Aki I love ur work my pple, coz ua teaching pple through comedy, its a great idea frm u ppl, am watchin from 254 and I like it keep it going my buddies♥️♥️👍👍
Ndaro hana madini kama reonard ck ambazo watu humuona kaweza anakua kaanza leonard hivo anakuja anaangalizia kwa reonard sasa leo kaanza ataangalizia wap
Wakenya hatuchekeshwagi kiurahisi hivo ila hawa wawili wamenikunywa kweli, Ndaro na Leornado nawaombea nafasi kwa Churchill mje show moja tu mujiongeze
😂😂😂 uyu jamaa mshenzi sn alafu n creative sn na km huelewi nd hakusanuwi tena, eti "nikilewa naweza ata kuangukia kwenye tope" akimaanisha kua ktk mapenzi ukiingia topeni haifai😂
leonardo is beyond their experience this dude is on 🔥🔥
Leonard anavoinamaga chini unaweza sema anawaza kitu Cha maan kumbe ujinga mtupu 😂😂😂nakupenda sana Leonard upo vizuri
Leonardo U kill me kw kicheko😂😂😂😂
Ndaro knows what his doing but Leonard o is genous
😂😂😂 nomaaaaa sana
It's getting better Asee wameanza kuSound the same wakidrop punches 😅😅
Aki I love ur work my pple, coz ua teaching pple through comedy, its a great idea frm u ppl, am watchin from 254 and I like it keep it going my buddies♥️♥️👍👍
Hizo za uso kabisa toka kwa ndaro🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aisee mmeumiza sana akili,kazi nzuri brothers 💪
All in all all of u U're Genius 😂😂😂
Ndaro ametisha sana🤣 apana Leonard kamaliza kabisaa🤣🙌🙌🙌🙌
Leonard is one of the best stand up comedian 🔥🔥🔥
Leonard we mpumbavu Sana nilikuwa nakusubir hapo mwisho hapo jamaa alipokuotea 😂😂😂😂😂😂 umetisha iyo najua ilikuwa hujaipanga iyo
U guys are doing best in stand up comedy 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻🔥
Awa jamaa wote wakali sema siku zingine Huwa anaonekana ndaro mkali Sababu Huwa anakua wa mwisho kuperform ila wote wako on🔥🔥🔥
Ndaro akiwa wa mwisho ndo noma
Kabisa sio siku zote watakuwa na material mazur ila wamejitaid
Ndaro hana madini kama reonard ck ambazo watu humuona kaweza anakua kaanza leonard hivo anakuja anaangalizia kwa reonard sasa leo kaanza ataangalizia wap
Ndaro haonagi ndan kwenue battle wakiwa na Leonado,, Leonado is on 🔥
Hakuna mkoa wa Moshi
Leonardo went hard on this one😂
Leonardo you killed it😅😅🙌🏻
😂
Zuchu utaniua
Leonardo is a next level comedian wooo!!
Leonardo is genius😄
Akili mingi leornado🤣🤣🤣🙌🙌🙌
At first nilidhani Leornado alipendelewa ushindi but so far … Ananiprove wrong
Hata mimi nilizani ivoivo ila siku znavoenda ananiprove wrong
Leonardo Master wa Roast Aseeeee!!
Cheka TU kwakweli nimewapenda saaaana mko juu Sana hasa hii mlioanza nayo
Leonard is fantastic comedian
Wakenya hatuchekeshwagi kiurahisi hivo ila hawa wawili wamenikunywa kweli, Ndaro na Leornado nawaombea nafasi kwa Churchill mje show moja tu mujiongeze
Awa wawili wanafaha Churchill show
Dogo mtoto wa amoni
Huyu Leonardo atengenezewe sanamu🙌🙌🙌
Haswaa hassanii !!!!tena ijengewe arushaa
Tena liwekwe post na mlimani city
Kwa kutukana?
Leonardo 🙌🙌 umetisha sana mzee!!
