Eliud Makunga umeelewa kwa nini mungu alijutia kumuumba mwanadamu? Soma Genesis 6:6. Mtu wa kumpinga rais was namna hii atayafanya yapi mazuri kuzidi anayoyafanya JPM. Mwanadamu kiumbe ajabu.
@@nelsonmoreka6929" BWANA akaghairi kwa kuwa amemfanya mwanadamu duniani, akahuzunika moyo". Hata Mungu watu wanaletea eti Jeuri. Basi kwa mwanadamu tusishangae. Hakuna jema
Eliud Makunga natokea Kenya,aisee natamani siku East Africa itaunganika kabisa JPM awe rais wetu. Namuusudu Sana huyo baba. Namuombea hata nafasi mbinguni
Magufuli oyeee! Hapa kazi tu! Muheshimiwa naomba unipe nafasi ya kukuona na kukupa pongezi baba kwa kazi nzuri unayoifanyia taifa letu na vizazi vyetu vijazo.
Jamani mungu ambariki Rais wetu mpendwa.Kiukweli tukubali watanzania huyu ni Rais bora kuwahi kutokea.Tumpatie muda k 30 years Tanzania tutakuwa maendeleo sana
Nani aliyemtoa huyu duniani kweli,kama wewe ni mwombezi tafafhali tufunge kwa maombi na kufunga ili MUNGU baba aturudishie kiongozi shupavu kama magufuli.tafadhali nani yuko pamoja nami kwa maombi na mafungo
Vp jamani wale ndugu zetu wa nyumba ya jirani mbona sioni comment 🤣🤣🤣🤣 poleni Sanaa wapiga dili hapo ndo unapata kujua utofauti wa viongozi walopita na JPM sina maana walopita walikua hawafanyi vyema ila MAGU amejua kutunyoosha, Hongera mheshimiwa Raisi Mungu akubariki sana Mungu ibariki Tanzania 🙏🙏🙏
Wow wow wow....!!!!? From nearly 500million to 5million?!?! Well what can I write!!!!!!!!??? Oh mother Africa, what thee ails it's sons & daughters?? Wow, thank you President Maghufuli, a true son of the soil!!! Asante sana....
Hahahaha wizi kwa magu wanapata tabu sana wanataman 2020 ifike saiv ili wapate nguvu maake jamaa kichwa yake kwa maesabu ilishalogwa uyo amyumbishi kabisa kila ukipiga chenga linakutangiza kwa mbele unajikuta unahaha katikakti mjombaa punguza makali mzee watu vitambi vimepungua siku izi
Enzi za JK huo ndo ulikuwa ulaji wenyewe. Watu 20 wanasindikiza ndege kupigwa rangi tena nje ya nchi. Ndo maana watumishi wa serkali wamenuna siku hizi.
Victoria watataga mayai gani waliozoea wizi, nimecheka kweli, viva JPM vivaa baada ya miaka kumi lazima tule maziwa na asali. Wazungu lazima watupe saluti.
kama nawaona vile wapinzani wanavyo haha na kutafuta visababu vya kumkosoa. mi nawashauri wapinzani wote waamie airtel(ccm)> kama we ni mpinzani na bado haumkubali jamaa omba msaada ukatibiwe india maana huo ugonjwa ulionao sio wa nchi hii.
asante Mungu wetu kwa kuikumbuka Tz. umetupa rais mwenye upendo na uchungu na tz. kwa miaka mingi nchi hii ilikuwa ni ya wachache. Zidi kumpa nguvu, afya njema na hekima yako ili aifikishe tz mahali pazuri.
Mtu kama lema huko IG ameponda sana hizi juhudi ewe mungu ss wengine hatuna hata vyama na hatujawahi hata kua na interest za siasa maisha yetu tumemkabidhi mungu sababu yeye ndo anajua kila kitu juu yetu.... Muonyeshe njia huyu lema vitu vyengine akubali na asitie usiasa kwenye mambo ya msingi kama haya
Mbona mengine hawayaoneshi hapa ndipo watu wanapo fumbwa macho wanaoneshwa mazuri tu siku zote lakini Kuna maovu mingi Sana dhulma ,wafanya biashara wengi wanafilisika ktk awamu hii ya tano maisha yamezidi kuwa magumu Allah atuongoze
Kama unamkubali Dr john pombe magufuli bac naomba unipatie like yko hpo chini plz
Frola sisi huku simuyu vitambulisho vya nida hatujapa
Mkombozi wetu tutafanya nini? Kafanya mengi kwa mda mfupi lep haupo ,pumzika jemedali wetu
Mzalendo namba moja MAGUFULI OYEEEEEEE.
