MWIJAKU AMZUNGUSHA HARMONIZE KWENYE MJENGO WAKE KIGAMBONI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Usisahau ku"SUBSCRIBE" UA-cam channel yetu kwa videos nyinginezo
    MWIJAKU AMZUNGUSHA HARMONIZE KWENYE MJENGO WAKE KIGAMBONI
    #zamaraditv #mambonimengi

КОМЕНТАРІ • 304

  • @VictorIvusa
    @VictorIvusa 8 місяців тому +23

    I realy love how harmonize and Ibra socialize hawana maringo mingi...big up... straight outer kenye❤❤

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 8 місяців тому +2

    Jamani wasanii tz chukueni mfano uliobora ombenimaarifa apo ongera sana mwinjaku umefanya kazi. Mzuri sana

  • @ThierryHarouna
    @ThierryHarouna 8 місяців тому

    Waaooh inafrahisha sana kabisa hongera kwake mwijaku

  • @ELVIRAPRODUCT
    @ELVIRAPRODUCT 7 місяців тому

    Nyumaba kubwa Ila kainyima nyumba, si ungefanya hata vyumba vitatu, waha wenzio tukija dar kufikie kwa Kaka mwijaku😅😅😅

  • @tatually1366
    @tatually1366 8 місяців тому

    🎉🎉🎉 mashallah 💝 ❤ 🎉

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 8 місяців тому

    Kama hujaskia ngoma aliyoimbiwa Mwijaku na Msanii wa Hip Hop anaeitwa Snaida kacheki inaitwa mwijaku

  • @pesangwasalim5258
    @pesangwasalim5258 8 місяців тому

    Naona kampeleka mumewe😂

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 8 місяців тому

    Harmoniz Buda mbona simuoni

  • @sidikassim6759
    @sidikassim6759 8 місяців тому +19

    Huzuri wa mmkonde hanaga zarau sbabu yye maisha aliyoptia anayjua vzr na sis tulianza mftilia tngu bss

  • @gisbertusrevocatus171
    @gisbertusrevocatus171 8 місяців тому +16

    Huwez Amin kumbe yule ambae unamfanyia uchawa anakupa pesa nawe ukatumia akili kuzitumia badae anakuja kukuheshimu Sana, congratulations Bro😊

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 8 місяців тому +31

    Mungu akujaalie.iwe salama ,usije ukafikiri wote hao uliowaalika wanafurahia mafanikio Yako,ingekua na mie ningefanya tu Dua na kuhamia,wengine wangejua tu pole pole kwajili ya usalama

    • @baimarrajahbuayan6237
      @baimarrajahbuayan6237 8 місяців тому +1

      Haswaaa lkkn anainad mno

    • @morjanoman5181
      @morjanoman5181 8 місяців тому +3

      Yani uyu inaonekana alifunga naziri ndio mana anafanya Ayo kiukweri mfano kwa wasanii waliowengi wanapangatu

    • @morjanoman5181
      @morjanoman5181 8 місяців тому

      Inatakiwa wajifuze apo sasa kama kujenga sio KAZI aswapale unapotiania kilakitu hinawezekana wapunguze kujikubali wawekeze vitu kama ivi

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 8 місяців тому +1

      Jamani ukifanya kitu kizuri kina Raha na hata Mwenyezi Mungu alisema zioneshe neema nilizokujaalia kwa kunishukuru na kwa waislamu wenye Nia njema wanawaombea Dua hi yo vitu visipatwe na husuda Ila kujizuia kutangaza si kazi ndogo

    • @morjanoman5181
      @morjanoman5181 8 місяців тому

      Tayari dua imepita ndiomaana Leo kawaharika wasaniwezake

  • @batatukatotolabikay5296
    @batatukatotolabikay5296 8 місяців тому +18

    Allah azidi kukuzidishiye kaka yangu.
    Kwa kweli umefaa kazi kubwa.
    Congratulation once again

  • @btylove1870
    @btylove1870 8 місяців тому +28

    Tembo🐘 ako so humble Mashaallah ❤

  • @saidmtenda1628
    @saidmtenda1628 8 місяців тому +3

    Tukumbuke fahari zote hizi mwisho wa siku Allah anatuhitaji tumwabudu.

