MKE AFICHUA SIRI YA MUME WAKE, NI JAMBAZI, ANA BASTORA MBILI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 677

  • @mbengotv
    @mbengotv  11 місяців тому +28

    Karibu ujiunge kwenye group la watsup la mbengo Tv
    chat.whatsapp.com/CCCCHDZ6VE0Jn6whMiVZcr

    • @ClarenceMakundi
      @ClarenceMakundi 11 місяців тому +1

      😊

    • @Clarah-sv3sq
      @Clarah-sv3sq 11 місяців тому +2

      Heh

    • @thomastomaa5506
      @thomastomaa5506 11 місяців тому

      ​@@Clarah-sv3sq1 polesana

    • @WinstoneRodney
      @WinstoneRodney 10 місяців тому +1

      mm ni amos daniel kutoka tz pole sana mama

    • @SamMaboko-xo6uk
      @SamMaboko-xo6uk 10 місяців тому

      ​@@ClarenceMakundi😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😅😅😅😅😅😅lc

  • @abdulkareemchacha2625
    @abdulkareemchacha2625 11 місяців тому +8

    Unapaswa kumshukuru. Mwenyezi Mungu kwa kukuepusha na kifo upo hai na maisha yanaendelea.......sahau yaliyopita rudi kwa Mola wako,Yeye ndiye mjuzi wa kila kitu.

  • @safililian6
    @safililian6 11 місяців тому +5

    Pole sana. Mtu mwenye mali, lazima awe na bastola. Ulipata jirani mwema kweli abarikiwe🙏🙏. Mungu akusaidiye sana🙏

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 11 місяців тому +6

    Pole dada,Mwenyezi Mungu Subhaanahu Wata'ala atakulipia leo hapa duniani na kesho akheyra.

  • @jonahchepkwony1922
    @jonahchepkwony1922 11 місяців тому +7

    Pole mama Mungu Atakusaidia uwe na maisha marefu ya ufanishi.

  • @user-lg1tb7nh4n
    @user-lg1tb7nh4n 11 місяців тому +11

    God bless u mama
    Mungu akupe wepesi wa Maisha yako
    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @rodahmoraa5041
      @rodahmoraa5041 11 місяців тому

      Mungu anakupenda sana mama atakulinda

  • @naomilumolwa7864
    @naomilumolwa7864 11 місяців тому +7

    Pole Dada Mungu akupe wepesi ktk maisha mengine, na pia Hao jamaa walokusaidia ukiwa huko Malawi Mungu awaongezee hapo walipotoa kukupa wewe, kwa moyo waliyouonyesha wa kutoa,

  • @bitishoriziki1113
    @bitishoriziki1113 11 місяців тому +3

    Pole dada kumbe nihivyo dada yangu kwa ya mateso mengi saana 🙏🏾🙏🏾🙌🏾👏👏

  • @user-xk9ul4im7o
    @user-xk9ul4im7o 11 місяців тому +2

    Pole dadaangu Hilo nijaribu na kipimo mungu anakupima Imani yako kweli wewe nishujaa unaujasiri mkumbwa mno mungu hoto kuacha kamwe maishani mwako amini jilo

  • @bonita329
    @bonita329 11 місяців тому +13

    Pole sana dada😢💔 dah kila binadamu ana historia ya maisha yake unaweza sema sio kweli lakini kuna mambo yanaweza kukutokea hata wewe mwenyewe usielewe ni kitu gani kimetokea ...
    Jamani Angepatikana mtu akafanya hii story kuwa movies kupitia hii true story ingekuwa powa sana ..pia jamii ingejifunza mengi...

    • @NicodemusKithi-xe7mg
      @NicodemusKithi-xe7mg 11 місяців тому

      I say pole sana mamangu zidi kuomba mungu sana hatokuwcha

  • @TheTarabist
    @TheTarabist 9 місяців тому

    Kwanza pole sana mama. Mungu Anakupenda bado ndio maana anakupa fursa ya kuendelea kuishi. Umemwasi Mungu, mwanamke Muislamu kukubali kuolewa na asiyekuwa Muislamu. Mungu amekupitisha katika mtihani wake. Bado Anakupenda. Sasa mthi itishiye Mungu kuwa umetambua makosa yako Kwa kurejea kwake muombe sana Akusamehe na ishi maisha ya ucha-Mungu mpaka siku ya kuondoka duniani. Mkumbuke Mungu na kumtaja sana kwa sifa Zake, usali na kutoa sadaka. Atakupokea. Mwisho mwema ndio mzuri jaijalishi Sana. ulivyomuasi. Asante.

