WACHEZAJI WAKIWASILI KAMBINI KUJIANDAA NA MECHI ZA CAF CHAMPIONS LEAGUE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 170

  • @kichuyabooykichuya4525
    @kichuyabooykichuya4525 Рік тому +15

    Nguvu moja ubigwa wetu msim huu dadadeki 👏👏

  • @bernaberna4159
    @bernaberna4159 Рік тому +9

    Nimefurahiii mmerudi kambini🦁🦁🦁♥️♥️♥️

  • @user-ml4vn5zq9l
    @user-ml4vn5zq9l Рік тому +2

    Simba ni Tim kubwa Sana Tanzania na afrika kwa ujumla tunachowaomba viongoz na wachezaji wetu tunaomba mjitume sana tuna waamini ❤❤❤❤❤❤

  • @yahyasalum2663
    @yahyasalum2663 Рік тому +34

    Kwahiyo ndo tuseme nimewai au mbon nimkuwa wakwanza Leo 😮😮

  • @Samsonilaizer
    @Samsonilaizer Рік тому +7

    Simba nguvu moja ❤ 🦁 💪

  • @gyeong5972
    @gyeong5972 Рік тому +1

    Mungu Ibariki Simba Ila Msisahau Semeji letu linakuagizia gari jipyaa
    NguvuMoja 🦁💪🏽

  • @bernaberna4159
    @bernaberna4159 Рік тому +8

    Leo nimemuona kanuti putin akiongea anasura ya upole sana 😂😂❤

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 Рік тому +1

    SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @bulengwamisiri5630
    @bulengwamisiri5630 Рік тому +8

    Nafulahi Sana kuwaona wachezaji wasimba kutinga kambini kilamoja nagari lake unyamani laha Sana

  • @maherimasase
    @maherimasase Рік тому +4

    Simba kweli klabu kubwa jamani duuh wachezaji wanaingia Kama ulaya wenzetu sijawahi kuona kitu Kama hichi wao wanakuja Kama mafungu ya nyanya

    • @bernaberna4159
      @bernaberna4159 Рік тому +1

      😂😂😂😂

    • @innocentmwagambo9263
      @innocentmwagambo9263 Рік тому +1

      Wenzetu wapi au hao nyuma mwiko 😅😅😅😅

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому +2

      ​@@innocentmwagambo9263MWIKO WA NYUMA WANAUPENDA SANA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @magrethyeremia2279
      @magrethyeremia2279 Рік тому

      Haihalishi kwani hatuna magari????tunapenda kushirikiana ndo maan wanakuja Kwa gari mojaaaaaaa

  • @mwanad4595
    @mwanad4595 Рік тому +1

    All the best for my team simba

  • @BlackCat-wi6fn
    @BlackCat-wi6fn Рік тому +4

    My Simba Sc Tanzania

  • @PriscarMwakarindile
    @PriscarMwakarindile Рік тому

    Mwenyezi Mungu awape afya njema.... tunawaomba sana msituangushe jaman

  • @user-my5yf8fu2j
    @user-my5yf8fu2j 7 місяців тому

    Dah this is simba ⚽📿💪

  • @MwajumaNanyanje
    @MwajumaNanyanje 11 місяців тому

    Simba pambana mtupe raha mashabiki wenu❤

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Рік тому +3

    MUNGU AWABARIKI WACHEZAJI WA SIMBA MPAMBANE MKASHINDE. MJITUME TUFIKE MBALI ASANTE SANA MUNGU

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa Рік тому +3

    Simba kama simbaaaaa ❤❤❤❤

    • @hemedmangapi7208
      @hemedmangapi7208 Рік тому +2

      Jamani allah awape afya yakutosha wachezaji wetu, ila basi letu rangi yake imepauka sana hailingani na hadhi ya simba viongozi mlione hilo, simba nguvu moja,,

  • @user-si3ey6uu1g
    @user-si3ey6uu1g Рік тому +1

    Simba unyama mwingi, mm natka uko caf uyo power dynamos ck ile ya simba day ilikuwa trailer ss hv ndo movie inaanzia kwao wataisoma nmba , simba nguvu moja.❤❤❤

