FINAL:ILIBIDI NIMPE M!MBA MAMA YANGU ILI NILETE HESHEMA NYUMBANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • #foxetv #hardmovement Bonyeza alama ya Subscribe kisha weka notification on ili kupata matukio yote kwa wepesi zaidi Asante.#FoxeTv Ni Bora Zaidi
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    ©Instagram @FoxeTvTanzania tufollow sasa kwenye mtandao wetu wa kijamii
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    Tag;
    #video #bongomovie #truestory #majanga #mikasa #msaada #update #trendingvideo #trending #trendingnews #oman #omannews #omanchannel #omannewstoday #kenya #kenyanews #kenyadigitalnews #kenyanewsmedia #usa #usanews #america #american #amerika #tanzania #tanzaniasafari #tanzaniayetu #uganda #ugandanewsupdates #rwanda #rwandanmovies #burundi #burundinews #uchawi #mikasa #udakutz #udaku254 #ngono #VideoChafu #VideoXxx #Xxx #xxl #uchib #tikitv #tikitvkiakilizaidi #zanzibarbeach #maximumtvonline #maximumtv #DavistarMatal #mtoto #watoto #Ubakaji #diamondplatnumz #harmonize #comedy #comedyvideo #film #movie #movie #ayo #millardayo #millardayoupdates #GroblaUpdates #global #AingiliwaKinyume

КОМЕНТАРІ • 543

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 3 місяці тому +11

    Sijui ilikuaje nikasikiliza upumbavu huu hadi mwisho story ya kitoto ya uongo na uzushi! Hizi online media uchwara zifungwe zinatupotezea muda na focus

    • @Dalmus254-mh6bg
      @Dalmus254-mh6bg 2 місяці тому

      Wanatafuta views tu

    • @dianamvuzwa-eh9ov
      @dianamvuzwa-eh9ov 22 дні тому

      Sio kweli nakama ni kweli hauna hakili Yani mambo mnayo yafanya na Binti yake uyafanye na mama yake,na kama nikweli kwanini haukukimbia na undugu ukauvunja siku hiyohiyo

    • @irinelesiamanga7557
      @irinelesiamanga7557 3 дні тому +1

      HAHAHAHAHAHA

  • @DignaKimario-j6j
    @DignaKimario-j6j 12 днів тому +2

    Mwenyez mung akurehem

  • @everlinevizengwa3906
    @everlinevizengwa3906 5 місяців тому +12

    Wewe kijana ni mjinga sana

  • @NiniKiboko
    @NiniKiboko Місяць тому +6

    Umeshalaniwa omba rehema Huna hakiri

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 6 місяців тому +19

    Kijana anaongea huku akifurahia.
    Badala ya kusikitika kuwa ni laana anachekelea tu. Mshenzi kweli.

    • @user-np3fe2sl8d
      @user-np3fe2sl8d 6 місяців тому

      Maajabu kabisa kumbuka n mother -inlaw huyu n kujisahau tu uwezi toka ata hapo kwa kitanda ukicheka hivi ama n comments unataka nmecomment basi vil ulikuwa unataka

    • @Emmanuelmdohe-w5h
      @Emmanuelmdohe-w5h 5 місяців тому

      Beee nimuongooo uyuu jamaaaa

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 4 місяці тому

      Kwani ulilewa au ulichukuliwa msukule? 😮😮

    • @JumaineMpaul
      @JumaineMpaul 4 місяці тому

      Laana gani

    • @MerlinaKubadesha
      @MerlinaKubadesha Місяць тому

      Huyo mbuzi😂😂

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 5 місяців тому +7

    Mimba haiwezi kutunwga na kukubainika baada CK 7 at list siku 28 na kuendelea hii ni story ya Uwongo😮

  • @bibyansimplis3791
    @bibyansimplis3791 6 місяців тому +6

    Kumbe tayari ulishatumiwa text bodo ukakubali kupanda kitandani?

