Hi Lovies Please angalia video mpaka mwisho like serious ukiniuliza kama nimeeka sukari itakua umeangalia??for you to learn lazima uwe unasikiliza kwa makini❤️❤️ Ukieka yai weka na ka vanilla kiasi kama ½ tsp ama usieke yai maana sio lazima kabisaa. Angalia hii video vibibi sikueka yai na vilikua vitamu balaa ua-cam.com/video/c0dMGkLwpTc/v-deo.html Nawapenda sana please Subscribe kama bado. Insta/Tiktk Najiita Didashebbs_Kitchen
Asante kwa video yako, mimi hapa mganda mwenyewe sielewi zaidi ya mambo unayo yasema lakini naunganisha tu 😂😂. Lakini badala ya kutumia cooking oil mbona usitumie butter?
Nilizila vibibi sana nilipokuwa Mombasa miaka za hapo hawali. Kiukweli nilizipenda sana 👌👌 saa hizi niko bara nitapikia familia yako vitamu tupu. Nitakufollow videos zako kila wakati 🙏
Hi Lovies
Please angalia video mpaka mwisho like serious ukiniuliza kama nimeeka sukari itakua umeangalia??for you to learn lazima uwe unasikiliza kwa makini❤️❤️
Ukieka yai weka na ka vanilla kiasi kama ½ tsp ama usieke yai maana sio lazima kabisaa.
Angalia hii video vibibi sikueka yai na vilikua vitamu balaa
ua-cam.com/video/c0dMGkLwpTc/v-deo.html
Nawapenda sana please Subscribe kama bado.
Insta/Tiktk Najiita Didashebbs_Kitchen
Ok
Looooooooooove your recipes.... lakini can you translate to English at times. Swahili yako ni sanifu sana🤭.......woi please
@@sharonrono8026 🤣🤣🤣🤣walai nitaanza kujaribu maana wahhh🤣🤣🤣 sorry love and thankss
@@HadijaSheban 🤣🤣🤣🤣🤣🤭 thaaaaaaaaaaaanks 😘
Woaaah 👌👌👌Perfect
Asante dear skutegemea kama itakua lahisi kwasiku moja kutoa vibibi vizur apa nameza matetu Kwa utamu❤❤❤❤❤❤
Uko sawa narahisi sana kupika
Asanteee sana dada angu Allah azidi kukueka ndugu zangu wanainjoi sana mapishi yangu sababu ni wewe tyu❤❤😂🌹🌹
This is the best chila recipe masha allah masha allah
Wow asante sana hio recipe lazima nijaribu
All the best darling
Asante kwakutujuza mapishi
Mashallah mashallah
Nilikua sijui kama ukiloweka 3 hours zatoka vizur hivi
Ahsante kwa kushare mpenzi
Karibu sana my love❤️❤️
Kazi nzuri👏
Nimzuri sana tufundishe magia
Mashaalah mungu akubariki
Allahuma ameen shukran
Nzuri Sana
MashaAllah vizuri Sana.Thnx
Sanaa
Vibibi hizo zapendeza sana, najaribu recipe yako sasa hivi. Asante sana, nashukuru sana.
karibu sana kipenzi
Mashaallah barakallah shukran mpenzi kwa mapishi haya
Afwan my loveee
Mashallah nimepika jana vitamu
sanaa
Aww homgera sana love
Mashaallah very nice
Shukran Love
Asante sana🙏
Upo vizuri nakupenda tuuu
nakupenda pia♥️♥️
Mchele aina gani sister
Asante kwa video yako, mimi hapa mganda mwenyewe sielewi zaidi ya mambo unayo yasema lakini naunganisha tu 😂😂. Lakini badala ya kutumia cooking oil mbona usitumie butter?
Kwa upishi dada umebobea ❤
Insha alah nitajaribu
All the best love
Masha Allah habibty 👏👏👏🥰🥰🥰🥰
Umenitupaa babeees
Love it darling
thanks darling
Unaweza tumia maziwa badla ya nazi
Mashallah soo lovely Vibibi.shukran habibty.
Afwan kipenzi
Mapish mazuri sana
Masha nllah ♥️
Tabarakallah
Mashaa Allah mashaa Allah
Tabarakallah ❤️
Man'shallah yummy😋
Sanaa mpenzi shukran
I like this food i will try this pls give us the list of ingredients thanks
Thanks♥️♥️♥️
Maa sha ALLAH. Yummy
Tabarakallah
Salaam alaikum hutumi flour
Waaleykhm mussalam waeza tumia unga wamchele
ASAnte sana
Mashaalah
Weeh ni tamu jamani chef wangu 🥰😋🥰
Santee chef
Amazing
Please lady, can i have the recipe in english ❤ this recipe looks so good 😊
Mashallah
Tabarakallah ❤️❤️
khadija unapatikana maaeneo gani
Nairobi
Nimependa my dear ngoja nikajaribu na mm
All the best kipenzi
Nice❤
Wow
Thankss
I would very much appreciate it if you could provide the ingredients and quantities in English. I woud love to try out. Thank you.
I will try next time
@@HadijaSheban can you please send me the list and quantity of the ingredients by return response as I would love to make these. Thank you
Plz can you give ibgredients in English
Unaeza kutuma kufaa gani kama huna blander
Huk sudia tunatumiy maziw
From Facebook.
