Alhamdulillah Sheikh Dr. Awes twakupenda, hakika twamuomba Mola SWT ajaalie watoto wetu wapate ilimu kama aliyokujaalia InshaAllah!, Allah SWT akuhifadhi na akupe Umri Twawiil Aamiin 🤲
Maji marefu Haya mawahabi wote Wana muogopa Maana yy haongei kwa maneno matupu Bali ni kamusi kamili sio wao Kila kitu Wana angalia kwenye vitabu vyao.Allah amuhifadh mwanazuon huyu WA Zama hiz🤲🤲
Ubaya ulioje busati la mtoro mnalipeleka kwenye mambo ya ikhtilafu.waandaji tahadharini msiwagawe waislam. Chombo kama hichi ilitegemewa kuwaunganisha waislam wawe kitu kimoja. Hasa katika dunia hii yenye maadui kila pembe basi umoja wa waislamu unahitajika sana.
Sheikh Awes kina kirefu sana, kina kasimu mafuta na wenzake hapa hawawezi kutia mdomo wao wakifanya mchezo watazama tu, ukweli ni kwamba Africa Mashariki lazima tukubali Kenya wametuzidi sana kwa taaluma ya dini yetu ya Kiislam, sheikh Othman maalim pia anatokea huko, Sheikh Said mtaalamu wa balagha pia anatokea huko huko
Sheikh Mubarak Awesi Unachofanya hapo ni kutaka Rai yako igeuke kuwa ndio Rai ya wote Nhv-;Sheikh Albaan (Rahimahu llah ) Hakumpinga Sayydna Umar bin khataab (Radhia llah an-hu) Bali ile athari iliyoelezea ( ubayu bin kaabi alisalisha rakaa 20 Sheikh Albaan kasema kielimu ina dosari ( العلة) Sasa kilichotakiwa ulete athari nyingine isiyokuwa hiyo au usahihishe iliyopo kwa hoja za Kielimu Vinginevyo hapo umekuja kupandikiza rai Yako katika Mas'hala haya ndio iwe Rai ya wote Lakini Kielimu Jambo linapokuwa sio ijmaa halinaga nani kapatia sana Au nani hajapatia Bali wewe fuata ulichodhan ndio sahihi zaidi kwako Na upunguze Taassub Najua uwezi kuacha ila akitaka Allah
Kwani Wanaojiita Ahlu bait hawakuikhilafiana kwani ? Haya ni Majina tu tumepeana na tukaitana Kikubwa asiitukuze nafsi Yako yeye ndio anajua nani yupo sahihi
Waisilamu wa mchongo wananifurahisha saaana yaani sheik katoka Kenya kuja kuongelea taraweh!tangu Mtume kafa karne ya saba mpaka hivi leo bado wana malumbano ya kusali taraweh huku maadui wa Mwenyezi Mungu wanawauwa Waisilamu wenzao wa Palestine wao bado wanalumbano tu kwa mambo yasokua na maana.Waisrael wanaporusha mabomu kuwaua wapalestina hua mabomu hayachagui kama hawa watu wa bidaa au watu wa kanzu fupi nyie kaeni tu na mambo yenu ya bidaa wapelestina wanakwisha na masjid Al aqsa wanauvunja na wala hamtawafanya lolote.
@@fatmafatu1128 ungeanza kumuuliza huyo kwanza aliyesema bid'aa imetokea wapi hapo na wakati mda ni nyingine kabisa allah akusamehe we kwanza kwa kufata mambo yasokuhusu
Alhamdulillah Sheikh Dr. Awes twakupenda, hakika twamuomba Mola SWT ajaalie watoto wetu wapate ilimu kama aliyokujaalia InshaAllah!, Allah SWT akuhifadhi na akupe Umri Twawiil Aamiin 🤲
Aaaamine
You are the one among my 3 role models in this world big up sheikh
Shukran sana sheikh langu nakupenda kwa ajili ya Allah nakufatilia kila uedheapoo kwaajli ya kupata faida
Jamani naomba tuiskilize vizur tuzidi kufaidika pengine maelezo haya tusiyapate sehemu nyengine allah akubarikin
MashaAllah TabaraqaAllah Sheikh Allah Akuhifadhi
Alhamdulillah jazaka llahu khaira
Mbarak awesu fundi sana huyu mtu
Allah akulipe na akuzidishie shekh uko vzr sana yaan km mtu hakufam hapo aaa huyo ni mgonfi na dini
Allah autwawilishe umriwako sheikh
Mashallah darsa nzuri
Huyu ndo doctur sasa mashaalah
young, handsome and intelligent
Masha Allah, Nakupenda Shekh Awess fillah
naomba sheikh arudishwe tena siku nyingine Inshaa ALLh
Masha ALLAH,kipindi kuzuri,Allah awalipe mema.
