ACHANA NA MWANAUME WANGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 512

  • @MariaMagele
    @MariaMagele 6 місяців тому +19

    Mmmh ety achana na mwanaume wangu wewe upo kwa kuudumia mke mwenzio na uyo bwana ila dada wa wanaume 6😂😂😂😂😂 noma sana

  • @AngelMbaga
    @AngelMbaga 5 місяців тому +6

    Wanaumwe wanaongwa mara nyingi wanakuwa na wanawake wanawaonga. Wanaume hawapendi kushushwa/ kushindwa. Ndio maana wanapenda kuhonga wanapoongwa. Yaani wanawake wengine huwa hawajielewi, hawajijui mwanaume sio mwaminifu mnamgombania huo ni msiba wa wanawake na msiba wa taifa. Hizo ni dalili za ujinga wa akili na dalili za umaskini na uchawi/ kuanza kuroga.
    Keep on moving ladies, acheni huo ujinga.

  • @saay4273
    @saay4273 6 місяців тому +21

    Kugombania wanaume tu kupunguza vitambi Aaaaaaaaaaaaaaaah😂😂

  • @abubakaliyahaya2968
    @abubakaliyahaya2968 5 місяців тому +7

    😂😂😂😂 hii kali aise kuna wanaume hatujui nn tunataka

  • @gladynessjerome4464
    @gladynessjerome4464 6 місяців тому +20

    Kazi kugombea wanaume tyu kuoga aaah😂😂

  • @mundhirkhamis543
    @mundhirkhamis543 Місяць тому

    😂😂😂 mshenzi kweli uyo shiva anakula pesa za watu tu ♥ mapenzi ya dhati hayajui

  • @AMINAATHUMAN-nb9qn
    @AMINAATHUMAN-nb9qn 6 місяців тому +18

    Siwezi kumpa mwanaume helaaaa hata jeroo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @pillyramadhani3726
      @pillyramadhani3726 6 місяців тому

      Ushalizwa ndio maana umeshuka😂

    • @abdallahrenatus6677
      @abdallahrenatus6677 6 місяців тому +1

      Ila unataka mwanaume akupe Sio?

    • @fatumakomba9916
      @fatumakomba9916 6 місяців тому +4

      Mimi kumpa mwanaume ela jamani siweziiiii jamani😂😂😂 mume wangu mwenyew akiwa nashida namkopesha naribaa juu pesa yangu aiendi bure😅😅

    • @hildamasonda6528
      @hildamasonda6528 5 місяців тому

      😂😂😂😂😂nakuungaaa mkono na miguu juu

    • @hildamasonda6528
      @hildamasonda6528 5 місяців тому

      ​@@fatumakomba9916kwanza wengine tunaumwa na degedegeeeee😅😅😅

  • @Gloriarespiki
    @Gloriarespiki 6 місяців тому +17

    Kris mwenyew mbn niko nae apa tunaenjoy😂😂😂😂😂😂😂

  • @mohammedmasudi-dz6hb
    @mohammedmasudi-dz6hb 5 місяців тому +2

    DUNIANI HALI IMEKUA MBAYA

  • @juliethmagembe2262
    @juliethmagembe2262 5 місяців тому +1

    Mchepuko kakasilika kwanini mwanamke anamhudumia mwanaume hapo nimemkubali😂😂

  • @OmanSalalah-of7uk
    @OmanSalalah-of7uk 6 місяців тому +4

    Kazi kulea mwanaume kuolewa aaaah 🤣🤣🤣🤣

    • @zuhurahassan917
      @zuhurahassan917 6 місяців тому

      Daaaah

    • @VivianSamwel
      @VivianSamwel 6 місяців тому

      😅😅😅😅😅 wambiee kazi kupigania wanaumee😅 kufanya kazi aaaaah

  • @diva_20162
    @diva_20162 6 місяців тому +4

    Kazi kumgombania Chris kuoga aaaaah 😂😂😂

  • @PaulinaMassay-u4w
    @PaulinaMassay-u4w 5 місяців тому +2

    Mwanaume wako we kma anakupenda kweli asingeweza kufanya UJINGA HUO unagombana na mwanamke mwenzio kisa mwanaume. Kwani huyo mwanamke yeye ndo kamtongoza au katongozwa Sasa Hilo swala yeye anakazi au Hana inamuhusu nini Sasa yeye kama kamwambia Yuko single hamn mke huyo mdada afenyeje. Na lazima amhudumie atajua yeye Hela katoa wapi. My dear sister we deal na Mume wako huyo utashinda lasivyo unahangaika bure
    Sema na mchumba wako. Achanana mwanamke mwenzio. Huko ni kujidalilisha jmn.

