Mdogo wangu Wastara, wewe ni mzuri umeumbwa ukaumbika. Pole sana kwa story zako zote, zinatia huruma, zinafundisha na kwa ukweii mhhuuu! pole na hongera. Ila wewe ni simba jike simama mwenyewe maisha unayaweza. Usiruhusu kujipa maumivu tena! Maisha yako si ya kuwafanya wengine kutajirika kwa kuandika na kuuza story juu yako. You are unique my dear, you are worthy my darling. stop counting marriages. Let God be your husband kama neno lake lisemavyo yeye ni mume wa wajane na baba wa yatima... Nakupenda sababu uko na moyo mkuu stop matatizo katika matatizo yako allow God to take control over your life.
pole sana my dear sister Wastara. nimeumia sana saaana ila naamini Mola yupo pmja nawe na malipo ni hapa hapa duniani atakulipia In sha Allah. HUKUMU yake ataipata hapa hapa duniani kwakukudhalilisha, kukukashifu, kukunyanyasa nakukuumiza moyowako, hakika kuna Wanaume wengine hawajui kupendwa wanaipata bahati lkn wanazichezea. hakuna kitu kimeniuma km kukuita screpa hlfu kuja kukukashifu na kukusingizia uongo imeniuma sana kwani naamini hakuna binaadamu aliekamilika na hujafa huhaumbika na wala wewe hukuomba uwe hivyo. M/Mungu atakufariji habibty. atakupa stara km jina lko lilivyo In sha Allah. Love you so muuuch my sister. shukran Kaka Ayo kwakutujuza.
Katwa wasii wote bongo...wasatra nakupenda.....coz unajieshim ..sana...nii mvumilivu sjapata kuona....Masha Allah.....yote yalo semwa kuusu kuvunjka kwa ndoa sikuamn...kher umesema kwa kinywa chako..pole kwa mitian....Yataisha in sha Allah..Nakuomba wastra kaa umepona na unanguvu...nenda ukafanye Hajji..uenda Allah anaeza itikia dua zako...mitan ikaisha in sha Allah...
Wastara you need my kind of husband. Nimeshaoa na sitaongeza mke but tuko wachache sana INSHA ALLAH, Utapata. Utapata mwenye uwezo wa kawaida na mtashiriki wote kujenga Maisha. INNA LLAHA MAASWABIRIIN
Pole sana Wastara mimi nimekupata nikiwa Kenya kijijini Samburu.Nimejunza mengi sana .Huyo Mbunge ana mashetani ya mbunge pia anatatizo kubwa anahitaji si maombi tuu bali uhauri wa kimatibabu. Tafathali Millard huyu dada apewe Ulinzi wakutosha...huyo mbunge siamini aenda
Ushaur wangu kwa wastar hupaswi kumchukia uyo baba muombee maisha malefu ni mungu tu alikuunganisha nae ili upate sapota ya matibabu tu bas na sio vingine wacha maisha yaendelee
Pole sana wastara uyo mume mwenye vituko ivo ndio ninae mm na nimezaa zaa nae watoto watatu doh yan ila saaa ivi mm mwnyewe nimeamua kuondoka nimeteseka Sana. najua kiasi gani umeumia 😨😨
Wastara pole hata mie nilikiona hicho kwa mume wangu,,,yaaaniii anakuja anakuta wageni ndani, anaingia kwa dharau anasema zima TV ,,, yaaaniii Mungu nisimamie ktk hili,,,wanawake tunapitia mambo mengi sanaaaaaaaa.
