibada za waamini wenu ila jambo jema naona ni mutant waadhili wote nguli ili mtoke na jibu moja na muwaeleze waamini wenu wasiojua mimi si muislam ila naheshimu sn Imani za watu wengine wanaomcha MUNGU

  • @yuusufmustafa6570
    @yuusufmustafa6570 3 роки тому +1

    Sheikh muogope Allah

  • @abasijuma6989
    @abasijuma6989 2 роки тому

    Kusema arafa haifungamani na mahujaji kusimama pale arfaati huu ndo upotoshaji na huyu babu ndio msimamo wake lkn atawapotosha msiotaka kusoma dini na kumshabikia huyo mganga wa kienyeji

  • @sheikhabdulmajidabdallah9625
    @sheikhabdulmajidabdallah9625 3 роки тому +4

    Na ni mwanafunzi wako huyo Sheikh wala hujakosea uliposema umemfundisha

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 3 роки тому

      Hahhaa muongo huyooo,sheikh kaanza kusoma mwaka 82,na Muhammad idi alikua hajaanza kusoma,na hilo nimeambiwa na mwanafunzi wa sheikh walid al hadi,kua sheikh Muhammad idi alipokewa na sheikh walid na akafundishwa na sheikh walid

    • @samirsadick2524
      @samirsadick2524 3 роки тому +3

      @@adamjutto5849 waamini uliyoambiwa na mwanafunzi wa shekh walidi kuhusu Muhammad Idi, lakini huamini anachokizungumza Muhammad Idi kinacho huu yeye mwenyewe?

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 3 роки тому

      @@samirsadick2524 taarekhe yakataa hayo anayoyasema,wakati sheikh qaasim mwaka themanini na mbili anasoma,sheikh Muhammad idi alikua bado hajaanza kusoma,wamekutana mwaka ganiii? Hilo ndo swali langu,? Sheikh qaasim anakiri kua yeye ni mwanafunzi wa sheikh burhaaan,asa ebe fikiria umri wa sheikh burhaan na sheikh Muhammad idi!!! Na wakati sheikh burhaan anafundisha sheikh Muhammad idi alikua ni mwanafunzi,alimfundishia waapiiii?

    • @imash04tv20
      @imash04tv20 3 роки тому +1

      @@adamjutto5849 ww mtoto wa miaka 15 unamuita mtu muongo ulikua nae ww sheikh kamsomesha nq baba yangu walikua shirika katika darsa ya Muhammad iddi baba akiwa na sh kassim pamoja ndugu yangu usiwe na chuki kwa sababu ya madhehebu tu na utawajibu wengi maana kila mtu wamjibu chuki hizo ndio mnavyosomeshwa naona na mnajulikana kama sio wahabi salafi mtu basi hajakamilika .......

    • @samirsadick2524
      @samirsadick2524 3 роки тому +1

      @@adamjutto5849 Kwa hiyo wewe ulimshuhudia mafuta akiingia Tamta mwaka 82?

  • @khamisisuleiman2803
    @khamisisuleiman2803 3 роки тому +1

    Wewe ndie mpotoshaji hivi ndugu zangu waislamu tujiulizeni ili siku iitwe yaumu arafa jambo gani au tukio gani linatakiwa lipatikane ndani ya siku hiyo au liambatane ndani ya siku hiyo ?.

    • @mohammedabdulrahman8863
      @mohammedabdulrahman8863 3 роки тому +1

      Ni tarekhe ngapi hiyo Arafah?

    • @alhajilyimo9939
      @alhajilyimo9939 3 роки тому

      Inamana mwezi wa ramadhani ukiisha hukuna kwafwatilia mwezi tunahamia makkha kusikilizia mahujuji au

    • @ibrahimfarouq8339
      @ibrahimfarouq8339 3 роки тому

      @@alhajilyimo9939 Kwani Makkah wanatumia calendar gani na dunia nzima wanatumia calendar na sie Tanzania tunatumia calendar gani?

    • @ikabako2454
      @ikabako2454 3 роки тому

      Khamisi hilo swali haliwezi kujibiwa hata kidogo. Lazima watu wawe jabal arafa. Rasool SAW alisema hijja ni arafa. Arafa ni pale watu wakikusanyika arafa hakuna arafa nyengine.