  • @Munayya-g2p
    @Munayya-g2p 4 місяці тому

    Yaani kumpa mwanaume anizini can never be me 😂😂

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 6 місяців тому +2

    Cheusi mzuri ❤️❤️❤️ ila

  • @HalimaHusseni-h1p
    @HalimaHusseni-h1p 6 місяців тому +5

    Na nyie wanawake muda mwengine acheni ujinga mwanaume Hana kazi hakupi chochote wann

    • @Elineswai155
      @Elineswai155 5 місяців тому

      Ndo ushangae😂😂

    • @HalimaHusseni-h1p
      @HalimaHusseni-h1p 5 місяців тому

      @@Elineswai155 ndio hapo wanajifanya wanapenda kumbe wanatapeliwa tu

    • @Munayya-g2p
      @Munayya-g2p 4 місяці тому

      Nashangaa kapenda mkia🙌😂😂

  • @jamesnkane3
    @jamesnkane3 6 місяців тому +24

    Nipo apa like apa Kwa uky

  • @MaryMacha-b1w
    @MaryMacha-b1w 5 місяців тому +6

    Mr Uky utasababisha waganga walale njaa wallah 😂😂

  • @JohnMtinga-ld1js
    @JohnMtinga-ld1js 6 місяців тому +4

    Kudanga tyu kuolewa aaah😂😂😂

  • @EvaNasania
    @EvaNasania 2 місяці тому

    Aysee danga la moto🔥🔥🔥🔥😂😂😂

  • @msangazimsangazipapaandomb8761
    @msangazimsangazipapaandomb8761 2 місяці тому

    Mr Uky KIDHUNGU chako kidogo unajichanganya japo unaeleweka unachomaanisha, ila unakivurunda khaswa.

  • @SyliviaMbuya
    @SyliviaMbuya 6 місяців тому +12

    Wanaume siku hizi wamekuja juu sana, Sasa Kuna watu wapo single halafu dada anamiliki wanaume kama usafiri wa bajaji😅😅😅😅

  • @PendoPhilemon-ie6mw
    @PendoPhilemon-ie6mw 6 місяців тому +7

    Uyu mwenye wanaume sita ukimwi hana kweli😂😂

  • @diva_20162
    @diva_20162 6 місяців тому +3

    Maisha siwezi kushare simu na mwanaume mamae 😊😊

  • @joyagustino
    @joyagustino 6 місяців тому +2

    oyoo nmependa huyu dad mweus anavyojiamn alitakiwa ampige kofi mtu unamlishaje mwanaume mimba anabeba yeye😅😅😅

  • @ceciliapaul4161
    @ceciliapaul4161 6 місяців тому +13

    Huyu treasure hajielewi, hivi anawazazi kweliii😢

    • @youdya
      @youdya 6 місяців тому

      😂😂

  • @PetronellahKashomba
    @PetronellahKashomba 5 місяців тому +2

    Ah nmechekaa,wanaume sita like siriaz,anaongea comfortably like..hahahaha shenzii

  • @doricakisenya4867
    @doricakisenya4867 4 місяці тому +2

    Zinaaaaaaaazinaaaaaaaazinaaaaaaaaaaaa kwa watoto wetu eeeeMungu wafungue macho waone

  • @najmahhassan7853
    @najmahhassan7853 6 місяців тому +2

    We dada Tee mitano tena 🤣🤣🤣🤣🤣💪👌 mue mwaudhulia vikao vya wanawake we Shiva pumbav zako mwanaume hapewi pesa🤣🤣

    • @Munayya-g2p
      @Munayya-g2p 4 місяці тому

      Kwanza wanawake hatuna pesa hata tufunguliwe biashara jamani hela hatuna huyu pesa katoa wapi 😂kikao kirudiwe kuna jambo halipo sawa bwana 😂😂

  • @TamrinaEsmailomary
    @TamrinaEsmailomary 5 місяців тому +1

    My dear acha ujinga wewe unamuhudumia mwanaume haupo sawa una pesa ungeleka watoto yatima mungu angekulipa acheni ujinga tuu