pole Sana dada wastara.kiukweli Usio fichika Uyo mtu alitegemea kupata mafanikio kupitia ww. ila Mungu atakulipa kwa alio yafanya. namchukia Kiukweli maana yupo kama muuwaji hayo maneno sio kabisa
Eti ameanguka kwa pikipiki mara amekwaruzwa jicho hahahahaha. what kind of a man was he? Those were not good signs & Who is this guy by the way? Daah tanzanian politicians are entertainers & entertainers are politicians.Sio mume yule wallah what a mess! Thank you millard for letting Wastara tell her story without interruption.its the best thing ive watched on YT today
Kwenye hii dunia czani kama kuna mwanaume alobaki anaejua kubembeleza mwanamke wanaume hao hawapo jamani wanawake tunapitia mengi sana kwenye hii dunia mm kama mm cjawah kuifurahia ndoa yangu hata sikumoja maisha yangu yote nimaumivu tu tangia nikiwa mtoto mpaka sasa nina miaka 40
Daah. dada pole sana my dia na hilo dada lilikukuta kwa kuwa una stress dada ndio maana hukuchagua. lakini pia heshima ya familia na kujiheshimu kwako ndo kulifanya ukubali kuolewa. Napenda kukushauri kuwa usikate tamaa yupo aliyepangwa na akakuoa na akawa zaidi ya sajuki Mola hakuondishei ila hukuwekea kilicho kizuri zaidi. Nakupenda sana dada Natamani niwe na namba yako ya simu
Pole sana; Bi. Wastara. Lakini hupaswi kukataa ndoa na juwa kuwa Binaadamu wote sio sawa. Ndoa ni jambo la heri na baraka ikiwa Mume au Mke watadumisha mambo haya; Upendo, Imani, Kuthaminiana, Kujaliana na Subra. Ushauri wangu kwako, Bado unaomuda kwavile wewe bado kijana mrembo sana, unapendeza si busara kukaa bila ya kitulizo cha moyo na nafsi kitakachokupa faraja. "Nacho ni Mume" Pole sana. ..Kwa kawaida wenye pesa au wanaopata pesa 'Huharibika kwa Jeuri, Kibri, Dharau na Kutokujali' Inatokana na kutokujielewa, anachoona yeye ni pesa tu ndio kila kitu. Pole sana. ... Nakukaribisha nyumbani Zanzibar na mimi naitamani hiyo nafasi ya (5). Kosa la Mpumbavu asiyejielewa lisitukoseshe wengine wenye nia na upendo wa dhati. "Inshaallah Mungu Akubariki na akulinde na husda pia akupe afya njema" AMIN. ..AMIN (0777481516)
Its true am one of your new supporter....... get back on your feet and move on....life is very short to let such scenes pull you back. Also be happy you made him love his wife back... yaani haukuvunja familia yake, atleast mahali popote walipo sasa wanajua tu ni wewe ndio ulisuluhisha matatizo ya ndoa yao. I salute you Big
mackini dadangu pole sana.hadi nahisi machoz.eti anakuita scrap?hukupenda ww uwe hivyo.ila hata yy ajafa ajaumbika.jipe moyo dada.na ulichukua uwamuzi wa sawa kabisa.ata MUNGU aliona.na in shaa ALLAH utayasahau yote hayo.pole sana kipenzi.
sijui kwann wastara alikubali kuolewa na yule jamaa ,jamaa ana matusi yule kama barazuli ,tabia zake yaan nadhan hakumjua tabia zake .ila ndio maisha .
Wastara ulipata wapi ujasiri wa kuenda moja kwa moja kuonana Na mke wa huyu jamaa? I fear to be a 2nd yf really cz matokeo ni machungu.pole Dada Gods time is the best
hkna dhiki wa dhiki @wastara kuwa na subra in shaa allah utapata alobora zaid ya uyo.muombe mola kwa sna.maamuzi yko sio mabaya coz unajitahidi kuepukana na zinaa allah akufanyie wepec
pole sana ..mola yuko nawe dia wala usiwe na uchungu shukuru mola amekutibu hata kama sio pesa zake ipa ume tibika na kama aliona ata kuzazilisha basi aibu kwake maana hata mkewe mama watoto wake wame achana sebuse wewe nibora kwa mamuzi yako umefanya vyema sana
du pole sana wasitala kiukweli unatia imani ktk hii ndoa yako ya huyo mweshimiwa kiukweli si wanawake tunapata mitihani sana ktk ndoa zingine tunazozipitia huyo hakuwa mwanaume bali nimtihani ulikufika hakuwa mwanaume wa thati kwako
Mdogo wangu Wastara, wewe ni mzuri umeumbwa ukaumbika. Pole sana kwa story zako zote, zinatia huruma, zinafundisha na kwa ukweii mhhuuu! pole na hongera. Ila wewe ni simba jike simama mwenyewe maisha unayaweza. Usiruhusu kujipa maumivu tena! Maisha yako si ya kuwafanya wengine kutajirika kwa kuandika na kuuza story juu yako. You are unique my dear, you are worthy my darling. stop counting marriages. Let God be your husband kama neno lake lisemavyo yeye ni mume wa wajane na baba wa yatima... Nakupenda sababu uko na moyo mkuu stop matatizo katika matatizo yako allow God to take control over your life.