    • @ibningaum9134
      @ibningaum9134 3 роки тому

      arafa ni tar ngapi acha hizo habari ni tukio gani mana hata hilo tukio haliwezi kuwa ni hadi tarehe iwe imefika, ukisha ipata hiyo rarehe kisha ujiulize je dunia nzima yaweza kua na tarehe moja kwa kuzingatia mwezi muandamo

  • @yoyotv1675
    @yoyotv1675 3 роки тому

    Duuh kweli kiama kiko karibu

  • @abasijuma6989
    @abasijuma6989 2 роки тому

    Mimi naona kama shetani anamnyooshea kidole malaika

  • @nassornassor225
    @nassornassor225 3 роки тому +2

    Wacha watu tufarikiane katika family kwa kufunga arafa siku tofauti kwa sababu aya ya mungu haikutwambia tushikamane tu waumini,ila tumeambiwa tushikamane kwa kamba ya Allaah na atakaeenda kinyume hatuwezi kushikamana nae,maana huko itakuwa sio kushikamana kwa kamba ya Allaah itakuwa ni kufatana katika kamba ya iblis

  • @abubakartengeza1978
    @abubakartengeza1978 3 роки тому +3

    Hizo hoja ni nzito kasim mafuta hawez kudadavuka hapo. Zaidi atakuja na matusi tu kma kawaida yao. Allah aturuzuqu fahamu na atuwafikie kudumu ktk yanayomridhisha.

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 3 роки тому

      We nawew hujijui

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 3 роки тому

      Humjui sheikh kasim mafuta

    • @DrMbulo
      @DrMbulo 3 роки тому

      Leta ushahidi wa sauti ya kassim mafuta kuhusu matusi yake

    • @abubakartengeza1978
      @abubakartengeza1978 3 роки тому

      Matusi ndo desturi yenu nyinyi hilo liko wazi hamna hoja za kielimu.

    • @abubakartengeza1978
      @abubakartengeza1978 3 роки тому

      Matusi ndo desturi yenu nyinyi hilo liko wazi hamna hoja za kielimu.

  • @nasirabdullah6227
    @nasirabdullah6227 Рік тому

    Ww usalama tulia katafute mbaazi na chapati ule

  • @YusufuAthumaniRwebugisa
    @YusufuAthumaniRwebugisa 3 місяці тому

    Shekh huwa nakukubali ila shida yako huwa unapenda malumbano kweye mitandao ya kijamii jitathmini

  • @salumnuhu9066
    @salumnuhu9066 2 роки тому

    Umeweka vitabu mbele kama unauwezo wakufanya bahthi

  • @SalehSaleh-gr5fo
    @SalehSaleh-gr5fo 3 роки тому +1

    Huyu shekhe ni mpotoshaji sana anajenga hoja kwa falsafa. Mara nyingi mida ya Swalaa ya maghrib utamkuta amekaa lumumba anapiga stori badala ya kwenda msikitini.

  • @yussufhamad3721
    @yussufhamad3721 2 роки тому

    Abuu idi vp Naina kimnya au ushainuwa mikono maana sheikh alisema ukishindwa umtumie at SMS na akaahidi kukustiri na hajakufedhehi na jee umetuma into SMS Tunaona mahalo umesimama

  • @binhussain3445
    @binhussain3445 2 роки тому

    Hiyo picha hapo yanini?? Ilhal wajua malaika hawaingii sehemu yenye pichaaa

  • @sempaysensey6486
    @sempaysensey6486 3 роки тому

    Acheni kuiridhisha serikali ninyi bakwata mridhisheni Allah vyake vimetimia

    • @khamisaly3286
      @khamisaly3286 3 роки тому

      Ww mpumbavu Arafa ni mwez 9 mfunguo 3 kw Makka Tanzania japo kua ni mwez 8 ww funga t