  • @graceshayo5763
    @graceshayo5763 11 місяців тому +6

    Ila watu wanadhambi jmn kweli unaishi na kiungo cha binadam mwenzio MUNGU atusamehe

  • @abdikadirchief8706
    @abdikadirchief8706 11 місяців тому +1

    Aay interesting story, kweli kuna watu kati ya watu, following you guy's from Kenya

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 11 місяців тому +3

    40:19 pigeni simu TANESCO!!! Tukio limetokea Malawi 😊..acha usanii

  • @MichaeliAmnaay
    @MichaeliAmnaay Місяць тому +1

    Story nzuri japo ya kutengeneza,Y hizo picha alone mwandishi tu

    • @LucknessPeter
      @LucknessPeter 15 днів тому

      mmama mwenyewe anaonekana muongo muongo tu

  • @hellenshani1614
    @hellenshani1614 9 місяців тому +2

    Mungu anaujua ukweli wote. Ni bora huyu Dada aligundua kazinya Mumewe. Maana kuna siku angekija kumuua tu hata kama asingefanya usafi, hayp maisha yalikuwa ya muda tu. Ndio maana alikuwa analeta wanawake zake pale pale ndani. Hukumu ya Yehova Mungu itatenda haki. Iko siku tu.

  • @japhetmasai9954
    @japhetmasai9954 10 місяців тому +1

    P0le dadangu Ashurst hakika inauma sana haki hata mimi natokwa na machozi kwa hicho kiss mungu akubariki, natumai hayo yote mungu atakutendea

  • @josephfrazier5001
    @josephfrazier5001 11 місяців тому +4

    Pokea pole zangu dadangu pole sana Mungu mwenye rehema akuonenekanie Amina 🙏🇰🇪

  • @KhadijaAbdallah-kn3ii
    @KhadijaAbdallah-kn3ii 11 місяців тому +2

    Watu wana roho mbaya sana pole mwanamke mwenzangu pole sana, sasa ww unaesema moves mshukuru Mungu wako kwa.kukukinga na mitihani

    • @westmanmoses541
      @westmanmoses541 11 місяців тому

      Kabla hujaolewa ama kuoa chunguza kwa makini sana.wanawake wengi sana wanaingia kichwa kichwa

  • @fahimomar7850
    @fahimomar7850 10 місяців тому +1

    Fanya toba kwa sanaaa mwenyezi mungu akusamehe mabaya uloyafanya urudi kwenye dini yako na uswali sana kama umesahau rudi madrasa

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 10 місяців тому +1

    Yaani ungejua alivyokupa mgongo tuu ungemmalinzia palepale ndani pole sana

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 11 місяців тому +7

    Usihuzunike kwamba huendeshi gari tena,kumbuka ulipata maisha ya juu sn kupitia damu xa wa2,mguu wa albino,ndugu waxaxi wa albino bado wanamlilia Mungu,hilo jambaxi litakufa kifo kibaya,omba toba damu xa wa2 xikutoke.

  • @jokepenis2016
    @jokepenis2016 11 місяців тому +3

    Katika AMRI KUMI ZA MUNGU, Ina sema USIBE uwizi ni lana kutoka kwa MUNGU sawa ❤❤❤🙏🙏🙏

  • @user-by4dq5si8s
    @user-by4dq5si8s 11 місяців тому +10

    Story ya huyu mama hiliniguza Sanaa mungu akupe amani moyoni.

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 11 місяців тому +2

    Pole sana Ashura Mwenyezi Mungu alikuwa nawe

  • @jaberalyafei274
    @jaberalyafei274 11 місяців тому +3

    Mtangazaji hadith nzuri sana lazim kumlipa pesa nzuri

  • @JonathanMashaili-rd2bp
    @JonathanMashaili-rd2bp 9 місяців тому +1

    Pole sana dada angu mungu akujalie maisha mema

  • @ChrestinaTina-jl9cs
    @ChrestinaTina-jl9cs 7 місяців тому

    Pole mamaangu. Ila huonyeshi kama una miaka 50 yaani utafikili 30 nakituhivi. Ila umesema ukweli wengi Hawa pendi kusema miakayao

  • @teddysisty320
    @teddysisty320 11 місяців тому

    Pole dadaangu kuna watu siyo wema kabisa Mungu atakusaidia mshitakie yy❤❤

  • @nassimali8285
    @nassimali8285 10 місяців тому

    Pole mama Mungu Atakusaidia Uwe Na maisha marefu ya ufanishi inch'Allah

  • @user-vz3mv9hg6f
    @user-vz3mv9hg6f 11 місяців тому +4

    Pole sana mama mtangulize mungu atakusaidia

  • @malikikijogoo5407
    @malikikijogoo5407 7 місяців тому +1

    Mmmhhhhh hivi ni kweli huyo jamaa hajaiona hiyo bastora jmn kwa kumpiga kote huko