  • @coolson2925
    @coolson2925 8 місяців тому +18

    ila mwijaku unaheshima sana Mungu akutunze.....nimependa unavyomwambia harmonise umeniheshimisha ...choppa mmeniheshimisha wallah....😪😪😪

    • @landmadvdmbeyacity9561
      @landmadvdmbeyacity9561 8 місяців тому

      Haahahha ad wanafik mnakubar shoo kwer hela noma

    • @salumuseif3324
      @salumuseif3324 8 місяців тому

      ​@@landmadvdmbeyacity9561mwanangu ukiwa na ela watu wansahau mabaya yote mamae

    • @coolson2925
      @coolson2925 8 місяців тому

      mnafki nan sasa hapo,,acha ulevi mkuu@@landmadvdmbeyacity9561

  • @devgodfrey
    @devgodfrey 8 місяців тому +14

    Mwijaku mimi sikupingi baba keep up✊🏻

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 8 місяців тому +5

    Yani Master WA Bongo WA kiume skuizi Wana akili yakutafuta pesa na kufanya maendeleo ikiwemo kujenga na kuoa,sio zamani wakipata pesa wanaspend na mademu wmisho wake wanafilisika nakuanza kungada,Big up Mwijako,Baba levo,Aristooooteee,Dimond ,Harmonise na wengine wanaojielewa

  • @tabyabelemwenebenga2311
    @tabyabelemwenebenga2311 8 місяців тому +66

    Sitaki kuamini kama Mathias anaenda kuishi magorofani.

    • @SalimAbdallah-tg1yo
      @SalimAbdallah-tg1yo 8 місяців тому +8

      Huyo Ni mtu muhimu Sana kama hufahamu

    • @tabyabelemwenebenga2311
      @tabyabelemwenebenga2311 8 місяців тому +1

      @@SalimAbdallah-tg1yo najua bro

    • @magrethmbangama1199
      @magrethmbangama1199 8 місяців тому +8

      Hongera sana mwijaku sio wengine wanabaki ooh nimenunua nywele 10ml uko kwenye nyumba ya kupanga ukipata nafasi fanya vitu kama hv maana kesho huijui.

    • @AsdDsa-fi5qk
      @AsdDsa-fi5qk 8 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂😂utani ww

    • @TeophilBuilding
      @TeophilBuilding 8 місяців тому +1

      😅😅😅😅

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 8 місяців тому +8

    Hongera sana mwijaku ktk maisha ukifanya kitu kizuli lazima ujisikie faraja sana, ni mfano wa kuigwa maana vijana acheni kuiga ujinga igeni mambo mazuri, muulize kafanyeje mpaka kafikia apo ndio maisha sio leo kidimbwi anakuja msanii gani ilimradi mpate pombe zabule😂😂😂

  • @daudibuffalo3646
    @daudibuffalo3646 8 місяців тому +5

    Nina Iman wote tuliocomment hapa tunaenda kupambana ili tuweze kupata mjengo Kama wa mwijaku wote tuseme Amina, inshallah 🙏

  • @WitnessLeganya
    @WitnessLeganya 8 місяців тому +4

    Harmonize muhuni😅 eti amani ya bwana iwe nanyi😂😂😂

  • @DM_15
    @DM_15 8 місяців тому +3

    Nimesikia konde akimtonya mjaku kitu kuhusu watu wabaya😂

  • @athumanabubakary5930
    @athumanabubakary5930 8 місяців тому +3

    Kujenga jengo kama Hilo sio mchezo aisee mpaka Sasa Kuna watu haawaaamini

  • @KhalimaMasanja
    @KhalimaMasanja 8 місяців тому +3

    Nampenda harmonize wallah Hana majivuno

  • @noelmtao2735
    @noelmtao2735 8 місяців тому +5

    Vyote sawa! Hongera sana! Tahadhari tu hizo ngazi kama meli ndugu yangu!