  • @user-xh1ue9gh5o
    @user-xh1ue9gh5o 10 місяців тому

    Yes good idea 👍

  • @lvanyDaniel_pw7kk
    @lvanyDaniel_pw7kk Рік тому

    Wana Simba aaaaa mpooooooo💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻

  • @zalinaseif4430
    @zalinaseif4430 Рік тому +5

    Timu yangu Mungu aisimamie Inshallah 🙏🙏🙏🙏

  • @maikomatayo2794
    @maikomatayo2794 Рік тому

    I love you simba dam dam ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @focusmasunga1584
    @focusmasunga1584 Рік тому +2

    Sisi kama mashabiki tutatoa sapot ya kutosha wachezaji wapambane na kuongeza kas na kukaba njia za mtu anayetalajiwa kupewa pas ikiwa hatuna mpila wakifanya hivyo bas Kila mech uhakika kwetu

  • @agripinaapolinary1362
    @agripinaapolinary1362 Рік тому +2

    Kila la kheri team yangu SIMBA

  • @manyuhawilson4201
    @manyuhawilson4201 Рік тому +1

    MBONA MWENYE (IST)HUJA MTAJA

  • @gideonmwaweza8177
    @gideonmwaweza8177 Рік тому +4

    Nimetamani. Maisha ya Simba ngovu moja

  • @kbdmsafi_tz8094
    @kbdmsafi_tz8094 Рік тому +1

    Gari Kari Tupu Wachezaji Wa Simba Wanakula Bata Sanaaaa

  • @azpilicuetainternational1234

    Maandalizi mema 🦁💪

  • @azimukizo9816
    @azimukizo9816 Рік тому +4

    MNYAMA ANA MSHINDANI

  • @obadiakakende2250
    @obadiakakende2250 11 місяців тому

    God bless Sumbaaaa🙏🙏🙏

  • @mariaraphael5463
    @mariaraphael5463 Рік тому

    Mungu ibariki simbaaaa🙏🙏🙏❤❤

  • @ellyitete938
    @ellyitete938 Рік тому

    Dah mwalimu Mkuu nimempita na baiskeli pale tulukufuni

  • @mwadinihaji1277
    @mwadinihaji1277 Рік тому +2

    Good job

  • @ThomasMwinuka-kg5kz
    @ThomasMwinuka-kg5kz Рік тому

    Simba hatuna mbamba

  • @venancemajiyasoda2025
    @venancemajiyasoda2025 Рік тому +1

    Hizo bas duuh simpige hata rangi kama haiwezekani kubadilisha mnashusha brand bhana

  • @costaofficial98
    @costaofficial98 Рік тому +3

    Duhh asee simba kubwa kwel ❤

  • @jumamondi
    @jumamondi Рік тому +1

    Kama unakubal Simba gonga like ap

  • @KhadijaMkwawaMkwawa-bh2to
    @KhadijaMkwawaMkwawa-bh2to Рік тому

    I love u simba

  • @eliaumetishatish2693
    @eliaumetishatish2693 Рік тому +2

    safi sana

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 Рік тому

    Jamaniii mm simba damu damu lakinii inatakiwa wawaandae kistar

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 Рік тому

    Jamani hizi mbwembwe nyingi lkn tunataka wachezaji wajitoe Kwa jili ya timu tunataka kufika mbali kimataifa tunataka ubingwa na mtani Yuko serous msimu huu ukipoteza tu points imekula kwako mm simba damu tuna tahadharisha mapema mda wa mbwembwe umeisha sasa. Nimda wa kazi kazi showshow

  • @manyuhawilson4201
    @manyuhawilson4201 Рік тому +1

    NAONA MME WANUNULIA MA VEROSSA AISEE!😂😂

  • @user-sl3tp2go9x
    @user-sl3tp2go9x Рік тому

    Nimefulahi sana kuwaona

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l Рік тому

    simba nguvu moja ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-ym8vq9qv8j
    @user-ym8vq9qv8j Рік тому

