MKUU WA MKOA PEMBA ATOA HUTBA YA AJABU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 89

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 4 дні тому +3

    Kama haya uliyoyasema ni hakika yanaendana na yaloyomo moyoni basi Wallah Allah atakupa jazza ktk mwisho wako

  • @alhudhaify7810
    @alhudhaify7810 5 днів тому +8

    Allah akupe afya njema, nilisikia km hali yako ilikua sio nzr. Pili, hii hutuba yako itabakia ktk nyoyo za watu maisha pia inawezkn ikawa ndio chanzo cha kuondoka hapo ktk ukuu wa mkoa, kizuri hakidumu. Niko pale....tusubiri teuzi karibuni tu

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 3 дні тому +2

    Najivunia sana kuwa naongozwa na ww Allah akuhifadhi na akujaliye uongoze kwa hekima na busara

  • @eliaskangabo779
    @eliaskangabo779 4 дні тому +4

    Kweli wewe ni kiongozi wa mfano unastahili kuigwa Mwenyezi Mungu akusimamie

  • @saidmohd7240
    @saidmohd7240 4 дні тому +2

    Hongera Bwana Mattar! Nimekuelewa sana Hotuba yako na nn Umemaanisha! Lkn Vurugu linaanza na Watawala kwa kujilazimisha kukaa madarakani baada ya kukataliwa! Na wewe kwa Hotuba yako hiyo unamaanisha hayo! Ninakuelewa vizuri toka Castro kwenye Bweni la Havana!!! Allah akupe ujasiri na hao mabosi wenzako uwaambie hivyo kama Ummu Salama!

  • @CharlesDaston
    @CharlesDaston 4 дні тому +2

    Mungu aendelee kukubariki kwa maono hayo ya kujali utu akuinue zaidi ukawe kiongozi mkubwa katika nchi yetu TZ

  • @amirabdallah2827
    @amirabdallah2827 2 дні тому

    Allah azidi kukuongoza Mhe Mattar katika njia iliyo sahihi ili kuepukana na mifarakano, magomvi, mapigano na mauaji na kadhalika. Ameen
    Endelea kufanya vyema kwani haya ni maisha ya mpito tu, na kila mmoja atakwenda kuuliza kuhusu dhamana yake aliyopewa pamoja na alichokichunga au alichokisimamia!!

  • @Mushkey-r8x
    @Mushkey-r8x 2 дні тому

    Maa Shaa Allah. ALLAH akulipe kila la kheir ww ni kiongoz wa kupigiwa mfano, nyinyi ndio viongoz tunaokupendeni kwny jamii zt

  • @SaidOmar-iw9kk
    @SaidOmar-iw9kk 3 дні тому +1

    Allah walinde jamaa zetu wapemba na dhulma za makafir wanazozipanga juunyao

  • @CoachMuu-gg7te
    @CoachMuu-gg7te 5 днів тому +6

    Mnayoyasema sio yaliomo vifuani mwenu

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 5 днів тому +2

    Wabadilike ccm kwanza, maana ndio wachafuzi wakubwa wa amani ya nchi hii kwa

  • @IssaIra-j9u
    @IssaIra-j9u 5 днів тому +4

    Acheni unafiki , madhalim wakubwa

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 4 дні тому +1

      Umesema kweli kaka aache unafiki,kama atasimama mbele za watu kusema ukweli juu ya mambo yanayopelekea Zanzibar kila kipindi cha uchaguzi kuwa na mauaji,kutekwa watu na kudhalilishwa basi hata siku tatu haitafika ataondolewa katika nafasi yake hiyo ya Mkuu wa Mkoa kwa sababu wanaofanya mambo yote yanayopelekea mitafaruku juu ya uchaguzi .1.hawana dhamira ya kweli juu ya wananchi kumchagua kiongozi wanaemtaka na hicho ndio kinachopelekea vurugu na mauaji.tninaweza kusema kwamba wananchi wananyimwa haki yao .huyo Mr Matar akisimama mbele ya hadhara akielezea ukweli uu hafiki hata siku tatu kazi hana huo ndio ukweli ,kemea chanzo cha mifarakano na tolea mifano hasa hata kama utaondolewa katika nafasi uliyonayo.

