Hii pia huwa ni aina ya viazi huleta kupasuka kwa pishi lako.viazi Obama huwa ni vizuri kwa both cutlets na kachori mixture yake ukiiponda Haiwi laini sana. Ila viazi viitwavyo C.I.P vile vya chips huwa vilaini havifai kwa cutlets au kachori. Mwisho mimi hukoroga unga wa dengu na kuchovya cutlets au kachori,zinatoka best,unga wa ngano unanyonya sana mafuta hata mayai hunyonya mafuta.😊
Asante sana kipenzi alafu umesema kweli sometyms viazi vinatuangusha yaani vinakua vimejaa maji sana na tatizo kwa huku kwetu huezi kujua asante kwa funzo
Breadcrumbs
ua-cam.com/video/NnANiOT29Pw/v-deo.html
Yani ni navyo mpenda huyo Dada Allah ndie mjuzi😊. ALLAH akujaalie maisha marefu mpendwa Shukran Sana kwa kutufunza mapishi
Nakupenda pia Allahuma ameen shukran darling
Macha'allah
Dada yangu, Mungu akubariki na kubariki kazi yako, na Mungu akulipe kwa niaba yetu kila la kheri
Allahuma ameen kipenzi shukran
MASH ALLAH TABARAKA ALLAH.
Ukiweka mayai weka maji vijiko 3 va supu haifanyi mayai kutawanyika❤.
Wow nimependa hii recipe sana i only knew the scotched eggs za sausages ,i must try this
Mashaallah
Masha Allah ntajaribu
Nashukulu kwa kutufunza
Da dija yan wew ndio umenifany nijue kupika wallah nakupenda sana mung akubariki katik kila jambo uombalo
Nakupenda pia my love Ameen na asnate sana kwa dua njema...❤️❤️
Ahsanteeee!! Ubarikiwe
AMEEN KIPENZI
Masha Allah nice katlesi
Sante love
Neipenda sana
Masha Allah mungu akueke habibti ❤nimependa hiyo ricp
Asante sana my love Allahuma ameen
😋😋😋
Hii pia huwa ni aina ya viazi huleta kupasuka kwa pishi lako.viazi Obama huwa ni vizuri kwa both cutlets na kachori mixture yake ukiiponda Haiwi laini sana. Ila viazi viitwavyo C.I.P vile vya chips huwa vilaini havifai kwa cutlets au kachori. Mwisho mimi hukoroga unga wa dengu na kuchovya cutlets au kachori,zinatoka best,unga wa ngano unanyonya sana mafuta hata mayai hunyonya mafuta.😊
Asante sana kipenzi alafu umesema kweli sometyms viazi vinatuangusha yaani vinakua vimejaa maji sana na tatizo kwa huku kwetu huezi kujua asante kwa funzo
Mi naona tatizo lipo kwenye kuponda viaz Sana ndo inasababisha kupasuka vikiwa jikon afu mafuta yasichemke sanaa
@@mariammohamedy3586 mafuta lazima yawe moto sana ndio huwa havipasuk
Au maziwa watumia pia ukitaka
Ukichoma mafuta weka moto sana havipasuki
I'm drooooooling 🤤🤭 Hadija naja nile hizi katlesi. 🤗
Karibuni sanaa
❤❤
Shukran 🙏 dadaaangu kwa kutufunza upishii Allah akubarik inshaallah
Ameen my love
Maa shaa ALLAH
Tabarakallah
❤🎉
zamlat😮
❤
Maasha Allaah🥰
Allaah akulipe kheir😍📌
Allahuma ameens shukran
Nakupenda kwa ajili ya Allah dada D unaelewesha vizuri sana
Nakupenda pia Da Maryam🤗🤗Asante sana usisahau kusubscribe na kushare
Shikmo
Napenda sana funze
Ivo viungo vingine ongea kiswahili
Asante dada Khadija kwa pishi la katresi
Karibu sana
Nzuri
Asante Kwa elimu ya mapish
Karibu kipenzi
Mashallah
Tabarakallah
Asante sana
Karibu sana
New subscriber from Terrence
Thanks for subbing!
Numeipenda
Maa sha ALLAH nice recipe
Thanks😘😘
Good food sister
Thanks
❤❤❤😢😢😢🎉
For sure it's nice send me a video
❤❤❤
❤️❤️
Nimependa
Asante
😋😋😋😋😋😋
❤️
Shukrani mno. Muda huu naandaa kwa ajili ya futuru❤ ubarikiwe
.
Mimi ni mgeni nimependa iyo 😊
karibu love
وعليكم السلام ورحمة الله وبركاته 😍
❤️❤️
May ALLAH bless your hands sis.
Allahuma ameen my love
Sawa mama 😂
🤣🤣
Ila mbona unashika shika Sana huwezi kutumia kifaa
Hivi viaz vikisha iva ujiacha kuvi smash unaweza kuvibrend))?
Katles au ekchop?
Hey daa. Hope you are doing fine.matobosha na kebab's recipe please ❤
Hi am good soon love
Okay sis,I will be waiting
❤❤❤❤😂
🥰
Hatali nimejalib nitamu sn
Unaweza kukot na unga sembe pia km huna breadcrumbs
Pia mafuta yakiwa mengi yafunike hizo potatoes chops usigeuze, hazito pasuka
Asante Love
Co izo chenga za mkate unazipataje? Zinauzwa au
Nambari yako
Tuwasiliane insta Didashebbs_Kitchen
Nipe nambari yako
Dada I apa nimekwama ivi kabla ujaweka Kwa mafuta ndio nini iyo inakaa unga emu nielezee
Plz try to put ingredients in comments in English some ov us we don't know Swahili yet we want to learn thank u
Am sorry most we
Welcome
Iyo blue bowl n UNGA ya ngano or mayai
Kuna both
Dada et nimkate af unaloweka
ndio
Jamn mm nimejarb lkn viaz vimekuwa lain km uji
basi vilikua na maji viazi vyenyewe pole sana ama viliachana wakati wa kuchoma
Babe🥱
Yeees my babess
Ila viaz vinatakiw viw vya ain gn wkat wa kununua maan Huw vinasumbua Wakt wa kuchma
Kwakweli sijawai juwa hapo ila vyafaa visiwe na maji sana
Dada nielekeze jinsi ya kupika kababu
ok naleta soon love
Viazi viivisana
vinafaa kuiva
@@HadijaSheban saw
Umeleta hajaa ya mulo❤❤
🤣🤣🤣🤣Hewaaa
@@HadijaSheban na kula kwa macho dadake
Lazima kuweka bread
Yani breadcrumps
Yes ndio isaidie kushikana
Viazi gani unatumia sweet potatoes au vile vya ulaya
Viazi vya kawaida sio sweet
@@HadijaSheban Asante sana 🥰🥰
Na kama una bread crumbs tumia unga wa ugali trust me hazipasuka na zinatoka tu fresh
MashaaAllah Shukran darling
You're too fast my friend, sijaona vizuri hivo viambaupishi ulivyovitumia.
nisamehe
Huo kama UNGA UNGA unaochngny n nn
km sina chenga za mchele jee nawez tumia nn
Chenga za mkate
Unaeza kutumia chenga za mkate au unga wa sima😌
asante kipenzi
Huo unga wa mkate naupataje
Unauzwa supermarket pia waeza jitengezea home