🇹🇿Oyaa nimerudi wanangu twende kazi na mzigo wetu wa mpenzi mpenzi angalau tuwe na mioyo milaini 😂 maana sikuizi nimekua na roho ya kisimba 🦁 mpaka sio poa💪💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Shukran Anko Jay kwa kutuletea vitu moto na tamu zenye mafunzo tele burudani tosha. Nakutakia mwaka mpya wenye fanaka na baraka zake Maulana. Much love from 🇰🇪
Shukrani anko jay kwa kazi nzuri na yenye kutupa kila sababu za kuburudika pia kuyapata mafunzo ambayo kila simulizi inazo sifa kuwa nazo pia hongereni wote mlio husika kuiandaa simulizi hii na zingine nyingi MUNGU awabariki kwani mmekuwa faraja kwa wengi
Kwakweli Rehema hakumpenda joseph ila mihemko na fikra zake tuu ndizo zilimtawala zaidi nakujikuta tuu kila akiingia ndani ya nyumba hakuna kingine huwaongoza kwani mtu bila kazi nzito na zakila saa ama mda wote na anakula vizuri wala hana shida mwili lazima umtawale mtu na kumpelekesha
Duuuh umekuwa umepotea saana hebu changamkaa anko j maana km mm hamuna simuliz yako sijazikia mpaka nazifata simuliz mix kwasababu izii siku umepooza atujuwi huwali gani maana lucasi lumbasi iko online day after day
Rehema hajatulia mana angejua kuna mahandsome zaidi yahuyo joseph asingemuoa kabisaa sasa ameona mumewamtu anaaza kusahau kama anaendeshaa looo utakufa kabila yasiku yako
Wakwanza jameni ❤❤❤❤
Nimechelewa lkn mukinipa ata like moja ntafurai😊
❤❤❤❤
😂😂
For the very first time No 3 ready to listen our handsome man love you anko jay
Ndio ni kweli kabisa kwanza mkipeana chapchap heeee huwa tamuuu😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Niko hapa anko jay 🇴🇲🇴🇲❤️🥰 kinti fefe weweninomaaa mwendelezo plz Anko jay
Kweli jamaniii MUME WA MTU MTAMU 😂😂 tunasikiliza hili tujuwe huo UTAMU REHEMA anatari yakee✌️❤️❤️
Tupo pamoja🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉chukua maua yako mapema 🌺🌸🌹🌷
🇹🇿Oyaa nimerudi wanangu twende kazi na mzigo wetu wa mpenzi mpenzi angalau tuwe na mioyo milaini 😂 maana sikuizi nimekua na roho ya kisimba 🦁 mpaka sio poa💪💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Et nikweli jaman mume wa mt ni mtam 😂naomben majibu pamoja na like za kumalizia mwaka 😂ata mbili 2 zitanitisha 😘😍😘😍
😂 Yaani ni mtamu balaa
Maziwa hayafikiii utamu wa mume wa mtu🤪😜😛😂🤣
@@CARVERY653 😂😂kumbe sio kama asali,😂
Jaribu ujionee
Lkn so mume wang😂😂
Allah Akupe maisha marefu Anko jay tuna❤ sana from burundi🇧🇮🇧🇮
Mash Allah rehema utanitiea aebu hata mimi ni rehema tuliya na mume wako
Naona anko Jay mwanzoni tu 0:08 unanikumbushia x wangu cheupe mmoja hivi alitwaga rehema anyway twende kazi tumone rehema wa stori💪💪💪
Lkn the way unavyobadili sauti hupo vzur sana
Nimewahi kusikiza mume WA mtu....ila bora kua single waaaaaaah kuliko mume WA mtu
😂weeeeee
Kuwa single hapna 🤗😂😂😂
@@CARVERY653 waaaaaah sikuizi mapenzi ni football kuchezeana tu 😂😂
@@victorwesamba2520 😂😂 hivyo hivyo lakni hatuachi😂🤣
@@CARVERY653 mm niliolewa na simulizi zaa unko jey 🤣🤣🤣🤣🤣