  • @CristinLyanga
    @CristinLyanga 2 місяці тому

    Pole sana rafiki.😊

  • @charlesassey5642
    @charlesassey5642 7 місяців тому

    Dah pole sana dada yaani hii story imeniumiza sana , ila mm nimekaa sana Lilongwe Mzuzu na Blantyre umaskini kule ni mkubwa sana

  • @eunuceogechi9202
    @eunuceogechi9202 11 місяців тому +2

    Poleni sana mama.mungu anakupenda sana

  • @Susanumazi
    @Susanumazi 11 місяців тому +2

    Mungu azidi kukulinda mamaangu❤❤

  • @MeswalehShaban-mg5kk
    @MeswalehShaban-mg5kk 11 місяців тому

    Pole sna ddangu...muhim ulifik salam shukr Mungu ...pole sna tena sna

  • @jacobmwamidi5000
    @jacobmwamidi5000 7 місяців тому

    Yani ni kama bonge la Movie ila ni true story.Pole sana dada kwa masahibu yaliyokupata.

  • @olivajohn9301
    @olivajohn9301 3 місяці тому +1

    Pole

  • @user-cp1jb2cf4l
    @user-cp1jb2cf4l 11 місяців тому +2

    Pole sana Allah azidi kukupa subra

  • @user-yh3oo7yt3h
    @user-yh3oo7yt3h 10 місяців тому +1

    Pole sana dada mungu akupe amani ya maisha

  • @johnkashaija8191
    @johnkashaija8191 5 місяців тому +1

    Hakuna sehemu ya story yake tells. Malawi police. Waliona Mguu na Bastora. Pili kama aliweza kulipa ada ya mtoto. Why he was not arrested . Tatu kitendo cha kwenda kijijini miezi mitatu na mama kufunga duka ni Mazishi. Nne Malawi kuna njaa. But still . I love the story.

  • @user-qz6vn5mo3w
    @user-qz6vn5mo3w 11 місяців тому

    Alawi!! Kaka yako Juma was my best friend I've travel with him in our seaman work, l'll to find you and my friend jumaa,I remember Pazi street.

  • @user-tb1rf3hj7j
    @user-tb1rf3hj7j 11 місяців тому +7

    Pole sana dada angu mungu akupe utulivu katika maisha yako 😢😢😢

  • @brendahnatasha5107
    @brendahnatasha5107 11 місяців тому +1

    😢😢😢😢 sorry this story is so emotional Mungu akupe nguvu

  • @callenkeraso7156
    @callenkeraso7156 9 місяців тому

    Pole sana mama kwa hayo machungu.Mungu akuonekanie.

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 11 місяців тому +1

    Pole sana Mungu atamlipa tu kwa hicho alichokufanyia

  • @maimunamselemo8427
    @maimunamselemo8427 8 місяців тому

    Alihamdullah mshukuru Mungu dada angu kwa kuwa hai Mungu ni mwema

  • @juliusyego5325
    @juliusyego5325 11 місяців тому

    mimi ni mkenya julius yego kutoka sehemu ya Nandi.Pole sana mama mtanzania ni machungu haya mungu ni mwema, ungali hai.

  • @salimhamisi6860
    @salimhamisi6860 11 місяців тому +1

    God bless u mama

  • @user-dq3ye8el7x
    @user-dq3ye8el7x 10 місяців тому +1

    Pole ssna dada mungu akupe wepes

  • @floranahashon4180
    @floranahashon4180 11 місяців тому +2

    Aiseee pole sana 😢😢ila ni Mungu tu alisimama na wewe

  • @halimaali3719
    @halimaali3719 11 місяців тому +3

    😢😢😢😢😢 pole sana mamaauu mungu anakumpenda kukomzima

  • @hadjihadji197
    @hadjihadji197 11 місяців тому +1

    Pole sana sister maisha yanakupanda na kushuka.