  • @hamadyussuf5307
    @hamadyussuf5307 4 дні тому +1

    Tendeni haki

  • @IbrahimJuma-w5z
    @IbrahimJuma-w5z 5 днів тому +3

    Daah yan hayo maongez km wat vile ila sbr ifike uchaguz wauwe na kupga watu

  • @CoachMuu-gg7te
    @CoachMuu-gg7te 5 днів тому +5

    Sio kweli usidanganye wengekua wamoja msingeuwa msingedhulumu

  • @Nassor2377
    @Nassor2377 5 днів тому +2

    Nyinyi kwa kauli nzuri ila ikifika siku ya ichaguzi mnabadilika ...tutakuona 2025 ...hamuaminiki nyinyi

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 4 дні тому +1

      Umesema kweli Nassor.chanzo cha mifarakano Zanzibar anakijua lakini hakukisema anaona atapoteza nafasi yake.kwa sababu atamgusa aliye mteuwa kumpa hiyo nafasi ya Mkuu wa Mkoa.

  • @JumaaliJuma-i6x
    @JumaaliJuma-i6x 5 днів тому +1

    Mungu akuzidishie update kauli sabiti

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 5 днів тому +3

    Mwenye kushabihiana na kaumu na yeye yumo hata ujitete vp umo ktk waliowadhulumu wananchi au kikatae hicho cheo sasa hivi mashekh wakubwa ukifika uchaguzi mnabadilika

  • @DuuSaid
    @DuuSaid 5 днів тому +2

    Sio wote wanaopenda zulma wengine huwa wanalazimishwa kutokana na mfumo ulio tengezwa sisi tunahitaji amani Kama haiwezekani Bora tuwe na mfalme tuu I'll tafrani ziishe.

    • @w4058
      @w4058 5 днів тому

      Dhulma sio zulma

  • @JosephTarimo-c5h
    @JosephTarimo-c5h 5 днів тому +1

    Hongera baba

  • @SalumSuleiman-y8v
    @SalumSuleiman-y8v 4 дні тому

    Allah akupe Afya njema na umri mrefu wenye manufaa mkuu wetu wa mkoa wa kusini together we can

  • @KiringoMtemi
    @KiringoMtemi 4 дні тому +1

    Allaah àkuhifadhi kama ni kweli

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 5 днів тому +2

    Maneno mazuri ya kiungwana lakini zaidi tunapenda kuona vitendo vya kiungwana vile vile,,
    Kama kweli una moyo huo,,basi jiangalie,,mimi ninawasiwasi huenda ukafurushwa kazini na wakubwa wako wakati wa uchaguzi ukifika,,mana itakua huendani nao

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 4 дні тому

    مشاء الله تبارك الرحمن Allah akupe umri mrefu maneno ya khekima,Wallah lau kuna watu10tu ndani ya ccm kama huyu damu ht ya mtu1haimwagiki visiwani

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb 5 днів тому +2

    Tatizo lenu wenyewe msijifanye mna huruma kwa nini uchaguzi mnafanya km vita hamufanyi haki na huru wananchi wapigie kura kwa salama anaemchagua ndio atangazwe lkn mpk mfanye vurugu kisa atangazwe mwengine

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 4 дні тому +2

      Umesema kweli kaka ,naye anajua kuwa anasimama hapo ili aonekane ana huruma wakati hana huruma kwa wananchi.na siku akisimama mbele ya watu akielezea vyanzo vya mifarakano ya Zanzibar kila chaguzi ataondolewa katika nafasi alionayo .atatenguliwa .

  • @sheikhasalim1190
    @sheikhasalim1190 5 днів тому +1

    fanyeni uadilifu kwanza kabla ya kuanza maneno maneno. kupiga mumezoea na mushatupiga sana. kama maneno yenu ni ya kweli basi fanyeni haki muone

  • @RashidiAlly-cl7fo
    @RashidiAlly-cl7fo 5 днів тому +3

    Shida iliyopo kwenu mulio madarakani ni kutokuwa wakweli juu ya mnayoyasema,haki hamuko tayari kuyatenda kuitenda na kuisimamia,wape haki wananchi wako,vitambulisho mnawanyima wananchi mnawanyima haki yao ya kuchagua viongozi wanaowatakata na nk

  • @alidochi2889
    @alidochi2889 4 дні тому +1

    Khutba nzuri naona haswa unamaanisha unachoongea

  • @maryamahmed1753
    @maryamahmed1753 5 днів тому +1

    Anasema nini huyo kwani yeye si sehemu ya huo mfumo dhalimu.
    Huyo alokupa nafasi ya ukuu wa Mkoa si ndo umwambiye hayo maneno

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 4 дні тому +1

    Lakini kilicho muhimu zaidi nikua katikati ya maneno yote tunayozungumza basi tuuwambie watawala watende haki waache kutukanana pia waache ghilba wiz kuiba kura kwenye uchaguzi

  • @amoursalum8266
    @amoursalum8266 5 днів тому +1

    unafiki tu

  • @JumaFakinakukubalisemaji-hb4hk

    Mimi nimekuelewa vizuri sana ndugu na nayaelewa sana hayo unayoyazungumza na ndio ukweli mattar ameongea ukweli na yeye anjielewa sasa ma ccm mujielewe mwenzetu hataki lawama na hio nafasi mungu amuekee nafasi yake kuna wengine wanamatiti makubwa ya kunyonya

  • @hafidhhemed1514
    @hafidhhemed1514 3 дні тому +1

    Haki ikisimama, amani itapatikana.. tujitahidi kusimamisha na kusimamia HAKI, HAKI, HAKI, HAKI
    Hivi kwanini neno HAKI imekua zito sana kutoka kwenye vinywa vya watawala?

