MKE WANGU Episode [ 1 ]

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2024
  • FILAMU inamuhusu kijana mmoja alie kuwa anatembea na mke wa mtu bila kujali lolote na kuto ogopa chochote yalio mkuta baada ya mumewe kujuwa...

КОМЕНТАРІ • 44

  • @jamillahassan3405
    @jamillahassan3405 3 місяці тому +1

    Ooh huyu kaka ambaye jogoo hipandi mtungi .anaigiza kihuruma 🤔hadi ananiliza jamani😭😭yupo vizuri katika part yake ya uwigizaji 👍🤛

  • @AzungoNgolongo
    @AzungoNgolongo 4 місяці тому +4

    Mbwela fundi sana,napenda usirius wako,unatoa neno linagusa kabisa kwenye mioyo yetu kwakweli,unajua kuubeba uhalisia, hongera Kwa kazi nzuri

    • @Zeldaommy
      @Zeldaommy 4 місяці тому

      Amin inshallah

  • @user-bi9pl4eu2o
    @user-bi9pl4eu2o 2 місяці тому +1

    Good job mbwela

  • @user-hm6hy6rr1h
    @user-hm6hy6rr1h 4 місяці тому

    Ap kaz tu kaz iendelee 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @roggersmalipula8957
    @roggersmalipula8957 4 місяці тому +1

    Daaah hii ni Home Ifakara aiseeh

  • @Professor.Irene95
    @Professor.Irene95 4 місяці тому +1

    Kazi nzuli sana Tanu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂🎉🎉🎉

  • @ZawadiSamuel
    @ZawadiSamuel 4 місяці тому

    Nampenda sana bwela ❤❤❤❤❤❤

  • @rahmajuma2946
    @rahmajuma2946 4 місяці тому +2

    Big up kaka mbwela💪💪❤❤❤❤

  • @NasriRamadhani-po1lz
    @NasriRamadhani-po1lz 27 днів тому

    Team Tanu Respect 🎉

  • @JipemeeSagai
    @JipemeeSagai 2 місяці тому

    Kaz njema

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 місяці тому +1

    Mwanafind mwanaligate kwann umchukue mkewamtu nawewe mdada siuwachee usaliti AMA omba talaka iliuolewe nahuyo kudume chambagu

  • @anyandwilemwangupili4442
    @anyandwilemwangupili4442 4 місяці тому

    Safiii Sana kazi nzurii

  • @directorkakoso
    @directorkakoso 4 місяці тому +1

    Kazi iendelee💪

  • @rahmajuma2946
    @rahmajuma2946 4 місяці тому +1

    Wa saba 😂😂

  • @roggersmalipula8957
    @roggersmalipula8957 4 місяці тому +1

    Nakukubari sana
    Big Up Broo

  • @giftelinazi3487
    @giftelinazi3487 4 місяці тому

    usiwe unachelewa kutoa maan inaonekana na nzur mno na funzo kubwa sana ktk jamii yetu

  • @user-hm5ze9sz2v
    @user-hm5ze9sz2v 4 місяці тому

    Wa atupumzishwi aky ❤❤❤napend kaz zenu hongera tanu

  • @chapchap659
    @chapchap659 4 місяці тому +1

    Unyama sana

  • @Zeldaommy
    @Zeldaommy 4 місяці тому

    Nakukubali sana big kaka mungu akulinde kwa Kila kitu inshallah ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @GadafiNachindundu
    @GadafiNachindundu 4 місяці тому +1

    Naona sauti hapo mwanzo haipo mzuri but kazi mzuri

    • @tanuplus
      @tanuplus  4 місяці тому

      Tusanee haito jiludia tena

  • @GHgh-hq3zj
    @GHgh-hq3zj 3 місяці тому

    ❤❤❤

  • @user-xu5rh6ub5j
    @user-xu5rh6ub5j 3 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @AsuminiMaulidi-yp7rl
    @AsuminiMaulidi-yp7rl 4 місяці тому

    Big up Kaka Stani

  • @user-pp3vo8rw5j
    @user-pp3vo8rw5j 4 місяці тому

    ❤❤❤❤❤

  • @bensemweofficiall
    @bensemweofficiall 4 місяці тому

    Saf broh kazi kazi mungu ni mwema❤

  • @user-lv5iw6wn6q
    @user-lv5iw6wn6q 3 місяці тому

    ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Mwandola1
    @Mwandola1 4 місяці тому

    Kubwa sana

  • @lizchepkorir2000
    @lizchepkorir2000 4 місяці тому

    Tanuuu🔥🔥🔥💪💪💪

  • @rahmajuma2946
    @rahmajuma2946 4 місяці тому

    Mbona fupi😢😢😢

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 4 місяці тому +1

    Hii channel nimekutana nayo kibahati bahati. Nilikuwa namtafuta sana huyu jamaa tatizo sikuwa nafahamu jina lake. Sasa leo nauliza swali langu ambalo nililiuliza sana bila kupewa jibu. *TANU, wewe ndiye uliigiza kwenye BIG BOSS yule aliyetoa kafara kwakuua mbuzi?"*
    Maana kila nikikuangalia sura inakuja halafu inakataa.

    • @A7films255
      @A7films255 4 місяці тому

      Apana sio uyo

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 місяці тому

      @@A7films255 Dah! Yule jamaa alienda wapi mbona haonekani kwenye film za CLAM?

    • @user-ru8kd6ho5h
      @user-ru8kd6ho5h 4 місяці тому

      Mmh yuko

    • @marthajohn6532
      @marthajohn6532 2 місяці тому

      Jaman ndio yeye huyo

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 2 місяці тому

      @@marthajohn6532 naona kuna watu wamesema sio yeye. Halafu yeye hajibu. Ninahisi ni yeye kwasababu tangu BIG BOSS iishe nilimuona kwenye BEST FRIEND nahisi yule bwana ni huyu TANU

  • @BijouxBulose
    @BijouxBulose 4 місяці тому

    ❤❤❤