Please 🙏 please again please bring it on always. Team and leaders and our coaches and our all our players please get Training like hell. The heard Training always we'll come to bigger successes and bigger happiness yes yes yes and always. Let's bring it for seriously please 🙏. Thank you very much all our Youngs leaders players coaches stuff and. Us we are following you days and night
Tuliposema taarifa rasmi za yanga zinapikana kwenye app tulimaanisha, kuna watu walikuwa wanakula matango pori kutoka kwenye sources za udaku kuwa max anamgogoro wa kimkataba 😂😂😂😂😂
Well done tunatumia tutamuona soon pia wachezaji wawe watulivu na wawasiliane ndani ya box magoli mengi wanayakosa kwa sababu hiyo au kukosa timing ya pasi
Maxidi aende simba kabisa nayo timu hiyo ya kutoka yanga aende kwa Makolo ambako hakuna laha wala supuuuu nabikasemq labuda atoke Makolo aje yanga kuliko kutoka tanga kwenda kwa Makolo hilo halipo hata siku❤❤🎉🎉🎉🎉😂😂😂
Viongozi kuna mwanchi ameongea jambo la msingi kwanini mnapenda kutoa mambo ya ndani ya wachezaji? Hayo yanatakiwa yabaki ndani nikm jeshi unawezaje uongee mbambo na majeruhi wanavo endelea Kikubwa wapone wakae sawa basi ili wastukize tu wapo sawa
Hivi Yanga mnashida gani kwa nini mnapenda kuanika Kila tukio kwenye mitandao ya kijamii ? Afisa habari punguzeni ushamba na ulimbukeni kwenye mitandao
Wewe ndo mshaba nasijuw kabila gani ambae ujasoma sasa bila kurusha ayo matangazo izo viuwaz laki 7 na tungepata nani ni yanga tv aimuusu alikwame ludi shule kaka ukamalizie masomo maan😂😂 na bila kurusha ww ungeona wpi😅daaa msiba mzito
Kocha wa viungo mda wote yey ana vibe tu 😊.
Max huyo karibu sana Allah azidi kukupa afya njema
Please 🙏 please again please bring it on always. Team and leaders and our coaches and our all our players please get Training like hell. The heard Training always we'll come to bigger successes and bigger happiness yes yes yes and always. Let's bring it for seriously please 🙏. Thank you very much all our Youngs leaders players coaches stuff and. Us we are following you days and night
Walisema oooh ameondoka kambini 😅😅 anataka kuvunja mkataba ila wachambuzi uchwara
Fichen bas ata kidogo mazoez yetu jaman 🤣 ! Kila kitu on on tuuuuuu ah 😂 !
Nzengeli bhana, hata malezi ya watoto anaweza, anamwambia dogo asikae kihuzunihuzuni, anamwambia siyo vizuri, safi sana 😂😂😂😂
Yupo vema sana Mpia
Max nzengeli anautu sana mungu ambariki
Welcome back Max wng❤
Yaan hapo ana hasira sanaa😅😅 akipewa nafasi tu wapinzani wamekwesha na yanga ilivyo kwasasa aaaaaaa mmmh kazi wanayooo
Max mchezaji wangu bora wakati wote, daima kila jema likawe upande wake.
Asiyependa kuona tunaonesha vitu vyetu hatoke humu ajaitwaaa
Mungu ni mwema
gusa achia twende kwao young African forever
Pastor bigup
Nzengeli welcome back ❤
My team 🔰
Tuliposema taarifa rasmi za yanga zinapikana kwenye app tulimaanisha, kuna watu walikuwa wanakula matango pori kutoka kwenye sources za udaku kuwa max anamgogoro wa kimkataba 😂😂😂😂😂
Nielekeze jinsi ya kupata app ya yanga...please
😂😂😂😂
❤❤❤❤ good 👍👍👍
Na hapo bado kudadeki sahv amna kucheka na kima 😊
Well come back Max 🤗🟢🟡
Welcome back max
YANGA BINGWA 💚💚💚👈
Well done tunatumia tutamuona soon pia wachezaji wawe watulivu na wawasiliane ndani ya box magoli mengi wanayakosa kwa sababu hiyo au kukosa timing ya pasi
Daima mbele nyuma mwiko button wananchiiiiiii 💛💛🔰
Jambo jema Sasa makolo Kiko wapi waliosema anataka kuvunja mkataba😂😂
God is good 🙏💛💛💚💚
Max mchezaji kipenzi kwangu na kwa mtoto Suda,rudi mwanangu wenzako tayari wamewaka
Kiboko ya simba hiyo gusa achia twende kileleni
Yanga bingwa
MAX MPIAH NZENGELI🙌
Duuh kumbe Yanga tuna wachezaji weng sana, imagine andabwile, max, chama, boka, na wengne walikuwa majeruhi lkn nd timu inafanya poa sana uwanjan duuh 🙌🙌
Gamond alikuwa kocha mzuri lkn alikifinya sana kikosi
Bado musonda
Kiwango chake kimeshuka sana
Maxi mtu mzuri sana
max anakwenda simba roho imeniuma sana
Maxidi aende simba kabisa nayo timu hiyo ya kutoka yanga aende kwa Makolo ambako hakuna laha wala supuuuu nabikasemq labuda atoke Makolo aje yanga kuliko kutoka tanga kwenda kwa Makolo hilo halipo hata siku❤❤🎉🎉🎉🎉😂😂😂
Kila la heri jeshi letu mungu awatanguliye inshallah ilove u yanga yetu yanga bingwa tena 💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛
We lovet them so more hasa hasa hers
Waliokuwa wanamuulizia max na musonda sasa wameona waliko ee
Walikuwa wameshaanza KAMDOMO😂😂😂
Vizur sana mwalim kwa andaa vjan wetu ,
Wlcm back mbape wa kindu
Get well soon.