Hongera MH Rais Magufuli M,mungu akupe afya njema .WW ni rais Bora udumu milele uwe rais wetu wa maisha
Ee mumgu mpe maisha malefu lais wetu kwa kazi nzuli ambayo anatufanyia watanzania tunaombe mweshimiwa ututembelee wananchi wa mbeya tunaomba
Safi
Na ukifanya mazuri mnauliwaaa😢😢😢
Kweli tunafuata katiba ila huyu Rais anahitajika sana Tanzania bila kupepesa macho aongeze mpka achoke...kama unamkubali rais like hapa
Yaani huyu raisi sijui nimuombeee Nini kwa mungu Cha kumjalia
The man is blessed with everything
We need him and here we HAVE...who else do we need?the answer is BIG NO....Bravoo JPM viva el comandante.
If you are patriotic enough then LIKE IT!
Bwana RAIS MAGUFULI ndio rais pekee wa anaefaa kuongoza wananchi Mheshimiwa rais nakutakia maisha marefu yenye mafanikio
Halafu kuna watu hawamtaki Rais kama Huyu, Nina mashaka na akili zao.
We ndo unaye mkubali sio wote
Eliud Makunga umeelewa kwa nini mungu alijutia kumuumba mwanadamu? Soma Genesis 6:6.
Mtu wa kumpinga rais was namna hii atayafanya yapi mazuri kuzidi anayoyafanya JPM. Mwanadamu kiumbe ajabu.
@@nelsonmoreka6929" BWANA akaghairi kwa kuwa amemfanya mwanadamu duniani, akahuzunika moyo". Hata Mungu watu wanaletea eti Jeuri. Basi kwa mwanadamu tusishangae. Hakuna jema
Eliud Makunga natokea Kenya,aisee natamani siku East Africa itaunganika kabisa JPM awe rais wetu. Namuusudu Sana huyo baba. Namuombea hata nafasi mbinguni
@@nelsonmoreka6929 Wapenda madaraka hawatakubali
Japo hakuna mwanadamu hasiye na mapungufu, lkn Watanzania tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi hii alotupatia
🎵🎵waale wapiga madili sasa hali Maya,,,,,,,, 🎵ZILIPENDWA🎤🎤🎤🎤🎵🎵🎵
hahah umeona eeee maesabu apo apo
Victor Mukama 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Mm nataka utuongoze kwa miaka ishilini tu coz naona kumi ni michache
yeah apige pasi nchi inyooke. yaani tutasogea. maana akitoka ataingia mpiga dili
Grasford Frank magufuli yuko juuu mawinguni
watanzania tunaweza sema huwa tunapenda kujishushaa sijui kwnn
hongereni sanaa maenginer
wa ndege pia pongezi kwa rais
Kweil aise Mungu ibariki Tz
....
sina ubishi muheshimiwa
Well said our president Jpm may our God keep protecting you.
Duh ndugu zangu Mungu awabariki sana sana kazi mnayoifanya sio ndogo Watanzania tunaweza
Mweshimiwa raisi nakupenda Sana unanibariki Kwa kazi mungu akutunze sana
mh..ungekuwa karibu ningukununulia hata pepsiii!! maana tunaibiwa sanaaaaa!!!
😂👆🛬🛀🛰
Kweli Yaan Watanzania kuiba wapo faster ssna
Magufuli oyeee! Hapa kazi tu! Muheshimiwa naomba unipe nafasi ya kukuona na kukupa pongezi baba kwa kazi nzuri unayoifanyia taifa letu na vizazi vyetu vijazo.
Hongera rais wangu kwa kazi nzuri.
Kazi nzuri tuna piga hatua
Hongera Sana Sana raisi makufuli kwa kwaiongozi inchi vizur Sana mwenyezi mungu akujalie afya njema akuepushe na shari zote mungu ibaliki tz
Namkubali raisi wangu, wanaume wezi watataga mwaka huu
Kabisa
mweshimio mungu akulinde nimekukubali paya ongera xana mzee kwa kazi nzuri chendema nimeiweka pembeni leo kazi xafi xana
Mwanaume, am proud of you always. RIP Baba, da!
Jamani mungu ambariki Rais wetu mpendwa.Kiukweli tukubali watanzania huyu ni Rais bora kuwahi kutokea.Tumpatie muda k 30 years Tanzania tutakuwa maendeleo sana
Love you JPM🙏 Mungu akupe maisha marefu
My President knows mathematics over head, yani hesabu zinashuka tu, yani tunaye Rais awamu hii
Hahahaahaaha,, wacha bana ni hararii,, hakuna kudanganya...