  • @ukhtymwana40
    @ukhtymwana40 6 місяців тому +5

    Mtu anajisifia uzinzi 😢😢 ety nina wanaume 6 Dah 🎉🎉

    • @esterstaphord5184
      @esterstaphord5184 5 місяців тому

      Hadi huruma nay 😢....dhamb imetawala Dunia😅

  • @Misssmile111
    @Misssmile111 5 місяців тому +4

    Unahudumiwa sawa kununua sim nzuri aaah 😂😂😂

  • @FloraMika-n5m
    @FloraMika-n5m 4 місяці тому

    Inaelekea anapenda vibonge😂😂😂

  • @MwanangeniAyubu
    @MwanangeniAyubu 5 місяців тому

    Acha kumpa Hela huyo mwanaume Kwa muda alafu tuone huyu anaejifanya kuhudumiwa Kwa wakat asipo pewa Kwa wakat I'm atamtaka huyo anae muita boya gar bovu

  • @Rahmatz8172
    @Rahmatz8172 2 місяці тому

    Ivi kumbe tunatakiwa tuwe tunawapa ela wanaume eeeeeeeh mm sijuiii....jamnii dunia inasiri

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 6 місяців тому

    Achana na mwanaume wangu 😁😁😁😁 umemzaaa mfyuuu

  • @MarianaJoh-nb5rn
    @MarianaJoh-nb5rn 5 місяців тому +1

    Na hao wanaume 6 wameshasikia unavo wasambazia UTi,, 😁😁😁

  • @SuzanaMpesha-b3n
    @SuzanaMpesha-b3n 3 місяці тому

    Mm binafs siwez kuw na mmoja ni mwendo wa kucht ana tuuu😅😅😅😅

  • @Rais__772daughters
    @Rais__772daughters 6 місяців тому +2

    Usikute kwa hao wanaume 5waliobaki ata wako upo 😂😂😂😂❤

  • @LucyMagoma-g3b
    @LucyMagoma-g3b 4 місяці тому

    😂😂😂😂 kibonge mweusi achekesha

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 6 місяців тому +5

    😂😂😂shiva lilikua linalala lala kwa kikao cha wadada na tresher aliandika ipasavyo notes sana sana rules no 5👌👌🤞shikilia apo apo tresha quuuumaammmakeeee weka weka weka 😂😂😂

  • @Atb300
    @Atb300 3 місяці тому

    That means akupendi 😂anachukua pesa kwako anampa mwenzako😂😂😂

  • @felicianboss6953
    @felicianboss6953 6 місяців тому +1

    NimempEnda mdada aliyenyoa ni mnyamwez °°sana kuhudumia ni kawaida ila huyo mwenye wanaume 6 anaonekana akili hana kabisa unasema humpEndi na unatutangazia sisi iliugunduE nini kula tuh kuoga aaanh😂😂

  • @ummyjux
    @ummyjux 5 місяців тому

    ujing tu msimamo aaaaaaah😂😂

  • @Edithanicrausi
    @Edithanicrausi 4 місяці тому

    Jaman mm siwez hivi Bado mnatunza wanaumeee😂😂😂😂ghaighaiiii msukuma mm sijui 😂😂 njoen tuwape wanaume huku wapoooo

  • @Ericksonmseuli
    @Ericksonmseuli 6 місяців тому +1

    Nakubali Mr uk

  • @MustadhMsisiri
    @MustadhMsisiri 4 місяці тому

    Kingereza kingi mtoto wa kiume unazingua badilika mzee😂😂😂

  • @moureenensungi5924
    @moureenensungi5924 6 місяців тому +6

    Mr uky uyo dada mweusi anavyoonekana anaenda kumsimulia chris yote kbla kbl ata hujamtafuta 😂

  • @xavieramandiocristovao8286
    @xavieramandiocristovao8286 6 місяців тому

    Mapenzi shikamooo😅😅😅

  • @dogsandpetseducation6221
    @dogsandpetseducation6221 4 місяці тому

    Kwa majibu haya,wakitendwa wanaomba serikali iwasaidie na mtu kamwita kumweleza vizuri halafu anajibu utumbo,

  • @OthumaniTaxcompany
    @OthumaniTaxcompany 4 місяці тому

    Ila wanawake ni wasenge sana kupigania wanaume kukatika hahahaha😂😂😂😂

    • @Thisisgrace979
      @Thisisgrace979 4 місяці тому

      Sio wote wasenge, maana kwenye kundi hilo kuna mama yako na ndugu zako.