  • @evaristshirima4509
    @evaristshirima4509 11 місяців тому +6

    mbona story kama uwongo sasa jamaa tym ya kumpiga huyu mama hiyo pastola ingeoneka bhana au ingedondoka jamaa wakati anamuinua juu akimrusha chini

    • @georgegerald4153
      @georgegerald4153 11 місяців тому +1

      Umeona aiseh hii story niya kutunga

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 11 місяців тому

      Kwasababu hayajakukuteni kiasi mseme ivo

  • @johnmelody8859
    @johnmelody8859 11 місяців тому +2

    Pole sana mama Mungu akusaidie sana

  • @khadijaabdulrahmani1446
    @khadijaabdulrahmani1446 11 місяців тому +2

    Twanga kitungu swaumu punje 2 weka kwenye maji kunywa kutwa mara 1 kila siku inatibu presha , presha ikipanda sana ndimu kamua kwenye maji kunywa

  • @RucyMakapa
    @RucyMakapa 21 день тому

    Poleee dada majambaz co watu roho zao zimekula mavi

  • @mahmudsamson6162
    @mahmudsamson6162 11 місяців тому +1

    Pole dada wananchi watakusaidia lakni mama samba kukusaidia sahau yeye n kunenepea tu ajali vision uko nje

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 11 місяців тому +2

    Dada angeandika kitabu.. hii story ni feki! Jambazi hafanyi parties.. wanaishi maisha ya ukimya na kutofanya vituko wanapoishi..! KItabu ingekuwa pesa nyingi.. lakini hajaishi hayo maisha asituzeveze..!

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 11 місяців тому +1

    Mungu atakulipia sister. Inaskitisha sana sana… Ehhhhhh Mungu wangu weee

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 21 день тому

    Jamani hii sio kuekti nikweli kabisa yaani mt akiongea uongo anajulikanwa tu lkn hii ni stor ya kweli kabisaaaa😊

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 11 місяців тому +6

    Ingelikuwa bora zaidi mngemficha sura kwa usalama wake maana Majambazi huwa na mtandao wanaweza wakaja wengine wakamdhuru..

    • @user-kv5eo8ix9k
      @user-kv5eo8ix9k 11 місяців тому

      Hii stori ya miaka ya 90 hakuna kitakacho tokea mawesco

    • @user-cz5zy1ck2k
      @user-cz5zy1ck2k 21 день тому

      Pole sanaa.Dada yetu.m
      Mrudie mungu kikwelikweli mama ili upate mwisho mwema.
      Hii dunia ni km tambara bovu liwezalo kukupasukia muda mfupi tuu.
      Je,huyo mwanaume Bado yuko hai???Au huna tena habari zake?
      Maana umesema wote ni watoto wa temeke.!!

  • @maelezokitabwire8855
    @maelezokitabwire8855 11 місяців тому +5

    Pole mama Ashura,mungu akupe maisha mema

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 21 день тому

    Pia na wale wote waliokusaidia ishallah nawao Allah awajaze majazo mema awasaidie nawao pindi wakifikwa na maafa ya aina yoyote yale

  • @DeusdelithMulokozi
    @DeusdelithMulokozi 3 дні тому

    Moyo wa mtu ni kichaka kilichomo hujui! Pole

  • @user-gs3ix2sy9n
    @user-gs3ix2sy9n 10 місяців тому

    Huyo baba mungu amlaani sana kwa kumwaga damu za watu wasio kuwa na hatia

  • @TheresiaCosmass
    @TheresiaCosmass 11 місяців тому +1

    Pole sana dada , ila kunawatu wagumu kuerewa, mtu kapatwa na matatizo una mtukuna!!!!!!

  • @pauline6571
    @pauline6571 11 місяців тому +2

    Huyu mama naye jambazi tu baada ya kutoelewana na huyo bwana ndiyo akaamua kusanua lakini mambo mengi alikuwa anajua!

    • @sautiyamunguduniani4620
      @sautiyamunguduniani4620 10 місяців тому

      Ukovizur kwa uchunguzi chief huyu nae anahusika kabisa sema aliumia katika mapenzi 😆

  • @stephanocyrilo1384
    @stephanocyrilo1384 11 місяців тому +1

    "Ayemu promisi sitokupenda tena"😂😂😂😂

  • @damasmkyahoka7986
    @damasmkyahoka7986 11 місяців тому +1

    We malaya tulia maisha yakupige ndo utajuwa maana ya maisha ni nn make ulitumia mawazo ya malaya wenzako ukavunja ndoa kwa mikono yako mwenyewe Acha juwa likuwakie pumbavu

    • @EdyTulatuma
      @EdyTulatuma 10 місяців тому +1

      Sababu siyo ndugu yako kichaa anapendeza sana akiwa hatokei kwenu

  • @user-bn5gs6fx2q
    @user-bn5gs6fx2q Місяць тому

    😢😢😢 pole sanaaaa dadangu

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 21 день тому

    Pole sana zaidi yasana lkn yule mama licha ya kukupenda pia alikua anaimani kupitiloza napia ndipo tunapoambiwa siku yakufa ikiwa haijafika huki km Allah hajataka jamani Allah akujaalie umri mrefu uwalee wanao na mama ako pia ishallah utapata msaada ili uendeshe familia yako pole kipenzi

  • @SaleheHamisi-bz2ns
    @SaleheHamisi-bz2ns 11 місяців тому +1

    Watanzania weng tupo haswa hao watu wa magereg , lakin sio wote tupo kama ken, kwa tunaomba dada zetu mstuogope endapo mtu anataka make.

