Shukran sana shekh kwa mawaidha yako. Likuwa nna swali shekh wangu kama mume amekuacha na hukalii eddah kwake sababu kuanzia mwanzo Likuwa twaishi kwangu i na yyj ee mke akiwa ni mgonjwa inamlazimu kumpeleka siptali au kumgharamia pesa za matibabu. Shekh naomba jibu tafadhali
Allah akulipe kila la kheri shekhe wetu kwa somo zuri ila bado kitu kimoja hujatuelezea ambacho ni MAMBO YANAYO BATILISHA EDA,yaani ni mambo gani mwanamke akiyafanya eda yake huharibika?
Assalam Aleykum, sheikh abuu idd ni maarufu sana Allah amekunyanyua ila ninasikitika daawah zako hazitilii manani sunnah ndio misemo yenu ukifanya unapata thawabu ukiacha hupati dhambi kutokana na neema uliyonayo dawah yako ingekamilika kama ungenyoa masharubu na uweke ndevu mbona unafanya kinyume na mafundisho sheikh ?
Mke amejivua katika ndoa hakurejesha mahari, kwa kutokujua Mume akampa talaka bila kurejeshewa mahari baada ya mke kudai talaka hiyo (Kujivua) baada ya myezi 8 Mume anataka kumrejea je! atamposa upya ?? na vipi kuhusu ile mahari ambayo haikurejeshwa baada ya Mke kujivua!
jee mwanamke alieachwa ananyonyesha na akinyonyesha huwa haingii katika siku zake mpaka amalize kunyonyesha jee eda yake ni miezi mitatu au khurui tatu?
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh........sheikh niko na swali mwanamke aliyeachwa na yumo ndani ya eda jee anafaaa kuongea na mwanaume mwengine ata kama ni maneno ya kawaida tu??????
MASHAALLAH may ALLAH bless you
Shukran sana shekh kwa mawaidha yako. Likuwa nna swali shekh wangu kama mume amekuacha na hukalii eddah kwake sababu kuanzia mwanzo Likuwa twaishi kwangu i na yyj ee mke akiwa ni mgonjwa inamlazimu kumpeleka siptali au kumgharamia pesa za matibabu. Shekh naomba jibu tafadhali
Shukran kwa funzo lako ya kukaa eda
maa shaa llaah
mungu akupe kila lakheri sheykh wetu abuu idi kwa darsa zako hizi
Baarakallahu fiykum
Maaxhaallaah allaah akuweke shekh wetu akupe umri mrefu wenye barka ili 2endlee kustafid na mawaidha yko..
Allah akulipe kila la kheri shekhe wetu kwa somo zuri ila bado kitu kimoja hujatuelezea ambacho ni MAMBO YANAYO BATILISHA EDA,yaani ni mambo gani mwanamke akiyafanya eda yake huharibika?
shukran tumepata elimu kubwa sana .
Jazaaka llwaahu khayran
MashaAllah maelezo fasaha
Sheikh mwanaume ambae hamuudumii mtarak wake inakuaje
Asant
aww, inakuwaje mume kamtaliki mke kisha akamfukuza na mke akakosa namna na akaondoka afanyeje ili kuitekeleza ibada ya eda
Sasa Akipewa Talaka tatu ataka eda
Maswali shekhe
Nashkuru sheikh Kwa darsa zuli Sana,
Shukrani sheikh kwa kutuelimisha
Sheikh assalam walaykum naomba namba ya sim ya wttsp mm nipo congo
Kwa mke alie achwa talaka ya Tatu. Mwanamme anaweza kumhudumia ndani ya kipindi cha eda?
Mi naomba namba yako sheikh
naomba
Je shkh nini hukmu ya kumuacha mke na mimba?
Na je nn hukmu ya kumuacha mke bila kumpa taarifa?
Allah akuzidishie kheri
Je kama mama mkwe kamng'ang'ania mwanae nyumbani kwao
Sheikh mbona wasichana wakiislamu hawana subra mukikosana kidogo adai TALAKA.tena Kwa vishindo
Je mtu akipewa talaka 1 anatakiwa akae muda gan ili kupewa zote talaka?
Sheikh naomba namba ya simu mimi maongezi yangu ni siri
Assalam Aleykum, sheikh abuu idd ni maarufu sana Allah amekunyanyua ila ninasikitika daawah zako hazitilii manani sunnah ndio misemo yenu ukifanya unapata thawabu ukiacha hupati dhambi kutokana na neema uliyonayo dawah yako ingekamilika kama ungenyoa masharubu na uweke ndevu mbona unafanya kinyume na mafundisho sheikh ?
Naam
Assalam aleykmu shekh naitwa aysher iv mfano umeachwa na mume taraka moja baada ya cku kazaa mukakutana kimwili kabla ya eda kuisha apo inakuaje?
Waaleykum msalaam hapo itakuwa mmerudiana na hakuna eda bali mtakuwa tena mke namumu kukutana kimwili maana yake ni mmesameheyana
Na mie nilikuwa nasubir nijuwe
Mke amejivua katika ndoa hakurejesha mahari, kwa kutokujua Mume akampa talaka bila kurejeshewa mahari baada ya mke kudai talaka hiyo (Kujivua) baada ya myezi 8 Mume anataka kumrejea je! atamposa upya ?? na vipi kuhusu ile mahari ambayo haikurejeshwa baada ya Mke kujivua!
shekh kama kama nimemuacha MKE wangu harafu akaendelea kukaa kwangu tuna ruhusiwa kula CHAKULA KWAPAMOJA na kunipikia pia kulala kitanda kimoja?
Hairuhusiwi dear si halali yko
Shekhe naomba darsa ya biashara kiislam wengi tunafanya tu na mashekh wengi hii maada hawaizungumzi cjuwi kwa nn?
jee mwanamke alieachwa ananyonyesha na akinyonyesha huwa haingii katika siku zake mpaka amalize kunyonyesha jee eda yake ni miezi mitatu au khurui tatu?
Ni miezi mitatu
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh........sheikh niko na swali mwanamke aliyeachwa na yumo ndani ya eda jee anafaaa kuongea na mwanaume mwengine ata kama ni maneno ya kawaida tu??????
Waaleykum msalaam mandhali munaongea kawaida na hamna matarajio ya kuoana basi hakuna shida
Hukum ya talaka tatu
ua-cam.com/video/dwxR9uBDFq8/v-deo.html