Asante sana Simba umemaliza utata! Nyinyi watanzania ni wa jinga wa mwisho,mashetani wakubwa ma ibilisi wenyewe huyu diamond ni fahari yenu na vile munampiga vita na kumkataa na kunidharau hebu tupeni sisi wakenya awe wetu huyu kijana muone vile tunamuenzi!!!!! Sisi hatutukani Calligraph ,wala Sauti Soul tunaeapenda sana nyinyi bure kabisa
Acha uongo we fala according to Forbes samatta ana utajili wa dola million 20 , ndg yenu Sasa dola million 7 . Hii nchi mashoga hawawez kuisha kama hyu jamaa kutwa kimsifia mond vitu vya uongo.
Tangu lini Football na Music wakalingana kiuwezo wa Fedha Samata bado sana naata apo amejtahd sana kwan muda wote wao nkutumikishwa sio kujitumikia. but samata angekua mfnya biashara angekua mbali sana sema anafugwa kama Mwanafunzi ata pesa anayopata afaid kama anavyofaid Simba😁😁😁
Diamond platinum ongera sana tunakupenda Mungu akubariki kutokea drcongo
Diamond namkubali sana mungu amuwekee tu❤❤❤
Yes Diamond Platinumz on my way
Jamanii wasanii wanampungaaaa🎉🎉🎉
Utajiri wa Mbwana Samatta na Diamond Platnumz unakaribiana sn...na Wote wako Vzr sn 👏👏👏👏👏
Diamond Platnumz
Diamond. Nakukubali sana pesa unayo
Ni diamond platnumz wa Kwanza leo mkongomani
Kila mtanzania alofanikiwa mnasema mCongo man.
Diamond bhana😂😂😂 namkubali sana huyu broh
🤝🤝🤝🤝🔥 na mimi nilikua naisubiria hii umeuwa mno
Diammond mungu akuzidishie uzidi tupa Raha mashabiki wako
Thanks for the consistency on uploading videos on your channel 🎉🎉
Asnte middle simba ,mondi baba lao❤❤
Haujui🔥🔥🔥💯
Diamond platnumz🦁
Nimadeni tuu😂😂❤
Simba
Asante sana Simba umemaliza utata! Nyinyi watanzania ni wa jinga wa mwisho,mashetani wakubwa ma ibilisi wenyewe huyu diamond ni fahari yenu na vile munampiga vita na kumkataa na kunidharau hebu tupeni sisi wakenya awe wetu huyu kijana muone vile tunamuenzi!!!!! Sisi hatutukani Calligraph ,wala Sauti Soul tunaeapenda sana nyinyi bure kabisa
Kwel bro Tz hua hawajui thaman ya madini yao,ndivyo walivyom-underrate Kanumba baada ya kuondoka wakagundua kosa lao
Point sanaaaa bongo shida ndio zinafanya watu kua nachuku😂
Fala wewe
@@BarbaraPatience-qt9cc elewa mada ndo ukomment Samatta n mtanzania na Diamond ni mtanzania sas ww unacomment bila kuelew mada
Ukosawa
Mondi anazidi iyo hela kwa sasa anafika Dollar milioni 25 iv
Acha uongo hapo kuna bolioni 11 za mauzo ya wasanii wote WA wcb ukiondoa hio wngekuwa sawa lakini pia sio rahisi Samata kupitwa utajuri na Mondi
Wewe una shingap tafuta pesa diamond hakusaidii lolote kk
Unabishan na fact mzee😂😂@@shwaibukhatibu2838
@@shwaibukhatibu2838wenzio sio wajinga wamepiga hesabu zote izo ndo wakatoa takwimu izo
Ndesa boy diamond platnumz ✨✍️
Diamondi platnumz anazo kuliko samata namkubali sana kwakila jambo
Diamond ni tajiri sana simba lama simba❤❤🎉🎉
Ongera Simba babalaooo ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
Diamond platnamz ❤
Diamond é mais que qualquer cantor aqui na África
Concordo plenamente contigo
Voçe não têm pensamento
Más Samata e grande jogador mano
Não me digas que estás a falar numa barraca. Qual é a fortuna que Diamond tem o senhor dizer isso?
Ila Kusema Ukweli Diamond Platnumz ni Tajiri zaidi kuliko Samatta 👏👏👏👏👏
Ndoto hiyo
Nakubal
Umetisha sana bro duuh
Middle simbaaaa mm nishabiki wa diamond platnumz lakini mwana samatta yuko vizuri sana sema siyo mtu wa mitandao
Diamond ajengewe sanam kaliakoo
izo family 🙏🔥 wachanje mbuga tu🙏
DAIMOND PLATINUM TANZANIA ❤
Mnyama cmba baba lao
Samata cha mtoto😁😁😁😁😁😁😁😁
Daimond platinum
Tunaomkubali simba tujuane 🥰☝️
Diamond plntnumz ndo baba lao 🇲🇿
Simbaaaaa
Ahsante sana utata umekwisha maana nilikuwa nikiishiwa mate kweli kweli
Yeaah ni kwel kama unaamin piga like
Na simba la masimba Dangote
Nakubali diamond ni Simba kweliii
Kama Na Wewe Haukubali Hii Piga Like Hapa...