Ancle j nimefurahi kukusikia simulizi tamuuuu
Ndio kufika ❤❤❤❤
chakueba tamu likuwa halijuwi
Thanks ankojay allah akubariki tùnakupenda sana jamani mume wamtu mtamu🎉🎉🎉🎉😅
Ahsante ancojay kwa mambo matam kama sauti yako❤❤❤❤
🙏🙏🙏🙏
Wow so nice❤❤❤
@@salummohamed5900 🙏🙏🙏🙏
Asante san ankojay tunakushuru kwa burudan nzur🎉🎉🎉❤❤❤
Sawa Kaka nakuelewa sana asante
Kaka yako anaeleweka kwetu sote
Kama Kawa mwambaaa wetu kaachia mzig jmn ❤🙏🙏🙏
wangoni tumefikiwa leo ❤
Hongeren wangoni
Niliimiss sauti yako Anko jay wangu ❤❤❤
Ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤❤❤
😂😂😂😂 wuwiii Elizabeth anawakilisha wangoni 😂😂😂😂😂😂💪💪
😂😂😂😂
Umetufikia wangoni jamani mweh😅
Simulizi tam kama Ankojay😂😂😂😂 nakupenda bure kaka mauwa yako 🎉🎉🎉🎉🎉
Always Anko jay have nice story
Anko kweli wewe niburudi ya mashabiki sauti tu nikisiķia anjikuta natabasamu tuzidi kukuombea❤
Anko J leo umetuchora mbona amna sauti 😂😂😂
Asant kaka Lucas
Weh weh weh..hii nayo kali lakini mume wa wenyewe sumu pia
Hello ankojay natumai uko salama plz nataka sehemu ya 40 Binti Lisa kwa kweli ❤❤❤
Thanks anko jay from Kenya ❤❤❤❤
Kuna watu wanakiherehere humu dakika azijatimia ata 2 mmesha komment 😊😊tuachieni na sisi nafasi ya kwanza.
😂😂😂😂😂dada umeamka na makasrko leo
@@JosepinaKazoni 😄😄😄wameniuzi bwana waache kimbelembele. Mwambiye Anko J wenye vitambi vyao watamchapa...😄😄 heeeee ila acha awaambiye kina Joseph punguzeni vitambi, tume choka vibamiya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣kaaaaa vinakera shombo tu.
Leo qwa qwl nimechelewa xn ila nimefika 😂😂😂😂😂 anko leo ni leo aiseeee mume wa m2 mtamu😢😂😂😂😂
Shukran Anko Jay kwa kutuletea vitu moto na tamu zenye mafunzo tele burudani tosha. Nakutakia mwaka mpya wenye fanaka na baraka zake Maulana. Much love from 🇰🇪
Natafuta mume wa mtu nataka nionje huo utamu unaosemwa na watu🤣😂😂
Huna baya anko wetu
Mbona haisikiki au kwangu tu
ᴵᵖᵒ ˢᵃʷᵃ ᵐᵃʸᵇᵉ ʸᵒᵘʳ ˢᵉᵗᵗⁱⁿᵍˢ
Shukrani sana Mungu awatanguriye kwasimurinzi ❤
Duuu michepuko tena daaaaa😂
nimewahi namimi 👩💻😊jamani🪑 naomba like please 🧡🧡
Shukrani anko jay kwa kazi nzuri na yenye kutupa kila sababu za kuburudika pia kuyapata mafunzo ambayo kila simulizi inazo sifa kuwa nazo pia hongereni wote mlio husika kuiandaa simulizi hii na zingine nyingi MUNGU awabariki kwani mmekuwa faraja kwa wengi
Wakwanza kama unamkubali anko nipe like❤❤❤
Namkubari 👍🏼
@@CARVERY653 pamoja
Hallo Ankojay how’re you doing lovely voice you doing well
Anko Jay we love u From Dubai❤
Hahaaaaaaa anko jay simulizi zako zina mafunzo
Mmmh sio sumu tena bali n mtamu😂😂
The fist 🤛 ❤❤❤❤
Kwakweli Rehema hakumpenda joseph ila mihemko na fikra zake tuu ndizo zilimtawala zaidi nakujikuta tuu kila akiingia ndani ya nyumba hakuna kingine huwaongoza kwani mtu bila kazi nzito na zakila saa ama mda wote na anakula vizuri wala hana shida mwili lazima umtawale mtu na kumpelekesha
mume wa mtu mtamu asije kutuponza uyu😂😂😂
Daaah! Wajomba mmejua kuniparahaa.
