Waaleykum msalaam warahmatullah wabbarakatu Alhamdulillah Rabbil-aalamin Akhy nmekupata uzuuuri saaaaaana Binafs Hilo me nmeliona sana tu, Sheikh Amejikita muda mwingi ktk Sub'Topic instead of Main Topic >>>Pia haktoa Directions coz Hakuwa ktk Main Topic. NB. All n'all Twamshukuru kwa hicho Alichotufikishia, Baaraqal llaahu fiiq Ushauri kwa Uongozi wa Busati >>Mgeni akifika kabla ya Presentation wakaenae kupeana Mambo Muhim/ Mising ya ufikishaji Eg.mtoa ajikite ktk mada Zaid Coz Wao hucmamia Zaid maswali yasiwe nje ya Mada, na Wao wajipambe na hlo Insha'Allah.
Ushauri tu. Sheikh angeanza na tafsiri ya Suluhu Hudaibiya. Wasikilizaji wengine hawajui Hudaibiya ni nn. Baadae angetoa historia fupi halafu angejitosa kwenye agenda kuu ga mafunzo yapatikanayo kwenye suluhu Hudaibiya halafu hitimisho. Ni ushauri katika kuboresha busati letu na lau kama nimekosea natanguliza samahani
Shukran sana Sheikh Wetu ALLAH Akupe Umri Mrefu Na Maisha Mazuri hapa Duniani Na Kesho Akhera
Mashaallah Sheikh nakukubali sana
Alhamdulilah
ماشآءالله عليك ❤❤❤
Mashallah
Asalamu..alekum...twawapongeza..mashehe..wetu....nawapa...vizuri..Niko.. Mombasa.. Kenya...
Waaleykum msalaam warahmatullah wabbarakatu
Alhamdulillah Rabbil-aalamin
Akhy nmekupata uzuuuri saaaaaana Binafs Hilo me nmeliona sana tu, Sheikh Amejikita muda mwingi ktk Sub'Topic instead of Main Topic
>>>Pia haktoa Directions coz Hakuwa ktk Main Topic.
NB.
All n'all Twamshukuru kwa hicho Alichotufikishia, Baaraqal llaahu fiiq
Ushauri kwa Uongozi wa Busati
>>Mgeni akifika kabla ya Presentation wakaenae kupeana Mambo Muhim/ Mising ya ufikishaji
Eg.mtoa ajikite ktk mada Zaid
Coz Wao hucmamia Zaid maswali yasiwe nje ya Mada, na Wao wajipambe na hlo Insha'Allah.
Nilinde mola wangu
Maasha Allah baarakallah
Nchi hii tumejaaliwa wasomi wengi saana,
Ni neema kubwa saana
Alhamdulilah wasomi tunaowengi.
Ushauri tu. Sheikh angeanza na tafsiri ya Suluhu Hudaibiya. Wasikilizaji wengine hawajui Hudaibiya ni nn. Baadae angetoa historia fupi halafu angejitosa kwenye agenda kuu ga mafunzo yapatikanayo kwenye suluhu Hudaibiya halafu hitimisho. Ni ushauri katika kuboresha busati letu na lau kama nimekosea natanguliza samahani
Mashallah.
Chuma kutoka mambrui
❤❤❤🎉😢😂😮😅😊
Kama unataka kumka usiku kwa ajiri ya Toba Lakini upo kwenye ada ya mwezi. Je ni unatakiwa kufanya Nini na ww uwe miongoni mwa wenye kusimama usiku
Sheikh ni mgeni machoni mwangu, ila anapiga daawa uzuur saana
Ametokea Kenya Huyo.
Sheikh Mohammed Kusoma yupo Nakuru - Kenya