nitakukumbuka daima sajuki. .mola Akuwe pema palipo na wema nalia hadi leo ila mungu kakupenda zaidi wewe mbele sie nyuma...mola akupe mume mwema kama sajuki daa Wastara lv you soo much
Nakukumbuk mungu akulaze mhali pem na mungu amtie nguvu wastar apate mume kam wew japo hata kuw na kam ww man ulimpa moy wako sasanij wa sas no kuchezean tu na kutafut kiki pumzik baba mbele yetu nyuma yetu sajuk limebak jina tu
YESU ndie jibu la maisha ya Mwanadamu,aijalishi unapita katika mogojwa magumu namna gani Muite yesu anasikia atakuponya Isaya 53:5 Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona. Yohana 14 14 Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya.
I am watching this 2021 ...jamaani Kifo Uchungu hapo namwona Wastara najaribu kuSmile akichekacheka to make her Husband to be Comfortable but Maskini Msichana Wa watu aliumwa....so Sad 😢 Wastara Dada Jipe Moyo
Sajuki, ukiamini kwamba maradhi yanashushwa na Mungu, jua kupona ni vigumu, mwamini Mungu atakuponya. Neno la Mungu linasema shetani anakuja kuua, kuangamiza lakini Yesu analeta uzima.
God be wi u
We are still watching 😥😥😥😥😥😥😥
Who is watching 2024 Keep RIP sajuki asee maradhi😢😢
Me🙏🙏🙏🙏
😂😂😂r.i.p bro juki
😭😭😭
🙏
@@BedaShayosasa mbona wacheka ww
2020 😭😭Natazama kutoka Kenya ,sikujua Sajuki aliaga Dunia.Nilitama movie yake na Wastara nikiwa secondary. Rip Sajuki
Tunaendelea kukukumbuka kaka yetu sajuki allah akuhifazi sana😢😢😢😢😢❤❤❤🎉
Subhanallaah hivi ndo naona hali ha sajuki kumbe ilikuwa hivi alla ah amlaze Mahalo pema
Who's looking this 😭😭😭2019
Painful
Ya Allah msamehe ña umrehemu kaka yetu Sajuki....Aamiin
fatma juma
Mkeo anapata taabu duniani
Ya Allah umrehemu mja wako! tazama mkewe anavopata taabu duniani!
nani yuko hapa leo hii march 18 /2020 dua yako pls
@@janegeogre3234 mwenye mungu amrehem ampe kauli thabit
INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAAJIUN. Pumzika kwa AMANI Ndugu YETU, Mpendwa WETU. AMINA.🙏🙏🙏
nitakukumbuka daima sajuki. .mola Akuwe pema palipo na wema nalia hadi leo ila mungu kakupenda zaidi wewe mbele sie nyuma...mola akupe mume mwema kama sajuki daa Wastara lv you soo much
r I p
uyu alishatangulia mbele za haki kwanini kwanini mnafanya hivyo kumlusha kwa sasanyinyi watu
shilah kizito na
Nimejikuta nalia 😭😭 Allah akusamehe makosa yako uko uliko🤲🤲
Hauto sahaulika sajuki Allah akulaze pema palipo na waja wema ya rabbi ... Allah akuswamehe na akurehemu
Sijawai kukusahau sajuki...Allah Akupe pepo kaka
Mungu akuweke mwangaza kaburin na ulipokosea mungu akusamehe 😢😢😢😢😢😢
Nakukumbuk mungu akulaze mhali pem na mungu amtie nguvu wastar apate mume kam wew japo hata kuw na kam ww man ulimpa moy wako sasanij wa sas no kuchezean tu na kutafut kiki pumzik baba mbele yetu nyuma yetu sajuk limebak jina tu
Allah ailaze roho yko mahli Pema pepon
YESU ndie jibu la maisha ya Mwanadamu,aijalishi unapita katika mogojwa magumu namna gani Muite yesu anasikia atakuponya Isaya 53:5 Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.
Yohana 14
14 Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya.
😢😢😢😢 nana unalia 2020😢😢💕
Daaa
Inauma
R. I. P..... Who is looking this 2018.....so 😔 😔 sad
am watching it now 09/02/2018
10-8-2018
10.12.2018
Kemmy Pius it’s very sad 😔
mungu akurehemu sajuki mungu akulaze mali pema peponi
😭😭😭tuta kukumbuk daimaa alama yako aifutiki till now 2024😢
Maradhi ni mtihani kutoka kwa mungu
Allah azidi kumpa kauli njema tunakukumbuk sn
Mwenyez Mungu azid kukupumzisha Mahala pema Amin
Allah Akuhifadhi Palipo Na Wema Jannathul Firdhaus Iwe Makazi Yako 😭😭😭
mungu akulazs mahali pema kaka angu daah udongo hauridhiki jman inallilah
Innaalillah wainnaailayhi raajiuun.yaa rabby mjaalie makazi mema peponi
Inalillahi waina illeihi rajiun,llah akuweke pema kwenye pema,akuondoshee misukosuko ya kabri.Amin.