    Wana simbaaaaaaaaaaaaa

  • @nickysonmushi9685
    @nickysonmushi9685 Рік тому +1

    Mbona huyo wa est ujamtaja😂😂😂

  • @mwanajumaraso4637
    @mwanajumaraso4637 Рік тому

    M.mungu atatuajalia inshaallah kwenye msimu wetu

  • @user-gd7ww3od4f
    @user-gd7ww3od4f Рік тому

    Sema simba ni noma sana

  • @user-ot3ol2ui9h
    @user-ot3ol2ui9h Рік тому

    Simba baba laoooo wenye nchi

  • @servantofalmightygoddranth2511

    ISRAEL Mwenda kaletwa na shemeji ana m drive

  • @kaburaakbar4838
    @kaburaakbar4838 Рік тому

    simba baba lao

  • @lukongaismael9700
    @lukongaismael9700 Рік тому +1

    account yenu ya youtube imelala sana tofauti kabisa haipo active kbsa

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 Рік тому +1

    Hii Tff mm sjawah kuielewa kabsa tmu inacheza mech mbili za lg inakaa karbu mwez mzma bila kucheza mech

  • @nkoydavid9658
    @nkoydavid9658 Рік тому +1

    Mkiona Chama amekuwa wa kwanza kuwasili kambini nawapa milioni 1

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 Рік тому

    Simba nguvumoja. 🔥🔥🔥🦁🦁🦁

  • @Samsonilaizer
    @Samsonilaizer Рік тому +4

    👏👏👏👏👏👏🦁❤❤❤❤💪💪💪

  • @ibrahimmohamed8895
    @ibrahimmohamed8895 Рік тому +2

    Kiukwel wachezaj wana kila kitu ambacho wanastahili kuwa nacho. Imebaki wao tu kupambana na hatuna sababu ya kupoteza mechi yyte.

  • @IsraelKisaila
    @IsraelKisaila Рік тому +1

    Mbona huyo aliingia na mabegi mkononi kapanda boda huyo😂😂

  • @MACHENIMARICO-vv3bo
    @MACHENIMARICO-vv3bo Рік тому +1

    Pamoja milele

  • @AbdillahHussein
    @AbdillahHussein Рік тому

    Allah awape uzima inshallah

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo Рік тому

    Kwani basi la Simba linacheza acheni uchoko basi basi kama mwataka basi nendeni mbezi mkashangae mabasi unaweza kua na basi na usishinde kwakua basi halichezi nyie vip mmetumwa au mwataka chapati nendeni huko jangwani

  • @khadijamsabaha9568
    @khadijamsabaha9568 Рік тому

    My team 🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs Рік тому

    Poleni xana wanasimba😢😢😢😢

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 Рік тому +1

    Tumesajiri vuzuri sanax2. Tuna wachezaji walio bora kabisa .
    Kasoro 'kwa kocha ' wachezaji wetu wanapokua hawana mpira wanakabia kwa macho zaidi kuliko kuwahi kuucheza. Na pia nguvu na maarifu ya kupora mipira ' ni back line tu ndio wenye huo uwezo ' .

  • @hamadabdullah9702
    @hamadabdullah9702 Рік тому +1

    Wachezaj Kila moja ana gari lake

  • @wazirizuberi6190
    @wazirizuberi6190 Рік тому +3

    Wakwanza leo

  • @jadefstore
    @jadefstore Рік тому +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @IslamMahmoud-pi4wy
    @IslamMahmoud-pi4wy Рік тому +1

    🦁

  • @hamadabdullah9702
    @hamadabdullah9702 Рік тому +2

    Simba ASA club kubwa ma shar tuache

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb Рік тому

    Ww shibiki wa yanga msiyo jielewa hatutaki matusi hivinyinyi nibinadamu gani kilakokona nitusi tu daaaaa wote inaonekana mavuta bangi sana .

