Jinsi ya kupika mkate wa nyama (swahili pizza/zanzibar pizza) |farwats kitchen |♡♡♡
Вставка
- Опубліковано 10 жов 2024
- MAHITAJI
Unga wa ngano vikombe 2
Maji kikombe kasrobo (3/4)
mafuta kijiko 1 kikubwa
chumvi kiasi
Nyama 1/2kg
kitunguu thomu 1tsp
chumvi kiasi
pilipili manga 1tsp
mdalasini 1tsp
bizari nyembamba 1tsp
Vitunguu maji 3 vikubwa
pilipili boga 1
Dania 1
Carrot 1
Mayai 6
Instagram @farwats_kitchen
Email: saidfarwata@gmail.com
waaleykhm mussalam mpenzi shukran kwa recipe
Afwan habibty ❤
Nimeipenda hiyo
Mashallah
Mashallh
Mashaallah Allah abarik mikono yko sijakula lakini ni tamu ajab ❤
MashaAllah MashaAllah it nice I will try want Day
In shaa Allah ❤
Masha ALLAH I will try
Okay 👌
Today's lunch. Was easy to follow and everyone loved it. Highly recommend 👍Shukran for the recipe
Easy peasy recipessss .... 🥰🥰🥰 rnd hii mpk we shangaza folks kwa nyumba 😜
Shukran 🥳👌👌
Shangaza shangaza watu😂😂😂
MashaaAllah MashaaAllah MashaaAllah tabarakallah
mashallah...
Ahsanteee❤
Karibu ♥️
Mashallah tanx for the recipe
Mashallah Dada Allah akubarikie imani yako inshaAllah Aamiin
Shukran ❤
Mashallah mapishi mazuri
Asante ❤❤
Thanks swry MashaAllah
❤❤❤
Marshall ❤
Wallah nimependa sn nataka nijifunze namu❤
Karibu sana❤️
Mashallah I followed your instructions mkate wangu ulitokelezea mwah
Maa shaa Allah❤️👌
Asante sana Jazakillahu khairan
❤️❤️❤️
Mashaallah mungu Akubariki Akuhifadhi Nakila lashri
Amin
Shukran sana
Masha allah Allah habibty umejitahidi ila niswamehe kidogo huwa tunatengeneza vikate vidogo huweka hapo katikati huita kiraka pilipilimboga nyingi na kitunguu maji huwa chingi na keroti nyingi na nyama pia Mayonaizi na cream cheese hutia
Haya asante kwa ujuzi huo....japo mapishi hutofautiana.....I really try as much as I can to simplify recipe zangu na kutumia mahitaji ya kawaida ili watazamaji wangu wapate urahisi katika kujaribu. Na pia najaribu kubuni njia zangu mwenyewe kuliko kufanya ilivyozoeleka kufanywa na wengine.
@@farwatskitchen13 usijali kipenzi changu vizuri sana ila uliposema zanzibar pizza ndio nikaona haijatimia niswamehe
Nimeipenda
Asante
Asante sana kwa recipe nzuri sana ❤️
Asante sana 🙌
Mashaallah 👌
Asante sana mapishi mazuri mnooo hongera
Karibu sana dadangu 😍❤
Naipenda sana Shukran kwa recipe🙏
❤❤❤
Nataka kujifundisha mapishi kutoka kwako nafanyeje
Asante
Asante sana🙏👍♥️
Karibu 🙌🔥
Mapishi mazuri Sana.
Asante
❤
❤️❤️
salàm alekum mashallaah
Waaleikum Salam
Shukran
😋😋😋😋😋😋😋
😋😋😘
🥰❤
A.a,kikombe unachotumia kwa vipimo ni kile cha 250ml Ama?
Ndiyo
Bismillah mashallah....ajab..ntaijaribu nitume kwa group yako ya wats up ya mapishi...swaum maqbul sis
In shaa Allah habibty ❤
Safi sana 👌
Mashallah
❤️❤️