mambo
pole sana my dear sister Wastara. nimeumia sana saaana ila naamini Mola yupo pmja nawe na malipo ni hapa hapa duniani atakulipia In sha Allah. HUKUMU yake ataipata hapa hapa duniani kwakukudhalilisha, kukukashifu, kukunyanyasa nakukuumiza moyowako, hakika kuna Wanaume wengine hawajui kupendwa wanaipata bahati lkn wanazichezea. hakuna kitu kimeniuma km kukuita screpa hlfu kuja kukukashifu na kukusingizia uongo imeniuma sana kwani naamini hakuna binaadamu aliekamilika na hujafa huhaumbika na wala wewe hukuomba uwe hivyo. M/Mungu atakufariji habibty. atakupa stara km jina lko lilivyo In sha Allah. Love you so muuuch my sister. shukran Kaka Ayo kwakutujuza.
Alikuita skrepa
Huyo
Ni
Mwanaume
Kweli
Jaman tuelewe uwez kumlaumu wastara kadakia mume wa mtu wakati dini yake inaruhusu tujitahidi kumpa pole
Katwa wasii wote bongo...wasatra nakupenda.....coz unajieshim ..sana...nii mvumilivu sjapata kuona....Masha Allah.....yote yalo semwa kuusu kuvunjka kwa ndoa sikuamn...kher umesema kwa kinywa chako..pole kwa mitian....Yataisha in sha Allah..Nakuomba wastra kaa umepona na unanguvu...nenda ukafanye Hajji..uenda Allah anaeza itikia dua zako...mitan ikaisha in sha Allah...
Wastara you need my kind of husband.
Nimeshaoa na sitaongeza mke but tuko wachache sana INSHA ALLAH, Utapata.
Utapata mwenye uwezo wa kawaida na mtashiriki wote kujenga Maisha.
INNA LLAHA MAASWABIRIIN
wewe ni bora kuliko wanaume wanne waliyomshinda
@@ayubnsajigwa1037 kila Jambo linalotokea Lina sababu
pole sana Wastara Allah akupe Subra na Akujalie Mme mwingine atakayejua thamani yako
Pole sana Wastara mimi nimekupata nikiwa Kenya kijijini Samburu.Nimejunza mengi sana .Huyo Mbunge ana mashetani ya mbunge pia anatatizo kubwa anahitaji si maombi tuu bali uhauri wa kimatibabu. Tafathali Millard huyu dada apewe Ulinzi wakutosha...huyo mbunge siamini aenda
Ushaur wangu kwa wastar hupaswi kumchukia uyo baba muombee maisha malefu ni mungu tu alikuunganisha nae ili upate sapota ya matibabu tu bas na sio vingine wacha maisha yaendelee
Pole sana wastara uyo mume mwenye vituko ivo ndio ninae mm na nimezaa zaa nae watoto watatu doh yan ila saaa ivi mm mwnyewe nimeamua kuondoka nimeteseka Sana. najua kiasi gani umeumia 😨😨
Tatu 12 pole dada tatu kila mtu yuko na historia ya maisha ya kuelezea
Tatu 12 pole xn
Pole
pole sana wastara dada yangu nimekuona huruma sana .yote maisha .utazoea .ndo maisha ya kuolewa yalivyo
yaani wastra we kiboko...nimekuheshimu dadangu....kweli kabisa mume wa mtu who mtamu kabisa..hongera sana.
Wastara pole hata mie nilikiona hicho kwa mume wangu,,,yaaaniii anakuja anakuta wageni ndani, anaingia kwa dharau anasema zima TV ,,, yaaaniii Mungu nisimamie ktk hili,,,wanawake tunapitia mambo mengi sanaaaaaaaa.
