Naombeni mpunguze bei ya Treni Mchongoko, watu wengi hawapandi coz ni ghali sana unakuta treni zote zimejaa ila ya Mchongoko ipo na haijaagi kwasababu ya Bei, but ingekua affordable ungeona inajaa kila siku nitoe Rai kwa Shirika kulitazama hili kwasababu Shirika linaingiza hasara ni Bora kulipa 30,000 Dar Moro mjaze treni kuliko 50,000 ambapo ata nusu haijai na apo Bado Seti 9 zingine
Nilikata tiketi ya gharama kwa mtu wa mahitaji maalum,alikuwa anatoka mkoani na kushuka kituo cha njiani, treni ilipofika behewa halikufunguka, matokeo yake zile dakika mbili zilizowekwa kwa ajiri ya vituo vidogo zikaisha na ikaondoka, matokeo yake ikabidi kuongea na stesheni master ndipo akamshusha kituo kinachofuata. #HoJA Dakika mlizoziweka hazitoshi, kuna watu wa mahitaji maalum wapewe kipaumbele, kama kiziwi na wenye uoni hafifu. 2. Wekeni utaratibu wa kukagua idadi hiyo ndogo ya watu wa vituoni wameshuka wrote? Mfano mfumo unaonyesha kuna watu watano wanaotakiwa kushuka, mnatakiwa kuhakiki wote watano wameshuka? Au tukate tiketi ya safari fupi kumbe ninasafari ndefu?
Waambie pia Treni mchongoko watu hawapandi coz bei zilizowekwa ni very expensive na Shirika linaweza likawa linaingia hasara kwa kiasi flani coz limeagiza seti 10 alaf ata iyo moja inayofanya kazi bado muitikio ni mdogo sana, treni zingine zinajaa ila ya mchongoko haijawahi kujaa ata siku moja
Mmmh
Naombeni mpunguze bei ya Treni Mchongoko, watu wengi hawapandi coz ni ghali sana unakuta treni zote zimejaa ila ya Mchongoko ipo na haijaagi kwasababu ya Bei, but ingekua affordable ungeona inajaa kila siku nitoe Rai kwa Shirika kulitazama hili kwasababu Shirika linaingiza hasara ni Bora kulipa 30,000 Dar Moro mjaze treni kuliko 50,000 ambapo ata nusu haijai na apo Bado Seti 9 zingine
Nilikata tiketi ya gharama kwa mtu wa mahitaji maalum,alikuwa anatoka mkoani na kushuka kituo cha njiani, treni ilipofika behewa halikufunguka, matokeo yake zile dakika mbili zilizowekwa kwa ajiri ya vituo vidogo zikaisha na ikaondoka, matokeo yake ikabidi kuongea na stesheni master ndipo akamshusha kituo kinachofuata.
#HoJA
Dakika mlizoziweka hazitoshi, kuna watu wa mahitaji maalum wapewe kipaumbele, kama kiziwi na wenye uoni hafifu.
2. Wekeni utaratibu wa kukagua idadi hiyo ndogo ya watu wa vituoni wameshuka wrote?
Mfano mfumo unaonyesha kuna watu watano wanaotakiwa kushuka, mnatakiwa kuhakiki wote watano wameshuka?
Au tukate tiketi ya safari fupi kumbe ninasafari ndefu?