Al habib dr allah akuhifadhi nilikutana na wahabi mmoja akasema hilo la bilal lina hadithi tena sahii na ipo kwa bukhar na muslim kuhusu kuchukua udhu pia akasema kuna tofauti kati ya bidàa na masail mulsala ambayo si bidàa kama kueka irab kwa msaafu n.k
Allah akuhifadhi na akuzidishia ilmu
Allah akubariki na akuhifadhi tuweze kufaidika na wew zaidi
Darsa nzuri sana kwa anayetaka kupambanukiwa
Mashallah. Jazakallahu Khairan
MASHA ALLAH
Explications are so best
Al habib dr allah akuhifadhi nilikutana na wahabi mmoja akasema hilo la bilal lina hadithi tena sahii na ipo kwa bukhar na muslim kuhusu kuchukua udhu pia akasema kuna tofauti kati ya bidàa na masail mulsala ambayo si bidàa kama kueka irab kwa msaafu n.k
❤❤❤❤
Kazi yako kutetea bidaaa tu
Mwanamme wako kasim mafuta tu ww
Kwahyo kassim mafuta ni mumeo et hongera
@pavillioncry bado hauja elewa dini na imani. Hii ni sifa ya moyo ya wanafiki.
Tatizo nyinyi masufi mmemueka mtume nyuma hamjamueka mbele
Dini foundation yake ni wasufi. Kama wataka usitake. Checki baada ya mtume saw. Ulaama wakubwa ndiyo hao unawaita masufi.