😢😢😢😢wengi wanakuwa ni maskini wakubwa,wamepata pesa ukubwani
pole Sana wastara uyomwanaume nijibu amekudhalilisha kwawatu kakufatamwenyewe alafuanashidwa kukuheshim. Mungu yupo usikurupuketena piausisikilize ushauliwawatu utakuponza.
pole Sana dada wastara.kiukweli Usio fichika Uyo mtu alitegemea kupata mafanikio kupitia ww. ila Mungu atakulipa kwa alio yafanya. namchukia Kiukweli maana yupo kama muuwaji hayo maneno sio kabisa
Da wastara pole mungu akuepushie kila lililo baya nakupenda sana
Eti ameanguka kwa pikipiki mara amekwaruzwa jicho hahahahaha. what kind of a man was he? Those were not good signs & Who is this guy by the way? Daah tanzanian politicians are entertainers & entertainers are politicians.Sio mume yule wallah what a mess!
Thank you millard for letting Wastara tell her story without interruption.its the best thing ive watched on YT today
ooooooops!! 😢😢😢😢 am speechless! pole sana. wastara ww ni shujaa wangu! yaan ww ni kioo changu
pole sana,bora kupata mume anayejua kubembeleza coz hela zinatafutwa..pole sana dada'ke
Kwenye hii dunia czani kama kuna mwanaume alobaki anaejua kubembeleza mwanamke wanaume hao hawapo jamani wanawake tunapitia mengi sana kwenye hii dunia mm kama mm cjawah kuifurahia ndoa yangu hata sikumoja maisha yangu yote nimaumivu tu tangia nikiwa mtoto mpaka sasa nina miaka 40
Daah.
dada pole sana my dia na hilo dada lilikukuta kwa kuwa una stress dada ndio maana hukuchagua.
lakini pia heshima ya familia na kujiheshimu kwako ndo kulifanya ukubali kuolewa.
Napenda kukushauri kuwa usikate tamaa yupo aliyepangwa na akakuoa na akawa zaidi ya sajuki Mola hakuondishei ila hukuwekea kilicho kizuri zaidi.
Nakupenda sana dada
Natamani niwe na namba yako ya simu
Huyo jamaa kabila gani duh,
Pole sana; Bi. Wastara.
Lakini hupaswi kukataa ndoa na juwa kuwa Binaadamu wote sio sawa. Ndoa ni jambo la heri na baraka ikiwa Mume au Mke watadumisha mambo haya; Upendo, Imani, Kuthaminiana, Kujaliana na Subra.
Ushauri wangu kwako, Bado unaomuda kwavile wewe bado kijana mrembo sana, unapendeza si busara kukaa bila ya kitulizo cha moyo na nafsi kitakachokupa faraja. "Nacho ni Mume" Pole sana. ..Kwa kawaida wenye pesa au wanaopata pesa 'Huharibika kwa Jeuri, Kibri, Dharau na Kutokujali' Inatokana na kutokujielewa, anachoona yeye ni pesa tu ndio kila kitu. Pole sana. ...
Nakukaribisha nyumbani Zanzibar na mimi naitamani hiyo nafasi ya (5).
Kosa la Mpumbavu asiyejielewa lisitukoseshe wengine wenye nia na upendo wa dhati.
"Inshaallah Mungu Akubariki na akulinde na husda pia akupe afya njema" AMIN. ..AMIN (0777481516)
nakupenda sana wastara n pole kwa yaliyokukuta dada angu Mungu akubariki
Muombe mungu akupatie mume mwema kama marehemu sajuki. Pumzika kwa amani kaka sajuki
Sophie Alexander kweli hakuna mume mwema kama Sajuki
pole Sana dada wastara Mungu yupo hutapata mwenye kukuthamini take time
wastara twakuombea inshaallah Mungu atakujaalia upate mume unaemuhitaji kama sajuki inshaalla
Pole sana wastara Allah atakusaidia utapata mume bora
Subhana'Allah.Pole sana Dada
.Usijali mungu atakupa mume mwenye imani InshaAllah usikate tamaa.
Its true am one of your new supporter....... get back on your feet and move on....life is very short to let such scenes pull you back. Also be happy you made him love his wife back... yaani haukuvunja familia yake, atleast mahali popote walipo sasa wanajua tu ni wewe ndio ulisuluhisha matatizo ya ndoa yao. I salute you Big
Waooooo hapo saw wastara
mackini dadangu pole sana.hadi nahisi machoz.eti anakuita scrap?hukupenda ww uwe hivyo.ila hata yy ajafa ajaumbika.jipe moyo dada.na ulichukua uwamuzi wa sawa kabisa.ata MUNGU aliona.na in shaa ALLAH utayasahau yote hayo.pole sana kipenzi.