  • @NzeyeJosias
    @NzeyeJosias 4 дні тому

    Ongera sana Kwa hotuba nzuri hakika ww ni mfano wakuigwa

  • @IssaIra-j9u
    @IssaIra-j9u 5 днів тому +1

    Kama upo sahihi kesho unatenguliwa lakini hiyo Danganya toto

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 4 дні тому

    DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI QABRI

  • @aboudinternational1819
    @aboudinternational1819 5 днів тому +1

    Mashaa Allah

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 4 дні тому +1

    uchaguzi utapita salama ikiwa haki na sheria za uchaguzi na sheria za nchi zitafatwa si ujanjaujanja wa maneno lkn vitendo viovu .tunakukumbusheni kura ya mapema iondoke ndo ilotuulisha mawaka 2020 kama mkuu wa mkoa shawishi hilo kwa mh rais mwinyi

  • @hijahamadi5793
    @hijahamadi5793 5 днів тому +1

    Hotuba hiyo itakutengua kabla ya uchaguzi

  • @norobo205
    @norobo205 4 дні тому

    Umenikumbusha enz ya ngangari na Ngunguri mungu amuafu mzee wetu na adhab ya kabr huko alipo

  • @mazrui7387
    @mazrui7387 5 днів тому +1

    TANGULIZENI HAKI MBELE, DAIMA MTAISHI KWA RAHA NA AMANI...

  • @QwakuHangu
    @QwakuHangu 4 дні тому

    Safi sana mimi nimekuelewa vizuri

  • @IssaIra-j9u
    @IssaIra-j9u 5 днів тому +1

    Kama hamtaki hivyo acheni kuiba kura

  • @texommy9155
    @texommy9155 5 днів тому +4

    Vurugu siku zote zinaanza ikikosekana HAKI. Jitahidini kuhakikisha haki inatendeka muone kama kutatokea vurugu. Na mujitahidi kwa vitendo, sio kwa maneno tu

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 4 дні тому +1

      Hawawizi kusimamia haki wakisimamia haki watakosa kula.

  • @mohdsaid8744
    @mohdsaid8744 4 дні тому +1

    Mashallah Matar ni Mku wa Mkoa hodari na mcha Mungu Ukimuona sura yake ya imani Mungu Amzidishie imani na kumuhifadhi Inshallah

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 4 дні тому +1

    JANJAWEED JEE , MWAKANI HAWATAKUWEKOO, AU.....???

  • @user-lm7lk5kj1m
    @user-lm7lk5kj1m 4 дні тому +1

    Sio kweli c ya ajabu, .cio yeye tu dunia hii hakuna shekhe walii wala ustadh youote ananaeweza kutowa khutba ya ajabu kila kitu kishazungumzwa mara nyingi mnoo , ila kwakweli khutba yake ni nzuri na ya kawaida tu.

  • @CoachMuu-gg7te
    @CoachMuu-gg7te 5 днів тому +1

    Nyinyi mshabadilisha

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 4 дні тому

    Ya'akuluuna maalaa taf'aluun!!!

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 3 дні тому

    Kiukweli wanaosemasema sana na kumdhihaki na kumtusi kiongozi wetu huyo Allah anajua nia zenu na atawalipa

  • @salehali976
    @salehali976 4 дні тому +1

    Huyu ni muongo. Anatumiliwa na CCM. Aseme ukweli na Allah ni shahidi

  • @KHAMISKHATIBFAKI
    @KHAMISKHATIBFAKI 5 днів тому

    Mheshimiwa Allah atakuongoza uzid kusimamia amani ya visiwa

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 3 дні тому

    Kiongozi mzuri aeleza ya moyoni anafaa kuwa waziri wa mambo ya ndani

  • @AllyOmarHamad
    @AllyOmarHamad 4 дні тому +1

    Ccm niwanafiki

  • @RichardJavara
    @RichardJavara 5 днів тому +1

    Asili ya waungwana ni uungwana, huu ni uongozi na mungu uongozi pasipo mungu ni ukatili na udhalimu.tunataka viongozi wengi wa aina yenu katika taifa letu .