Samata juu
Diamond
Ulizungumuzakuusu bia hiobia ni SERENGETI lite rakini kwajinsi. Simba diamonde pratinamz pratinamz tunavyojua kiukwl umemukosea heshima kidog izohera anazizidi Sana
Naamin Diamond kwa sas anazid hyo rate he is more than that
Simba 💰💰💰💰🦁
I love you mond wasokupenda wale sumu na wajinyonge kabisa
Wakwanza leo
Siiiiiiiiiiimba
I hope platnum is rich😢
Diamond ni mnyama sana
Hongera daimondi
Diamond platinum kwa ciku anaingiza shingap❤❤❤
Wanamziki wanapesa nyingi sana kuliko wachezaji,wanamziki mastar kabisaa wanaingiza pesa nyingi kupitia mauzo ya digital n.k
Samara ball tu daimod Mambo mengi Hali kuzidi
weka mikono ju
Diamond sio mchezo ana yela kweli kweli
Why compare a footballer to an artist? two different worlds , make it make sense 😅
Namukubali Simba
Diamond Platnumz ni tajiri muda wote kwasababu yeye ni mfanya biashara samatta yeye ni mwana football zaidi hivyo basi samatta awezi kumfikia
HHHH🏃🏃 HHHHH
Nawewe vp unautajir gn
We unauhakikka upi kuwa samatta sio mfanya biashara😂😂 usikalili watu wengine huwa hawapendi kuweka vi2 zao wazi
Hapo hapo ukiambiwa dewj ni tajiri kwa Ronaldo utabisha kwa fact hyo hyo ulio sema
Nakubar
Samatta ana hera weww diamond biashara zake ni share
Kam ww ni mpare like hapa
Acha ukabila
Diamond ni noma
Acha uongo we fala according to Forbes samatta ana utajili wa dola million 20 , ndg yenu Sasa dola million 7 . Hii nchi mashoga hawawez kuisha kama hyu jamaa kutwa kimsifia mond vitu vya uongo.
Unateseka ukiwa wap wew kum2🤣🤣🤣
Mtu anawadanganya Karne hii kwel, wakati Google ipoo, ww kwel shoga maarufu😆😆😆
Anatakaanga mondi amfire😂😂😂
Kk umeandika kwa hasira na chuki😂😂😂😂😂
Tafta hela kk
Pia ni ambasada wa p Diddy
Samatta na Diamond .samatta ni zaidi kwa sababu ajaincrud vyanzo vingine vya mapato
Boss wangu ni tajiri kuliko wote maana hao wote ni masikini tu
Aisee may Allah be with u guys
Diamond tajiri sanaa! Samanta hata nusu hafiki!
Acheni kumsfia mtu hvo ni ujinga mnakera kwan diamond ni mungu mtz cjui mpoje
The fact 🎉
DIAMOND PLATINUM
Hawezi siyo awezi
we nae umejuaje
Good ,Daimond Big Bosssss Africa🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mtangazaji huelewi mpira hiyo figure ni thamani ya mchezaji sio take home hayo malipo yanaenda kwenye management na yeye anapata percent
Like Hapa Kama Wewe Ni Mchagga
😂😂😂 mmoja ameenda kwa Diddy 😂😂😂
always diamond platnumz is the best
❤❤❤
Samatta obvious
Bia Ya Serengeti
Samatta yuko vizuri zaidi.ana vitu vingi na miladi mingi ambayo hajaitangaza hadharani kutokana na tabia yake ya ukimya na usili.
Kumamake uongo mtumu sammata vs diamond diamond Yuko juuu aaaa😮😮
Kweri kabisa
Noma diamond aaaaa sio mchezo hiiii
Kazeni mazee 😂
Hapo Kwa Samata NI uongo jamaa NI tajiri kuliko diamond
Tatizo watanzania wanapenda kudanganywa
@@babiddi8620 sign fee ya Samata ya Kwanza ilikuwa NI bolioni 19 mpaka Leo huyu jamaa hakosi bolioni 30 na kuendelea
Naomba kujua utajiri wa Mtoto mdogo mwenye hela nyingi nadhani umemfahamu
Hahha
siaminigi data za Forbes japo najua diamond anapesa kuliko samata .
Mi chawa wa konde ila Leo umefeli samata boya tu kwa mond
Simba ana tisha
Wote ni ma boss
Simba on the way
Tofautisha kat ya tajiri na mtu mwenye majigamb
Upogo
Tangu lini Football na Music wakalingana kiuwezo wa Fedha Samata bado sana naata apo amejtahd sana kwan muda wote wao nkutumikishwa sio kujitumikia. but samata angekua mfnya biashara angekua mbali sana sema anafugwa kama Mwanafunzi ata pesa anayopata afaid kama anavyofaid Simba😁😁😁
Mwambieni Mwijaku
Diamond ni tajiri
Diamond❤
Samata yupo juu
Kwanza diamondi zinazidi anakama dola milioni.12