TULITAKA KUPEWA MILIONI 250 ILI TUPIGANE| SISI NI KAMA SIMBA NA YANGA| MIMI NI BORA KULIKO MWAKINYO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 лют 2024
  • www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 74

  • @kibaniotv
    @kibaniotv 5 місяців тому +2

    UYU NDO MWANAUME WASHOKA LOVE KIDUKU UNAJUA MPAKA UNAKERA YANI

  • @RASHIDIKASOMA
    @RASHIDIKASOMA 5 місяців тому +3

    swali kwenu kama twaha anajuwa nani Kati Yao mwenye mkanda wa wbf wa afrika achenu ujinga wa Kula makopa mkishiba mnabwata

  • @jamilmwinge3695
    @jamilmwinge3695 5 місяців тому +2

    International ni kimataifa lkn pia inatazamika unapigana na bondia mwenye Renk gani uwezi ukapigana na bondia wa promotion kama Mandonga alafu ujiite International

  • @MichaelJames-tp6co
    @MichaelJames-tp6co 5 місяців тому +2

    Hasani na twaha wanajuana na hawa jamaa wanataka kutengeneza pesa, aidia ya hasani , ila kiukweli nimeipenda hii, kama mashabiki Wana kelele dawa kelele zao nikupiga ela

  • @kilimoufugajipesatv5751
    @kilimoufugajipesatv5751 5 місяців тому +1

    😊😊😊😊Mwakinyo mtu kazi

  • @user-ch8ly8lq8w
    @user-ch8ly8lq8w 5 місяців тому +4

    Mwakinyo mbona anashinda uko nnje

  • @user-gx5oh7wj4q
    @user-gx5oh7wj4q 5 місяців тому +1

    Ajiaamina uyooo bado sna

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 5 місяців тому +1

    Twaha yuko pw.sanaaa

  • @RASHIDIKASOMA
    @RASHIDIKASOMA 5 місяців тому +2

    Ninyi wa bwataji wa mitandaoni tambueni kila mchezo Una Sheria zake kaulizwa nani mshindani wako Tanzania kadai eti pambano wanalotaka watanzania ni yy na mwakinyo ww twaha cc tunaofatilia ngumi Sheria ndio inayotakiwa isimamiwe tu

  • @yesgood3491
    @yesgood3491 5 місяців тому +1

    Twaha si wa kumkariri, muulize dula na yule jamaa wa afrika kusini.

  • @ramadhanmasiku4105
    @ramadhanmasiku4105 5 місяців тому +2

    Jitahidini mmwite na Mwakinyo "Chapes"

  • @mazagazagaonlinetv9775
    @mazagazagaonlinetv9775 5 місяців тому +2

    Namkubali

  • @fintanifelix1680
    @fintanifelix1680 5 місяців тому

    Mb zangu azijaemda bule MI ni muhaya wA bukoba kagela mama yangu alizikwa apo morogoro makaburi ya kola ivo twaa Mimi na mama uko aliko ushindi mchape mwakiyno

  • @user-xx6uf5kj9w
    @user-xx6uf5kj9w 5 місяців тому +1

    Ww mwakinyo ni hatari Sanaa aiseee

  • @razakilipwelele5518
    @razakilipwelele5518 5 місяців тому +6

    Ukimtizama anavyoongea tu unagunduwa Jamaa Anajuwa jinsi ya kuongea Public na Akili sana. Ila angekuwa yule mwimbaji wa Taarabu kutoka Tanga sasa mweeee 😂😂😂

  • @JustinJuliusMangombe
    @JustinJuliusMangombe 5 місяців тому

    Tim Twaha Kiduku🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ibrahimcharlesswaleh
    @ibrahimcharlesswaleh 5 місяців тому +1

    Mbona Mwakinyo alishinda kwa KO kule Uingereza? Tela alimpiga Sammy Erghinton. We sema ukweli kwamba ulidundwa Poland. Acha uchawi dogo.