  • @rugendorunene545
    @rugendorunene545 11 місяців тому

    Brilliant and sad story, nawa pongeza sana mbengo TV... HONGERA jameni!

  • @user-me6yt2cx4g
    @user-me6yt2cx4g 11 місяців тому +2

    Hiyo story tu huwez kupigwa na bastora isionekane 🤣🤣

  • @shaniabubakar
    @shaniabubakar 26 днів тому

    Pole xana dad ashura

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 11 місяців тому +3

    Yan mambo mengine ntavumili tu ..mana ntafrahisha media badae unaishi kwa was was

  • @nuruvinny5141
    @nuruvinny5141 11 місяців тому

    Mshkuru sana mungu kwakweli dah tena katoe Sadaka ya shukrani

  • @user-eg5kw1ss7q
    @user-eg5kw1ss7q 8 місяців тому

    Mm nahitaj kumsaidia ila sijui kutuma pesa am from kenya 🇰🇪

  • @user-vi1cg4wy5c
    @user-vi1cg4wy5c 11 місяців тому

    Pole weeeee mungu akupe long life

  • @user-fq9ol4nr9x
    @user-fq9ol4nr9x 11 місяців тому +1

    Aki mama mm nakuombea mungu atawale maisha yko na pole kwa yote

  • @user-rk5gt9qz4q
    @user-rk5gt9qz4q 9 місяців тому

    Pole San mama mungu akusaidie zid kumuomba mungu tu

  • @anraneamisse9243
    @anraneamisse9243 11 місяців тому +1

    Hap mozambique sehemu gan

  • @Pascalkashindi76
    @Pascalkashindi76 11 місяців тому +2

    Let's go mbengo tv 🎉

  • @semenitheclassic
    @semenitheclassic 11 місяців тому

    Ni mrembo sana ❤❤ so cute

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 11 місяців тому +2

    Mwanao alisomeshwa kwa pesa xa wauwaji,hivi dada unajua vilio vya uchungu wanavyolia hao waathirika?laana itamtafuna h 1:12:19 huyo kijana,aende aka2buuu.Kuna mbwa wameuwa watoto wa wa2 ili yawe Tajiri,Mungu akatudisha majeshi kwayo.

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 11 місяців тому

      Ndio maana huyu aliamua kumtia mwanae kwenye hayo maisha pamoja na kwamba alikuwa hana uwezo

  • @maximusalnono6425
    @maximusalnono6425 7 місяців тому

    Duh 🙄 uwandishi mbovu sana BASTORA ndo kitu gani?😂

  • @user-ib4bt5rt9y
    @user-ib4bt5rt9y 8 місяців тому

    Poleni sana mama kwapatana nahiyo shida

  • @user-tp4ch9mn5y
    @user-tp4ch9mn5y 27 днів тому +1

    Poole dada angu

  • @Rassambusa-if5pe
    @Rassambusa-if5pe 7 місяців тому

    Pole sana dada yangu kwamagum uliyopitia

  • @kigiryamanichehu679
    @kigiryamanichehu679 11 місяців тому +2

    Pole sana mamaangu

  • @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv
    @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv 11 місяців тому +1

    Mwenyezi mungu bado yupo pamoja nawe

  • @benedictntilla6943
    @benedictntilla6943 11 місяців тому +1

    Hujamhoji ana taarifa gani kuhusu mumewe Hadi sasa?

  • @bitishoriziki1113
    @bitishoriziki1113 11 місяців тому

    Pole pole saana 🤗

  • @RucyMakapa
    @RucyMakapa 21 день тому

    Pole dada ashuraa

  • @injilinjeyakutazakanisa
    @injilinjeyakutazakanisa Місяць тому

    Ah, Mi nataka nikuone unipeleke huko Malawi

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 11 місяців тому +1

    Duh pole Sana mama umeniliza tena

  • @user-fd8ce8ct2m
    @user-fd8ce8ct2m 11 місяців тому +2

    Subuhanallah Mungu Mkumb

  • @user-uq6hy1lu5c
    @user-uq6hy1lu5c 6 місяців тому

    Ulipendwa kweli dd kwani unazani jamani apendi