DOGO JANJA AANIKA UKWELI WA NDOA NA IRENE UWOYA (EXCLUSIVE)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • #BDOZEN amefanya mahojiano EXCLUSIVE na #DogoJanja kuhusu ukweli wa NDOA yake na #IRENEUWOYA, ni kweli ilifungwa? na stori za kuachana zilikuwa na ukweli? Yote amezungumza kwenye Dozen Selection. Pia amegusia historia ya maisha yake tangu Arusha hadi kuingia DSM na kufanikiwa kimuziki. Karibu utazame.

КОМЕНТАРІ • 402

  • @angelojuma7818
    @angelojuma7818 5 років тому +1

    Nzur

  • @kaulimbiu181
    @kaulimbiu181 3 роки тому +1

    Hizo back to back ulio promise mwaka 2020 kwanzia mwezi wa 3 hadi leo 2021 mwezi wa 3 na hatujaona hata moja bro Dogo Janjaroo. Alaf juzi Madee anasema umeweka starehe mbele ya mziki unatubwaga shabiki zako bro. Vepeeee!!!!!!! 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @maryamibrahim3713
    @maryamibrahim3713 5 років тому +1

    Nampenda dozen

  • @elicesteven1174
    @elicesteven1174 5 років тому +1

    Nipen like na mm nifurah

  • @mathiasmkude362
    @mathiasmkude362 5 років тому

    Nikuelewa sana mzazi Bdazon

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 5 років тому +17

    "Nilipokua nalia niliweka kichwa kwenye maji....." powerful quote

  • @nicksonurassa4033
    @nicksonurassa4033 5 років тому +1

    Dogo janja anajielewa sana big up..

  • @francissoi3155
    @francissoi3155 5 років тому

    My role model #Ngarenaro Republiq

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 5 років тому +1

    SUPPORT DIGO NJANJA SOKSY

  • @Relaxation_97
    @Relaxation_97 5 років тому +2

    JIFUNZE KUDOWNLOAD VIDEO UA-cam HAPA ua-cam.com/video/iOvLslj7i08/v-deo.html

  • @soleilmacha8220
    @soleilmacha8220 5 років тому +16

    Tangu dogo jaja aachane na uwoya amekuwa handsome sana. Big up bro

  • @cathyntakama5919
    @cathyntakama5919 5 років тому +1

    Janjaro hustler

  • @nishanjeriwangai3870
    @nishanjeriwangai3870 5 років тому +1

    Watching from Saudis Arab dogo janja Masha Allah Allah atakupa wako Irene hakuwa rizik yako

  • @jackgeorge1309
    @jackgeorge1309 5 років тому +36

    Hizi interview ziendelee ziwe nyingi nyingi dozen big up sana

  • @alimashabani2252
    @alimashabani2252 3 роки тому +1

    Nilijuwa tu iindowa ilikuwa yalaana mwisho ndogo janja kaambukizwa ukimwi

  • @mohamedsonga2929
    @mohamedsonga2929 5 років тому +1

    nakukubali sana dogo Janja unaakili sana big up Broo never give up

  • @gwakisabrown9237
    @gwakisabrown9237 5 років тому +18

    This is wat we call creativity huboeki kuangalia mb zako tu

  • @hashimuhehwa3780
    @hashimuhehwa3780 5 років тому +85

    Dogo Janja unaakili sanaa mdogo wangu heshima yako kaka

  • @gasanajacques2247
    @gasanajacques2247 5 років тому +1

    Eti constration ya shule

  • @ivantompoo7843
    @ivantompoo7843 4 роки тому +1

    D Zen broo nip na ww miaka yote

  • @Heismasai
    @Heismasai 5 років тому +19

    Bonge ya interview kumamakeee....big up wanangu Dazen na Janjaro....nilijifunza hapa huyu dogo kapitia maisha yangu so nimegundua natakiwa kuendelea kupambana sanaaaaa

  • @anniejulius7131
    @anniejulius7131 5 років тому +9

    I like the way unampa mtu nafasi ya kujieleza we called that kuongeza ubunifu.... big up Bdozen

    • @Aprilsimba
      @Aprilsimba 5 років тому

      Annie Julius true hamuingilii ingilii

  • @abdulrahmanmohd4064
    @abdulrahmanmohd4064 5 років тому +9

    Dozen selection 2019 kaka bi dozen hongera sana kwa kazi nzuri na ndoto ipo siku nita kuwa tuuu

  • @sheikinitv8489
    @sheikinitv8489 5 років тому +107

    Team Wasoma Comments Mtandaoni tujuane😁

  • @angelntandu4648
    @angelntandu4648 5 років тому +5

    Hongera kaka dozen kweli Ruge alikuwa anaona mbali.umetulia unaeleweka hongera

  • @bonigrey9623
    @bonigrey9623 5 років тому

    Hongera sana B.dazen unajua kuhoji ........