🤣😅😅😅😅🤣pombe imemaliza mambo
Leonardo 😂😂😂😂 umeuaaa... Thus why tunapenda wakaka wakoslim
Leornado took this personally 😅
Sure😂😂😂😂
Vpbaba
Huyu Leonardo kashindikana😂😂😂😂
Leonardo ni mwehu kupitiliza kanichekesha sana 😅
Leonardo salute sana broo from Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪
Ndaro mtu mbad sana.....big up brothers
Unyqmq nimwing xana
Daaah Leonard anatumia akili nyingi sana ukiwa slow learner uwezi kuelewa
Nawapenda sana jamani😘🤣🤣🤣
Leornad 😂😂😂😂
Mapenzi ni mbele tu
Ukilewa unaenda mbele nyuma 😳
😂😂😂 uyu jamaa mshenzi sn alafu n creative sn na km huelewi nd hakusanuwi tena, eti "nikilewa naweza ata kuangukia kwenye tope" akimaanisha kua ktk mapenzi ukiingia topeni haifai😂
Awa jamaa wanajua saana.... Coy mzungu waongezee bandle
Ndaro is the best comedian right now 🤣🤣🤣
Haipngwii
Leonard ni🔥🔥
Leonard ni moto
Sure
Labda Leonardo ni mwanamieleka 😅😅😅😅😅
Leonardo hawezekan haki tena 😂
Leo Ndaro umekaa...hahaha
Leonardo Is Next Level😂
🔥🔥
leonardo ume tisha sana dadiii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sema ndaro huja jiandaa vyema leo ila ni kali
Leo Ndaro kakalishwa..haha
Leonardo 😆 salute
😃😃😃😃😃 hii innovation ni ya atari, ila Cheka tu angalieni namna ya kudesign hio backstage
Next on roasting tuleteeni. NALIMI vs ELIUD itakuwa powa Sana.
Love for them❤❤ bcz usimsifu mwenye mbio msifu na anae mkimbiza
Leo leonardo umeuwa🤣🤣🤣
Hawa Ndio Upcoming Mastar Wa Cheka Tuh
Umetisha leonaldo😂😂😂😂
Leonard weweee Jamanii 🤣 mungu akuwekeee wapiga vyombo umetuwakilisha sanaaa
Dah! Daro ni nyokoooo sanaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂 ndaro bn unani inspire san aisee kua naangalia cheka tu🤣🤣🤣
Kak leonardo unajua🤣😂
Leo ndaro akujipanga vizuri 🫣
Ndoro hutegemea kotent za leonard ili apangue sasa leo kaanza hana pakuangalizia hana madini
Nawakubali woteeee mmetixhaaaaaa xanaaaaaaaaahhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!¡!!!👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Nawapenda sana masela zangu wote ilaleo ndaro umeuaawa sana bro
Yan leonado anachekesha mpk ndaro anacheka 😂😂
Leonard kiboko
Leonardo is a genius comedian
Leornard We Ndio ⭐... Kikubwa Ongeza Madini Usiridhike...
Ana madini huyu hawezi ridhika
Leonardo we kiboko Sana🤣🤣🤣🤣🤣
TeAm miTungi win😂😂😂
Leonardo you are the best 😂😂😂😂
Show kali mpk mda mdogo....
Leonardo's show was fascinating
leornad hakuna anae kuwez baba nimechek kwa daldala kwa nguvu sna😂😂😂😂😂😂
Leonardo
Remember the name
🙌🙌
Salute kwenu Guys...
Leonard blessed 🔥
Leonardo killed it, niggas
Daah leo home boy ndaro kapigwa chini
Kwel kabisa
Ndaro mkalii ila leonardo mkali zaid😂
You are killing Leonard
Ndaro is the Best but Leornado is the Genius
Leonard umeua🔥🔥🔥
Leonardo nimekurudia sana Fala sana ww😅😅😅😅😅😅
Leonardo won this battle 😂😂😂
2namtaka KAGO kwenye Roast
Hapo kwenye ziwa Tanganyika kuwa na kina kirefuuuu😂😂😂😂
Leonardo umeshindakana ww🤣🤣🍻
Kwaiyo atakua n yy na Macvoice kule au sio?
Leonardo big up san blood unanifany nichek kwa sauti🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
Number one
Walevi wanampongeza Leonard😂😂😂
Sjaelewaaa jamani enhee kwenye pombe akilalia matope yupo huru kwenye mapenzi n nn??... Leonard njooooo
Leonardo kaua kwenye hii moja🤣🤣🤣🔥🔥🔥
Leonard 🙌🙌🙌
Kumekucha sasa 😂
All in all leornado man of game
Leonardo ndio king wa roasting
Nimekula Chumvi nyingi😂😂
Jisifie kuna kansa
Leonardo ni msenge 😂😂😂😂😂
Mwanangu Ndaro leo umepigwa sana humu
Huyu leornold noma
Leonard chizi khaaaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ziwa refu......chumvi nyingiiiii
Wote wehu afu wanacheka 🤣🤣🤣🤣🤣
Wametisha sana
Leonardo ni fireeeeee💖💖
Leonardo kauwaaaaa😅😅😅
Ndalo kakamatika Leo😂😂😂
My comedians Kicheche, ndaro and nado.
My musicians are 1.DIMOND, 2.DIMOND, 3.DIMOND, 4.DIMOND 5. DIMOND 6. DIMOND
Sema huyu anae host, mzungu haendani kabisha hata ongea yake haijakaa kichekeshaji sema hawa ndaro na Leonard are on fire
Nilikua natafuta comment kama hii... BigUp
Nisawa nikisema leonardo ameshindikana jamaa mnoma😂😂😂😂
C poa yaan