Kila mty anajidai anaujua mpira. Hivi kwanini Real Madrid walimuacha Ronaldo. Kwanini Barcelona walimuacha Messi? Wewe utopolo mchukue Saido mrudishe Yanga. Kama ni uamuzi wangu Jobe na Fred wote wangesepa. Wachezaji wazuri wapo wengi pesa tu unawapata.
Saido angebaki Simba ni msaada saaaana kwa Simba. Viongozi wa Simba huwa mnawaacha wachezaji bora kisha mnawaleta wachezaji wabovu mnawakosea sana wachezaji
Binafsi naamini Saido tutakuja kumkumbuka sn,alikuwa ni kiraka wa uhakika,hata hivyo mda wake umefika kutafuta changamoto nyingine kwani maneno dhidi yake yamekuwa mengi,napata mashaka yasijirudie yale ya Baleke na Phiri.Viongozi wawe makini sn ktk suala usajili,kukurupuka itakuwa dhambi isiyofutika ktk historia ya SIMBA.Mungu Ibariki Simba!!
Saido kaisha actually uwanjani anakuwa busy doing nothing hakuna Tina uchezaji wake. Hayo magoli jamani yote ni ya penati. Hebu fuatilieni anatoa pasi sahihi ngapi, anapoteza mipira mara ngapi, tackling ngapi Anafanya. Aangalieni assist zake. Tija ndogo sana ktk uchezaji wake
Umeitafakari Kwa kina shida ya Simba haikuwa na chemistry Yani muunganiko itakuwa alikuwa anafanya yote hayo ila je anacheza na nani walishane hayo maufundi Simba walikuwa badooo sana kuwa kitu kimoja uwanjani kama vile hawasomani .na hii badili badili mara marefa wachezaji ndio inawamaliza kabisaaaa .
Simba nina wasi wasi unaendeshwa na mihemuko haina misimamo.inapelekwa na upepo wa matukio angalieni sana mnadhani mnajenga kumbe ndio mnahatibu ....jitafakarini kuanzia viongozi hadi mashabiki
Kweli kabisa shida ni ss mashabiki
Kama kweli jobe kabakizwa na Saidoo kuondoka viongozi ni washenzi na wapumbavu na msimu ujao. Hawapati hats kombe moja.
Wewe ni utopolo ume tumwa mwambie akacheze yanga
Msiongee kabla ya kuujua ukweli wake. Aliyewaambia Jobe anabaki nani ? Thank you inatolewa kwa utaratibu, bado wengi wa kutoka. Subirini!
Anzisheni team yenu mbona mnakua kama malaya malaya kama mwajuma chupi kubwa
Kila mty anajidai anaujua mpira. Hivi kwanini Real Madrid walimuacha Ronaldo. Kwanini Barcelona walimuacha Messi? Wewe utopolo mchukue Saido mrudishe Yanga.
Kama ni uamuzi wangu Jobe na Fred wote wangesepa. Wachezaji wazuri wapo wengi pesa tu unawapata.
Wachambuz watch wamchongo saido mzeeee
Saido angebaki Simba ni msaada saaaana kwa Simba. Viongozi wa Simba huwa mnawaacha wachezaji bora kisha mnawaleta wachezaji wabovu mnawakosea sana wachezaji
KABISA UPO SAHIHI
Watu wanapenda kuongea withought nowing reason kuna sababu nyingi moja ni mkataba wa jobe bado mbichi they can pay much money to withdraw jobe
Wewe mchambuzi waovyo hajawai kutokea
Binafsi naamini Saido tutakuja kumkumbuka sn,alikuwa ni kiraka wa uhakika,hata hivyo mda wake umefika kutafuta changamoto nyingine kwani maneno dhidi yake yamekuwa mengi,napata mashaka yasijirudie yale ya Baleke na Phiri.Viongozi wawe makini sn ktk suala usajili,kukurupuka itakuwa dhambi isiyofutika ktk historia ya SIMBA.Mungu Ibariki Simba!!
Saido kaisha actually uwanjani anakuwa busy doing nothing hakuna Tina uchezaji wake. Hayo magoli jamani yote ni ya penati. Hebu fuatilieni anatoa pasi sahihi ngapi, anapoteza mipira mara ngapi, tackling ngapi Anafanya. Aangalieni assist zake. Tija ndogo sana ktk uchezaji wake
Umeitafakari Kwa kina shida ya Simba haikuwa na chemistry Yani muunganiko itakuwa alikuwa anafanya yote hayo ila je anacheza na nani walishane hayo maufundi
Simba walikuwa badooo sana kuwa kitu kimoja uwanjani kama vile hawasomani .na hii badili badili mara marefa wachezaji ndio inawamaliza kabisaaaa .
Simba nina wasi wasi unaendeshwa na mihemuko haina misimamo.inapelekwa na upepo wa matukio angalieni sana mnadhani mnajenga kumbe ndio mnahatibu ....jitafakarini kuanzia viongozi hadi mashabiki
Wachambuzi uchwara kama nyie mpelekeni utopolo kwendeni huko tunawamisi mnoo marehemu swedi mwinyi na kashasha wachambuzi wa mchongotu
Wacha ujinga wako ulitak abak mpaka lini njinga nn hatumtak kesha zeeka kamchambue mkeo
Ww nikuma kama kuma wengine nyege ww
Achen unafki saidoo apishe vijana umli umeenda
Sasa saido anasaidia nn we huelewi simba tuna Marengo gn
Akacheze yanga