MAJIBU YA MASWALI MAGUMU KUHUSU MTOTO WA DAWA-SHEHE U OMARY MNYESHANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Ni katika somo la mtoto wa dawa kama lilivyofundishwa na mhubiri shehe Omary,ambapo hapa anajibu maswali yaliyoulizwa kuhusu mtoto wa dawa.

КОМЕНТАРІ • 40

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 роки тому +4

    Nampenda sana Yesu ndie njia ndie mwamba ndie king ndie kila kitu

  • @oscanyakunga9674
    @oscanyakunga9674 4 роки тому +6

    Shehe ninakupongeza mie pastor nimekubali ntakukaribisha cku moja

  • @lucasgasper5235
    @lucasgasper5235 4 роки тому +2

    Swali kwa Shaikhe Je kunauwezekano wa kubadilishiwa mtt tumbon ukapewa jini na mimba mama alibeba bila kwenda kwa mganga

    • @myself4128
      @myself4128 4 роки тому +1

      Kama huna kinga yaani Nuru ya Mungu,
      Unaweza hata kuishi na mke ambaye sio binadamu...hilo linawezekana kabisa mkuu inatokea sana tuu

  • @nyingos
    @nyingos 2 роки тому +1

    Preach gospel

  • @fanuelmpakele9280
    @fanuelmpakele9280 4 роки тому +1

    Elim ya kumjua Yesu anaokoa ipo sahihi kabisa ushuhuda huu unajenga Iman kwa Yesu mwokoz.

  • @babumrisha
    @babumrisha 4 роки тому +4

    ukisikiliza unaweza usiamini kuna mambo kama hayo humuhumu duniani!!

  • @mumangocrispin4273
    @mumangocrispin4273 4 роки тому +1

    Tunafurai kupata somo ili ila najuwa wengi mioyo inavunjika sasa nini itafanyika kusudi watu wanao miliki watoto awa, wapate amani ya mioyo. Mafundisho ya mifupa iyo?

  • @latfahaule127
    @latfahaule127 4 роки тому +1

    Ndio maana watoto wanaopatikana kwawaganga huwawanalia lia sana mungu atusaidie jamani

  • @graceshayo5763
    @graceshayo5763 4 роки тому +2

    Jmn vitu vizur ndo havinaga wafyac wengi usivunjike moyo Mtumishi wa MUNGU usipo zimia utalipwa

  • @graceshayo5763
    @graceshayo5763 4 роки тому +2

    Daah sijui kma tumepona jmn

  • @samuelnduati9792
    @samuelnduati9792 4 роки тому +1

    Mungu atusaidiye jamani.

  • @robertlyimo8993
    @robertlyimo8993 4 роки тому +2

    Dah hii elimu ngumu sana.

    • @rosecruiz4348
      @rosecruiz4348 3 роки тому

      Ni ngumu lakini tuna jua mambo tusiyo yajua na kuna wengine wana mtusi mwalim maana hawana ufahamu

  • @festuschunya7067
    @festuschunya7067 4 роки тому

    Yesu ni mwema

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 4 роки тому +1

    Hiyo inaitwa Phantom pregnancy

  • @doopaq804
    @doopaq804 4 роки тому +1

    sisemi kitu ila mtumishi wa mungu atasaidiaje wengi maana wengi wanaona ni hadithitu

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 роки тому +2

    Yaani humu duniani tunaona mambo mengi ambayo enzi za utotoni hatukuwa tunayajua.kumbe kuwa uyaone.

  • @polinepoline2863
    @polinepoline2863 4 роки тому +1

    Wow funzo mzuri.Neema ya mungu ikuangazie

  • @masabarakizajustin5868
    @masabarakizajustin5868 4 роки тому

    Asante kwa somo zuri. Lakini naomba kujua jina la jini atoaye mimba. Ni makata, subiana, au nani?

  • @yushuaissa467
    @yushuaissa467 2 роки тому

    Can any jinn respond to this?

  • @mysskibe
    @mysskibe 2 роки тому +1

    Wapi inayofuata baada ya hii? Please I need to watch

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  2 роки тому +1

      Bonyeza link hii 👇
      USHUHUDA WA SHEHE OMARY: ua-cam.com/play/PLXTmPgeqbJ0mEsl5tnDBe62vpeod0cosl.html

    • @mysskibe
      @mysskibe 2 роки тому +1

      @@PromovertvTz nashukuru

  • @deomajuva2432
    @deomajuva2432 Рік тому

    Na sasa mtu ukiona mtoto kaibiwa yaan mimba imeibiwa je unaeza fanya maombi ya urejesho akarudishwa mimba?

  • @abdallahmilaba5407
    @abdallahmilaba5407 4 роки тому +2

    Tupe na suruhu ya matatizo hayo. Kama hakuna SURUHU basi ni bora ungenyamaza tu.

  • @njerimukami3112
    @njerimukami3112 3 роки тому

    Jini akiishi Atoa na watoto wake watakua watu au majini

  • @sharondivine8994
    @sharondivine8994 4 роки тому +1

    Naomba namba ya Mtumishi

  • @rachelmwaki7454
    @rachelmwaki7454 4 роки тому +1

    Sema watu tupone

  • @jeremiahmosomi7451
    @jeremiahmosomi7451 4 роки тому

    Isikuwe no elimu ya kiislamu kwa majini uzaana amboyo biblia hakubali

  • @OmanOman-fk7ke
    @OmanOman-fk7ke 4 роки тому

    Siri ya dini ipo moyoni mwamtu

  • @chrismdachi2544
    @chrismdachi2544 4 роки тому

    F
    Duu!

  • @jeremiahmosomi7451
    @jeremiahmosomi7451 4 роки тому

    Waona amekubali jinni uzaa. Ulisikia tano kwa tano nusu mtu nusu jinni huzaliwa?!. Hapana hakuna mahali biblia inazema shetani na malaika zake (ambao ni majinn) walipewa huwezo wa kuzaa.

    • @magnusmichael7052
      @magnusmichael7052 3 роки тому

      soma kitabu cha mwanzo... habari za wanefili.. watu walipoanza kuongezeka juu ya uso wa dunia wana wa Mungu wakawaona wa wanadamu wakajivika miili wakazaa nao

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 роки тому +1

    Nampenda sana Yesu ndie njia ndie mwamba ndie king ndie kila kitu

    • @halfaniland3850
      @halfaniland3850 4 роки тому

      Mapenzi hayo yatakupeleka motoni, maana hata muumba wako umemsahau. Soma Marco 12:28,32) Umsikie Bwana Yashua anavyosema. Acha kushabikia na kufuata mkumbo. Kupotea huko ndugu. Soma tena Yeremia 17:5)