R.I.P best actor ever in Tanzania, this was the best couple Wallahi Sajuki was very smart, talented , fun Allahumma Fillahu Warhamhu Waaskinu Fil Jannah
Inna- llilahi waina illaihi rajiun,mungu akuweke pema kwenye wema,na akuondoshee misuko suko ya kabri,ni mtihani yote na kila apangalo mungu lina heri ndani,Wastra jisubirishe na hakika jazaa inshaallaah,kesho kwa mola.
BONGO sekta ya Afya bado ni kiza na ndio sababu tunapoteza wengi tuwapendao, sijui ni lini mwanga utapatikana...Mwenyezi Mungu pekee ndio anasimamia afya zetu kwenye kupigana na magonjwa hapo ndio mtihani! utanweza kuta tatizo lake linge tibika ila tu ufinyu wa tiba ndio umechangia kasi ya ugonjwa.
R.I.P bro! sikubahatika kukiona kipindi hiki kwa wakati mana nje ya nchi tunategemea mpk mkipost katika youtube! ila nimejisikia machozi yakitoka kwa muda, kiukweli kama binadamu tungejua nini kinafuata siku chache zijazo, basi kuna maswali salama asingeuliza na wala sajuki asingekua na furaha kama alivyokua, Mungu ni mkubwa na ukubwa wake utabaki kua fumbo! Nimejifunza mapenzii ya kweli ktk ndoa yao, pamoja na misukosuko ya maisha, ila kwa vijana wenzangu tufanye vipimo vya afya kilamara!
mbona kushhakucha weka basi bro huo mkasi tujikate,lol mpaka jua litue!khah acheni hizo basi.we mwenyewe ulisema kazi yako ni kupost post haya !post sasa;,unafanya nini?bado unalala eenhh!
mungu akuepushie Adhaba yakabr na akuepushie madhambi yako yaciry na yadhahir insha.Allah Ameen
Inaumiza sana tena sana! Mungu alinde familia yko! R.I.P
kweli binaadamu hatujui tuendako na hatma yetu itakuaje ....na 2015 naenda kugombea watu wakae tayari bila ya kujua kabakisha mda mfupi tu kubaki duniani.... RIP Sajuki
Ma shaa llah haahha yaan mpka nafurahi sna Allah anisamehe sajuki
R.I.P best actor ever in Tanzania, this was the best couple Wallahi Sajuki was very smart, talented , fun Allahumma Fillahu Warhamhu Waaskinu Fil Jannah
Jaamani inasikitisha sana mungu amueke mahalipemapeponii amiinaa Yani walikuwa wakipendanaa sanaa
Ooooh mungu alulaze maaali peme kwa sababu ulitambuwa kifo chako
RIP Sajuki...... God knows I was a great fun of your movies. Mola akuweke mahali pema wenye wema Ameen.
Hakika sisi niwa Mwenyezimungu na kwake tutarejea
Allahuma firlahu warhamu waskunuhu filjana kakangu upate pepo firdhaus
Hakika duniani tuna pita tu mungu akurehem pia a konde shee azabu ya kabri amin
daaaaah maneno ya marehem sajuki yameniumiza sana maskini
2024 ndio nangalia
mbele zako nyuma zetu sajuki mung akupunguzie hadhabu ya kabuli
Daaah huyu mwamba angekuwa hi angekuwa mbali xn rip sajuki
R.I.P sajuki mungu akupunguzue adhabu ya kaburi
Tumuombe Allah amuondoshee adhabu ya kaburi dada sio ampunguzie.
Pole kwa wafiwa.Imekuwa vema mkasi mlijaaliwa kuagana na kutuletea mahojiano ya mwisho na rafiki yetu..RIP Sajuki
Mungu amlaze pema kipenzi cha watu
maskini daah wastara ana haki ya kukukumbuka sio kwa mapenz haya
R.I.P sajuki wastara Allah akupe moyo wa ujasiri zaidi maana mumeo alikua ni mcheshi sana
rip
Ndiomana aliimba jamaa wesio sajuki wastala wann unanijua hauna mapenzi ya kweli inamtaka wann kama una tazama 20202
2023 👍👍
Salama alikuwa modo😂🎉2030 Inshalllha
Nilikuwa naipenda sana ile video yamboni yangu
Mungu ametoa na Mungu ametwaa jina lake libarikiwe AMINA
Broo Mungu akupepee huko....Amiin..!
MUNGU akubanike,..aTAKUbanikA Wewe kwanza,kauli imeleta maswali,ila Mungu tU ndo apangaye hata iweje.
DUNIANI TU WAPITAJI,PUMZIKA KWA AMANI KAKA
Daah! Chini Kunaenda Watu Jamani😢😢😢
Alikuwa mcheshi sanaaa...
mapenzi yao hayakuwa na unafiki ndani ake
also a strong fighter😢😢😢
So sad ,they loved each other so much,mungu amueka pema peponi.
Inauma sana ila kazi ya Mungu haina makosa.