  • @user-fs6lp3op1x
    @user-fs6lp3op1x 6 місяців тому +56

    Wanao enjoy story hii ya uongoo like zenu plz

  • @strongwomanwithnoregret8234
    @strongwomanwithnoregret8234 13 днів тому +1

    Omba toba kwa mungu

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 29 днів тому +4

    Wewe na huyo mama ni wajaa laana

  • @MonicaLucas-l4h
    @MonicaLucas-l4h 5 днів тому +1

    Mungu akusamehe make pengine cyo wew umevaliwa na maroho

  • @AfirenAfiren
    @AfirenAfiren 6 місяців тому +9

    Hii story unnepimia marafiki sio huku kwa dunia nzima, wewe ni chizi fresh

    • @RashimiJb
      @RashimiJb 23 дні тому +1

      Ujinga 3:40 3:41 😅

  • @rhodaisika46
    @rhodaisika46 5 місяців тому +5

    Mama Mkwe wahaina ngani? Wewe ni shetani mkubwa.... Eti kuna sehemu ukishikwa hata awe dada yako? Mjinga kijana wewe.... Umelaaniwa... Ukirundi nyumbani utafanya hiyo mchezo tena na mkeo? Shetani kasoro mkia wewe. Kwanini wewe na sio mtoto mdogo uwezi ukaondoka, ungefunja mulango uondoke. Na kwani babake Pauline alikuwa wapi.... Hata weeeeeeeeeii? Ukiwa ulipanda kwa kitanda, hapo ndio ulikwisha (kijana shetani wewe) Umelaaniwa na laana kubwa. (Tafuta Mchungaji akuombee, uokoke... Kwa YESU tu ndio utapona)

  • @cestlaviecestlavie4073
    @cestlaviecestlavie4073 Місяць тому +3

    kama hadisi vile, eti siri, hapa nimtandao kwani hivi Paulina bado tu hajaona 🤷???

  • @elizabethmwikali1709
    @elizabethmwikali1709 5 місяців тому +10

    Hii story kama ni kweli basi we ndiye mbaya coz hukujiondoa kwenye majaribio baada ya kuona red flags

    • @Mohaa4309
      @Mohaa4309 3 місяці тому

      Wengne huzaa na wakwe zao kbsa

  • @FloraMama-j4m
    @FloraMama-j4m 27 днів тому +3

    Kwanza inakuwaje unalala chumba kimoja na mama mkwe acha ujinga huo ni ushetani

  • @user-sj6qh3yr5t
    @user-sj6qh3yr5t 6 місяців тому +12

    Wewe mjinga hata huyo Paulina humpendi acha kuongea kiluga mjinga wewe kwani huyo mama hajaona wanaume wote mpaka akufungie wewe? Mlikuwa na yenu wote ni malaya hamna adabu mungu atawakomesha

  • @salvatorykimbori7091
    @salvatorykimbori7091 4 місяці тому +2

    Story kama hizi maana yake nini? Zina kiwango kikubwa cha ukiukaji wa maadili.

  • @EmmanuelSimkwai
    @EmmanuelSimkwai 11 днів тому

    1 Wakorintho 5
    1 Yakini habari imeenea ya kuwa kwenu kuna zinaa, na zinaa ya namna isiyokuwako hata katika Mataifa, kwamba mtu awe na mke wa babaye.
    2 Nanyi mwajivuna, wala hamkusikitika, ili kwamba aondolewe miongoni mwenu huyo aliyetenda jambo hilo.
    3 Kwa maana kweli, nisipokuwapo kwa mwili, lakini nikiwapo kwa roho, mimi mwenyewe nimekwisha kumhukumu yeye aliyetenda jambo hilo, kana kwamba nikiwapo.
    4 Katika jina la Bwana wetu Yesu, ninyi mkiwa mmekusanyika pamoja na roho yangu, pamoja na uweza wa Bwana wetu Yesu;
    5 kumtolea Shetani mtu huyo, ili mwili uadhibiwe, ili na roho iokolewe katika siku ya Bwana Yesu.

  • @umutoniyvette8637
    @umutoniyvette8637 6 місяців тому +7

    Mama wa muke wako ni mama yako piya
    Iyo ni lawama amboyo ita sumbuwa maisha yako yote ata na kizazi yako

    • @AfirenAfiren
      @AfirenAfiren 6 місяців тому

      Mama mkwe pia ni shetani, mbona asingemuita msichana wake? Kijana pia ni sence

    • @MerlinaKubadesha
      @MerlinaKubadesha Місяць тому

      Kabisa

  • @ayubumohamed3325
    @ayubumohamed3325 4 місяці тому +3

    Mimba ya wiki moja 😅😂 tunadanganyana

  • @Eunice-e8e
    @Eunice-e8e 10 днів тому +1

    Kwa mama mkwe sio kwa mama yako ulienda uko kufanya nini ww tu na uyo mkwe wako ni malaya

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 6 місяців тому +18

    Kuwekwa mambo haya kwenye mitandao hayafai, ni aibu, na fedheha yanakiuka maadili yote ya utu.

