Mungu wa Mbinguni akakupe hitaji la moyo wako kwa hakika. This is a remark kwa Mungu and someday around this earth u will receive a miracle u ever endured 💕💕💕💕💕💕
Wema you are one of a kind. I commend you and Tunda for showing so much maturity for sharing baby Lola and you for loving that cutie!! It's beautiful! You will all shut up the big mouthers who expected nonsensical cat fightt over loving a child. May God continue to give you much love to shower that blessed cutiie!
wanaohisi anafake wamuulize Antie Ezekiel na akina Zamaradi.she has been like this since way back at K/NYAMA with her sisters and friends kids""may GOD bless her with her own.
Hongera sana wema..wew ni mdada mwenye upendo na watoto pia mwenye roho nzuri,mim nakuombea kwa Allah akujaalie ndoa na pia mtoto..ama kweli yule diamond aliacha mwanamke mwenye akili na upendo na hatawahi kupata mwanamke wa kumfikia wema😂
Jidai na kizungu INAMAANA lugha yako haifai. Unaposema ongea kwa uzuri unazungumza kama kinyonga. Tena usijivunie lugha ya kuiga wanakujua KUA nimtanzani.
Wema nakuombea mno mungu akusamehe na akupe second chance kuwa na upendo na mtoto wa mtu ni moyo mzuri sana hongera lakini je ukiachana na Whozu ama akuache yeye itakuaje? Na Tunda sio dadako ama shosti yako atakubali kukuachia mtoto kweli ukishaachana na baby daddy wake? 😢
WEMA AMINI WAKATI WA MUNGU NDIO WAKATI SAHIHI USIOGOPE WALA USIOFU MUNGU YUKO PAMOJA NAWE USIJALI YOYOTE UNAYO PITIA AMINI MUNGU YUPO KWA AJILI YETU AMINI TU
❤❤me nampenda sana wema lkn aliniudhi walah vile tu alivokuwa rafik wa tunda halafu akamzunguka for sure niliumia kama mwanamke anyway 😂bado tupo tutaona finally 😊
Wema kipenzi cha watoto.❤❤ Nakuombea Allah akupe wakwako inshallah
Mungu mjaalie wema nae apate mtoto😢 kwa uwezo wa Allah atakupa nawewe ipo siku tu muombe Mungu sana ❤❤❤❤
Amiin😊😊😊
leo Niko wakwanza jaman naomben like nyingi kwawale wanao mpenda wema sepetu🥰🤗
We ww ndo Sara wa leo, na mm ndo ibrahim wa leo
@@emmaboka959😂😂😂
@@emmaboka959 ha ha ha 🤣🤣🤣
Mungu wa Mbinguni akakupe hitaji la moyo wako kwa hakika. This is a remark kwa Mungu and someday around this earth u will receive a miracle u ever endured 💕💕💕💕💕💕
Inshallah ❤ Mungu akufanyie wepesi Upate mtoto wako kipenz changu Wema Sepetu 🔥🔥🔥😍💞💯
Wema mungu atazidi kukubariki akupe pia haja ya moyo wako. Nakupenda wema.ubarikiwe wewe na familia yako.
Wema unapenda wazoto sana mungu akujalie na ww upate mtoto ❤❤❤❤❤
Unaupendo sana mungu akupe hitaji la moyo wako
Amen
Wema you are one of a kind. I commend you and Tunda for showing so much maturity for sharing baby Lola and you for loving that cutie!! It's beautiful! You will all shut up the big mouthers who expected nonsensical cat fightt over loving a child. May God continue to give you much love to shower that blessed cutiie!