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 5 років тому +1

    wow such a wonderful interview. kumsikia janjaro machozi yamenitoka, so kind, matured and has a wonderful character mashaalah.mtoto katulia na akili ya miaka 40. Ama Bdozen you are a fantastic interviewer, bravo kuweza mfanya janjaro atueleze mengi tulokuwa tunahamu kuyajua. big up for your professionalism.

  • @salmamasuod1472
    @salmamasuod1472 5 років тому +29

    dozen big up xana bro umekuja kitofaut xana

  • @kingbidder
    @kingbidder 5 років тому +1

    Safi sana dogo janja.. We ni mkali sanaaaa.. Mungu akutangulie kwenye kila ufanyalo🙏🙏

  • @gabrielmalecela3701
    @gabrielmalecela3701 5 років тому +25

    Well say dogo janjaaa # badoo mdogo kuisononesha nafsi ni dhaaambiii kuuubwaaa dingilai#

  • @mosesmkoma6882
    @mosesmkoma6882 5 років тому +68

    Badilisha jina jiite kubwa janja kwani unaongea vitu vya kikubwa

  • @scollorpatrick7214
    @scollorpatrick7214 5 років тому +3

    Yan dogo leo umenifurahisha sana, yan umeongea vizuri sana haujaleta nyodo zako safi sana mdogo wangu

  • @johnswai437
    @johnswai437 5 років тому +100

    Big up sana BDOZEN/B12 kubali sana kaka ...kama upo sawa na mm gonga like hapa

  • @younginspired3899
    @younginspired3899 5 років тому

    #janjaro nakubali sanaa.. Mwanangu🙌🙌🙌

  • @travellahmsafirihiphop5325
    @travellahmsafirihiphop5325 5 років тому +2

    Nmejifunza kwènye hii interview NEVERGIVEUP#

  • @johanesmwombeki6462
    @johanesmwombeki6462 5 років тому +1

    Nakubali sana mastory ya janjaro👍👍👮‍♂️

  • @hakeemaleeckhm8211
    @hakeemaleeckhm8211 5 років тому +1

    Meeen. Dozen yo genius man. The way u interview z perfect. Big fan ov u n i thnk all doz musician dey respect n hide nothin wen wth u

  • @mrpositiveiq4305
    @mrpositiveiq4305 5 років тому +28

    Huyu janjaro anajua San kujibu interview...Big interview dozen hukoseagi arifu...

    • @ZahraZahra-rp7wb
      @ZahraZahra-rp7wb 5 років тому

      Mungu Akuongoze kwaili na lengine inshaaalha

  • @mariamjumaswalehe635
    @mariamjumaswalehe635 5 років тому +1

    Iko poa sanaaa

  • @victoriaedward1054
    @victoriaedward1054 5 років тому +2

    Nice sana 😘😘😘😘

  • @ladymashaallahilikeuaadvis997
    @ladymashaallahilikeuaadvis997 5 років тому

    Masha Allah, una hekma dogo mjanja mwanangu

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 5 років тому +4

    Hivi udogo wa dogo janja upo wapi? Dogo anajielewa ana majibu sahihi yenye points zaid hata ya hao wanao onekana wakubwa. Big up Dogo mm kwa kweli nakukubal na napenda Sana interviews zako u re so bright Dogo

  • @janethhillary8297
    @janethhillary8297 5 років тому +23

    Nimejifunza kitu kwa Dogojanja....ni mdogo lakini anajielewa Sana 💪

  • @esterabonga7947
    @esterabonga7947 5 років тому +44

    Thanks sana Dogo janja umejibu maswali yote. Sio kama hawa maboya wanao jifunzia English kwenye Instagram wakiulizwa swali utaskia no comment 😏😏

