WALIOHUKUMIWA KUNYONGWA KESI YA ALPHONCE MAWAZO WA CHADEMA WAACHIWA HURU //KESI YAFUTWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 7

  • @evaristmshanga
    @evaristmshanga 3 місяці тому

    Mungu wetu ni mwema,...walianza na kuuwa wa chadema Sasa wataanza kuuana wenyewe,..Siku ipo.

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 3 місяці тому

    Ccm dam ya mawazo itawalilia tuuu mpaka mwisho

  • @StevenGendo-vx9jo
    @StevenGendo-vx9jo 3 місяці тому

    Uchaguz umekaribia wameachiwa kwa maelekezo

  • @johnsoka7239
    @johnsoka7239 3 місяці тому

    Bado taasisi ya mahakama Ina ingiliwa na serekali kimaamuzi, in fact, developing country, no rule of laws, Money and mandate is above the law

  • @JohnMagudi
    @JohnMagudi 3 місяці тому

    inchi yetu haifai kwa yeyote asie unga mkono au kukosoa utawala

  • @mgungulem3187
    @mgungulem3187 3 місяці тому

    Kama ni kweli hii Nchi inahitaji kuwakodisha gen z wa Kenya kuikomboa

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li 3 місяці тому

    Ccm na serikali yake inatawara kwa damu mawazo pumzika kwa amani mungu yupo nawe hawa nao watakufata leo wapo njee sheria nchi hii aipo walio kuuwa wanajulikana leo mmeachiwa subilini kitacho wakuta damu ya mawazo hiyooo inawafata bado muda tu na saa mungu yupo