  • @strongwomanwithnoregret8234
    @strongwomanwithnoregret8234 13 днів тому +1

    Alafu unaongea ukicheka kana kwamba jambo nzuri ushindwe kabisa laana

  • @Rajabkichirchir
    @Rajabkichirchir 5 місяців тому +4

    Uwongo toka hapa

  • @user-eh1do9lb4x
    @user-eh1do9lb4x 5 місяців тому +4

    Ni kweli ushenzi huu ni alama za kiyama

  • @speciozakaloli
    @speciozakaloli 4 місяці тому +3

    Pole yako

  • @JosephkatanaKatana
    @JosephkatanaKatana 2 місяці тому +2

    😂😂😂😂😂😂 ulidona tayari mtama wa mama mkwe utakufa vibaya sana kuhurumia San ww

  • @IsabelSure
    @IsabelSure 6 днів тому

    Hayo ni maajabu nasikitika sana

  • @user-op2bf8gp1c
    @user-op2bf8gp1c 5 місяців тому +5

    Uyo ni. ChiZi

  • @MichelKanyamba
    @MichelKanyamba 3 місяці тому +2

    Nimbumbafu sana

  • @Fatma99-ve7ys
    @Fatma99-ve7ys 3 місяці тому +2

    Kwenye mitandao kuna mengi sana

  • @RizikiNyale
    @RizikiNyale 5 місяців тому +2

    Umeelewa umeelewa umeelewa umeelewa umeelewa umeelewa umeelewa umeelewa umeelewa

  • @DanielMollel-p9z
    @DanielMollel-p9z 2 дні тому

    Mimi nimekuelewa broo ila kuna watu wamesha kuelewa vibaya. jamani aya mambo utokea sana ni sababutu wengine si majasiri wakuelezea kama uyu mwamba anaelezea.

  • @rizikimohamed2449
    @rizikimohamed2449 День тому

    Ww kijana mshenzi Moja huna adabu hata kidogo mwehu moja

  • @barkaoman-ub6ko
    @barkaoman-ub6ko 3 місяці тому +1

    Subhanallah 😢😅😅 wiki ulimpangia kbs 😢😢😮😮

  • @user-wy4yn2xi3n
    @user-wy4yn2xi3n 17 днів тому +1

    Kwanini ulale na mama Mkwe wewe ulimpenda Mama na Mtoto hiyo Lana aibu.

  • @SAITITULABURO
    @SAITITULABURO 2 місяці тому +1

    Sio kweli uongo mungu anakuona

  • @esthermunzaa7415
    @esthermunzaa7415 11 днів тому

    Ugependa poulina augelala na mamake

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 4 місяці тому +1

    Pole saan kinjana wewe unatisha KBS 👏

  • @swabrinahamed3620
    @swabrinahamed3620 4 місяці тому +4

    ulikua wampenda pia ww

  • @NeemaJohn-y8x
    @NeemaJohn-y8x Місяць тому +1

    Hy mm kiboko

  • @roselusenaka7548
    @roselusenaka7548 14 днів тому +1

    Waongea upuzi mbele ya dunia.

  • @IsaiahGiciabi-f4m
    @IsaiahGiciabi-f4m 14 днів тому

    Pole kaka ulingia kwa majaribu mbaya

  • @sabrahrashid689
    @sabrahrashid689 4 місяці тому +3

    😅😅😂😂box empty

  • @robertsonfelician2434
    @robertsonfelician2434 6 місяців тому +2

    Hatari sana

  • @IreneCharo-ft3pq
    @IreneCharo-ft3pq 6 днів тому

    Sasa wakati huo wote umetulia tu ukisikiza lala mtoto surely shenzi😢😢😢

  • @user-ro3ke1vt5f
    @user-ro3ke1vt5f 4 дні тому

    Laana shindwa pepo😮

  • @MercyNzioki-m5h
    @MercyNzioki-m5h 2 дні тому

    Wewe n majinga sana unalala aje na mamako

  • @judithmatitu7944
    @judithmatitu7944 5 місяців тому +5

    Hii imeenda na uongo.tupu

  • @Latifa123Latifa12
    @Latifa123Latifa12 4 місяці тому +2

    Yan nasikiya asiraaa

  • @SophiaWilson-ps2jp
    @SophiaWilson-ps2jp 5 місяців тому +3

    Jaman mbona anatudhalilisha wanawake mavi yake

  • @BoniphaceJoseph-hf7lc
    @BoniphaceJoseph-hf7lc 15 днів тому

    Unaonekana hujielewi umebeba laana tani 30 yani mzigo usiokua na uwezo nao. Unastahili kuomba Rehema soma zaburi 51:1 hadi mwisho.