  • @RehemaMandai
    @RehemaMandai 8 місяців тому +4

    Kusapotiwa ni vitu vya kawaida muhimu kutumia akil kama mwijaku, watu washaanza ooh anatakiwa amshukur diamond n sawa lkn nae amebebwa akajishikilia sio kama wengne wanabebwa wanajiachia, mwachen mwijaku katoa funzo kubwa kwa wengne wanaopenda kila bata sana bdo wpo nyumba za kupanga, hongera DC

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 8 місяців тому +4

    Mtie machungu hamoniz hajajenga bado anapanga tu

  • @natalisaid5414
    @natalisaid5414 8 місяців тому +1

    Hiii mbaya kuleta watu wako watizame nyumba wewe waona fahari kumbe waniletea mabalaa waulizwa watu yaliyo wakuta

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 8 місяців тому +1

    Zamarad unakuja kwa kas Sana ad raha

  • @Zaynachintowa
    @Zaynachintowa 8 місяців тому +1

    mwijaku anaishi pazur kuliko mondi 😂😂😂

  • @RichardCharo-zx3sy
    @RichardCharo-zx3sy 8 місяців тому +6

    From Kenya congratulations DC

  • @AzizNgitu-wk3ey
    @AzizNgitu-wk3ey 8 місяців тому +1

    Napenda mwijaku anavyo jifanya kama mjinga kumbe anajia anacho fanya

  • @mash3775
    @mash3775 8 місяців тому

    Sijaipenda i video reason mbona Ibra hana time ya kuongea naye mbona ivo lakin Mash37 from kenya

  • @NuruSaidy-f1c
    @NuruSaidy-f1c 8 місяців тому +7

    mwijaku is big ft ulikua una bweka sana mm nilikuelewa nikakwambia wewe unatumia akili na elimu uliokua nayo ukaniambia asante mdogo wangu ona sasa umewaacha midomo wazi watu wewe umetisha sio kama huyo mapua na mwenzie h mama

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 8 місяців тому +1

      Hbaba hana gari atakua na nyumba

    • @fettyrashid9042
      @fettyrashid9042 8 місяців тому +1

      Mapua anabonge la nyumba na nyumba nyingine nne exclusive hii nakupa

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 8 місяців тому +3

    Wow mwijaku kelele. Zimeleta. Faida big up broo 😂🎉

  • @MariamShubeti
    @MariamShubeti 8 місяців тому +4

    Nina furaha kwa ajiri yako Mwijaku hongera sana broo

  • @AlbertWilbert-uy8qz
    @AlbertWilbert-uy8qz 8 місяців тому +2

    Brother ongera sanaaa ila nilivo mtazama hermonaize kapenda sana ila kapenda zaidi ukojuu kawa surprised sana

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 8 місяців тому +1

    Ongera sana mwijaku acha wakusema waseme

  • @zomasamweli
    @zomasamweli 8 місяців тому +3

    Kiukweli mwijaku ww ni mtu wa kuigwa sana umenifunza k2 mkubwa

  • @carolinemwatsuma9507
    @carolinemwatsuma9507 8 місяців тому +3

    Hongera DC mwijaku,mungu azidi kukubariki

  • @uwezotv
    @uwezotv 8 місяців тому

    Wejinga hii nyumba ni ya mwarabu mwenyewe namjua tqngia nyumba hii imeanza kujengwa nyumba hii ni pacha kwenye compaund moja nyumba hizi zilikua zinauzwa mwenyewe alikua anajenga na kuuza wacha kujifaragua na mali zawatu wewe unajitia umasikini sasa naenda kumuweka wazi mmiliki wa mjengo huu utaona aibu wewe nguruchu

  • @AishaAly-nl5ud
    @AishaAly-nl5ud 8 місяців тому

    Ww mwijaku unajifabya shehe mkeo anaranda kichwa wazi makwapa nnjee ndio ninkmambo km haya yanafanywa kimya kmy watu maarufu mnafeli apo tu