Hatari utasema ana kikokotoa mkononi
Mungu Fundi kwa kutuletea viongoz kama hawa na azid kutuonyesha njia km hizi na kuchagua viongoz bora kama hawa
Magu Allah akupe maisha marefu raisi wawayonge
👍👍👍👍Viva Unco Magu piga kazi, hao wapiga dili wameumbukaje sasa🤪😜😛😋😋😝😛🤣😂😅🤣😂Lol
Nani aliyemtoa huyu duniani kweli,kama wewe ni mwombezi tafafhali tufunge kwa maombi na kufunga ili MUNGU baba aturudishie kiongozi shupavu kama magufuli.tafadhali nani yuko pamoja nami kwa maombi na mafungo
Chiiii it's ok it's ok Magufuli atabaki kuwa juu Tanzania itabaki kuwa juu Sana kileleni eeheee chiii Viva Magu
Sasa hivi wafanyakazi mjitambue usimuamini mwenzako kwenye madili ukimshirikisha tu umeferi
Ivi wapiga dili ck izi mnafel wap jaman??😂😂😂
Wanafeli wapi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
wezi hawaishi jamani mtoe huyo
Ahahahaaaa...
hahahaahahaaaaa umenichekesha jamani wanakosea wapi hahahahaaaa. hawasomi alama za nyakati. hii awamu sio ya kupiga
Huyu ndio Rais wetu wa ukweli Tanzania, no other in Tz like president Jpm,big up mheshimiwa rais, by yohana bundala From mwanhuzi meatu simiyu,,
dah!!!! magu sijui ulikuwa wapi miaka yote mungu akutie nguvu,
Asante sana Mh: JPM hakika wewe ni mzalendo namba moja ktk nchi yetu
Inafurahisha kuwa na kiongozi km magufuli. God bless Mr preseden
Daah huyu mzee pasua kichwa mungu awe pamoja nawe aaminy💪💪💪💪💪
Vp jamani wale ndugu zetu wa nyumba ya jirani mbona sioni comment 🤣🤣🤣🤣 poleni Sanaa wapiga dili hapo ndo unapata kujua utofauti wa viongozi walopita na JPM sina maana walopita walikua hawafanyi vyema ila MAGU amejua kutunyoosha, Hongera mheshimiwa Raisi Mungu akubariki sana Mungu ibariki Tanzania 🙏🙏🙏
Mungu azidi kukuinua juu zaidi rais wetu.I salute you
Hongera mheshimiwa mm nakupenda hapo ww unafunguka mtu akitenda memaa hongeraa hongeraaaaaa
Wow wow wow....!!!!? From nearly 500million to 5million?!?! Well what can I write!!!!!!!!??? Oh mother Africa, what thee ails it's sons & daughters?? Wow, thank you President Maghufuli, a true son of the soil!!! Asante sana....
rais wetu yupo sawa mungu akubariki
I appreciate your work may god be with you our President
Ambaye hamkubali magufuli wapewe Ruksa ya kwenda kuisi Drc congo
Dr. magufuli...hapa Hongera sana ...Mungu akulinde!!!
POLYCARP LAZARO e
Africa needs real men like him and we will be miles.👍up prezo
JPM UKIWA MKWELI UNALA JIKE KAMA LOTE
UKITAKA KUTOKA KIMAISHA WEWE KUWA MKWELI KWA JPM
Kweli kabisa.pia siku zote tu tunatakiwa kuwa wakwel
Magufuli her I ungekua rais Wa Africa mashariki very inspirational
You are a rare gene MR. PRESIDENT
I like you his excellency Dr Mg
Tunatarajia mazuri yake zaidi ya haya. Mungu akupe maisha marefu raisi wetu
Yaani imechorwa kama zilivyochorwa zile zilizopelekwa South Africa. Safi sana mh.rais
Hahahaha wizi kwa magu wanapata tabu sana wanataman 2020 ifike saiv ili wapate nguvu maake jamaa kichwa yake kwa maesabu ilishalogwa uyo amyumbishi kabisa kila ukipiga chenga linakutangiza kwa mbele unajikuta unahaha katikakti mjombaa punguza makali mzee watu vitambi vimepungua siku izi
Enzi za JK huo ndo ulikuwa ulaji wenyewe. Watu 20 wanasindikiza ndege kupigwa rangi tena nje ya nchi. Ndo maana watumishi wa serkali wamenuna siku hizi.
Aridi Yahya sikweli,,,,tupo ambao tunacheeeeeeeka!!!
