Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Softest maandazi ever 😍 nazi ina mafuta yanazidi kua laini 🤌🏼
Your good on cooking
asantee nitajaribu baadae
💯nice 👌
Nimepika Leo,asante
Following keenly I like mahamuri ya Nazi,nzuri asubuhi na samaki pamoja baazi, watching from Mombasa Kenya
Wooow. Karibu sana
Hongera my
Nimejaribu dada ni fireeeeee 🔥
Vipimo vya ingredients jmni😊
Hongera dear,hakaka nasi tutakuwa wapishi wazuri
Malkia leo nimeijaribu hii recipe. Nitakupa majibu.
Dada hii recipe kesho weekend nakupa majibu mana huku Nazi had tunafanyia scrub😃😃🙌
Jambo dadayangu, unaweza tutilia recipes ya vitumbua vya mchele, please
Thank you dada, nimewaza maandazi ya nazi hii wiki nawe kumbe ushatu-bless❤❤❤
Hongera dada
I would love utupe recipe ya bagia za dengu na za Kunde habibaty 😊❤
Imeandaliwa vizuri sana
Ukiweka machicha ni mazuri
Machicha yanakuwa hayasikiki ukitafuna andazi?
Asante sana
Shukrani
Shukranii
Naweza kupika maandazi na Nazi ya pakti
Dear ,hilo tui la kwanza na pili natoa kwenye haya machicha nayokandia ?au ni separate.Asante
Hii recipe nimonyeshwa na dada yangu leo. Na tumepika muda si mrefu. Badala ya machicha ya nazi na tui la nazi. Tumetumia maziwa 750 mls na unga zaidi ya 1½ kg. Yametoka vizuri sana.
❤
Samahani hilo tui la nazi umeweka kiasi gani?je lazima niweke hayo machicha ya nazi?
Asked myself same thing
Good but give measurements list kwenye box....
Utamu
Da malkia hivi unga nusu kilo sukari natakiwa niweke vijiko vingapi
Mimi nikipika ndani linakuwa zuri ila juu ngozi inakuwa ngumu changamoto ni nn
Hukandi sana love