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid 5 днів тому

    Mashallah mungu akuzidishe nikwli mwihishimiwa mfano juzi tu ulikua hupo aliye kaimu mkowa wako tulikiona kilochotokea wengi wetu tulikukumbuka tukasema hyu mama baadala kutuonea huruma lakini wap watu wakivunjiwa na kutuharibiwa mali zawanyonge kwli hayo maneno yk niyakweli mungu akuope afuweni na afiya njema na anetunyanyasa ampe analolulitaka mungu kwni yaliotokea juzi tulikumbukia uchaguzi vunjavunja wengine wkisema wao wakashitaki kw mungu na mtume wke kwli wlipitiza mipaka ww mungu akupe kher

  • @mohdjuma1252
    @mohdjuma1252 4 дні тому

    Mbona hakuna wadhifa wa mkuu wa mkoa wa Pemba. Kuna mkuu wa mkoa kusini au Kaskazini.

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 5 днів тому +1

    Unaongea kama malaika vile!!!

  • @fortunatusminango8101
    @fortunatusminango8101 4 дні тому

    Hongera sana mkuu

  • @amoursalum8266
    @amoursalum8266 5 днів тому +1

    وإذا رئيتهم تعجبك أجسامهم، وإن يقول تسمع لقولهم كنهم خشب مسند...يحسبون كل صيحة عليهم هم العدوا فحذرهم...

  • @mohdseif2459
    @mohdseif2459 5 днів тому +1

    Huyu jamaa namkubali sana sio kma yule salama mbaruk

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 4 дні тому +2

      Huyu sio mkweli ni maneno ya jukwaani tu hayo .

    • @mohdseif2459
      @mohdseif2459 4 дні тому

      @@jumamohamed3168 viongozi wengi wa ccm wameshaonesha makucha yao lkn huyu bado subiri tuone

  • @aliali-ji9ym
    @aliali-ji9ym 4 дні тому

    MUNGU AKUZIDISHIE HEKMA NA ALLAH AKULIPE KWA MANENO YA UJASIRI AMBAYO MWENYE AKILI TIMAMU ANAKUELEWA VIZURI TU

  • @JumaOmar-s4m
    @JumaOmar-s4m 4 дні тому

    Hakika hilo. Tushikamane tumche Allah na tumuweke mbele usoni.

  • @mohamedalisuleiman6083
    @mohamedalisuleiman6083 4 дні тому

    Wenzako kawataki ivo ila subir si mda mrefu tutasikia ushafukuzwa..

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 3 дні тому

    Leo umetoa siri za giningi

  • @KichinaHaji
    @KichinaHaji 3 дні тому

    Daa huyu kaongeya jamani anacho kisema kweli

  • @user-st9me2jn7o
    @user-st9me2jn7o 4 дні тому +1

    Maneno unayosema tofauti na ujanja unaokuja hivi sasa kushapanga mashaka

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 3 дні тому

    Maisha ni kulizana,kupendana.kupea na,kushikamana

  • @JofreySanga-lu8pn
    @JofreySanga-lu8pn 4 дні тому

    Uko vizuri sana.naimani wewe niwahaki nasio mshabiki wa kidini Wala wakichamaa upo kama Mimi. Sipo kidini.wala kichama nataka amani.naninawaombea viongozi wote mkatangurize haki utu upendo nakulijali taifa letu badala yamasirai binafusi natumuogope mungu sana

  • @abdisalim7900
    @abdisalim7900 4 дні тому

    Utu na wema wk umerithi toka kwa mar baba yako (Mungu amrehemu)Mar Maalim Zahor alikuwa mtu mwema sn,tulikuwa wote pale TTC Nkrumah hadi mm jilipoamua kuondoka

  • @KichinaHaji
    @KichinaHaji 3 дні тому

    Yy akasudiya watawala ila waze wazamani walificha methali nyingi na yy hakusema moja kwamojatu anajuwa hilo

  • @abuumachano19
    @abuumachano19 4 дні тому

    Acheni dhulma kisha mukataka amani!!

  • @HamedSalimAbdalla
    @HamedSalimAbdalla 5 днів тому

    Mkoa wa kusini Pemba

  • @SuleimanMussa-br6hn
    @SuleimanMussa-br6hn 3 дні тому

    Wafanya biasha ndongo wanazalilika na facial zao kwa kufuzwa mjini je vp?

  • @user-bx5cn5no5e
    @user-bx5cn5no5e 5 днів тому

    Wawapi huyu mkoa gani

  • @nassorhassan7288
    @nassorhassan7288 5 днів тому

    Kati yawakuu wamikowa watano wa zanzibar ninae mkubali uyu jamaa niwakwanza...

  • @OmarJuma-og4kd
    @OmarJuma-og4kd 5 днів тому +1

    Tendeni haki