Sijawai ona haja ya kujaza nyimbo za dunia kwa simu wakati kuna sauti za kutupeleka mbele za Baba yetu kama hizi jameniii...acha Mungu awalinde kwa niaba ya kizazi kijacho mabroo🥰🥰
Kama huu ndio utamu na Raha ya wokovu naona nikifanya uamuzi hivi sasa, kwani Mungu amekuwa mwaminifu maishani mwangu kuliko mwanadamu wa kawaida. Ahadi alizoniagiza mwanadamu zote zimeambulia patupu hadi nikabaki nimehaibika, bali ahadi za mwenyezi Mungu zimeishi kukamilika. Warembo wa dunia waliniacha na stress, wakubwa wangu kazini wameniangusha, waganga walinidanganya watanisaidia, Mama wa kambo alinikana tangu utotoni mwangu, dunia iliniacha na stress chungu. Yes, wimbo huu unanihimiza Kwa kila Hali Yesu ni ngome yenye furaha na ushindi. Nitaishi kumsifu na kuliinua jina lake kila mara. Brothers you have saved me from down to somewhere, be blessed too abundantly.
Actually you are doing what exactly what makes God smile may God keep your feet standing without returning back 🙏be blessed brothers and sisters in Christ 🙏
😅today brother Henry ameamua tu kuimba abebo na aswito kama tumefika hapo kwa hizi sifa zote eaah....lzma God tusikiea ushuke maana ni wewe tu baba I salute you guys be blessed
I am usually blessed by these young Kenyan gospel singers Always watching from Washington DC , USA God willing I may one day invite you for performance
Hakika Bwana ni wewe tu unatushindia, ni wewe mume tu baba wa yatima ni wewe tu mume wa wajane, nashindwa kuelezea ni namna gani nabarikiwa na hizi nyimbo nashindwa kuelezea sauti nzuri hizi kila nizisikiapo moyo wangu unabubujikwa na machozi, Mungu awatunze Sana, Esau Tosh barikiwa Sana
Mungu gharamika kwa kizazi chetu cha sasa maana mungu mimi binafusi sikujua uwepo wako hadi maisha yangu yalijawa na machozi 😂😂😂😂 mungu wangu nina mengi yakushuhudia ila naamini licha ya yote nitKuwa ushuuuda kwa ulimwengu mimi hivi mungu ndiye ajuwae siri ya kuishi kwangu na neema yake iwe kibali nanguvu kwangu
❤❤❤❤❤❤❤ wooooooooow wooow goodness goodness ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤grace grace Grace of the Lord ...#@Amen Hallelujah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤hapo sawa❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 Happy New year lovely souls ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤God Bless you Folks of the Lord God Asante ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Amen
Anyone who's watching this Powerful songs May the Lord bless you and give you peace in Jesus ❤️🙏
Halleluyah heaven blessings to you servants 🙏🙏🙏
@@EsauTosh amen,keep soaring
Amen amen amen
@@EsauTosh Amen Amen Amen be blessed and peace be with you too 🙏
Amen
Sijawai ona haja ya kujaza nyimbo za dunia kwa simu wakati kuna sauti za kutupeleka mbele za Baba yetu kama hizi jameniii...acha Mungu awalinde kwa niaba ya kizazi kijacho mabroo🥰🥰
Amen 🙏
Aminaaaaa 🇹🇿🇹🇿
@@JoshuaSande-t7q Very true,but watu wana penda sana Ulimwengu kuliko Mambo ya MUNGU please read 1John 2:15
Oh hallelujah hallelujah hallelujah 🙌🏼 blessings 🎉🎉🎉❤
@@JoshuaSande-t7q Amen Amen ooyes sure
Wenye tumetoka tiktok,piga kelele za ushindi❤❤❤❤❤
@@divinahobiri4999 😘😘am blessed
@@divinahobiri4999 leleleleeee am happy too by the song
Keele za ushindi 'what a touching song 'wacha mungu azidi kuwainua
I agree with Joshua hakuna haja ya kujaza simu na nyimbo za Dunia na sauti kama hizi zinatuimbia nyimbo za sifa
Amen 🙏
Hawawako biz kama diamond tu
Kabisa!! I am lover of good music. I am glad this beautiful gospel music from these beloved has replaced the secularism in me. Thank you King Jesus!!
Listening to this song from the hospital bed, kweli anayepigana vita ni Mungu....hizi ni kelele za ushindi wangu.
Amen amen 🙏
Amen
Kama huu ndio utamu na Raha ya wokovu naona nikifanya uamuzi hivi sasa, kwani Mungu amekuwa mwaminifu maishani mwangu kuliko mwanadamu wa kawaida. Ahadi alizoniagiza mwanadamu zote zimeambulia patupu hadi nikabaki nimehaibika, bali ahadi za mwenyezi Mungu zimeishi kukamilika. Warembo wa dunia waliniacha na stress, wakubwa wangu kazini wameniangusha, waganga walinidanganya watanisaidia, Mama wa kambo alinikana tangu utotoni mwangu, dunia iliniacha na stress chungu. Yes, wimbo huu unanihimiza Kwa kila Hali Yesu ni ngome yenye furaha na ushindi. Nitaishi kumsifu na kuliinua jina lake kila mara. Brothers you have saved me from down to somewhere, be blessed too abundantly.