Uko top notch...
.
Awww thanks soo much lovie
Yummy yummy 😋
❤
Naeza!tumia maziwa unga ama fueshi
Lazima nazi
Hallo wish t have the recipe in writing in English pliz
Kuja insta love n dm me @Didashebbs_Kitchen
Mashaallah 🎉❤
Tabarakallah love
Look so delicious
Sanaa thanks
Shukran kipenzi nimejarib ni tamu mno😘
Asante kwa kujaribu baby
Nimependa
Asante sana love
Thanks dear, ni aina gan ya mchele ni best kutumia
Pishori
Asenti sana
Karibu dear
@@HadijaSheban Je naweza tumia maziwa ya unga instead of coconut ....
Nimependa dear acha nijaribu na mm 👌🤤♥️
All the best love
ترجمة مقادير بليز
Asante Sana kwamapishi namimi ntajaribu ilauku kwetu nazi sio rahisi itakuwaje nikitumia maziwa badala ya tuwi la nazi?
I love it❤
Thanks
Tamuu sanaa
Jombaaaa sanaaa
Mumy samahan vp hvyo vibibi huwez kuusaga mchele badala ya kuu blend
ukisaga itakupa kazi nyingi pia kuchanganya changanya i think
MashaAllah 👌👌👌👌
Tabarakallah
Much love sis thanks 🥰🥰🥰🥰🥰
Thanks darling I love you tooo
Sister Alla akulinde na hasad pia napenda kujua ni aina gani ya mchele
Allahuma ameen shukran my love
Pishori kipenzi
Naeza pika na maziwa
hapana
Assalamualaikum nilazima uweke tuwe
Waaleykhm mussalam yes love
@@HadijaSheban okay but huku kwetu hakuna Nazi yakawaida Wala tuwe ya mkebe
@@hadijawanjiro6608 unatumia maziwa pia kama hauna tuwi...kitu chochote cha tui pia unaweza kueka maziwa
Kama hauna tui unaeza tumia maziwa?
Umetumia mchele gani?
S. Aleikum haweki unga ya ngano kidogo?
Nilizila vibibi sana nilipokuwa Mombasa miaka za hapo hawali. Kiukweli nilizipenda sana 👌👌 saa hizi niko bara nitapikia familia yako vitamu tupu. Nitakufollow videos zako kila wakati 🙏
Asante sana kipenzi nimefurahi uwepo wako hapa💪💪❤️❤️
Asante nimepika leo kwakufata maelekezo yako yani vimetoka safiiii❤❤❤
Zamani
Maa sha ALLAH very nice
Tabarakallah 😘
Amazing 😍
Thanks 🤗
Màa shàa Allah, hii Raha yote na utamu kukolea. Shukran for the recipe Allah barik. Nime potea lakini kidogo tu😜
Asante sana babes 🤗🤗yesss umepotea na nkashindwa kukujulia nisamehe bure my love
@@HadijaSheban usiwe na wasi wasi love, Mtihani ya Dunia lazima tu pambane nayo ALhamdullillah.
@@HadijaSheban i don't speak english. Je voudrai avoir les ingrédients en français svp ? Merci
Unaweza kutumia maziwa badala ya nazi?
Could you please write the ingredients
Ok
Sock rice at nite the blend it . coconut juice.yeast.sugar .an egg.leave it for an hour .cook it.
Love it, thanks!
I'd looked for a good recipe for a long time.
Thanks soo much
MashaaAllha hivi ndo naenda kupika shukran
Unapatikana wapi mummy
Nairobi kenya
Hi sister I love you video can we have subtle English and there names stuff you but in food , mansha llh 💖🥰
Haloo thanks sooo much okey I will be writing
Huku kwetu Zanzibar zamani kulikua kunauzwa mikate ya vibati 😋 kama unaijua pleeeease kiukweli nimeikumbuka lkn siijui
Mpenzi pia mimi nikama wewe nitaulizia kwa wa zanzibar marafiki zangu hakika wanajua
Thank you
Angalia queenshebas anefanya video yake
Tamu sanaa
Sana love
❤❤❤
👌🤪
Alfu dadaa nikuulize ukimaliza kupika vibibi uanaeza kuuka cream
Ndio unaeza
Excuse me could you please send the ingredients in English
I will try to do that
Unaeza kutumia maziwa Kama umekosa nazi
Ndyo tena nzur
Km Mimi dada situmii maziwa nafanyeje
lazima nazi
Which rice did you use dear
Pishori
@@HadijaSheban can i use any other rice like sunrise or pearl or it must be pishori
Tumia gloves plz
Dada angu habari naomba unisaidie nijue vizuri
nikusaidie vp
Please speak in english, i came from insta to see this recipe i wanna try it
Okey darling
Sijawahi kupika Ila nimejaribu vimetoka vizuri mno Asante sana kwa kutufindisha
Unaweka hamira aw mbonasijaona
Sikiliza video vizuri
Ni pancakes za unga wa mchele
Yes
How long do I let it sit for dada
hadi iumuke
😋😋😋😋😋😋😋
🤗🤗🤗
Naz ya unga inafaa?
Sijawai jaribu,unaeza jaribu bora iwe thick
Hii ni kama vitumbua ila unapika kwenye flypain Asante 🙏 nimependa
Yes love
Yummy 😋
Sanaa