ZUCHU AMEONDOKA WASAFI ?, DUDU BAYA AFICHUA MAZITO, MAMBO YAKO WAZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 122

  • @LorethaDecomarmond
    @LorethaDecomarmond 11 днів тому +21

    Uyu jamaa namkubali sana anaongea point mno big up Bro

  • @WisleyDresser
    @WisleyDresser 8 днів тому +3

    Very good,hata mm mambo ya mialiko ya sherehe sijui birthday no,Sina muda huo.. kweli umeongea point..

  • @AishaZuber-z6g
    @AishaZuber-z6g 10 днів тому +2

    Kapendeza leo masha Allah ❤❤❤ Na ukienda hovyo unakula chuma😂😂😂😂😂

  • @TopTop-vo6pe
    @TopTop-vo6pe 11 днів тому +5

    😂😂😂😂unajua kumjibu maswali😂😂😂❤❤❤❤ DUDU baya

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 10 днів тому +4

    Duduzuri😂😂❤❤❤ ndio kidume sasa .hana haja ya mipicha picha na birthday. Hao wapenda vaa suti na birthday ni WANAUME WA DAR😂😂😂😂

  • @AllyKipe-d2y
    @AllyKipe-d2y 7 днів тому +1

    Konki3 nakupenda sana broooo ❤❤❤

  • @SundayMbatia-hr8qp
    @SundayMbatia-hr8qp 11 днів тому +31

    Nan kaona dudubaya anafanana na Quick rocker

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 11 днів тому +7

    Nakupendaga dudu baya

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 11 днів тому +10

    Maswala yakimalaya safi sana usiulizwe ujinga

  • @JumaKizija-n6c
    @JumaKizija-n6c 9 днів тому +2

    Leo ndio nimemsikiliza Dudu Baya. Jamaa yuko vzr kwa kweli.

  • @beatricejohn1659
    @beatricejohn1659 11 днів тому +7

    Thank God umenyoa ❤

  • @xpin1
    @xpin1 11 днів тому +8

    Jamaa anaelewa tofauti ya manager na director.

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 11 днів тому +8

    Yaani jamani tumain unajizeesha hivyo kumbe kijana mbichi kabisa usiache manywale hivyo bwana umependeza sana mwanangu

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 11 днів тому +2

    Braza ongea ,cc tunaamn maneno yakoo

  • @allytalhata7250
    @allytalhata7250 9 днів тому +1

    Huyu sindo konki mastar😅😅

  • @doninacio4260
    @doninacio4260 7 днів тому

    Toka mozambique Noma sana

  • @Rosemary-x4p
    @Rosemary-x4p 11 днів тому +6

    Nakukubali sana dudubaya.

  • @hamidahmed392
    @hamidahmed392 9 днів тому

    Yaani wa kwetu mdg wangu nimependa iyo ya kimalaya malaya😂😂😂😂 jmn umependeza maanshallah

  • @Clara-ke2wj
    @Clara-ke2wj 9 днів тому +1

    Dudu baya kasema kweli Daimond hamiliki wasafi media nathani kusaga ndiyo ana own

  • @MalkiaNawal-s5l
    @MalkiaNawal-s5l 9 днів тому

    You are smart

  • @dicksontegemea8978
    @dicksontegemea8978 7 днів тому

    Dudu Baya Ali hit wakati wasanii wengi wabovu, Hana muziki wowote NI roporopo

  • @GentilRusoka
    @GentilRusoka 11 днів тому +1

    Unacho ongea ni kweli kabisa.
    Hata hapa Marekani ndivyo ilivyo.

  • @delphinefleurmanirambona8651
    @delphinefleurmanirambona8651 7 днів тому

    Maisha ya kinya 😂😂😂😂😂

  • @hamidahmed392
    @hamidahmed392 9 днів тому +1

    Kweli umetuvumbua

  • @gracewairimu800
    @gracewairimu800 7 днів тому

    Eti maswali ya kimalaya malaya😂😂😂😂Ila dudu bana😅

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 11 днів тому +2

    safi sana dudu baya

  • @SilaJoseph-c1g
    @SilaJoseph-c1g 10 днів тому +1

    Du jama dude ajua mengi anatufumbua vichwa sana

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 9 днів тому +1

    Mwalimu(Dudubaya) vs Mwanafunzi wa mwisho shuleni (mtangazaji.)