Wale wametoka kingdomseeker praisehood...❤
Hii wimbo niya 31dec the whole night..mungu umetupigania mwaka mzima..
❤
Leo nimeamka n hii wimbo sijui kwani najipata nalia nikiiba
God has been faithful Ni kelele za ushindi
May my God keep you my brother......sauti tamu sanaaa huwa mnanibariki sanaaa tena sanaaa
Eeeish u r giving goosebumps
Baba ni wewe tu. Hakuna rafiki mwingine mwema kama Yesu. Ahsante Baba!
Wow aki mbarikiwe sana mumerudisha tena tumaini langu la kuimbia mungu ❤❤❤❤❤❤
I posed and reflected the goodness of God in my life and my family through this song enyewe imekuwa rehema zake tu be blessed richly ❤
Powerful!
Feeeling blessed ,raha iko ndani ya yesu jameni
Am blessed my brothers may God continue guide you
This song aki,imenitoa mahali pakubwa sana.Blessings watumishi
Kazii imeonekana🎉🌹👌,,,,"""baba yngu ni wewee""remains to be my favorite part 🥰🤩🥳,,,Keep going ministers 🎶🙏
Amen amen be blessed 🙏
Me too. It touches deep
@@queenslayhamisi5022 Blessings dear ❤️
Good ❤❤❤❤❤❤and lovely songs may God bless you....one ya IMO NGUVU DAMUNI MWA YESU
Ee..mungu niko hapa asubuhi ya leo nipiganie vita niweze kushinda😭😭🧎♀️🧎♀️🙏🙏
Nakumbuka aliponitoa kweli Mungu Ni musuri Sana ,umbali Huu mi wewe tu
Baba ni wewe Tu haleluyajah 🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏nimekuwa na neno mmoja ni asante Amen 🙏🙏🙏 Baba bariki uduma ya watumishi wako in Jesus name Amen 🙏 🙏🙏🙏
AMEN 🙏
Actually you are doing what exactly what makes God smile may God keep your feet standing without returning back 🙏be blessed brothers and sisters in Christ 🙏
Kuna Sauti zinatupeleka mbele za Mungu balikiwa sana 🙏🙏🙏
Really inspired by you people. You rock the streets, May the Living God keep you in touch with all these. Blessed men of God❤
This song is so moving ,i just noticed that tears are rolling down my chicks😊😊😊😊😊. God bless you my people
This ministration has ministered to me since 31st morning to Kesha , ni rehema zake tuu , thank you for accepting the calling 🙏
❤❤❤❤❤❤❤ wooooow wooooow wooooow hapa Utukufu u❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤takatifu
Amen 🙏
blessed is the one listening to this song 🤲🏻
Kazi mzurii sana.. khupa khuchee be blessed abundantly 🙏🙏🙏
Amen 🙏
😅today brother Henry ameamua tu kuimba abebo na aswito kama tumefika hapo kwa hizi sifa zote eaah....lzma God tusikiea ushuke maana ni wewe tu baba I salute you guys be blessed
Amen 🙏
Halellujah ainuliwe bwana WA majeshi, vita vyetu SI vya damu na nyama🙏🙏🙏🧎🧎🧎🙌🙌
Powerfully ❤😢
Mungu wa majeshi ya Mbinguni asiwapugukie amen.
Amen 🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Asante Baba Kwa kweli ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ I love you Folks ....of the Lord God....God Bless you ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏
Amen glory to God,may the lord uplift you higher and higher🎉🎉. very powerful song,amen amen.
Being blessed may God lift you more and more I can't get enough of you I listen everyday and it feels new to me Mungu awatumie zaidi na zaidi
Amen Amen 🙏
You will go far my good brothers,,,,I really get inspired by your voices
Aki si una nibariki sana good worship keep going
Ee bwana, nimekuja na neno moja,ni asante
Wonderful voices and a blessing song Amen Amen 🙏
I am usually blessed by these young Kenyan gospel singers
Always watching from Washington DC , USA
God willing I may one day invite you for performance
Ameeeen mungu anafanya njia aijalishi maumivu Yako yanayokuteza. Congratulations bro🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wow! I'm so blessed! Thank you both for blessing our souls with your touching worship, Mungu awabariki na azidi kuwainua na kuwatumikia🙌🙌🙏❤️
Receive strength as you listen to this gospel ❤
Amen Amen 🙏🙏
Amen MoG
Amen Amen
You are really a blessing to me May the Almighty God lift you more higher ❤🙏
Amen
Nitainua sauti ya ushindi kwa mungu wangu,nakupenda sana mungu wangu tegemeo langu❤
Umbali tumefika ni neema yako Yesu,more blessing as we approach 2025 🙏🙏,team gulf hi🇸🇦🇶🇦
Hakika Ni Rehema tu kufikia siku y Leo si Kwa nguvu zangu barikiweni Sauti iko saw
Nice voice from our brothers mungu mbele siku sote
Sure sio sisi 🙌🙌👏👏
Ni wewe tuu baba❤
Kazi nzuri Sana brothers,God bless you.