Eeeh,
Kazi nzuri Anko Jay,listening from Kenya,much ❤
Ooooooh it's my name 🥰😘
Mhh hay sas ngoj tuone nin kinajiri hapo mume wa mtu mtamu
Uuuwiii,eeeeeeh,rehema wew mbona hivyo kujipekecha mwenyew????
Hiyo sauti ya bibi anko j umeitendea haki kweli kweli unastahili 🎉🎉🎉🎉🎉 yako
😂😂😂😂😂😅 Eliza anatk kua mwana jezi😆😆😆tumsaport
Watu mwalala online 😂😂😂
Anko eti ndizi ifaidi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅
❤❤nazipenda sana. Smlizi 2:21:46
Shukurn 🙏 Ankojay wetu ❤️
😮❤❤❤🎉🎉🎉,asanteeee
Nzur❤❤❤
Nipo namie jamani 😂😂
Duuuh umekuwa umepotea saana hebu changamkaa anko j maana km mm hamuna simuliz yako sijazikia mpaka nazifata simuliz mix kwasababu izii siku umepooza atujuwi huwali gani maana lucasi lumbasi iko online day after day
Anko Jay wetu hana mbaya
Uyu bint kizibo tena kizibo mbon hii simurz inafann na bint Layana
😂😂 yaani anko leo anatuchamba hadi raha maana ukiwamfupi utapata lako mwembamba ,mweusi kama mhogo wakuchoma mnene doooh leo michambo kwa wingi😅😅
😂😂😂😂😂
Good job ubarikiwe sana kaka yetu ❤❤❤🎉🎉🎉
jamani anko unatuchekesha saana kwa kutusimulia kweli😂😂😂
Anko jay utaniuwa nakicheko😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤ nimependa sanaaaaa kusikia sauti Yoko
Jamani naomba like zanu guys 😂😂😂❤❤
Jomn rehema mim
Sijachelewa
Unanikosha nasimlizi zako
Nilisikiya hi naisi asira inamaana ata mume wangu mtamu kwawengine 😂😂😂😂😂😂😂
Saaan shostii
Leo umeamua kuchamba watu anko😂😂😂
Rehema anataka kuliwa
Akijilegeza ataliwa tu na mtu mwenyew bado sii mwenyeji
ⁱˡᵃ ˢⁱ ᵖᵒᵃ ʸᵃᵃⁿⁱ ᵐᵘᵐᵉ ʷᵃᵗ ᵐᵗᵘ ᵐᵗᵃᵐᵘ ˡakini ᵐᵏᵉ ʷᵃ ᵐᵗᵘ ᵏᵃʷᵃ sumu😂😂😂😂 0:16
😂🎉🎉
Huyu mwali wa kigoma katokea wap?????❤
Jmn mbona unatuchamba hivyo ankoooo😢
Namba moja Leo like zenu
love you anko na kity fefe
Ssa huyu mwali naye katokea wap??naumesema simulizi inaitwa mume wa mtu nimtamu?????❤
😂😂😂
Genye mbaya asikwambie mtu😂😂😂
Mke wa mtu sumu😢 na mume wa mtu mtamu jmn😂😂😂😂😂
Mbona kimya haina sauti ata kidogo kulikoni
Hata mke wamtu mumewamtu nimtamu lkn nisumu pita mbali mana nihatari kw afyaa yako
Ni kama ankojay hakumpenda Joseph kwanzia mwanzo 😂 haswaa baada ya kumuoa rehema ndo akazidi kamchamba kaka wa watu😂
Mmmmh rehema wew kwan mwili wako una ashki za aina gani hadi ndizi?unakaribisha bakteria kwenye via vya uzazi
Wangoni mpooo😅
Haaaaaa,Rehema ni jasiri unampenda anayekusaidia kimapenz?ukitoswa aibu🤦🏻♀️🤦🏻♀️🤦🏻♀️🤦🏻♀️
Mume wa mtu sum kuna maziw na kutaitiw
Rehema hajatulia mana angejua kuna mahandsome zaidi yahuyo joseph asingemuoa kabisaa sasa ameona mumewamtu anaaza kusahau kama anaendeshaa looo utakufa kabila yasiku yako
❤❤❤❤❤❤🎉
Thanks ❤❤❤❤❤
Wa 2