  • @odettebaseka247
    @odettebaseka247 5 років тому

    Nakubali kbsa bro mungu akuzidishiye unaongeya vizuri. big up sana

  • @najma3268
    @najma3268 5 років тому +15

    Kaka mtangazaji unahojigi vzr mpaka mtu anakuelewa na maswali yako ni konki

  • @florapaul6934
    @florapaul6934 5 років тому

    Nakupenda sana Kaka dozen mwenyez mungu aendelee kukutunza

  • @doricemallya5247
    @doricemallya5247 5 років тому

    Nimeikubali hii interview. Dogo upo vzr sana

  • @mariamsemy2924
    @mariamsemy2924 5 років тому

    thanks for the good interview BDOZEN

  • @kizotamichael2195
    @kizotamichael2195 5 років тому +9

    keep up janjarooo nakukubal sana broh

  • @MusaNgao
    @MusaNgao 5 років тому +26

    Kaongea kiutuuzima sn BG up

  • @fabianmoses3105
    @fabianmoses3105 5 років тому +1

    Tulipga mbanga flan hiv kama umemskia dogo janja hyooooo ukigonga like fresh....√√√√√

  • @bigboyben6932
    @bigboyben6932 5 років тому +1

    Shoutout to you bdozen hii idea ya DS ni nzuri sana.Na kwa heshima ambayo unayo kwa wasanii Naamini hapa tutakuwa tunapata xclusive zile deep.

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 5 років тому +2

    Mwanamke Sio Mama yako Ishi nae kwa Makini.......Big up Janjaro

    • @epiphaniaallute2726
      @epiphaniaallute2726 5 років тому

      Kumbe unafuatilia vya home sana. Hahahaaaa nimefurahi kukuona pande hii

  • @sadikathumani1003
    @sadikathumani1003 5 років тому +2

    Big up B.dozen!

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 5 років тому +11

    Mashaallah ongera dogo mungu upanga kila jambo mtangulize yye insha'Allah utafanikiwa

  • @asiahmariam3942
    @asiahmariam3942 5 років тому +2

    Sio dogo tena ni kubwa janja, hongera janjaro Allah azidi kukuteremshia baraka tele

  • @shizzohwaka8868
    @shizzohwaka8868 5 років тому +1

    bonge la interview Broo Nimemuelewa sana big up broo

  • @isacknickson6028
    @isacknickson6028 5 років тому +29

    Jaman wakwanza Leo naomben like hata kumi

  • @passionjoy2130
    @passionjoy2130 5 років тому +1

    My favourite 🤘

  • @sooriayo7081
    @sooriayo7081 5 років тому +6

    "nakaza ili nikifa wajue kwanini niliishi"

  • @boykikumbo6795
    @boykikumbo6795 5 років тому +1

    Huyu ni dogo janja ama diamond?

  • @gurishamndeme6564
    @gurishamndeme6564 5 років тому +1

    Napendaga sn mahojiano ya janjaro coz anajb vizuri sn anaeleweka big up kijana

  • @juliusdaniel5989
    @juliusdaniel5989 5 років тому

    Janja turudi zetu school mzee me mwenyew nimdishia 2 by January 2020 mungu aki bless narudi mzee

  • @mabovushabani2714
    @mabovushabani2714 5 років тому

    dogo janja ni mkali kuliko

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 5 років тому

    DOGO JANJA AME BADILIKAAAAA ANEJUWA MZUUUURI BIG UP

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 5 років тому +29

    Natamani siku moja Dogo janja afanye collabo Na vanessamdee wimbo kam regge fulani itakuwa 🔥🔥

  • @lilianmwinuka9236
    @lilianmwinuka9236 5 років тому +4

    Bonge la interview, dogo janja unajibu vizuri

  • @fredykivuyo9309
    @fredykivuyo9309 5 років тому +1

    Safi sana dogo janja mie nakukubali sana tena zaidi ww na king kiba yani nawaelewa sana jahaa bless