  • @delphinefleurmanirambona8651
    @delphinefleurmanirambona8651 7 днів тому

    Ngo maswalah ya Kinya ya Kimalaya 😂😂😂

  • @Nyaso5417
    @Nyaso5417 11 днів тому +1

    Leo Dudu kapendeza 😂😂

  • @TopTop-vo6pe
    @TopTop-vo6pe 11 днів тому +2

    Umeongea ukweli leo mufahamishe mtangazaji akuelewe

  • @FredrickMajami
    @FredrickMajami 11 днів тому +2

    Ww mtangazaji rudi shule kichwa chako kigumu sana

  • @Urmillar
    @Urmillar 10 днів тому

    Hapo dudu ungemzaba huyo kofi akili ifunguke😂

  • @mtulivuboy
    @mtulivuboy 11 днів тому +3

    dabu c b. Hahahahah konky master

  • @zee2teacher941
    @zee2teacher941 7 днів тому

    🙌👏👏👏👏👏👏

  • @delphinefleurmanirambona8651
    @delphinefleurmanirambona8651 7 днів тому

    CONKIE MASTER ✌️🫡

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 11 днів тому

    Uyo Mbengo ana kichwa kigumu, ndo hao Waandishi Uchwara..

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 9 днів тому

    Tishati na Jean na raba kati.... bro ametupilia tayar pamba kisafi bila shida 😅

  • @lishlubanga7056
    @lishlubanga7056 8 днів тому

    He said Mbosso alikuwepo that means ??

  • @Mejaclub
    @Mejaclub 11 днів тому +2

    Wasafi classic baby

  • @GraceStephano-o7f
    @GraceStephano-o7f 10 днів тому +1

    Reo kapenda sana nikweri wanafana

  • @youngtomuller-vh2pu
    @youngtomuller-vh2pu 9 днів тому

    Together bro

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 11 днів тому

    Hata Mtangazaji pia hajuwi nini Manager nini Director.... Wamekosa Elimu 😂😂😂😂 basi mahodani tuu Ku comment.

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 11 днів тому +1

    Hivi WCB ni WASAFI CLASSIC BAND 😂😂😂, Kumbe ni Band ileee😂😂😂
    Me Nilijua WASAFI CLASSIC BABY 😂😂😂

  • @GentleGiant-pj2rk
    @GentleGiant-pj2rk 9 днів тому

    Huyu jamaa itakuwa amepewa kifurushi cha interview ya bure😂

  • @RahmaAlly-p4o
    @RahmaAlly-p4o 10 днів тому

    Kama mzee magali kuongea mpaka sauti jamani

  • @JayproMedia-gs7ql
    @JayproMedia-gs7ql 10 днів тому

    Uyu jamaa dudubaya ana baki na kinywa ana ongeya ujinga uta fikiri shoga kipi ana kiweza sasa uyu zidi yaku ongeya 😂

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 10 днів тому

      We utakua kitoto cha elfu2

    • @PolRicric
      @PolRicric 10 днів тому

      @@humbleshoalkbs

  • @mtulivuboy
    @mtulivuboy 11 днів тому

    lebo inaitwaje eti hahahaha nimecheka

  • @greydonalds4286
    @greydonalds4286 11 днів тому +2

    Kwani dudu ni nani mpaka kila kitu mnaenda kumuuliza yeye? Dudu anajua habari za kila mtu Tanzania? Acheni ushamba nyinyi media uchwara

  • @Haarun-h4q
    @Haarun-h4q 11 днів тому

    Naseem hawezi kuowa.Masharti hayamruhusu.Akiowa atafilisika.

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 10 днів тому

      Kwa nn afirisike! Hataki tu

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 11 днів тому

    Mali ni za watoto sasa. Mengi kafa kaenda na suite yake tu, vilivyo yuma yake sio vyake tena inabaki suit aliye valishwa na amali yake basi..