  • @johnmusyoka3746
    @johnmusyoka3746 6 місяців тому +8

    Msimulauku kijana mama ni malaya

  • @leinaamos
    @leinaamos 5 місяців тому +4

    Muogo

  • @KHALIDDANIEL-wv6ic
    @KHALIDDANIEL-wv6ic 4 місяці тому +3

    Mwenye kuangalia pia kwani hamuelewi taira hilo lipo lipo

  • @bonfacemkare6230
    @bonfacemkare6230 Місяць тому +1

    Mpuuzi

  • @user-xk5we1iz6c
    @user-xk5we1iz6c 3 дні тому

    Huyo mama nyotee wapumbavu hamna hata adabu za kwendea chooni

  • @johnmusyoka3746
    @johnmusyoka3746 6 місяців тому +2

    😂😂😂😂 ni noma xana

  • @LilianMansolo
    @LilianMansolo 9 хвилин тому

    😮😮😮ujinga huu ata unanibore kuona umbwa we

  • @user-cl3yd1go1u
    @user-cl3yd1go1u 16 днів тому

    Hiyo noma

  • @user-wy4yn2xi3n
    @user-wy4yn2xi3n 17 днів тому

    Usiludie aibu. Pole sana.

  • @FatmaMangale
    @FatmaMangale 2 місяці тому +1

    Waaah chapa kimoja t

  • @ToivoJase
    @ToivoJase 12 днів тому

    Hanithi ww

  • @achi_raymond
    @achi_raymond 12 днів тому

    hata sijaanza kuangalia nimejua ni uongo

  • @NiniKiboko
    @NiniKiboko Місяць тому +1

    Omba rehema neno langu linasema alaniwe alalaye na mke wa baba yake

  • @roselusenaka7548
    @roselusenaka7548 14 днів тому

    Kama ulifanya hivyo wastahili kuenda jehanamu ukaishi na shetani ,ungetoroka.

  • @liliannyamongo5701
    @liliannyamongo5701 4 місяці тому

    This is story come yes come

  • @Blessedboi8019
    @Blessedboi8019 6 місяців тому +7

    Una maradhi ya kisaikologia wewe bwege

  • @user-vq2ei7wm9h
    @user-vq2ei7wm9h 10 днів тому

    Jamaaa falaaa kweliii😂🎉

  • @monicah7187
    @monicah7187 4 місяці тому +1

    I understand him 😢its not easy to this boy

  • @CharseNzwalla
    @CharseNzwalla 15 днів тому

    Umeelewa🤣🤣🤣

  • @AnneWanjeri-h8s
    @AnneWanjeri-h8s День тому

    Wacha kulete habari kama hizi.

  • @carenesendi4623
    @carenesendi4623 2 місяці тому +1

    😅😅

  • @user-vq2ei7wm9h
    @user-vq2ei7wm9h 10 днів тому

    Hivi huyu jammaa ni kabila gani? Mpumbavuuuu sanaaa

  • @TeckilahKaroline
    @TeckilahKaroline 3 місяці тому +1

    Nonsense

  • @roselusenaka7548
    @roselusenaka7548 14 днів тому

    Mmefanana na huyo mamamchafu. Umeharibu kizazi chako.

  • @FlorenceWanjiki
    @FlorenceWanjiki 8 днів тому

    Wewe kubavu

  • @lydiamoraa649
    @lydiamoraa649 6 місяців тому +2

    😢😢Usijalip kwongea hiyo jina eti mamamkwe,,,Sema Malaya wako....