  • @saddammasige1481
    @saddammasige1481 5 місяців тому +2

    Ndo maana hamo alikupchapa

  • @fintanifelix1680
    @fintanifelix1680 5 місяців тому

    Kamwakinyo kanaogopa ukikauliza kuhusu pambano Ilo kanataja era twaa ye anataka eshima ata akipoteza poa tu Wala ajali

  • @user-gp3pm4qp5y
    @user-gp3pm4qp5y 5 місяців тому +2

    Wewe unahamu na mwakinyo wakati hata kwa seleman kidunda hutoboi

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 5 місяців тому +1

    Mwakinyo atakufa hapa knock out

  • @alibachirofficial3939
    @alibachirofficial3939 5 місяців тому +2

    Kwani baba levo nimtangazaji?

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 5 місяців тому +3

    Mbona kiduku Suleiman kidunda bado humuwezi kiwango chake ikiwa uzito wenu ni sawa

  • @MpaliandaTVTz
    @MpaliandaTVTz 5 місяців тому

    Siku ya kukutana na mwkinyo pamoja na twaha kiduku nawatua makofi wote wananijuwa wanajuwa mimi ninani tena nwasaka kwelikweli niwatie makofi mawili matatu niwatowe mawenge kwanza washamba awo wanakngea ongea tu niekekezeni wanakopatikana nikawatowe mawenge

  • @Frank_nzenga
    @Frank_nzenga 5 місяців тому

    Naam

  • @adamally8705
    @adamally8705 5 місяців тому

    Huyu kiduku atakiwa akacheze nnje ya inchi

  • @user-ch8ly8lq8w
    @user-ch8ly8lq8w 5 місяців тому +1

    Wewe pua kubwa muòngo subiri mondi akuchezee matako

  • @Simulizitulivuu
    @Simulizitulivuu 5 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mwanangu Dula Kapata kitongaaa😂😂😂.

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 5 місяців тому

    Hawa wote siyo mabondia wazuri kiuchezaji , sitegemei kama kutakua na pambano la kuvutia hapo

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga 5 місяців тому

    Ngumi jiwe mlingoti chuma jichanganye mwakinyo😊

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 5 місяців тому

    Hakuna wapiganaji hao ni warusha ngumi...yani hawana mbinu kabisa...wanachoka haraka...wala huna hamu ya kuangalia mapambano yao

  • @johnjulius3092
    @johnjulius3092 5 місяців тому

    Mwakinyo huwezi mshindanisha na huyo macho kupinda wew

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 5 місяців тому

    Ni kweli bondia wengi wa inchi zakizungu hutumiya steroide kujibusti.wanajiongeza round 12 bila mchoko.ila mazowezi nayo usaidiya.

  • @mbanjenyambega2525
    @mbanjenyambega2525 5 місяців тому

    Kumbe mashabiki wa mwakinyo wanamfatilia twaha kiduku hongereni san

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 5 місяців тому +2

    Twaha ni mtu humble sana,ila technically ni mbovu sana anaamini kwenye ubaunsa kuliko mbinu...

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 5 місяців тому +2

    👈 Shauriako

  • @lukehaprimary2574
    @lukehaprimary2574 5 місяців тому

    Ngumi nitekniki apo atuwezi kua mbabe nani kama awajapigana

  • @AgueroBoaz-ei5qt
    @AgueroBoaz-ei5qt 5 місяців тому

    A me ata sijui nini kinaendelea

  • @salminmshindo4344
    @salminmshindo4344 5 місяців тому

    ila baba levo ana ufala sana 😂😂😂😂

  • @magrethkimaro4662
    @magrethkimaro4662 5 місяців тому

    Kama twaha unataka kuendelea kuishi acha kumchezea champezzz atakukiliii na wewe unategemea ...ukithubutu huna kichane Cha meno

  • @user-gx5oh7wj4q
    @user-gx5oh7wj4q 5 місяців тому

    Ss nyonyi mnamuoji mtu ambahe ataajuhi what the meaning intonation....?

  • @zephaniapaul9592
    @zephaniapaul9592 5 місяців тому

    twaha huwezi mpiga mwakinyo nakataaa

  • @RASHIDIKASOMA
    @RASHIDIKASOMA 5 місяців тому

    Acha uwongo ww bondia wangapi wameshinda nje na wanatangazwa vp alokupiga msauthi mbna alipewa ubingwa?