  • @rahmaabubakar3932
    @rahmaabubakar3932 10 днів тому

    Waandishi wa habari waende shule, mwandishi anauliza pumba na upeo mdogo sana.

    • @abdul1805
      @abdul1805 10 днів тому

      ni aibu kubwa bongo waandishi wengi ni uchwara tuu hakuna kitu kichwani

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 11 днів тому +1

    Akili kubwa

  • @mwaminishakalili4120
    @mwaminishakalili4120 10 днів тому

    WCB😂😂😂😂

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 11 днів тому

    Acha makasiliko unapayuka sana

  • @DieudonneMbazumutima
    @DieudonneMbazumutima 11 днів тому

    Kabixa

  • @PolRicric
    @PolRicric 10 днів тому

    Jamaa wanapata sana content kutoka kwa #dudubaya wanamlipa kwl ??

  • @GgjTfg
    @GgjTfg 10 днів тому

    Ila Dudu saluti

  • @VM7ojm
    @VM7ojm 10 днів тому

    Dudu baya siku hii kafanana na PDD😂😂😂

  • @mtulivuboy
    @mtulivuboy 11 днів тому

    My question why everything have to ask him which way he know the things?

    • @Nyaso5417
      @Nyaso5417 11 днів тому

      He is our Tanzanian Musician Legend, so he is inside system, it is possible for him to know many things over there.

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 10 днів тому

      ​@@Nyaso5417
      Sure thing

  • @RoseMadatta
    @RoseMadatta 10 днів тому

    😂😂😂❤❤❤

  • @joejoe2228
    @joejoe2228 11 днів тому

    Sandals 200000/=?

  • @MelissaMhina-g9u
    @MelissaMhina-g9u 10 днів тому

    Mmiliki ni Diamond nendeni brela mkaangalie

    • @Clara-ke2wj
      @Clara-ke2wj 9 днів тому

      Nope siyo mmeliki wa media ni kusaga

  • @BinSultan-t5g
    @BinSultan-t5g 9 днів тому

    Kanzu laki nne

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 11 днів тому

    Alhamdullilah leo kachana nywele kaonekana MSAFI 😂😂😂

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 11 днів тому +1

    Aondoke asiondoke inawahusu nini?

  • @JumaIddi-o6f
    @JumaIddi-o6f 11 днів тому +1

    Konk master

  • @AMINAKANDURU-i1y
    @AMINAKANDURU-i1y 10 днів тому

    😂 😂 😂 😂Futari kanzu ya laki 4 sandals laki 2

  • @FahadAli-ni5eu
    @FahadAli-ni5eu 11 днів тому +1

    Kila cku nasema wasafi classic baby kumbe band

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 11 днів тому

    Uyo mtangazaji akili yske haipo hapo mzabe vibao uyo ende zake

  • @SADABEJA
    @SADABEJA 9 днів тому

    Konk umependeza sana.nakkbal sana ,wewe nimkwel

  • @eddyboy1719
    @eddyboy1719 9 днів тому

    Mtangazaji ww mshamba huelewi kabisa....soma bana uwe na ufahamu...

  • @mothedon202
    @mothedon202 10 днів тому

    KUNA KITU KINAITWA MKATABA ILI UONDOKE WAMUULIZE HAMONIZE NA RAY ??

  • @AbedakonkwaBisimwa
    @AbedakonkwaBisimwa 11 днів тому

    Diamond ata owa ghana alisema zuchu ni mwanamziki 1:46

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 11 днів тому

    Konki mpige makofi huyo dogoo😂😂😂

  • @XjsisbdkdhJddiejh
    @XjsisbdkdhJddiejh 11 днів тому

    😂😂😂😂

  • @SilaJoseph-c1g
    @SilaJoseph-c1g 10 днів тому

    Du jama dude ajua mengi anatufumbua vichwa sana

  • @meowzna
    @meowzna 9 днів тому

    😂😂😂😂