    • @khamisaly3286
      @khamisaly3286 3 роки тому

      Usitupumbaze simama yako Arafa uone nchi gan itakufata

    • @sempaysensey6486
      @sempaysensey6486 3 роки тому

      @@khamisaly3286 Sasa wesimjinga kama Mimi utanifunza Nini

    • @khamisaly3286
      @khamisaly3286 3 роки тому

      @@sempaysensey6486 Nitumie namb yako nikufunz

    • @khamisaly3286
      @khamisaly3286 3 роки тому

      @@sempaysensey6486 Elimu ya fik,hi huwez ukafata sheria ya Allah

  • @omarhaji751
    @omarhaji751 2 роки тому

    Shekhe nakuelewa waeleweshe woote hao maana imekuwa gumzo lkn mbona hwaleti mijadala kuhusu funga ya muharram mwez 10

  • @abuuqatada9791
    @abuuqatada9791 3 роки тому +1

    Shia mmoja wewe , utamuweza wapi Sheikh Qasim MAFUTA wanashindwa kina KAZUBA na weziwe

  • @yahayasalum2943
    @yahayasalum2943 3 роки тому

    Abuu idi mpk sasa hujajibu maswali ya Sheikh Qassim, vijana wanasema umelala mbele

  • @yusuphissa9613
    @yusuphissa9613 3 роки тому +1

    TUNAOMBA MAJIBU YASIYO NA LONGOLONGO,ABUU IDD ULIPO ENDA HIJJA ARAFA YAKO ULIFUATA KALENDA YA TANZANIA AU YA SAUDIA NA KWANINI ULIFUATA YA SAUDIA HALI YA KUWA WEW NI MTANZANIA NA UNA KALENDA YAKO YA TANZANIA?

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 3 роки тому

      Huyu idd hajijui

    • @haddad3015
      @haddad3015 3 роки тому

      Someni kwanza jamani na mumsikilize Shekh Abuu Idd msikurupuke kumjibu tuu kama hamna elime

    • @farijala1
      @farijala1 3 роки тому +1

      Uelewwa uelewa. Kwahiyo Kama Ukisafiri ukienda Kongo Sala ya Adhuhuri unasali kitanzania? Yeye kakusudia kama Upo Tanzania unafuata Tanzania.

    • @yusuphissa9613
      @yusuphissa9613 3 роки тому

      Bado sijajibiwa usikurupuke

    • @paul694
      @paul694 3 роки тому

      ww unaakili au matope km huna cha kukoment tulia usome coment za watu

  • @muslihmohd3685
    @muslihmohd3685 2 роки тому

    Abuu idd huzungumza kupitia vitabu,na mashekh wengine hutumia fatwa za maulama ivo ivo Ila yeye huwaita mashekh wenzake wapotoshaji akasahau kuwa wamenukuu maneno ya maulama kina Malik na wengine,kisha yeye akija anamtaja mtu jina anasahau kuwa alikuwa amjibu ulamaa alietoa kitabu...
    Ikiwa yeye hataki kutajwa jina mbona anataja watu majina hawataji maulama....???

  • @kwangayahafidh7499
    @kwangayahafidh7499 2 роки тому

    Sasa she kwa Nini iwe ni siku moja tu ndio tukosane jamani mbona mnatuyumbisha nyinyi mashehe

  • @harithhemed9920
    @harithhemed9920 2 роки тому

    Nimeskiliza shekhe na nimesoma commnt baath lakn mbona huyo shekh hatengenezi hoja kwa dalili antumia Sana akili na kuwatuhumu wenzake kwamba hawana mafuhumu

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 Рік тому

      Wee umelala aisee kwhy iyo aya inayo zungumzia nyakati nimaneneo yake au na weww ufahamu ni shida

  • @swaalehomar2748
    @swaalehomar2748 3 роки тому

    Mawahabi hawajielew

  • @yoyotv1675
    @yoyotv1675 3 роки тому +1

    Jamani wewe shekhe kwa elimu gani umkosoe shekh Kassim mafuta

  • @sadamyakubu1006
    @sadamyakubu1006 3 роки тому

    Leo tarehe 26....

  • @mohamedathman2619
    @mohamedathman2619 2 роки тому

    Rudi darasani usomeeeeeeeeeeee...................