MUDA HUU:AHMEDY ALLY AELEZEA ISHU YA LAWI|TFF WAINGILIA KATI/ISHU VYOTE KIJANA KUTUA SIMBA IPO HIVI!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лип 2024
  • #azamtv #azamfc #azampesa #mavalatv #simbasportclub #manaratv #ayomatv #azamtvmaxapp
    #SimbaVSBisharaUnited​#Simba​#Yanga​#YangaVSKageraSugar​#BerkaneVSSimba​#Challenge​#TryNotToLaugh​#Mayele​#YangaVSMtibwa​#LiveMatch​#AllyMayay​#MtibwaVSYanga​#BerkaneVSSimba​##AllyMayayTembele​#YangaTv​#SIMBA​##KibwanaShomari​#Yanga​#Simba​#Yanga​#Simbawalivyoondoka​#KikosichaSimba​#Tryagain​#SimbaApp​#Simbakuondoka​##UchambuziWaAllyMayay​#Bocco​#Mayele​#yanga

КОМЕНТАРІ • 16

  • @abdundimbo5170
    @abdundimbo5170 14 днів тому +1

    Simba wanapemda mtelemko ndoshidayao

  • @yohanamabula7088
    @yohanamabula7088 14 днів тому +1

    Point yko ipi maneno mengi hayana mwisho

  • @chamyluna8030
    @chamyluna8030 14 днів тому +1

    Ovyoooo hili nalo linaongea nn kwani?

  • @DavisonKahimba
    @DavisonKahimba 14 днів тому +1

    Romance nyingi kuhusiana na lawi tunataka clubu 1 ije itupe habari kuhusiana na mchezaji huyu. Lameck lawi maana hatuelew kabisa ishu ya lawi ikoje mje mtujuzeeew😂😂😂

  • @ibrahimalharthi4599
    @ibrahimalharthi4599 14 днів тому

    Yakowapi hayo maelezo ya Ahmed Ali?

  • @jochachallengetv7061
    @jochachallengetv7061 14 днів тому

    Eti shosho media

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 14 днів тому

    Dogo punguza mkali costal Union wameleta uhuni naona vichambuzi vingi mnaisema sana bila kuangalia na upande wapili kueni makini sana katika chambuzi zenu msiwe mahakimu wakuhukum simba bila kujua mambo kwa undani

  • @emacomedytv
    @emacomedytv 14 днів тому

    Kaka unajua sana maana ishu ya lawi kila mtu alikuwa kimya na wanashindwa kutujuza kuhusu ishu ya lawi lakin wanakaaa kimya na mchezaji yuko huko hatuelewi mtuambie kuhusu lawi ama ndo mnamtafutia trending huyu kijana .....

  • @OmaryAllykumba
    @OmaryAllykumba 14 днів тому

    Wakueleze ww kama nan we tulia kitakacho kuepo utakijua tu

  • @DavisonKahimba
    @DavisonKahimba 14 днів тому

    Huyu jamaaa nsiwe mnafki anakitu kaka yangu unaongeaga sana fact ankol inabidi simba itoke front waje watubie kuhusiana na ishu ya lawi

  • @user-fl7tq5cm4v
    @user-fl7tq5cm4v 14 днів тому

    Ni heri kaka uzungumze ukweli maana tumechoka roman x. Za kipuuzi na hawa majaaaaaa

  • @ibrahimalharthi4599
    @ibrahimalharthi4599 14 днів тому

    Poroo lisilo na maana yoyote

  • @ekisuka1
    @ekisuka1 14 днів тому

    Simba kukaa kimya nako ni majibu.

  • @emacomedytv
    @emacomedytv 14 днів тому

    Haya mazoea ndo ambato hatuyataki kayika mpira wetu huu ndo usenge tusioutaka tunataka mje mtuambie kuhusu ishu za wachezaji kuhusu wachezJi harari wa SIMBA kuliko kuleta tantalila ..... 😂😂😂😂

  • @jochachallengetv7061
    @jochachallengetv7061 14 днів тому

    We nani kwani