pole saana Mumy mungu atkuonyesha njia RIP sajuki
Wastara, you're a super woman kwa upande wangu nakuelewa sana!
pole sana wastara. maisha ndivyo yalivyo na challenges zake
Pole sana kwa mkasa ulipitia dada mungu atakusimamia
Wastara my sister katika maisha tunakutana na watu tofauti Sana
Sajuki Sajuki!!!!! Lahaulaa, namani sana kuwa na mwanamke wa namna hii! duuuu God bless u my dia
Siria Lemmy inauma sana
Wasanii mnajua kiongea sana sikuamini 100% yafaa milad ayo tusikie na upande wapili
Upande wa pili tumeshasikia😁😁😁
aki pole wastara. sikujui sana but have followed your history. for sure its painful but trust in God
😢😢 pole sana wastara mungu yupamoja nawe
kumbe ndoa inasir kubwa usione mtu kaachika pole sn
Pole sana wastara kwa janga hilo
Pole sana dada angu.
Pole sana dadangu love u
pole dada, mungu amekubariki dada tafuta kijana mwenye hana...hakuna ndoa tamu kama hiyo. ..bt umheshimu kama mme ata kama hana ...
Umenena my dia.Mume atabaki kuwa kichwa cha nyumba.awe maskini ama tajiri
sijui kwann wastara alikubali kuolewa na yule jamaa ,jamaa ana matusi yule kama barazuli ,tabia zake yaan nadhan hakumjua tabia zake .ila ndio maisha .
😆😆😆😆😆😆
Wastara ulipata wapi ujasiri wa kuenda moja kwa moja kuonana Na mke wa huyu jamaa? I fear to be a 2nd yf really cz matokeo ni machungu.pole Dada Gods time is the best
Pole sana wastara kwa mitihani inayokutokezea nausiache kumshukuru mungu kwani yote nimajaribio yake tu anatuangalia waja wake vp tutamshukuru au la
Subhana Allah!!! Pole Sana Wastara wengine SI wanaume magumegume ndio kama hayo
Pole sana dadaa mungu yuko pamoja nawe....wanao Sema mume wa mtu sumu sioni kama mko sawa kwani mume ana haki ya wake wa 4
pole.sana.dd.wastara.mungu.atakupa.mume.mwema.vumilia2
Edith umenifurahisha sana safi sana ubaguz sio mzuri ikiwa sote ni watoto Wa baba mmoja
Faraja Alex pole sana mrembo
Faraja Alex l
Pole sana Ndugu ya Wastara unachopaswa kukielewa ni kwamba hizo ni Changamoto unazotakiwa Uzibadili ziwe Fursa, Usife Moyo!
Umetufunza wengi
Mungu yupo atakulipa tu usiumie sana Dada angu 👏👏
Pole sana wastara wangu
pole mpenz wangu wastara mungu akupe itaji lamoyo wako nalipo usijali hata
Pole njoo mm nikuowe mwaya
pole sana wastara..poleee sanaaa
Pole sana Dada yng. Ndo maisha inshaallh allh atakuajaalia Mwenye kher na ww
pole sana wastara mola atakujaalia wako wa pekeyako ,unakila kitu umejaaliwaa
Hadi Saa Sita usiku12:00pm aah vipi mgeni alikuwa na shida kweli. Wastara your the Best#Kenya
Wanaume wa dizain hiyo wapo da wastar
Pole sana dada wastara kaa t ulee watoto wak wanaume akili hawana
Pole wastara God is there for you dear.
duuuuuhhhh pole sana mungu atakujaalia utapata mume mwema
Pole sn dada Wastara Mungu yupo pamoja nawe
Pole sana.mwenyezi mungu atakuletea mema.
hkna dhiki wa dhiki @wastara kuwa na subra in shaa allah utapata alobora zaid ya uyo.muombe mola kwa sna.maamuzi yko sio mabaya coz unajitahidi kuepukana na zinaa allah akufanyie wepec
ishallah tunazidi kukuombea kwa allah take time ya kuolewa kwa allah hatupi mja wake
Sadifa yule siyo mwanaume wa kuoa, yule ni fataki sana
pole sana wastara uxijali mungu upamoja nawe dadaaa
Nakupenda wastara
Daah pole sana dada
pole sana.wastar kwakujari usijali
duh pole sana my dear hiyo ni hali ya dunia and God gives you strength
Pole sana dd
Sajuki ndo alikuwa mume wako tu mungu ampumzishe tu
wastara na kupenda sana mama, pole sana
Pole sana dada
Umeongea vizuri sana wastara,pole sana dadangu na nakupenda bure
poleni sana Dada wastanda
pole Mamie
wastarehe nakupa big up kwa kutokupenda uwongo? wanaume si wa kweli na wanamaneno mengi mabaya kama nja
Pole sana
Wanaume bwana
Pole sana dada nakupenda sana.