R.I.P Sajuki. na mkeo Mungu ampe subira.
nakukumbuka sana kaka sajuki
Allah akupunguzie adhabu yakabr R.l.p
Allah akusamehe sajuki juma juma issa
Inna- llilahi waina illaihi rajiun,mungu akuweke pema kwenye wema,na akuondoshee misuko suko ya kabri,ni mtihani yote na kila apangalo mungu lina heri ndani,Wastra jisubirishe na hakika jazaa inshaallaah,kesho kwa mola.
Rest in Peace Bro 🙏🏾
Eti sisomagi sana magazeti 😂😂
R.I.P Sajuki tulikupenda sana .
Allah akusamehe makosa yako akupe kauli kauli thabit
hapo sajuki kasema mungu akubanike saaana salama akasema akubanike wewe kwanza duh maneno haya 14:12
😢💔💔 Rest in Peace bro Juma tulikupenda ila Mwenyez Mungu alkupenda Zaid
Nilikua natafuta comment latezt😊
duu, tena Afya YAKE ilikua ishaanza kurudi Maskini,, RIP sajuki
yani ni mtu wa maataanii sana hadi raha
Jaman agekua mtu yuarudishwa nchini nigemuedea sajuki leo ii.lakn ole wagu cwez.nisamee Mola wagu.rip broo
Yaan we acha tu
R. I. P Sajuki
R I p sajuki allah ailaze roho yako pema peponi
rps brother....umetangulia na ss tutafuatia...mungu atufanyie wepesi wote brother...
rip bro may ur soul rest in peace
Innanilah wa innallillah rajun! Sajuki
hakika umetutangulia......tupo njiani tunakufuata.......lala salama Sajuki....Wasitara kuwa na subra
RIP bro mungu akurehehu sana
We loved you but Allah loved you more
Ivi wastar akiangalia hii nahaya anayofana sasahvi kuhusu ishu y bint kiziwi anajifunza nn hapa?
BONGO sekta ya Afya bado ni kiza na ndio sababu tunapoteza wengi tuwapendao, sijui ni lini mwanga utapatikana...Mwenyezi Mungu pekee ndio anasimamia afya zetu kwenye kupigana na magonjwa hapo ndio mtihani!
utanweza kuta tatizo lake linge tibika ila tu ufinyu wa tiba ndio umechangia kasi ya ugonjwa.
la sajuki amefariki dunia not too long baada ya hiki kipindi cha mkasi
jamn inasikitisha xan pole wastar
tumuombee sajuk mung ampunguzie adhabu za kabli👏
Dah yani sajuki rest in paradise men
huu mkasi wa nape uko wapi jamani mpaka sasa lol,hebu acha mapozi weka mkasi
Jaman wastar mzur sanaaaaaa
Juma Ali
Akiiii n mzuriii
Endelea kupumzika kwa amani kaka
Ndiyo maana wastara atawai sahau
rest in peace sajuki
Ambanike sanaaaa nani katangulia...sasa😅😅😅😅
bad comment
pumzika kwa amani Sajuki
Hakuna marefu yasiyo nancha dunia. Tunapita
Wanaume kam ww ote wameshak kufa zamani kwel
R.I.P
rest well Sajuki
Waliendana Sana
R.I.P bro! sikubahatika kukiona kipindi hiki kwa wakati mana nje ya nchi tunategemea mpk mkipost katika youtube! ila nimejisikia machozi yakitoka kwa muda, kiukweli kama binadamu tungejua nini kinafuata siku chache zijazo, basi kuna maswali salama asingeuliza na wala sajuki asingekua na furaha kama alivyokua, Mungu ni mkubwa na ukubwa wake utabaki kua fumbo! Nimejifunza mapenzii ya kweli ktk ndoa yao, pamoja na misukosuko ya maisha, ila kwa vijana wenzangu tufanye vipimo vya afya kilamara!
Kwakweli maulana aliumba na ataumbua kabisa nimekubali kabisa kabisa
Pumnzika salama sajuki
rip juma ....
R.i.p juma
rip bro sajuki
Rest in peace sajuki
bless!! R.I.P dear
Daah😢
2021
jamani dunian tunapita
R.I.P Sajuki.
rip kaka sujuki
R. I. p sajuki
daaaaaaah r i p sajuki
rip sajuki
😂😂😂😂2019
RUST IN VREDE, BRO
dunia mapito
Duuh rip
Ach wastara alie tu
ile habari watu wa metangazaga kama Juma ame fariki ilikuwa huhongo?
Hatoai tokea mtu wa akili kubwa kama wewe
Rip
jamani mkasi ina kuwa lawama sasa
r. i. p bro
rip kama zali kumwona akiwa anatuaga
R.I.P duuh!Mungu akulehem
So sad
mbona kushhakucha weka basi bro huo mkasi tujikate,lol mpaka jua litue!khah acheni hizo basi.we mwenyewe ulisema kazi yako ni kupost post haya !post sasa;,unafanya nini?bado unalala eenhh!
baby sk k
We ni mamarukii ,,,umetumwaa panya road wewe
R.p
😢😢😢😢
rklf
R.I.P Sajuki