  • @cecelinamuchiri607
    @cecelinamuchiri607 7 днів тому

    Wewe ni mwenda wazimu na umelaaniwa

  • @josephmarwa4623
    @josephmarwa4623 5 місяців тому +8

    Huyu jamaa anakaa mjinga mjinga

  • @salomemakene4446
    @salomemakene4446 14 днів тому

    Laanaiyo

  • @IbrahimItumbu
    @IbrahimItumbu 5 місяців тому +3

    Wewe na hilo lijimama ni Kenge maji Acha kutoa story ya uongo

    • @user-mo1ui4qm7x
      @user-mo1ui4qm7x 3 місяці тому

      Ata kama story ya uwongo haoni aibu wala haya kuyatamka maneno hayo alaaaniwe bilisi alokuandama

  • @HellenAonnoh
    @HellenAonnoh 15 днів тому

    Ulikua unatamani hiyo toka zamani🙂‍↔️🙂‍↔️

  • @jazzykemunto4078
    @jazzykemunto4078 4 місяці тому +1

    Wewe Msheshi tu

  • @YeseTesha
    @YeseTesha 16 днів тому

    Na kweli hiyo mama alibadilika kama kinyonga anavyobadilika rangi kwa hiyo huyo mama aitwe kinyonga

  • @Bintimohamed-k6g
    @Bintimohamed-k6g 5 місяців тому

    Subhannallah,wasema huna hata haya ,hiyo ni laana

  • @peterrohosafi
    @peterrohosafi 9 днів тому

    Wewe Ni ndugu YA shetani

  • @magrethmswahili9397
    @magrethmswahili9397 4 місяці тому +1

    Wewe ni taira mbwa wewe liko km limekurupuka kutoka shimoni pumbaxu wewe

  • @josphatmainye1127
    @josphatmainye1127 6 місяців тому +6

    Mimi siamini kabisa anachosema huyu kijana. Kwani mimba inaingia na wiki moja na kutoa kama amefungiwa chumbani? Hii stori si ya kweli kabisa na hata kama ingekuwa ya kweli, ni aibu tele. Hata kwetu Kenya mambo kama haya si ya kusema mbele ya watu. Najua Tanzania na Kenya tu wamoja. Hata vile alivyoongea lugha ya mama, nilikuwa naelewa maneno fulani kwa maana sote tu wabantu. Mila zetu ni sawa. Aibu!

    • @veronicahnakhumicha370
      @veronicahnakhumicha370 5 місяців тому +1

      Mimba huingia hata na sec bora sperms ziko active na mwanamke mayai iko tayari mimba unapata tu

    • @moindimoindi9116
      @moindimoindi9116 5 місяців тому

      Mama alimtega... definitely she knew the time of the month... she knew her fertile time of the month na akawahi.

  • @westonmbeyela9811
    @westonmbeyela9811 6 місяців тому +1

    Hawa walikwisha elewana waongee uwongo wore wana. Penda na ndio mchezo wao labda soup kawaida angalieni maadili yetu watanzania

  • @ZamdaMpita
    @ZamdaMpita 16 днів тому

    Haya unavyo ongea huoni aibu

  • @Richardasugo-g2u
    @Richardasugo-g2u 12 днів тому

    Nonsense maviii saaba hata huna aibu

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l 4 місяці тому

    Chai jaba hii

  • @janeNdwiga-i6p
    @janeNdwiga-i6p 5 місяців тому +3

    Wewe na mamako mumelaaniwa. Na hakuna dhabihu yeyote inaweza toa hiyo Dhabi yenu asema Mungu.

    • @user-hg9qf8ho9x
      @user-hg9qf8ho9x 5 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂 we Mungu 😅😅

  • @Sabinazimmermangerm
    @Sabinazimmermangerm Місяць тому

    Wewe ni mchinzi ama nini? Kulala na Mama mkwe??? Wewe mjinga kabisa...na unafurahi sana kama unaeleza watu😊😊 ....Wewe umelaniwa mkiwa na mke mwenza....

  • @ngomojunior9343
    @ngomojunior9343 6 місяців тому +1

    Wewe huna akili hata kidogo nyani weee! Dunia imefika mwisho.

  • @MamaRashid
    @MamaRashid 4 місяці тому

    😮😮😮😮😮

  • @MerlinaKubadesha
    @MerlinaKubadesha Місяць тому

    Jamn hiv hakuona hata ajabu kulala na mamake mhhhh vikana tamaa mbaya au ulipewa masharti na mnganga ili upate her nyambavu mngu akurehemu na mazambiko

  • @NaserianAbrahamMollel
    @NaserianAbrahamMollel 10 днів тому

    Duuuu....wewe na huyo mama mkwe wako mna laana sio bure