  • @waldongeoffrey4620
    @waldongeoffrey4620 5 років тому +1

    Safi sana. Janjaro

  • @glorykessy6942
    @glorykessy6942 5 років тому

    Nicee

  • @josephkasainey7921
    @josephkasainey7921 5 років тому

    Kali sana

  • @Cyper255
    @Cyper255 5 років тому +6

    Dozen, Kipindi kipo poa sana. Mi nakukubali kwenye maswali yenye akili. Na ninapenda utangazaji wako.
    Naomba usibague wasanii wa WCB na Wengineo. Kipindi kitafka mbali sana. #DOZENSELECT

  • @bahatimsingwa9123
    @bahatimsingwa9123 5 років тому +28

    I love you so much bdozen!! King of afternoon shows!!😍😍😍😍

  • @aishayahya7687
    @aishayahya7687 5 років тому +2

    Nimeipenda show na dogo uko vzr

  • @fei3668
    @fei3668 5 років тому +1

    Nimeipenda interview

  • @marykitomari9315
    @marykitomari9315 5 років тому

    Big up dogo janja w ni fire

  • @aishasilaji5759
    @aishasilaji5759 5 років тому +3

    Nimefurah leo jamani dogo janja hachoki kusikiliza jaman pongezi sana

  • @lucytarimo1688
    @lucytarimo1688 5 років тому

    Good interview

  • @musaabubakary7711
    @musaabubakary7711 5 років тому

    Big up Dogo janja pamoja n Dozen collection

  • @umarsaid9912
    @umarsaid9912 5 років тому

    Nise intevew

  • @farajiidabu1078
    @farajiidabu1078 5 років тому +1

    Pambana saana kijana

  • @johnjackson4363
    @johnjackson4363 5 років тому

    Bonge LA interview big up sana
    Kazi nzuri

  • @jacklinekatandula6534
    @jacklinekatandula6534 5 років тому +1

    Tatizo ni tatizo ambapo utalichulia tatizo safi sn dogo

  • @nicodemastungaraza7132
    @nicodemastungaraza7132 5 років тому +1

    Nice interview

  • @dalilaally6118
    @dalilaally6118 5 років тому

    Daah nimeipenda interview yaani nimeisikiliza kwa makini

  • @kingrasdee445
    @kingrasdee445 5 років тому +1

    Janjaaaaro nom sn.

  • @abdallahmchange1370
    @abdallahmchange1370 5 років тому +2

    Nmecheka sana stori za janjaro

  • @mimah1547
    @mimah1547 5 років тому +1

    Salute Dozen🔥🔥

  • @fatmaabdully9705
    @fatmaabdully9705 5 років тому +10

    Mwz mungu akufikishe mbali abubakal, akupe hitaji la moyo wako inshaallah

  • @salahfarid6837
    @salahfarid6837 5 років тому

    One love my brother. May God protect you*

  • @dedera105
    @dedera105 5 років тому +3

    hizi ndio channel za maana. presenter haulizi maswali ya kiswahili kawa wale waswahili wengine. interview imetulia. background music tulivu. interior decoration iko standard. DOzen hajakariri maswali yote, maswali mengine anayapatia humo humo and he is leaving no stone unturned kwenye interview. Well done kaka!

  • @robertfrendrick
    @robertfrendrick 5 років тому

    Big up Dozen interview iko poa sana Dogo Janja 🔥🔥

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 5 років тому

    Mungu akupiganie ktk kazi zako

  • @focuscyprian8837
    @focuscyprian8837 5 років тому

    Interview nzuri ever...next time tumia mic ndogo zile...izi kubwa kuna baadhi ya mambo zinalimit...

  • @shidakimiturtee7272
    @shidakimiturtee7272 5 років тому +4

    Yani dogo janja mimi nime cheka hapo kwenye shikamooo🤣🤣🤣

  • @RugambwaYT
    @RugambwaYT 5 років тому

    B, nashauri utafute lav mic zitafanya audio iwe clear zaidi.

  • @irenenjeri6609
    @irenenjeri6609 5 років тому

    Big up bro Nakupenda sana.

  • @sheysarahnjeno9326
    @sheysarahnjeno9326 5 років тому +2

    Dogo janja mungu akupe nguvu nauvumiluvu katika maisha yako.endelea kumpenda mama yako nauwapende watu wote.wakubwa kwa wadogo.inshallah

  • @kingsoboropayani5127
    @kingsoboropayani5127 5 років тому +1

    Dogo weeder anajieleza vizuri coz anaongea na Big boss