  • @JaneMbepera
    @JaneMbepera 5 місяців тому +10

    Watu mna hela nyingi ad mnahudumia wanaumee😂😂😂😂😂

    • @aminamloka7545
      @aminamloka7545 5 місяців тому

      Cjui wanazitoaga wapi za mchezo wallah😂😂😂😂😂

    • @SalumuZomba-xb5bz
      @SalumuZomba-xb5bz 5 місяців тому

      😂😂😂😂

    • @ShaelKimaro
      @ShaelKimaro 5 місяців тому

      Hivi huyu dada anawazazi na kakazake wapo au wote wamekufaaaa

    • @HoneyEmanuelMgisha
      @HoneyEmanuelMgisha 5 місяців тому

      Ety jmn😂😂😂😂

  • @GetrudeChengula
    @GetrudeChengula 5 місяців тому

    Dada achana na huy mwanaume tafuta maisha yako

  • @LucyPius-gk1di
    @LucyPius-gk1di 6 місяців тому

    Wanaume 6 😮😮😮😮

  • @esthermitanga7631
    @esthermitanga7631 3 місяці тому

    Mimi ndo criss😢 😅

  • @YeddaMturi
    @YeddaMturi 6 місяців тому

    Hao wanaume hawaingii mitandaoni au wametekwa😂😂😂😂😂😂

  • @juddysemiti7920
    @juddysemiti7920 5 місяців тому +1

    Mchepuko kaongea point😂😂 afu mwanamke atakama unampa mwanaume wako hela hio iweke siri hujionei ata aibu

  • @FloraMika-n5m
    @FloraMika-n5m 4 місяці тому

    Mwaya bora uwe na hao6😂😂😂😂

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 6 місяців тому +2

    bora leo mmebadilisha waigizaji na sio kevoo kevoo kila siku..atleast leo Chriss😂😂

  • @lizzyObed
    @lizzyObed 3 місяці тому

    mnapenda kugombania dudu

  • @GraceRoman-xw7xm
    @GraceRoman-xw7xm 6 місяців тому

    Nyieeeee kumbe km tunataka wa kwetu wenyewe tuwachonge 🤣🤣🤣🤣

  • @berthakombe7832
    @berthakombe7832 5 місяців тому

    Ila kriss😅😅😅

  • @RukiaOmary-l2j
    @RukiaOmary-l2j 6 місяців тому +1

    Eti nina uchungu nae 😂😂😂😂😂 na mam ake asemeje sasa

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 6 місяців тому +1

    Nilichogundua mwanaume hata akichepuka anachepuka na mtu anaefanana na mwanamke wake. Wanacheza mulemule😂😂😂😂

  • @FatmaMohamed-b5c
    @FatmaMohamed-b5c 4 місяці тому

    Achana na mume wake

  • @TinaManyika
    @TinaManyika 5 місяців тому

    😂😂😂😂😂 sasa ivi wanaume wa dar wanajiuza na hamsemi😂😂😂

  • @EasterLeonce
    @EasterLeonce 5 місяців тому

    Aisee hongera sana dada kwakupenda

  • @hildamasonda6528
    @hildamasonda6528 5 місяців тому +7

    Wanawake tuache kujifanyaa tunaweza kubadilisha wanaume

  • @edinambwambo4847
    @edinambwambo4847 5 місяців тому +1

    Wanaume sio nature yao kuhusu iwa na wanawake .Wanawake wanaofanya hivyo wanajisumbua sababu mwanaume atatafuta mwanamke na atamuhudumia kwa hivyo unavyompa.😂

  • @MariamuRajabu-kh3jv
    @MariamuRajabu-kh3jv 6 місяців тому

    😂😂😂 duuh

  • @JohnRossan-pk5cl
    @JohnRossan-pk5cl 6 місяців тому

    Daaa mungu tunusuru na janga la ukimwi Binti anasema anawanaume 6 vip hao wanaume nao wana wanawake wangapi wengine cheni ni ndefu sana

  • @SumaiyaMussa-t4g
    @SumaiyaMussa-t4g 4 місяці тому

    Njoo nikupeleke kwa mganga uku matumbi

  • @RachelRichard-kh6rh
    @RachelRichard-kh6rh 6 місяців тому

    Aah chris😢jmn uuh... ao wanaongy tu kuog aaah 😅

  • @nemakijangwa
    @nemakijangwa 6 місяців тому +13

    Ila huyu mwanaume anapenda vibonge kwakweli 😂😂

  • @elenlazaro3192
    @elenlazaro3192 5 місяців тому

    Nyie mnatoa wap pesa😅😅😅kwan mwanamke tangu lini ana pesa😂😂😂😂

  • @halimambaga61
    @halimambaga61 6 місяців тому

    Acha ujinga mwanaume gapewi hela😢😢😢

  • @Officialsamiahassan
    @Officialsamiahassan 5 місяців тому +1

    Aaaaaah kudadeki waalahii huyo chusi me ningembondaa yni namwmbia kistaharabu afu anijbu kama hvyo mmmh

    • @walizanasiri4963
      @walizanasiri4963 5 місяців тому

      Yani mimi naona angenipelekapolisi mwanamke mweusi wala anastala mwanamkewamaana awezisema ninawanaume sita.