Wewe ni mrembo sana. Usifikirie Mambo ya ulemavu. Kuna walemavu wengi wanao mahusiano mazuri
Pole
Nakupongez sana dada kwa uwamuz uliouchukua, hakuna ktu kibaya Kama kunyanyasika na kudharauliwa, pia una busara sana na hekima.
Kwani alikuaga kaolewa na muheshimiwa nani 😂😂😂
Si hakuwah kukupenda kabisa ww ulikuaga project tuu kwake.
subhanallah kweli majanga yani mpaka millard ameshikwa na baridi dooh
Pole dada ipo baadhi ya mijanadume miuajii tena mikatili
pole sana ..mola yuko nawe dia wala usiwe na uchungu shukuru mola amekutibu hata kama sio pesa zake ipa ume tibika na kama aliona ata kuzazilisha basi aibu kwake maana hata mkewe mama watoto wake wame achana sebuse wewe nibora kwa mamuzi yako umefanya vyema sana
Pole sana wastara mungu atakusaidia
Pole.sanadadaangu.mungu.atakusaidia.yote.nimapitoyadunia.
Usiwaze mamy mitihani tumeumbiwa mshukuru mungu kakuacha mzima
Nakupenda sana dada wastara
duh pole sanaaaa usijali dada tunakupenda wewe una roho nzuri
sikilizeni wastara hawezi kuka na mwanaume yoyote kwakua sajuki nikiboko yake hakuna atakae shika pezi ya sajuki Ilove you wasitara
i love this lady so much
wastara ww ni mwanamke ambae hukuwa na kashfa kama baadhi ya wasanii wengine kwasasa imeshatokea huwez kuibadili nakuongea mambo yako hadharani haisaidii nikuwapa watu misemo huwasikii lkn wanakung'ong'akamahujui, jipe moyo muombe mungu akusaidie uyasahau lkn siwezi kukudanganya dd ulichokifanya sikizuri sikunyingine usirudie kuingilia nyumba zawatu unawezajikuta unaharibu maisha yako yakawa hayanamuelekeo kbs wakati ulikuwa unajiweza unafikiri mwenzio amefurahi ulivyomuingilia? huyomwanaume achananae naww achakunadi mamboyako binafsi tulia nakuwa makini ktk mahusiano lacvyo utajikuta pabaya watotowako ushindwe kuwapa maisha mazuri tulia kamaumepangiwa utapata aliewako mwanaume wakusubiriana huwahana heshima labda anaemjua mungu nakuelewana namkewe kuwaanaoa nawakakubaliana lkn wakulazimisha utapata majanga usiyoyategemea ridhika namaisha yako nautunze heshima yako mungu anakuona.
pole sana my dada mungu yupa moja nawe 😭
Dada anaongea kistaarabu huyu,,Mungu akutunze
Dada Wastara ww bado ni jembe! mungu atakupa haja ya moyo wako
du pole sana wasitala kiukweli unatia imani ktk hii ndoa yako ya huyo mweshimiwa kiukweli si wanawake tunapata mitihani sana ktk ndoa zingine tunazozipitia huyo hakuwa mwanaume bali nimtihani ulikufika hakuwa mwanaume wa thati kwako
pole xana my dear mungu atakupatia wako just trust in God
Ulichoitaji ww ni msaada wake tu na ndomana ulivotibiwa tu ukazngua acha kupanga maneno apo
dah wastara hakika wewe nimwanamke unayejitambua. nmeumizwa sana na maelezo yako.
Nakupenda bure dadangu,uko muwazi sana
pole my sister maisha ni safari ndefu usikate tamaa pia mtegemee Mungu kwa kila jambo
pole sana dada wastara
pole sana mama!!!!!
Daaa pole saana