We dada me nakupendaga sana huna baya una roho ya pekee sana , hakika Mwenyezi Mungu atakupa hitaji la moyo wako , una wema kama jina lako 🥰
MashaAllah mwenyezi Mungu amfanyie wepesi huyu dada..ambariki na mtoto apate amani ya moyo
Wema NAKUPENDA SANA una roho nzuri sana❤❤❤❤❤
Chimama nimekupenda buree,,sasa utakuta jitu limekuta mume ana mtoto halafu lnakunja roho kama Jini vile ww mfano wa kuigwa ❤️❤️
🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂
Jamani mi natamani siku moja nikutane na uyu Dada wema sepetu iloveyou 🌹 forever
Real yu've done something very greant,May God keep on bless yuh in advance Wema.....One day yu Gonna have yours babeee
Mungu anauonq moyo wake jamaniii
Nakuombea siku zote upate mtoto 😢😢😢😢
Mungu ham tupi mja wake ipo siku wema uta pata tuu mtoto usi choke kuomba mungu ❤❤❤❤
Mansha allah wema mungu bariki wema apate mtoto na yeye aitwe mama ❤❤❤
Mungu amjalie mtoto kweli ❤😢
Chimama hongeraa sanaaa Mungu akuoe nawe wako 🥰🥰🥰❤❤❤❤
Wema namuomba mungu akupe nawewe mtoto wko❤❤
wanaohisi anafake wamuulize Antie Ezekiel na akina Zamaradi.she has been like this since way back at K/NYAMA with her sisters and friends kids""may GOD bless her with her own.
Wema wangu mungu akupewako❤
Yaani mpaka nikatamani nibebe mtoto nikuzawadi dadangu,GOD WILL MAKE IT A BLESSING🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Kwa hii roho nzuri natabiri wema kupata mtoto kabla ya mwaka 2025.. Note my words
Mungu atakupa mtoto Wema.May God remember you for having such a kind heart ❤❤❤
l love 😍 wema ❤❤
Amen 🙏
Amen
Amina
Amina
That is very powerfull you still have Lola mwaya
Roho nzuri haifichikiiiiiiii.Hongera Wema
Wema muombe Allah akujaalie ndoa kisha mtoto,nadhani hadi hapo umenielewa
Hongera Sana Kila la kheri kwenu kazi njema barikiwa Sana Tena Sana hakika shalom shalom
Umekuwa mamy, na maneno mazuri, inapendeza. May God bless you
Mungu amjalie upate
❤ mungu mwema atakupa nawewe usichoke kuomba naamini mungu anajibu kwa wakati🥰🙏
Mungu akupe wa kwako dada Wema usife moyo
MUNGU pekee Ana makusudi be happy ni kitu special wanawake wengi tunayo congratulations 🎊 dear....love yenu izidi sn
Nimemuona Nono❤❤😊
Inshallah mwenyzi mungu afungue uzao wako wema
Wema you are really a blessed person for us TZ we need to learn from you YANI SIJUI NISEME NINI Ila mungu atakulipa we love youuu wemaaaa😘
Apewe mauwa yake uyu dada kiukweli nimdada mwenye moyo wake nampenda mpka nampenda tena
Hongera wema mrembo wa nje mpk ndan safi
I wish mwanangu angepata mama wa kambo wa ivi budget ya nguo na matoy ningeitoa kabisa ktk list yangu kwa raha zangu
😅😅😅
Mungu akubariki Wema💋🙏
Jaman da wema nakupenda bure,unapenda sana watoto mungu akufanyie wepesi dada
Waoooo mashaallah ❤❤
Nakuombeye Mungu akupe wapili 💕💕💕💕
Allah Akupe Nawewe Mwanao Wema Wetu InshaaAllah
Amina
Amen
INSHAAALLAH
Inshallah
Amen
Nampenda sana wema anavomlea mtoto mungu akupe kila lakher❤❤❤❤❤
Hongera sana sana kwa moyo wa upendo ipo siku Mungu atakupa haja ya moyo wako
Mungu amjalie wema apate wake
Wema mama mtarajiwa Mungu kama aishivyo ,, yupo mtoto ambaye mungu amekuandalia soon it's my preys
Allah mjahalie wema jamani mtto hata mmoja tuuu msamehee makosa yake yote mpe jamani
Wema maombi yngu kwko n Mungu akupee Mtoto kabla huu mwka hujaisha 🙏🙏
Mwaka huu haujaisha vipi wakat imebaki miez mitano t au Kuna mimba ya miezi mitano ????🙄🙄
Na ww ni mmoja wao manabi wa kibongo??