Akuangalia kabila langu Oh MUNGU mwenye nguvu Alfa na omega Asante YESU Christo
Ni asante Yesu kwa yale unatutendendea👏👏👏😭😭
Mungu awabariki kaka zangu🙏🙏🙏
Hakika nimeona ni rehema na huruma zako tu baba yangu😢🙏🙏🙏
May God bless you too.Annointed voices.Am blessed
Through your songs I'm blessed,may the Lord uplift u higher
God has really fought for us,,,,, barikiweni sanaaaa🙏🙏🙏
Kelele za ushindi❤❤❤barikiweni ndugu zangu
Amazing 👏 I'm blessed 🙌 😇 God bless you mr
Wow!!!great ministry
Hakika Bwana ni wewe tu unatushindia, ni wewe mume tu baba wa yatima ni wewe tu mume wa wajane, nashindwa kuelezea ni namna gani nabarikiwa na hizi nyimbo nashindwa kuelezea sauti nzuri hizi kila nizisikiapo moyo wangu unabubujikwa na machozi, Mungu awatunze Sana, Esau Tosh barikiwa Sana
Glory to God for the wonderful ministration in song. God bless you brothers Tosh and Henry.
From tiktok nmeletwa huku 😊..,nmebarikiwa hakika 🙌🙏🙏🙏😇
Listening in from Uganda. You have blessed us with a beautiful and powerful song. I can't have enough of it. May God bless you.
I had to download this song I can't get enough of it 💕💕💕💕💕
Ooh Yesu n wewe tu baba tangu jan hadi sai nov na rehema zako zimenibeba na uzao wangu Baba Mungu 😭
Amen 🙏
Neema yatosha be blessed
Mungu gharamika kwa kizazi chetu cha sasa maana mungu mimi binafusi sikujua uwepo wako hadi maisha yangu yalijawa na machozi 😂😂😂😂 mungu wangu nina mengi yakushuhudia ila naamini licha ya yote nitKuwa ushuuuda kwa ulimwengu mimi hivi mungu ndiye ajuwae siri ya kuishi kwangu na neema yake iwe kibali nanguvu kwangu
Amen amen
Wow!Glory🙌
Wokovu ni sasaaaaa,kweli ni kelele za ushindi,Be bleessed
❤❤❤am blessed 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Abebo wangu....aswito wangu...sweetie wangu ni Yesu tu!🙏🙏🙏
Amen. Amen 🙏
Naupenda huu wimbo. ..Mungu sikia kelele zangu
❤❤❤❤❤❤❤ wooooooooow wooow goodness goodness ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤grace grace Grace of the Lord ...#@Amen Hallelujah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤hapo sawa❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 Happy New year lovely souls ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤God Bless you Folks of the Lord God Asante ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Amen
Hallelujah hallelujah 🙌🏽🙌🏽 kelele za shukran 🙌🙌🙌🙌🏽🙌🏽🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ❤
Amen 🙏
Feeling blessed,thank you🙏
Amen amen glory yo our almighty God,may the lord uplift you guys higher and higher hallelujah,im so blessed 🙏
Team Esau & Henry forever 😊
Am so blessed with your praises.. may God continue to lift the band in his own mighty way..
Ooo God bless you 🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥
Amen amen
.mubarikiwe sana
What a Worship Experience Be blessed guys
🎉🎉🎉Ni wewe tu Mungu kila majira....nasema tu ASANTE!!!
❤❤❤❤ anaye tupigania ni Mungu tuu🙏🙏🙏🙏👋👋🎉🎉
Ni wewe tu Bwana🙏
I feel blessed, kelele za ushindi🎉🎉 and I have a testimony that God is faithful to those who trust Him in faith and truth
Hizi nyimbo zanibariki sanaaaa
Hakika hapa nilipo ni wewe tu baba hakuna mwingine kama wewe❤❤❤❤❤
Amen barikiwa 🙏🙏🙏🙏❤❤
At my lowest moments😢I come here to worship and releaf. Amazing worship. Be blessed.
AMEN AMEN. MAY GOD CONTINUE EMPOWERING YOU GUYZ.
So touching,motivating and blessing song.I really luv this song.Wah🎉
Napenda how you, two work..... Blessed with your songs
Amen 🙏
Thanks God to these great gentlemen,,, you are making Us Luhyas proud,,, hakika Mungu ndie baba,,, go high bros
Amepigana bwana sio mimi❤❤❤ Hallelujah kelele za ushindi,.. Asante yesu🎉🎉
Only you God for everything 🙏
Izi ni kelele za Yule Ambaye ametufikisha 2025🎉🎉🎉
Umefika huku 2025 Mungu n mwema ametuvusha salama💕
nabarikiwa na nyimbo zenu mungu awabariki ❤