#Ramadhan Aldawiyya from ZANZIBAR #
Allah amueke sheikh. أحبك في الله
Tafadhali SHEIKH Abbas mlete Sheikh Othman Maalim...Allah awalipe masheikh wotevkwa kazi wanayoifnya 🙏🙏🙏
Ameen kwa mwakani
@@duatvtz in sha Allah 🙏🙏🙏
Maashaa allah tumestafid shekh
Mashaallaah tumewapata vizur kutoka mbauda arusha
Maji marefu Haya mawahabi wote Wana muogopa Maana yy haongei kwa maneno matupu Bali ni kamusi kamili sio wao Kila kitu Wana angalia kwenye vitabu vyao.Allah amuhifadh mwanazuon huyu WA Zama hiz🤲🤲
Nimejifunza kitu ipo haja tukae chini tusomeshwe Allah akuzidishie Alfaqeer
MaashaAllah
Mashaalah
Allahumma swalley Wasallym Alley Waala Allyh
ASANTE Doctor JAZZAKA ALLAHU KHAYRA SHEIKH
Asalamu alaykum vipi hali salama huko naomba ya sheikh Awesu
LEO uwezi ni ELIMU ya MUSTWARAHA ALHADITH. Kama huijui Fani tupishe KIDOGO . Alhamdulilahi.
MashaAllah 🎉🎉🎉
Dr awes wallahi fundi sana
LEO WENYE Fani tunaona RAHA
Shukuran san sheikh mungu awazidishie
❤❤❤❤❤
Alah akuweke shehe
Ubaya ulioje busati la mtoro mnalipeleka kwenye mambo ya ikhtilafu.waandaji tahadharini msiwagawe waislam.
Chombo kama hichi ilitegemewa kuwaunganisha waislam wawe kitu kimoja.
Hasa katika dunia hii yenye maadui kila pembe basi umoja wa waislamu unahitajika sana.
Hili shekhe somi kweli kweli masha Allah!!
Msema kweli Mpenzi wa MUNGU.
Japo Ma Sheikh wetu waki Salafi wanampinga Huyu Mwamba ila Mwamba Elimu Yake ni Maji Marefu. ni FUNDI SANA Maasha'allah.
Mawahabi jitokezen bas na mukija muje na elimu na hoja sio munakuja na matusi na uwongo na ubabaishaj mukija njooni na elimu sio porejoo
Mawahabi wanawasikia wanaume hao
Allah akuhifadhi shekh
Dua tv naomba kuwasilisha ujumbe kwa zbc 2 kwenye marudio ya busati leo siku ya pili inarudiwa mada ya juzi vita vya badri.
Mashallaah hapa hakuna bidaa kwasababu mtume Mohammed swala llahu walam amefanya
Mawahabi mujee na elimu sio porojoo tu
Mawahabi wako wapii
Sheikh Awes kina kirefu sana, kina kasimu mafuta na wenzake hapa hawawezi kutia mdomo wao wakifanya mchezo watazama tu, ukweli ni kwamba Africa Mashariki lazima tukubali Kenya wametuzidi sana kwa taaluma ya dini yetu ya Kiislam, sheikh Othman maalim pia anatokea huko, Sheikh Said mtaalamu wa balagha pia anatokea huko huko
Mnawaombea mh. Raisi tu au mnaumbea umma wa kiislam?