  • @petermwanyondo5370
    @petermwanyondo5370 5 місяців тому

    Bongo swaga nyingi awawezi towa izo hel mwisho wapambano viswahili

  • @adamally8705
    @adamally8705 5 місяців тому

    Kiduku Hana lolote akajifunze ngumu tena

  • @allykomsonde7813
    @allykomsonde7813 5 місяців тому

    Mlugulu ubishi kawaida yao

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 5 місяців тому

    Nikiangalia styke ya uchezaji kwa mabondia WOTE wawili, naona pambano litakuwa VERY VERY BORING ONE EVER

  • @FilipoBoniface-fd3jd
    @FilipoBoniface-fd3jd 5 місяців тому +2

    we uwezo wako unauereza hapa tunae jierewa tunajua nje auendi kwajili uwezo wako nimdogo sana ndomana unafos bongo ukimpiga hasani wewe niite ngulue

  • @user-en6kf2db6f
    @user-en6kf2db6f 5 місяців тому +1

    Jamaa yuko vizur

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 5 місяців тому

    jamaa namkbal mwakinyo na mkbali Ila mwakinyo maneno meng ya shombo

  • @SalimAbdallah-tg1yo
    @SalimAbdallah-tg1yo 5 місяців тому +3

    Twaha wacha tamaa ya Hela Ila jambo liko wazi humuezi mwakinyo ndugu yangu Ila nakukubali Mwamba Wa moro hauko vibaya

  • @user-wn8kc3wx6s
    @user-wn8kc3wx6s 5 місяців тому +2

    Uwezo waku shinda nnge huna kiduku

  • @kibaniotv
    @kibaniotv 5 місяців тому

    HAHAHAHHA ETI MBAKATI

  • @jimmydizonga1335
    @jimmydizonga1335 5 місяців тому +1

    Kwa ngumi Mwakinyo yupo juu sn naata Twaa moyon analijua ila kama Twaa anavigagula apo Sawa ila kama ni ngumi Mwakinyo yupo juu sn

  • @fredrickpeter8051
    @fredrickpeter8051 5 місяців тому +1

    Twaha,nakuhakikishia huwez kumpiga mwakinyo,nimeangalia fight zako nyingi,hauwez kumpiga jamaaa,nataman sana fight yenu

    • @AbdillahiLulinda
      @AbdillahiLulinda 5 місяців тому

      Uko pamoja na mimi kaka huyu jamaa kurupu kurupu sana harafu hachelewi kuchoka hamuwezi mwakinyo huyu yule master wa game kubwa

    • @shadaphnalinga1661
      @shadaphnalinga1661 5 місяців тому

      tatizo la huyu ni miguvu kulukundu yaan hitumii akili kweny fight zake

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 5 місяців тому +3

    PAMBANO LA MWAKINYO VS KIDUKU LITAJAA UCHAWI KULIKO UWEZO HARISIA KILA MMOJA ANATEGEMEA MGANGA WAKE

  • @jamilmwinge3695
    @jamilmwinge3695 5 місяців тому

    Unapewa ela mboga kwa kua ujielewi ndio mana lkn Mwakinyo ana misimamo ya kazi yeke ndio mana anakuja ndefu.

  • @hamsikrasheedi1796
    @hamsikrasheedi1796 5 місяців тому

    ila babalevo una zinguwa sana 😂😂

  • @fintanifelix1680
    @fintanifelix1680 5 місяців тому

    Kamwakinyo kanaogopa ukikauliza kuhusu pambano Ilo kanataja era twaa ye anataka eshima ata akipoteza poa tu Wala ajali

  • @RASHIDIKASOMA
    @RASHIDIKASOMA 5 місяців тому

    kinachomfanya bondia aonekane anajuwa ni mapambano anayopigana tena Kwa hadhi ya mkanda wala sio maneno swali kwenu lini twaha kaenda nje ya nchi kupigania mkanda?