  • @Elishadai-qg7nn
    @Elishadai-qg7nn Рік тому +3

    Nimefurahi kuaona mmerejea kambini

  • @jumakec
    @jumakec Рік тому +2

    Halafu kanifuliish sana kuonakatasam

  • @MsamariaRoges-rg4zu
    @MsamariaRoges-rg4zu 10 місяців тому

    Nunuweni Magali mazuli yakifahali sio hao ya milionibili

  • @NovatiMushi-kt1qi
    @NovatiMushi-kt1qi Рік тому

    mungu atajaalia mema

  • @hashimuhamisi3182
    @hashimuhamisi3182 Рік тому

    Iv hii camp ipo sehem gani wanasimba wenzangu

  • @sudymohamedy9717
    @sudymohamedy9717 Рік тому

    Hivi simba 🦁 ni timu pekee wachezaji wanaishi mitaani

  • @dreezyboe3564
    @dreezyboe3564 Рік тому

    Ndugu mtangazajibalipokuwa Getin alikuwa anawazuia wachezajibwenye boda boda na baiskel kina ally salim waache nje kwanza had kamera izime😂

  • @user-zu8bs7em4d
    @user-zu8bs7em4d Рік тому +2

    ❤❤❤❤

  • @user-go1rm3re9f
    @user-go1rm3re9f Рік тому +3

    Wakwanza kucomment❤❤❤

  • @MoseBany-zg3jd
    @MoseBany-zg3jd Рік тому

    Sio umewai wameshaisusa simba wapo upande

  • @kamswekekaseko46
    @kamswekekaseko46 Рік тому +1

    Sema onana apunguze ushalobalo simba tume ipenda wenyewe

  • @abdallahmzee7677
    @abdallahmzee7677 Рік тому

    Waoooo

  • @kassimdadi5406
    @kassimdadi5406 Рік тому

    Unyama sana

  • @FRANSKALITUSI4937
    @FRANSKALITUSI4937 Рік тому +1

    Kaz nzur sana

  • @stephanojonas9032
    @stephanojonas9032 Рік тому

    Nguvumoja 💪

  • @charlesAbdi-yl6nv
    @charlesAbdi-yl6nv Рік тому +3

    Huyo ndo thimba nguvu moja

  • @sirajbakari104
    @sirajbakari104 Рік тому +1

    mnyama kweny mawindo

  • @salumnyanda9905
    @salumnyanda9905 Рік тому +1

    Nguvu moja lunyasi

  • @nicholausmapolela4433
    @nicholausmapolela4433 Рік тому

    Simba unyama mwingi

  • @user-rt6lr6vd9i
    @user-rt6lr6vd9i Рік тому

    Kwani wote wa ma croun tu

  • @ABELVILTV
    @ABELVILTV Рік тому

    😢unyama ni mwingi sn

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 Рік тому

    Mkapambabe jamani tunataka kombe msimu huu,hamjui tu tunavyozakalauliwa mitaani kwetu mkajitume uwanjani

  • @erickalfred4250
    @erickalfred4250 Рік тому +2

    Nguvu moja

  • @bashirumkoloka2482
    @bashirumkoloka2482 Рік тому

    Timu kama ya Ulaya vile #nguvumoja#

  • @user-nx9mo6sd8x
    @user-nx9mo6sd8x 5 місяців тому

    Nguvu mmoja

  • @onesmoeliasi3269
    @onesmoeliasi3269 Рік тому

  • @jaydenkaleshi
    @jaydenkaleshi Рік тому

    Ila natamani tupate bus la kifahari kuliko hilo. Maana limechoka na haliendani na jina la timu kubwa.

  • @isacksamuel5503
    @isacksamuel5503 Рік тому

    Wana ndinga kali kinoma

  • @upendomgombozi1239
    @upendomgombozi1239 Рік тому

    Bus letu limechoka aimbu lipakwe rangi ya mnyama jamani liende Na hadhi yetu, kocha nae abadilike ila siku yeye ni kpanga Timu tu, siku zinasoea mbona wapinzani wanaupiga mwingi? Muda tunakwenda kimataifa itakuwaje? Wachezaji mbona wako vizuri?asituanushe uto wanatamba sana hawaruhusu magoli.

  • @rahmalovelymakeup-xy1qp
    @rahmalovelymakeup-xy1qp Рік тому

    Ficheni number za gari