Shekh kasim mafuta twakuomba kwa heshma sana sana huyu jamaaa umjibu anaudanganya umma
Mtie ujinga wadhani kila mtu anajibiwa tu huyo hatumii akili tu anatumia na dalili za vitabu mwehu wwe
Wako wap wale wakezetu wawaskilize wanaume wao
Mujee km hv wanaume walivyo kuja sio munakuja na ngonyera km mwanamke akikwambia mumewe
Kweli elimu haijifichi doh maana hyo mielimu iliyotoka hapo km hujaelewa huelew tena
Sheikh Mubarak Awesi
Unachofanya hapo ni kutaka Rai yako igeuke kuwa ndio Rai ya wote
Nhv-;Sheikh Albaan (Rahimahu llah )
Hakumpinga Sayydna Umar bin khataab (Radhia llah an-hu)
Bali ile athari iliyoelezea ( ubayu bin kaabi alisalisha rakaa 20
Sheikh Albaan kasema kielimu ina dosari ( العلة)
Sasa kilichotakiwa ulete athari nyingine isiyokuwa hiyo au usahihishe iliyopo kwa hoja za Kielimu
Vinginevyo hapo umekuja kupandikiza rai Yako katika Mas'hala haya ndio iwe Rai ya wote
Lakini Kielimu Jambo linapokuwa sio ijmaa halinaga nani kapatia sana
Au nani hajapatia
Bali wewe fuata ulichodhan ndio sahihi zaidi kwako
Na upunguze Taassub Najua uwezi kuacha ila akitaka Allah
Sasa kama wewe una elimu ya kuelimisha watu mbona hujatambuliwa? Wacheni ushabiki wa maustadhi Fulani.
@@omadal1
Ukitaka nitambuliwe na nani
Na Busati au
Allah akinitambua inatosha Ndugu
Yeye ndio mjuzi na Kipenzi changu Bora
hawa ndio madoktur...😂😂😂cio eti dr sulley hata qiarab hajuy cjuy alikuaje dr kwny dini
We Huna la kuongea la MSINGI Ramadhani FANYA ibada UWACHE uchoko
@@matanohassan9667naweye muogope Allah acha matusi nautubie pie nauache kuita watu majina ya kipuuzi
@@fatmafatu1128mwezi wote huu mtu anaandika matusi mtandaoni badala ya kuomba toba.
@@fatmafatu1128wachana na wasio jielewa mashabiki tu hao, Hawataki elimu wanataka fujo tu
IKHTILAAF ZINATOKANA NA KUTOFATA QURAN NA AHLULBAYT
Kwani Wanaojiita Ahlu bait hawakuikhilafiana kwani ?
Haya ni Majina tu tumepeana na tukaitana
Kikubwa asiitukuze nafsi Yako yeye ndio anajua nani yupo sahihi
Wazeee wabidaa mbona siwaoniiii
Waisilamu wa mchongo wananifurahisha saaana yaani sheik katoka Kenya kuja kuongelea taraweh!tangu Mtume kafa karne ya saba mpaka hivi leo bado wana malumbano ya kusali taraweh huku maadui wa Mwenyezi Mungu wanawauwa Waisilamu wenzao wa Palestine wao bado wanalumbano tu kwa mambo yasokua na maana.Waisrael wanaporusha mabomu kuwaua wapalestina hua mabomu hayachagui kama hawa watu wa bidaa au watu wa kanzu fupi nyie kaeni tu na mambo yenu ya bidaa wapelestina wanakwisha na masjid Al aqsa wanauvunja na wala hamtawafanya lolote.
Mtu wa bidaa baba ako
Wanakujaje
@@yusufntamila541nyinyi ndio mwashinda njaa babake kaingiaje hapa matusi hayasaidii kisha wajiita mwisilaam naumefunga Allah akusamehe bule
@@fatmafatu1128 ungeanza kumuuliza huyo kwanza aliyesema bid'aa imetokea wapi hapo na wakati mda ni nyingine kabisa allah akusamehe we kwanza kwa kufata mambo yasokuhusu
Naam Dr Mbarak Awes, kuna wajinga hukuhusudu pengine na watu fulani wanaojinasibisha na salafi wa umma
Weramadhani mtetu unaujahili kidogo kwani yykampinga albanni? Yeye kawanukuu wanachuoni waliomrudi bila kuongeza chochote. Acha taasubi
Tumia busara Wacha ushabiki
❤❤❤❤❤❤