  • @nyanziratatou5404
    @nyanziratatou5404 6 місяців тому

    Wewe mpe pesa sisi twala pesa . Eti mwanaume wangu kachonge sanamu uko😅😅😅😅

  • @elizabethjilala9225
    @elizabethjilala9225 5 місяців тому

    Mr Uky leo umepatikana ..😂😂chapa hao

  • @AdellahJonas
    @AdellahJonas 4 місяці тому

    Jamani ni nani alieturogaaaaa wanawake 😮😮😮😮

  • @FurahaNgatena
    @FurahaNgatena 6 місяців тому +1

    Mchepuko mwenyewe kaparara 😅 eti anawanaume sita 😢alafu 😊😂😂😂😂

  • @HappyKiwango
    @HappyKiwango 6 місяців тому

    😂😂 et wanaume 6

  • @ElizafidelisEliza
    @ElizafidelisEliza 6 місяців тому

    Ila sku zote kitu unachohudumia kinauma tuache utan af tuache kujitoa kwa hawa viumbe Hawana huruma dada hudumia ndug zako😅😅😅😅

  • @Tyughcdrbdt
    @Tyughcdrbdt 6 місяців тому

    Unampa hela mwanamme na ye anahongaa mwanamke mwenzieee😂😂😂ila wanaumeee

  • @VeronicaDamas-in9yx
    @VeronicaDamas-in9yx 6 місяців тому

    Uwiiiii! Wanaume 6 jmn 😂😂😂😂😂 dada umetisha ongera yako.

  • @RoseZamani
    @RoseZamani 6 місяців тому +3

    Nimependa nimkweli ila mmmmh sita jamani 😂😂😂😂😂

  • @LilianSita-tr6wj
    @LilianSita-tr6wj 6 місяців тому

    Wanaume 6 bado unatumia simu ya Hivi🤣🤣🤣🤏🤏

  • @mickyclemence3798
    @mickyclemence3798 5 місяців тому

    Kweli kunamadem wanaspeed na maisha dada anajiuza uyo

  • @MissagyBarick-us7pe
    @MissagyBarick-us7pe 5 місяців тому +1

    Black beauty ni kiboko anamsimamo

  • @chiroboy1553
    @chiroboy1553 3 місяці тому

    dada anakiburi sana

  • @JosephatMassae
    @JosephatMassae 4 місяці тому

    HII NDO SABABU MNAPIGWA SHOO ZA MTUNGO HATA UKIOMBA MAJI HUPEWI!!😂

  • @ElizaSichenga
    @ElizaSichenga 5 місяців тому

    ,😂😂😂😂😂ndio mana kumbe anasema niswt anawanaume6😀😀😀

  • @AzaMajid-br5jq
    @AzaMajid-br5jq 5 місяців тому

    Amkeni wanawake mwanaume haudumiwi Anahudumia ukijifanya unayaweza lazima yeye akatafute sehemu ahudumie hiyo ndio sifa yaoo

  • @herieldauson5987
    @herieldauson5987 5 місяців тому

    tukachonge wa kwetu😅😅

  • @MagrethSamwel-s5z
    @MagrethSamwel-s5z 6 місяців тому

    Usikute anahonga ada ya chuo huyu😢😂

  • @blandinajoseph6587
    @blandinajoseph6587 5 місяців тому

    Sasa ww Mr.uky huo mshangao aje tena😂😂😂

  • @zwadiijaxen
    @zwadiijaxen 6 місяців тому

    Who is Chris?y??...😂😂😂😂funny

  • @JeremiahAgustino
    @JeremiahAgustino 6 місяців тому +1

    Embu tuletee patr two chap😂 et unaakili yy nd ana akil unamuhudumiaje mwanume wkt ndo kaz ake kwako ss kam yy atak kuhudumiw kun wadada atatuhudumia😂

  • @FEBRONIAJULIUS
    @FEBRONIAJULIUS 6 місяців тому

    Ndio shida ya kulea wanaume wasio na hela😂😂😊

  • @ummyjux
    @ummyjux 5 місяців тому

    macho kama chungu chung