  • @SalmaSaid-v3d
    @SalmaSaid-v3d 8 місяців тому

    Konde we endelea kuwahonga wanawake wenzetu mwenzio uyo Hana Dem wa kumhonga mana alipata Dem pia akauza picha za uchi yupo kipesa tu kama mwanamke muuza k

  • @estersilvester423
    @estersilvester423 8 місяців тому

    Kajala hayupo body la hamonize lishajaaa tena duuuuh, kajala Ana siri ya kubalance body la hamo

  • @greaterjustin2231
    @greaterjustin2231 8 місяців тому +2

    Harmo hana heshima kumuweka karibu na mkeo atapita nae

  • @muhidiniharuna3735
    @muhidiniharuna3735 8 місяців тому +2

    Ongera sana bro mwijaku hii sio wale wanaopiga picha na nyumba za watu

  • @MarksonOsoro
    @MarksonOsoro Місяць тому

    Harmonize don't worry tutakujangia

  • @gilibersumari7433
    @gilibersumari7433 8 місяців тому

    mpaka Leo sauti Zina washinda
    alafu mnataka na wenzenu
    mnatu malizia MB tuuu vilaza

  • @TegemtataChambanenje
    @TegemtataChambanenje 8 місяців тому +1

    Nakubali sana mwijaku piga kazi baba usiwe kama baba levo maneno meng vitendo hakuna

  • @DEUSCHUCHUCHU
    @DEUSCHUCHUCHU 7 місяців тому

    Hapo harmonize hajara wara kuvuta bangi mwijaku nae hajaweka ugoro

  • @princefakamiomupovizurifak5929
    @princefakamiomupovizurifak5929 8 місяців тому

    Unakuta homonaiz hata huko bank hana bilion moja anaboma lake mwaka wa kumi tungu aanze mziki

  • @abdalahzungu6264
    @abdalahzungu6264 8 місяців тому

    Umejipata ndugu,wewe Sasa ni chawa mwenye hadhii

  • @salinababe6894
    @salinababe6894 8 місяців тому +6

    Congratulations❤❤❤

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 8 місяців тому +3

    Konde hua anaumia akiona mtu katoboa,shauri Yako mwijaku 😂,hata hapo kaumia mie nimemuona

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 8 місяців тому +4

      Wewe ndie umeumia uko huku kuangalia nani kaja na anafanya nini. Acha fitina na wivu utaishia pabaya.

    • @EmmaKifimbo-cp5yp
      @EmmaKifimbo-cp5yp 8 місяців тому +1

      Unagongwa wewe team mashoga wa tandale

    • @karimjuma4019
      @karimjuma4019 8 місяців тому +1

      Aumie kwa nn km pesa anayo anaumia kipara ndezi na mwambino

    • @geomangi6123
      @geomangi6123 8 місяців тому

      wewe utakua wadinywa mkundureeee

    • @doreenmsafari2945
      @doreenmsafari2945 8 місяців тому

      😂😂😂

  • @WahabiNgaeka-ij7el
    @WahabiNgaeka-ij7el 8 місяців тому

    Mnajifanya zenu mkiumwa mnaomba kuchangiwa

  • @AlexDitto-l7w
    @AlexDitto-l7w 8 місяців тому

    Nyumbu kuja kuhamia ayakuwa amesha tembeza dar nzima

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 8 місяців тому +2

    DC umeupiga mwingi Hongera sana 🎉🎉🎉

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 8 місяців тому +4

    Hongera Sana mwijaku

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb 8 місяців тому +3

    Good up kaka umetisha ❤

  • @Kulwa-c3t
    @Kulwa-c3t 8 місяців тому +1

    Hongera sana mwijaku siyo kazi ndogo

  • @smartonlinetv5144
    @smartonlinetv5144 8 місяців тому +1

    Hongera sana my brother,bila shaka sasa wengine wataanza kujitambua kupitia wewe na watafanya makubwa zaidi

