MOLINGA AMPA USHAURI CHAMA KWENDA YANGA AU KUBAKI SIMBA, YANGA HII YA SASA NI BORA KULIKO ILE YETU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 чер 2024
  • HIKI NDICHO ALICHOSEMA MSHAMBULIAJI WA ZAMANI WA YANGA MOLINGA BAADA YA KUFANYIWA MAHOJIANO NA SPOGA ONLINE
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 8

  • @titochalemanga4238
    @titochalemanga4238 2 дні тому

    Papa Molinga respect 🙏

  • @proisolution7166
    @proisolution7166 2 дні тому +1

    Moringa,ulikuwa hustahili kucheza Yanga,lakini kitu ninachokupenda na nilkuwa nakupenda ni kwamba unaujua mpira kilichokuangusha ni unene,lakini ulikuwa unaeza mpira kuzidi hata Nchimbi kwa kuwa unajua majukumu yako uwanjani,hayo maoni yako kuhusu chama nakuelewa hata mimi naona chama ataongeza option kwa rotation lkn kiwango chake hakitaleta jipya yanga zaidi ya ukubwa wa squard.

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 2 дні тому

    Anacheza vizuri

  • @proisolution7166
    @proisolution7166 2 дні тому +1

    unajua mpira moringa.

  • @user-kp7em6zt1g
    @user-kp7em6zt1g День тому

    Papa moringa una bayaa

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 День тому

    Papa MOLINGA

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 дні тому

    Moringa umesema kwa hekima kubwa sana. Ukweli mtupu. Wachezaji wajue mpira ni ajira yao, tamaa mbaya haifai. Viongozi pia wachukue hatua mara wanapokuwa na uhakika kwa utovu wa maadili wa mchezaji.

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 дні тому

    CHAMA USIONDOKE SIMBA WALIKUSEMA WEWE NI MZEE. UTAWEKWA BENCHI WEWE HUIEZI YANGA.