I am watching this 2021 ...jamaani Kifo Uchungu hapo namwona Wastara najaribu kuSmile akichekacheka to make her Husband to be Comfortable but Maskini Msichana Wa watu aliumwa....so Sad 😢
Wastara Dada Jipe Moyo
Ya allah msamehe na umrehemu kaka yetu sajuki amiin🙏🙏
amen mungu akulaze mahalipema peponi sajuki
Kifo kweli kilitoka wapi katiyetu mungu amulaze malipema peponi ami
jamani
Allah Akuepushie Na Adhabu ya Kaburi
Mungu akupumzishe maharipema pepon
😭😭😭😭😭😭Allahumma ghfirlahu warhamahu waskinhu fill jannah
Allahumma amin🤲🤲
Masikin nakukumbuka kaka mungu akuweke pema milele
Mungu akulaze mahaki pema peponi
Mwenyezi Mungu akuweke mahala pema peponi
Allah akupumzishe na Amani Tele kabirn Amiin
maskin yamungu jmn roho inaniuma sana mpak nalia mimi daah
Yani hadi huruma
Inalillah waina illah rajiun 😭 😭 😭 tutakukumbuka daima
Mwenyez Mungu amrehemu.
Allah akurehem Kaka yangu niliumiy saana kabisa😭😭😭😭
R.l.P sajuki mwenyezi mungu akulaze mahala pema pepone ameen😥
Nani anaangalia hii Interview December 2020 baada ya ujumbe wa Wastara?
May 2024
Mm nipo 2024😂😂😂😂
Inna llillah wainaillah rajiuun
Allah akurehemu Sajuki
Bado tunakukumbuka nimejikuta nalia sana jaman daaa Allah azidi kukuhifadhi
Dah!!Juma Kilowoko,endelea kupumzika kwa amani kaka.😭😭
ALAAH- mahara pema poponi aamina sisiwote niwaja Duwa bado twakuombea huko uliko ktk Makazi mapya.
Allah akuhifadhi na kaburi lako alipe nuru insha Allah
Dah! Tumshukuru mungu
Mungu akulaze mahali pema
Mungu akulaze pema peponi🙏😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Allah akulaze mahali pepa peponi Amiin allahuma amini 😭😭
Allah akuondolee adhabu ya kaburi ukuwekee wa malaika wema na akupanulie kaburi yako InshaAllah
roho imeniuma daa kweli tukienda haturudi
Nirikuwa nakukubari Sana mungakuweke mahari pema
Mungu akurehem baba
Mungu amfanyie wepesi
Allah hamrehemu kaka .
Mwenyezimungu akusameh sana
R.I.P Sajuki, Majonzi sana kwa Taifa na mkeo mpendwa, Mungu amtie uvumilivu ktk kipindi hiki kugumu.
Amina
2024 🙌🙌
Mungu akurehemu
Daima nitakukumbuka sajuk
Mbele yako nyuma yetu 😢😢😢😢😢
Allah akurehem pumzika salama
Pumzika kwa amani Sajuki 2022
kifo ni fumbo😢😢😢😢😢😢alikuwa ana imani kwamba one day ata simama kumbe kifo kilikuwa kipo jilani naye😢😢😢😢
Allah akulaze mahali pema 😢😢
Allah ampe kauli thabiti sajuki bado tunamkumbuka
Daah 2024 😭
Mungu msamehe dhambi zake mja wako huyu na umlaze pema
Rest in peace brother nitakukumbuka daima sajuki😢
Sajuki mung akupokee masikin😭😭😭😭😭🇴🇲🇴🇲🇧🇮🇧🇮
Allah akuondoley adhabu za kaburini😢😢
Tulitoka mchangani natutarud mchangani.R.I.P
Malika Maingu k.
Amina da hapa alipunguwa
Hadi alibadilika hapa tulikuwa tunampendaga
Jamani kipenzi chetu mbona ulituacha bado tunakupenda alafu ni mda sana sasa kwanini mnatukumbusha jamani
Inna lillah wa inna ilayhi raajiun....
Kifo akina huruma ewe kifo jmn Mola amlaze Kaka Sajuki Mahali Pema Peponi Amsamehe Mandhambi yake Ewe Mola Warehm Walotangulia Mbele Yahaki Yahaki
Upumzike kwa amani ndugu 🕊️
Hii nimeangalia leo 2024 RIP sajuki
r i p bro m/mungu akuweke mahari pema...
Jmn hii interview ilikua 2020 hapana Kuna mtu kaandika ivyo hapana kakosea ni nyuma mno
Nakumbuka Bali sana
Sajuki, ukiamini kwamba maradhi yanashushwa na Mungu, jua kupona ni vigumu, mwamini Mungu atakuponya. Neno la Mungu linasema shetani anakuja kuua, kuangamiza lakini Yesu analeta uzima.
Tuna kuku mbuka sana mungu akulaze pema
😭😭😭😭dunia mapito pumzka kwa Amani kaka
Mungu akuangazie nuru kwenye kaburi lako hakika kila nafsi itaonja mauti😢
Alikua anajitahidi kuonekana yuko okay jaman😭😭
Allah amsamehe makosa yake ya siri na dhahiri😢😢😢😢
😢😢😢msamee 2,kakangu
Rip sajukii this is so painful😭😭😭😭😭
we miss you sajuki God be with you we are around you
Daaaah aisee huzuni sana
Natazama hii 2024 R.I.P sajuki
Ila aliisha sana
Inauma sana jamani lkn anma jinsi kikubwa ni kumuombea tu .r. ï.p
Hapa Wastara unawaka sana ww n.mrembo ila kua makini
mola akurehemu kaka etuuu
ALLAH msamehe sajuki na umreheme huko alpo
Pole sana wastara😔😔
inna illah waina illah rajiun Allah rehemakallh 😢
Inna lillah wa Inna Ilahy Rajiun🤲
2023 January 9 Mon😥