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu Місяць тому

    Safiiiii kaka mtumikie kaffir uishi kama mfalme

  • @shabanirashid7797
    @shabanirashid7797 8 місяців тому +1

    Ni moja ya hatua mzuri yaaani kumbe Mwijaku yuko Perfect for 100% kiasi hiko duuuuh hii ni fundisho kwa watu ambao wanambeza Mwijaku

  • @AwezaAweza-w7f
    @AwezaAweza-w7f 8 місяців тому +1

    Yan apo konde anatoka na nyimbo

  • @michaelmpagwa2553
    @michaelmpagwa2553 8 місяців тому +1

    Congratulations home boy

  • @AllySalum-h4j
    @AllySalum-h4j 8 місяців тому

    Nakumbuka mwaka Fulani dereva mwenzetu akatuchukuaga kijiweni pale mwaloni mwanza kwenda kuzindua nyumba nyasaka akidai yake mpaka tulijizarau why? Jamaa tunafanya nae kazi Moja amejenga nyumba kubwa kiasi hiki alikua muhaya baada ya wiki zikavuja kumbe nyumba ya boss wake kapewa alinde

  • @zahorosufiani7674
    @zahorosufiani7674 8 місяців тому

    Osioe mwanake mwingine mpe raha mkeo

  • @SharifaHayatta
    @SharifaHayatta 8 місяців тому

    Mbona mke wa mtu unamkodolea macho

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 8 місяців тому

    ila mwija unamakalio makubwa kama nn sijui

  • @Udindigwa
    @Udindigwa 8 місяців тому +1

    Inapendeza sana

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 8 місяців тому

    Harmo ulokuwa ukimugonga mwijaku umeona matusi yake?? Wewe bado unajikongoja tu

  • @terashangwe255
    @terashangwe255 6 місяців тому

    Ongera sana ndugu yangu

  • @shabansumaiya4770
    @shabansumaiya4770 8 місяців тому

    Mueshimu mtu aliejitoa mhanga kujenga nyumba hata kikiwa chumba kimoja mheshimu

  • @KenedyMwaipaja-n8w
    @KenedyMwaipaja-n8w 8 місяців тому

    Hongera mwijako kiukweli lakin mimi nimekuwa Thomaso😂😂 kidogo siamin Mungu atupe umri kwa hapo baadae tutakujasikia waziri fulani anadai mwijako ampishe kwenye nyumba yake😂😅😂#time will tell

  • @mpajijuma6121
    @mpajijuma6121 8 місяців тому

    Mwij mm bonge la shabik yak ndan ya leo ten na zilizokik hongera san mwija kama mwij nakukubal San tot la nyumban kg

  • @KAIPAAA3211
    @KAIPAAA3211 8 місяців тому

    Hyo nyumba inauzwa sio ya kwake hana nyumba, huyuu msanii darari iko sokoni,akigombana na mwenye nyumba hiyo ndo mtajuwa ulikuwa usanii, hyo nyumba ni ya .....

  • @sarahminja7255
    @sarahminja7255 8 місяців тому

    😂😂😂😂 nani kamuona ibra yuko nyuma Kama bordigard hata hao walinzi hawako makini ktk kumlinda ibra wote wanamlinda harmonize IBRA yuko Kama chawa tu wa harmo😂😂😂😂

  • @veveveve5517
    @veveveve5517 8 місяців тому +1

    Congratulations mwijaku

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 8 місяців тому

    Nimependa nidham ya kusalimia ya HARMONIZE

  • @enoszaka-tx8qw
    @enoszaka-tx8qw 8 місяців тому

    ibra mbona mnyonge sana shida nini ? vumilia tu ipo siku utatoboa tu

  • @fuadaladawi1255
    @fuadaladawi1255 8 місяців тому +5

    Mwejaku congratulation for your villah.my Allah bless Harmonize for help to the poor

  • @damagesinger8971
    @damagesinger8971 8 місяців тому

    Wewe aujaona ya papa Jones

  • @babykisura1089
    @babykisura1089 8 місяців тому

    manara wivu umemjaa ndo maan ajafika wkt alialikwa😅😅au sbb amejua konde anafika angekuwa mond kaambiwa lzm manara angefika😂