Zoezi la kushenyeta🤣🤣🤣
Ooooo Max anaenda Simba,huyo anajiita mchungaji🤣🤣🤣🤣
Andabwille naye akarudi Safi sana
Hayo mazoez nimeyaelewa walah 😂😂😂
Safi sana MUNGU mwema
Wabuda aende gorikipa mjinga huyo mchota maji😂😂
Allaah Akbar
Here we go 🙏✌️
Lengo waone so wanasemaga tunachoma sindano
Max tunakusubili wananchii
Weka mbali na watoto tutazidiana kulalamika kuhusu GSM
Kocha mkuu anaonekana anao upendo na wachezaji wake
Yanga kiukweli tunahitaji real winga both side ndio kikosi kitakua poa.kama beki zikipanda winga zinacover.
mzee uko mwaka gan huko tumetoka kitambo mpira hautak hvyo
Mazoezi ya kuwashenyeta wapumbavu kama wakina fulani 😂😂😂
Maneno mengi haya makolo kiko wap
Mtu yuko timu nyingine lakini anatoa taarifa za timu nyingine 😂
Karibu
Safi saaaan
Mjitahidi kuficha mambo ya kambini adui tena unamuonyesha maadui silaha zinavo endelea.Haipendezi Daima mbele nyuma mwiko
Kila laheri max
Mbona kama ni zoezi la kura demuu
Weeeeeee !!!!
Mbape uyo wa kindu
Alafu badae mnaanza kusingizia sindano
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Safi savawe kolo mbona unaumia acha waanike kwani wamekwaambia uwasaidie??? We ndo mshamba usiejua maana ya kazi za mitandao ni nm
Duuh tume mmissi max
Watu shida yao pesa kwani we apo unaona bure
HII GUSA ACHIA...YA RAMOVIC...MAX ANA UHAKIKA WA NAMBA KWA KASI YAKE...KATI YA PACOME AU MZIZE...LAZIMA MMOJA ATAMPISHA MAXI...
Gusa achia twende kileleni....yanga is a champion..
Haikuhusu tuachie yanga yetu.
Pengo lake hata alikuonekana
Viongozi kuna mwanchi ameongea jambo la msingi kwanini mnapenda kutoa mambo ya ndani ya wachezaji? Hayo yanatakiwa yabaki ndani nikm jeshi unawezaje uongee mbambo na majeruhi wanavo endelea Kikubwa wapone wakae sawa basi ili wastukize tu wapo sawa
Hiyo ni kawaida hata nchi mbili zinapokuwa kwenye mgogoro itaona kila moja inaanza kuonesha silaha zake za kijeshi...hiyo ni kumtisha adui aingie woga
@emanuelanderson4483 Ila mmh! Kwa mpira.wabongo!!
pafu la mbwa mtaita maji mma
🎉
Huyo msonda is finished... Aaachie vijana nafasi
Kwan ye mzee😂😂😂
Avikuhusu..kama.ahutaki.acha..kufatilia. mambo.ya .yanga
Huyoo jamaa mwenye ras nany
Musonda
humjui musonda wew
Yalikuwa yameshaanza kusemwa mengi
usiwe unakaa iv
Hao waandishi mnawaruhusu wengi hivyo, na watesi wetu hawakosekani humo.
Bongo. Hakuna. Wachambuzi..kuko..mashabiki...na..vikundi..vya.wahuni
Kazikazi
Gusa achia weka kati
Hivi Yanga mnashida gani kwa nini mnapenda kuanika Kila tukio kwenye mitandao ya kijamii ? Afisa habari punguzeni ushamba na ulimbukeni kwenye mitandao
Timu yako haijaanika inatosha..
Ww mwenyew unapenda yanga ndo mana upo hapa na ume comment
Tufiche kwani uchawi huo
Wewe ndo mshaba nasijuw kabila gani ambae ujasoma sasa bila kurusha ayo matangazo izo viuwaz laki 7 na tungepata nani ni yanga tv aimuusu alikwame ludi shule kaka ukamalizie masomo maan😂😂 na bila kurusha ww ungeona wpi😅daaa msiba mzito
KOLO Tupishe, GUSA ACHIA twende kwa Camara
Mwamba huyu apa