SAUTI YA ESMA HAIJAWAHI KUWA KALI. IMETULIA FULANI HIVI HATA AWE NA HASIRA IKO KAMA HANA HASIRA. KWENU MMEBARIKIWA SANA. MLIANZA CHINI SASA MKO JUU NA MNASTAHILI NA MTADUMU SABABU MNAJUA KUONGEA KISTAARABU NA WATU
Aseee ....acha unafiki esma mbona wengine kwa kaka ako ni forever wii then wengne sio hali wote hawajaolewa ??hata uislamu hauko ivo .....sema hujampenda basiii hyo familia au ndo mmemshindwa mlitest zari nini
Esma unajuwa wewe ni mwanamke mmoja mwenye busara namwenye akili namstarabu nimekupenda hupendi kiki kwenye mitandao lakini mama yako hakuwi yeba do anajiona kama mdogo anapenda sanamitandao hajuwi kama hiyo nkujikoseya heshima duu
Ila wabongo mie washanishinda kwakweli yani huko instagram kuna redio mbao mpaka utasema mtu alikuepo kitu kikifanyika du esma bwnaa eti nami nimeona mitandaoni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Esma dadaake simba siku zote hua mkimya hakurupuki kuongea
Kindly translate. We are also interested in their family drama. Translation please
SAUTI YA ESMA HAIJAWAHI KUWA KALI. IMETULIA FULANI HIVI HATA AWE NA HASIRA IKO KAMA HANA HASIRA. KWENU MMEBARIKIWA SANA. MLIANZA CHINI SASA MKO JUU NA MNASTAHILI NA MTADUMU SABABU MNAJUA KUONGEA KISTAARABU NA WATU
Kwel she iz top in town nw#hamisa maan 2navyomzungumziaah
Mwenyez MUNGU enderea kuwaongoz kuwasimamia kuwarinda na kuimarisha afya zao wote WCB
esman uko na hekima sana na umejibu vizuri sana nabusara
Nampenda sana esma kwasababu huwa yy mambo yawatu hayamuhusu
Ati hahehe😃😃😃 Esma Bwana 😍😍😍
Nyie watangazaji hivi mulichofundishwa huko nikuuliza maswali ya udaku tu . Mnaboa
Aseee ....acha unafiki esma mbona wengine kwa kaka ako ni forever wii then wengne sio hali wote hawajaolewa ??hata uislamu hauko ivo .....sema hujampenda basiii hyo familia au ndo mmemshindwa mlitest zari nini
Kuliz sio ujinga jamn hivi undug wa esma platnum na daimond platnumz ni baba na mama mmoja au upoje jamn
Esma unajuwa wewe ni mwanamke mmoja mwenye busara namwenye akili namstarabu nimekupenda hupendi kiki kwenye mitandao lakini mama yako hakuwi yeba do anajiona kama mdogo anapenda sanamitandao hajuwi kama hiyo nkujikoseya heshima duu
salumu nsabimana .Sheikh Salum usimhukumu mtu hivo, hata wewe umo katika "MTANDAO"
Mwanadamu Kama Puto{Balloon} hata umlinde na kunyenyekea vipi......lazima litakupasukia tu alafu issue ya kuwepo katika KAMWAMBIE mbona sio issue sana
Mtoto_Wa_Kiba79 MO_FAYA TZ, kabisaaa, sisi binadamu hatuna shukrani.
Can someone translate to English what Esma is saying
Love you *Esmaplatnumz* kwa busara zako.
I love you Esma inafaa huyo mtangazaji aulize Hamissa na mamako mzazi.
Kama vile anataka kulia 🤣🤣ishu ya police
Bahati Brwn1 🤣🤣🤣🤣wabongo hatari lol
Hawajuharibii rizki kwa mungu
Esma majibu yako nimeyapenda achana nao wenye majungu wapotezee
safiya safiya kabisa anajibu uzur
Sasa wewe mtangazaji ndo umejirembaje hvo. Kama jini aliefukuzwa kuzimu
Anny Onesmo 😅😅😅😅👏👏👏👏
Anny Onesmo 😂😂😂
Anny Onesmo hahahahhaaaa
Anny Onesmo 😂😂😂
Anny Onesmo 😂😂😂😂😂bongo people you'll be the end of me😂😂😂
Huyu huwa mnafiki Sana asma wakati wamuarabu alisema siyeye aliyeandika ilepost n page fake Kama yy alivyo
Reemii Omar pia kifesi alisema sie yeye
Ila wabongo mie washanishinda kwakweli yani huko instagram kuna redio mbao mpaka utasema mtu alikuepo kitu kikifanyika du esma bwnaa eti nami nimeona mitandaoni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mama Franjo VLOGS jirani kaongea ukwe kiti kilifanyika au mgeni dada ndio kwanza umepata techno😂😂😂😂😂
Mama Franjo VLOGS 😂😂😂😂 kwakweli my dear
Mama Franjo VLOGS true dear....... you are sooo silent. Waiting for your vlogg swits
Esma aendelea hivyo hivyo Ramadan na uwe hivyo hivyo tukomea akili dunia tunapita jiifadhi mama dunia siyo yetu.
Diamomd kamwambie cyo nyimbo ya kwanza ww mtangazi tafuta utaikuta wkt yuko mdogomdogoo ata kuvaa ajui
Huyu Esma kwanini ajiite Esma Platnumz? Mnafiki sana huyu.
Ila hii family mmmmm
uyo mtangazaji atisha kama ngedere sijui kapaka nn jmn
Iike hapa Kama nawe umeenda kuangalia wimbo wa kamwambie ili umwone ESMA
dada mtangazaji nakupenda sna ila leo umekaa kma jini nimeipata nn sijuwi ungejifunga tu mtandio wako
yaani katisha kama shetani vile
HAKUNA COMMETS WATU WAME LALA.
Esma umependeza saaaaaana
tumaini kwayop
tumaini Ukwata
Kama una piga hatua mbele kwann unafatilia mambo ya mapenzi ya ndugu yako?,au unataka akuowe ww na mama yako?
Asma MUNGU anawaona
Makeup ya presenter tho😢
Mafala atutaki matangazo yenu
tumaini Ukwata p
Huyu ni mmbea kweli
Huyu dada nimempenda ila mamaake khaa utafikiri ndokwanza kijana yaani anaboa kwakweli
Hawataeeza kukuharibia biashara zako riziki milango saba
mhh ilo tangazo masaa mazima
Nitaacha kuangalia hili lipage lako.matangazo weka mwisho Wa story
mambo ni 🔥
Ww mtangazaji ni mchawi
MAMA PEKU PEKU 😂😂😂
mwanaa Juma hahah
MAMA PEKU PEKU 😂😂😂ulimpata wapi akiroga😂😂😂
MAMA PEKU PEKU 😂😂😂😂
oops wouw sikiza anavyo ongea utajua tu ni hatarii
tums
tumaini kwaya
tumaini j
huyo mamaenu nimwehu
Feresh Hassam mama yao ni jini kisilani.
nyooo police umeenda na petit kasema umeenda vipodozi vyako fake nyoko wewee
Uyo mtangazaji anaongea faster waaah yuko na ulimi kweli?🤔
Shabby theezaddy Hahahaha hahahaha dh..... hitakuwa ana hurimi wala kolomelo la kumezea mate
Mwajuma Kweli daah wabongo mnaongea faster sana haha vizuri lakini
ESMA ni mrembo aki