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 8 місяців тому

    Nimekuja kuona kisima baada yakumsikia Baba Levo jaman hawa wananiua mbavu mm eti ngazi za kupandia kwenye matank dah😂😂😂😂

  • @bensonmgaya5693
    @bensonmgaya5693 8 місяців тому

    Harmonize mwenyewe hana mjengo kama huo kapangisha anautamani kinoma sana zile magari za kajala ziko wapi 😂😂😂 mpaka unamtumia mr pimbi watu wewe fyuuuuu harmonize a.k.a harmonica 😂😂😂😂😂

  • @mwanaidikingazi4222
    @mwanaidikingazi4222 8 місяців тому +1

    Hongera sanaaa mwijaku hata kama wakisema nikwako

    • @BenardIsmail
      @BenardIsmail 8 місяців тому

      Kua makini bro sio Kila mtu anapenda mafanikio yako.hongera sana ila nakusihi mengine yabaki siri

  • @Lanihsarumu
    @Lanihsarumu 8 місяців тому +1

    Mungu azidi kukuongoza vema mwijaku na muzidi kushikamana upendo uhendelee na konde famiry❤❤

  • @mashopluck
    @mashopluck 8 місяців тому

    HONGERA SANA MWIJAKU ENDELEA ZAIDI UMETHIBITISHA SANAA INA HELA

  • @hadija846
    @hadija846 8 місяців тому

    Alafu yule Doto magari anabwabwaja huko mtaani kwa maneno yake ya mkosaji😂😂😂😂😂

  • @sabatoongara8763
    @sabatoongara8763 8 місяців тому

    Acheni uchawa na nyie mwenzenu akifanya kitu kizur anastaili pongezi, big up mwijaku

  • @Dymitri-Babushka.
    @Dymitri-Babushka. 8 місяців тому +2

    Hata mimi nataka nikiwa mkubwa nikasomee uchawa choo kikuyu,hii fani inalipa ❤

  • @danielmakelemo2395
    @danielmakelemo2395 8 місяців тому

    Hivi Yale madawa yalikamatwa kigamboni waliokuwa wanayasafilisha wasanii hakuwemo hakulipwa kusafirisha maana dah mangwea tunamkubuka

  • @KidalosMafumbula
    @KidalosMafumbula 8 місяців тому

    Mwijaku angalisho na ule konde boy kumufikisha nyumbani kwako ata muchukuwa mke wako île njo yabia yake mbaya

  • @josephinewangwe1154
    @josephinewangwe1154 8 місяців тому

    Jamani Ibra na macho yake ya huruma anavyo angalia. Ndogo wangu usijali nawe siku yako itafika tu😂

  • @yasiniswedi8835
    @yasiniswedi8835 8 місяців тому

    Nimeumisi ule wimbo wa mtoto acha kupga mayowo wache waone wenyewe

  • @neemapraigory8832
    @neemapraigory8832 8 місяців тому

    Hamonaizi weni mchafu kweli umechukya mke wa dij wako siamini

  • @faithfaith-zr6gz
    @faithfaith-zr6gz 8 місяців тому +1

    Hao nao mgambo wa harmonize 😂😂 kha!!

  • @RahmaAbuubakar
    @RahmaAbuubakar 8 місяців тому

    Nnachojisikia furaha mke wa mwijaku hanaga mambo mengi ,akiamua kuvaa wigi Lake imetosha. Mwishowe wametimiza lengolao.

  • @bettyokito774
    @bettyokito774 8 місяців тому

    Congratulations mwijaku❤❤❤❤🇨🇩🇿🇲🇨🇩🇿🇲🇨🇩🇿🇲

  • @faidhacute
    @faidhacute 8 місяців тому

    Mwijaku hawezi kujenga nyumba kma hii sema anapenda sana kiki yan hafanani na nyumba hii bhana mi sijawah kumwamini mwijaku, but hyo nyumba ni ya mkewake coz mkewe ni mwasibu bank flan hv