Maashaallah vizuri wema
Hongera sana wema..wew ni mdada mwenye upendo na watoto pia mwenye roho nzuri,mim nakuombea kwa Allah akujaalie ndoa na pia mtoto..ama kweli yule diamond aliacha mwanamke mwenye akili na upendo na hatawahi kupata mwanamke wa kumfikia wema😂
❤❤ nampenda sana wema nataman mungu hamgali mtoto wake
Lakini thank you so much 😮
Jmn mashaallah wallhi
Allh akujaalie na weww mtot kwa allha hamna gumu kikubwa dua
Ya Allah nakuomba umjalie wema na mapacha shukran Amin tuseme Amin❤
Yaani dada mungu ameshakupa mtoto mpokee naumtunze huyo nizawadi yako kutoka kwamungu
Nice madame ric pekt wema
Good ..mungu amzidishie wema😂
Iwe for show ila wema ana Moyo wa upendo sana Mungu akubariki sana❤
Nina Imani mungu ata kubariki mutoto amen
Natamani Mungu akujalie wema upate watoto mwee
Nakupendag wew dad I love you I guy❤❤❤❤
Brava mamma mdogo 🎉
Katoto kefanana babaake masha allah
Mungu nimwema saana mnomnooo ipo siku utapakata wakwako
Ila wema jaman😢 yule wema wa 2015 amepotelea wap jamn wema wangu yule jmn kwel uchawi upo uchawi upo jaman wema alirogwa jmn
God bless her
Naomba mungu akupe wakwako
Mungu akukumbuke wema upate mtoto
Wema.funga ndoa maombi yanagoma tukiombea mtoto kwa mzinzi please wema funga ndoa
😂😂😂😂ila nyie
Yes mummy wema fungua ndoa....ili Maombi yapenye.. aweze fanya kitu..kwako..
@@maryamconstantine2232 🤭🤭🤭
Jidai na kizungu INAMAANA lugha yako haifai. Unaposema ongea kwa uzuri unazungumza kama kinyonga. Tena usijivunie lugha ya kuiga wanakujua KUA nimtanzani.
❤❤
Mungu akubariki mm nakuachia mtoto wako sita kuja kuniona
Inshallah kunaseku allah akisema kun fa yakun utapata wako biidhn llah taallah
Naomba mungu akupe itaji ra moyo wako
Wema nakuombea mno mungu akusamehe na akupe second chance kuwa na upendo na mtoto wa mtu ni moyo mzuri sana hongera lakini je ukiachana na Whozu ama akuache yeye itakuaje? Na Tunda sio dadako ama shosti yako atakubali kukuachia mtoto kweli ukishaachana na baby daddy wake? 😢
Tatizo unaonesha upendo lkn uwa awajal kbs babe mama wa mtoto
My dear comment ukweli basi Acha kumchafua
Utapata dear one inshallah
Tru love
Love u madam wema
😭😭😭😭😭😭Mungu akupe wako wema❤❤❤❤❤❤❤❤
Nono Masha Allah ❤
Wewe ni mwema kama kina lako Mungu akufanyie wepesi kwenye kila hitaji la moyo wako
We love u wema go girl
Ilove wema ♥️
Kaka Norman Na Dada Cookie 🥰🥰
Mungu akujalie umpate wako mtoto
Me nampenda sàn
😭😭😭uyu dada kwl mungu amubariki san
WEMA AMINI WAKATI WA MUNGU NDIO WAKATI SAHIHI USIOGOPE WALA USIOFU MUNGU YUKO PAMOJA NAWE USIJALI YOYOTE UNAYO PITIA AMINI MUNGU YUPO KWA AJILI YETU AMINI TU
❤❤me nampenda sana wema lkn aliniudhi walah vile tu alivokuwa rafik wa tunda halafu akamzunguka for sure niliumia kama mwanamke anyway 😂bado tupo tutaona finally 😊
❤❤❤❤
Eee Mungu wambinguni nakuomba umjalie wema sepetu apate mtoto Mungu Siku atakayopata mtoto wake nitakutolea sadaka yashukrani hii niahadi yangu
Wema wangu utapata wa kwako InshaaAllah
❤❤❤🎉❤
Nenda India wakati muda haujasonga.Ninakuombea ufanikiwe❤
❤❤❤
She is really