UTACHEKA MASHA LOVE AKIZUNGUMZA KINGEREZA/KUFANYIWA PLASTIC SURGEY/KUONGEZA MAKALIO/NATAFUTA MTOTO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 63

  • @niimatmdee602
    @niimatmdee602 Рік тому +5

    😂😂😂yn huy Dada mbn n komedii kiasii hikiii😂😂
    But Congratulations🎉🎉kwa kuwa Baloziii

  • @shaphaina9941
    @shaphaina9941 Рік тому +3

    Itabidi tumtaarifu bibi harusi wa miaka 60 aje awekwe sawa maana anavobana sauti ile sauti ya uzee haitaki duuu hatari hii subhanallah watanzania tumekuja kuuliwa hukuhuku kwa kansa

  • @khamisisaid873
    @khamisisaid873 11 місяців тому

    Ampola ni hospitol mzur sana wako vizur sana kwenye kuwapa huduma wagonjwa na hasa kwenye kuzarisha kwakweli wanajitahidi sana.

  • @aysheraden7718
    @aysheraden7718 Рік тому +2

    Akili za masha na za huyo dr wote zipo sawa kaja kibiashara anaetaka kufa na aende

  • @FarhiyaThani-yc5et
    @FarhiyaThani-yc5et Рік тому +5

    Kwani Masha Ile mimba ya mafufu imeenda wapi

  • @malikamohammed6641
    @malikamohammed6641 Рік тому +1

    😅😅da Masha jamani Sina mbavu eti wowowo

  • @stamelistameli8461
    @stamelistameli8461 Рік тому

    Haya tupo pamoja dada end kaka

  • @rizoibrahimovich605
    @rizoibrahimovich605 Рік тому +1

    Unaweza kutukanwa masha eti ongea Kwa kiingereza hili kovu

  • @fatmaidi-uw3cs
    @fatmaidi-uw3cs Рік тому

    Tulivyoobwa tunamkosowa.mungu.ili.uwe.vipi.utazeeka.tu

  • @mithlaabdulrahim8566
    @mithlaabdulrahim8566 Рік тому +4

    Hivi huy doctor yy kajisahau au hautak ujna? Maan sura inamsaliti 😅😅

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 Рік тому +1

    Watu wakafanye kwanza tuone masha fanya utuonyeshe before and after

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le Рік тому +1

    Huku zenji mambo ayo hatuna watajaa hao wabara wengi tuu, lkn zanzibar hakuna ataefany upuuz huo

    • @AsdDsa-fi5qk
      @AsdDsa-fi5qk Рік тому

      Nyie mcheni Allah kwa uhakika mana dar mmmh acha tuu

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 Рік тому +7

    RIP kizazi hiki. jamani mtakufa vibaya na haya madudu eti mnakimbia uzee. Masha umeingia mjini kwa msaada wa titi lako asilia sasa unataka kulichakachua wenzio wanaliendea uturuki ,binadamu mnaishia kubaya sasa experiment inakuja Tz wajinga mkafe mtupishe mnatia hasira

    • @amanimapenzi571
      @amanimapenzi571 Рік тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣 Nini inakuuma

    • @leahzuu6468
      @leahzuu6468 Рік тому

      ​@@amanimapenzi571😂😂😂😂

    • @dayana5513story
      @dayana5513story Рік тому +1

      😀😀😀 doctor mwenyewe kazeeka mbona yeye ayuko 18

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Рік тому

    Mimi niko busy na diet napenda uzee bc nitafanya vyote bu age aitabadilika so why stress myself

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Рік тому +2

    Dunia ni ile Ile ila tatizo ni walimwengu ndio tatizo

  • @elizabethswai7777
    @elizabethswai7777 Рік тому

    Hospital inanyota nyingi mno 😭😭😭

  • @UmmyKipanga-dh5lf
    @UmmyKipanga-dh5lf Рік тому

    Daa SASA tunakuwa maiko jakson

  • @saidanassoro7885
    @saidanassoro7885 Рік тому

    Ilo deal mungemuangushia Elizabeth lulu lingemuenda sawasawa maana yy kadhirisha karudi mdogo kweli kweli

  • @zayanazayana5518
    @zayanazayana5518 Рік тому

    R na L
    Bado zinakusumbua

  • @aishanassor-wf8vq
    @aishanassor-wf8vq Рік тому

    Nacharo si alikukabidhi hati ya nyumba ukatia saini vipi sasa wakati mondi naye anakulipa Kodi Kodi ya nyumba Masha fanya upate kibanda chako mbona unaakili dada nyingi tu

  • @marciawambui1965
    @marciawambui1965 Рік тому

    Masha is hilarious, wasn't she pregnant a month or so ago😂😂😂😂
    Aah she's too fresh.
    Great marketing 👌

  • @missindependent1893
    @missindependent1893 Рік тому

    Wowowo😅😅😅😅😅😊😊😊😊

  • @AliKhamisi-f4m
    @AliKhamisi-f4m Рік тому +1

    Hakai tanzania wala zanzibar 😂😂

  • @winfridasospeter3765
    @winfridasospeter3765 Рік тому

    Je unene dawaa ipo

  • @aishanassor-wf8vq
    @aishanassor-wf8vq Рік тому

    Sasa km unamipango mengi sana ya kupata michongo ya hela kwanini hujengi nyumba yako

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Рік тому

    Huku zanzibar hatunaga hayo mambo

  • @bonita329
    @bonita329 Рік тому +1

    masha nenda kafanye kwanza diet ya uso wako pia massage uso kwa week mara 3 maana na umri wako huo angalia minyama ya shingoni imekushuka na ndivyo vinakaribisha uzee usoni.
    jamani mazoezi muhimu sana hivyo vitu vingine mnajitafutia tu matatizo ya kiafaya

    • @Moregun619
      @Moregun619 Рік тому +1

      Diet ya uso ni gani sasa??😏😏alafu what bothers you if she is ok with herself,yeye keshajikubali,mwili ni wake,we unakula pilipili ya nini😏😏wabongo banah🚮

    • @bonita329
      @bonita329 Рік тому

      @@Moregun619 You are very stupid if you don't know there is a face diet.. si unayo utube chanel si utizame halafu ndio uje ubishane na mimi hapa. watu siku hizi wana scrub mpaka shingo ilikuepuka minyama ya kuninginia ndio inayoleta mikunjo ya uzee halafu unasema nini wewe? kwani upo dunia gani wewe.. so nipe maana ya kurekebisha uso nakuingia garama za kijinga , ikiwa umeshidwa kufanya mwenyewe

  • @salimaemedi988
    @salimaemedi988 Рік тому

    Tupe nambiye

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq Рік тому

    😂😂😂😂😂eti wowowo

  • @nuruahmed4842
    @nuruahmed4842 Рік тому +2

    Masha jaman mtambo😂😂

  • @HabibaMohd-f9o
    @HabibaMohd-f9o Рік тому

    😂😂😂😂ubaki na 0 hhhhhhh jmn masha

  • @edithajohn9600
    @edithajohn9600 Рік тому

    😂😂😂😂😂😂wowo

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Рік тому

    Mmmmh mitihani 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MARIAMUBAJUTA
    @MARIAMUBAJUTA 2 місяці тому

    Masha😂😂😂😂😂😂

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 Рік тому +1

    Kenya walishafika kitamboo sana sana

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq Рік тому

    😂😂😂😂😂

  • @nsiamushi5363
    @nsiamushi5363 Рік тому

    hahahahahahahahaha

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk Рік тому

    Z😂😂😂😂😂😂😂😂