Maa sha Allah tabaarak Allah, tunapata faida kubwa sana kwenye Busati la Mtoro, Allah awajazi kila la kheri nyingi na wote waliofanikisha kuandaa hili jukwaa..
Masha Allah tabarakallah, tunashukuru Mwenyezi kutujulia kwa elimu zenye manufaa. Mwenyezi mungu awazidishie daima ameen kwa kuelimisha jamii mambo ya muhimu.
Sheikh MUHAMMAD IDDI,,,Mwenyezi Mungu Akufanyie Wepesi Mambo yako Hapa Dunia Na Kesho Amril kiaama 🙏
Nimelia tu sana baada ya dua yawaliotangulia ,, 😢
جزاك الله خيرا ايا الشيخي الكبير في عالم العلوم وبارك الله فيك وبعده الجنة انشاالله
Maa sha Allah tabaarak Allah, tunapata faida kubwa sana kwenye Busati la Mtoro, Allah awajazi kila la kheri nyingi na wote waliofanikisha kuandaa hili jukwaa..
Masha Allah tabarakallah, tunashukuru Mwenyezi kutujulia kwa elimu zenye manufaa. Mwenyezi mungu awazidishie daima ameen kwa kuelimisha jamii mambo ya muhimu.
Mashaallah, sheikh Eid mohamed Eid yuko makini sana na anakwenda kww urefu na mapana
وعليكم السلام ورحمة الله وبركاته.
ASANTE SHEIKH WETU MTAALAMU WETU WA SHERIA KATIKA DINI
Maashaallaah tunakupenda sheikh abuu iddy
Busati limekaliwa kisawasawa Allah ambariki mwanachuoni wetu huyu inshaallah
Mashaallah
MASHAALLAH ABU IDI
Nyie azam. Mme kosea jina la mzungumzaji. Muhammad issa hayawezi haya.
Siku zote Muhammad iddi nimfasaha San wa lugha mwenye ilmu lkn pia mwenye uwezo wa kujenga hoja sana
Yani huyu sheikh akiwacha au kupunguza kidogo mambo yake ya kisiasa siasa basi daaah.!! Yani ni bonge la mwalim Allah amzindue
Kwa kweli busati la mtoro huyu sheikh mungekuwa munamuekea japo vipindi viwili ili aweze kutuelimisha ju ya dini yetu
Kabisa,,,mimi nipo mbali lakini Inshaallah 🙏
Assalam alaikum sheehe wetu umesema wasia ukiwachwa na iwe na wakfu kiasi kidogo mkiwa mtauza hio ploti wasia itakuaje yawakfu ?
AL HAMDULILLAAH KUJUA KUNA RAHA YAKE TENA KWA MARA NYINGINE NASEMA AL HAMDULILLAAH
Swadakta 🙏
Naomba wahusika mumlete ustaadh Shaaban B.Omar,hakika mtanishukuru angalia moja ya clip zake ua-cam.com/video/lrgBE4NYfi0/v-deo.html
😂😂😂 mie nataka kujua hii mbee zangu anamaanisha nn!!
Mbele zangu habeeb au mbele yangu