Lazma wamuone jamaa mchawi tu😀😀😀
Kuna watu wanamuombea hata afe ili waendeleze ujambazi serikalini😀
@@jumakapilima5674 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ht mm nimeona mwaka wa magufur bwan nchi imebadilika
Mungu akufanye huishi daima , God make me a such leader
ifike wakati tutumie viboko...😁😁
Manina 😀😀 😀😂 😂
Heshima mbela lakini hao waliokua wanataka kupiga dili ni waupizaniiii au wako humo ndani ya
Ewe mwenyez MUNGU enderea kumuongoza vyema raisi wetu ewe mwenyez MUNGU mkuu
Watanzania tunaweza.mungu atubariki
Salute kwa hili mzee mkubwa wa nchi.... Kwa appreciatiaon kwa wazalendo
Hongereni sana. Tukidhamiria tunaweza
Rais John pombe magufuli mungu akulinde sikuzote udumu Kama jua
Nataman huyu Rais aongoze miaka 40
Mwenyeenzi mungu ametuzawadia Raisi
Magufuli acha kuniliza bana ..maana hivi vitu TZ vilikua hadimu..Uishi maisha malefu magu ✊
wale wauza madini sasa ali mbaya zilipendwa izi nizama za makufuli na si zajakaya zilipendwa hahah
ee mungu tutunziie rais wetu huyu jomoni magufuri ulikuwa wapi? baba
@@rukiamziwanda7458 amiin ulikuwa wakati wake bad
Yupo vzuriii Rais wetuuu
Victoria watataga mayai gani waliozoea wizi, nimecheka kweli, viva JPM vivaa baada ya miaka kumi lazima tule maziwa na asali. Wazungu lazima watupe saluti.
Ya mbuni 🤣🤣🤣😂😂 wapiga dili hoiiii
Daima Mwaki ntakukumbuka kwa kua mtu wa kwanza ktk maisha yangu kunichukua ad ndani ya mdege na kunifundisha msingi jinsi ndege inavyofanya kazi..
Wanaolilia Tanzania ni wale wababaishaji tu! JPM is the best
sawa baba komaa nao tunakupenda sana mungu akubariki
No one but Mr president
Heshima kwako Mh. Raisi
Makufuli mungu akubariki Amin
kama nawaona vile wapinzani wanavyo haha na kutafuta visababu vya kumkosoa. mi nawashauri wapinzani wote waamie airtel(ccm)> kama we ni mpinzani na bado haumkubali jamaa omba msaada ukatibiwe india maana huo ugonjwa ulionao sio wa nchi hii.
asante Mungu wetu kwa kuikumbuka Tz. umetupa rais mwenye upendo na uchungu na tz. kwa miaka mingi nchi hii ilikuwa ni ya wachache. Zidi kumpa nguvu, afya njema na hekima yako ili aifikishe tz mahali pazuri.
Kazi iendele , Tembelea TheHunterVEVO
Noma kwel
Jamani huyu Rais miaka 20 inamfaa kwenye URAIS miaka 10 bado haitoshi bado kuna kazi kubwa anayotakiwa kulitumikia taifa hili.
Pamoja sotee
Jamana tunaongalia 2021 tujuane kwa like namkumbuka saaaana
Yaaan huyu mheshimiwa ana moyo wa kipekee kwa kwel, Mungu aendelee kumuongoza
Miaka ya nyuma hiyo ndege ingepakwa rangi kwa milioni miatano, ndio maana shirika lilikufa
Mtu kama lema huko IG ameponda sana hizi juhudi ewe mungu ss wengine hatuna hata vyama na hatujawahi hata kua na interest za siasa maisha yetu tumemkabidhi mungu sababu yeye ndo anajua kila kitu juu yetu.... Muonyeshe njia huyu lema vitu vyengine akubali na asitie usiasa kwenye mambo ya msingi kama haya
Big up Mr President JPM!!
Safi safi sana magu wanaotamani kuongoza nchi hii cchonde chonde waige mfano huu wa maguguli
Rais naomba kazi kwako
Wewe umekuwa life ambassador wangu
Saf magufuli mungu akurinde
Sasa hao waliotaka kuoiga ushawastukia kamata tia ndani
mjomba magu mungu anakuona kweli
Sijui watanzania tunahitaj Rais wa aina gani tena zaid ya huyu? Big up mh Magufuri
Tumuunge mkono Raisi wetu. Hayo majizi yakome.
Magu raha sana, anapenda ndege kiasi kwamba ukifanya lolote zuri kuhusu ndege unaeza lama 10M zake chap kama zawadi
Asie mkubali magufuli in wehuu
Mbona mengine hawayaoneshi hapa ndipo watu wanapo fumbwa macho wanaoneshwa mazuri tu siku zote lakini Kuna maovu mingi Sana dhulma ,wafanya biashara wengi wanafilisika ktk awamu hii ya tano maisha yamezidi kuwa magumu Allah atuongoze
Wapiga dili wamekwama
Amina mimi nmefurahi
Namkubali sanaaaa mjomba magufuli
They have got good employmwnt
Faza we hatari absolutely
Mungu azidi kukubariki Raid wetu. Amina.
Safi mungu akubariki
Wewe raisi kwahisabu tu upo vizurii
Proud of you my president