JE YESU NI MWANA WA mungu? KUTANA NA MWINJILISTI OLIVER ERUPE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 163

  • @mwanamwinyibmwakinalo4094
    @mwanamwinyibmwakinalo4094 4 роки тому +6

    Mashallah sheikh wetu Allah akujalie kila la kheri inshaallah

  • @alibell5246
    @alibell5246 3 роки тому +1

    Mashaallah nimemuona ndach na shekhe wangu hapo inshaallah ndachi karbu kwenye din ya haki

  • @yusufkaranja849
    @yusufkaranja849 3 роки тому +1

    Sheikh mwenezi mungu akujazi..mashallah..yesu si mwana wa mungu..kwa sababu mungu hana mke..

  • @hubaamuj5129
    @hubaamuj5129 4 роки тому +4

    Subhannallah 😓. Innallillahi wainnaillahi rajiun! Allah atunusuru atuelekeze....

    • @hubaamuj5129
      @hubaamuj5129 4 роки тому +1

      Musibbah! Maskini Pastor nikama anafahamu ukweli Ila anaona haya kuslimu.... Allah atawajaliya wepesi wakufuata njia iliyo nyooka in sha Allah...🕋🙏🕋

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      Amin

  • @foxbwoy4540
    @foxbwoy4540 4 роки тому +3

    Allah awalipe san
    Kwasababu mm nilikua kafiri mkubwa ila nimependa uIsilam ila imani yang ingali chini ila muniombey dua
    Ili niwe muisilam kamili🙏🙏🙏🙏

    • @zainabyussuf738
      @zainabyussuf738 4 роки тому

      Allah...atazidi kukuongoza Insha Allah...

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 роки тому

      Amiin. Mungu akuongoze kwenye uislam na udumu kwenye uislam

    • @leornadjeffa6439
      @leornadjeffa6439 4 роки тому +1

      Fox bwoy...brother come to JESUS he's relly LOVE remember this verse no. Man will inherit the kingdom of GOD without JESUS...listen JESUS is the way to heaven/paradise....kindly l call you...

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 роки тому

      @@leornadjeffa6439 so jesus is not a God

    • @allynassor500
      @allynassor500 3 роки тому

      Aaaamin

  • @shaloboy3861
    @shaloboy3861 4 роки тому +2

    Yani watu na phd wanashindwa kuona ukweli na kila kitu kikowazi kama ujaliwa uislam shukuru sana na ufanyie kazi ipasavyo

  • @husnaodhiambo6848
    @husnaodhiambo6848 4 роки тому +2

    Mashallah Allahu Akhbar. Wallahi pastor ajawai sikia hii jamani akubali tu ukristo aijitetei.

  • @siamabakwe4274
    @siamabakwe4274 4 роки тому +3

    Sheikh yahya love u big thanks for the show jamaaaaani kila lakheri asante I'm in uganda

  • @khadijaiddi4887
    @khadijaiddi4887 4 роки тому +1

    Maa shaa Allah sheikh yahaya Allah akuzidishie umri uendelee kuwasomesha hwa ndugu zetu

  • @suleimanmuhidin1753
    @suleimanmuhidin1753 Рік тому

    Mchungaji njoo katika uislam acha kubabaika issa n mtume wa Allah rejea aya ya 6 suratul swaff achakupotoa wakristo wenzako ukifa ukiwa mkristo motoni milele namuomba mungu atutowe dunian haliyakuwa waislam amini ujumbe umefka malakul mauti asiye akakujia ukasema upewe nafas iliujeumuamin mtume muhammad ( saw)

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 3 роки тому

    Shekh angekuwa anamuacha pastor ajieleze nayeye vizuri

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 роки тому

      Kwani alinyimwa si amepewa mda wa kuongea.lkn hajielewi yesu ni mungu Na ni mwana wa mungu.2 in1. Kisha kuna na yehova.na alpokuwa tumboni kwa maryam alkua kama Nani? Mara yesu 100% binadamu na 100% mungu.hamueleweki

  • @abdilatifhashi9659
    @abdilatifhashi9659 4 роки тому +1

    Hahaha sheikh yahya masha Allah ,lakini huyu pastor maskini hoja ndo ya kufafanua ni Nani yesu imempa shida Sana . Muelimisha tu sheikh insha Allah.

  • @ahmednoor9546
    @ahmednoor9546 4 роки тому +3

    Pastor hauyukombali kujua ukweli mola kujua Ukwili inshaallah

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  4 роки тому

      Allahuma Amin

    • @haamidmct4520
      @haamidmct4520 4 роки тому

      sh yahya a.alykum nkupend kwa ajili ya Allah ila naomb uniulizie swali kwa wakristo kabla yesu hajzliwa ilikua wlopita kabla ya yesu hajaj dunian yani mimb yke haijatungwa wala kuzaliw ilikua wanaabudu mungu gani kam ao ibrahim ishaka na ykubu wliokuja kabla ya yesu ilikua mung wao nani

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 3 роки тому +1

    Ni uzungu mwingi bt haeleweki abandika viraka tuuu 😂😂😂😂😂

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 3 роки тому

    Habari Imeeleweka👌

  • @abdur-rahmanmuhammad3426
    @abdur-rahmanmuhammad3426 4 роки тому +2

    May Allah guide him (pastor) to Islam

  • @rachelevarist70
    @rachelevarist70 4 роки тому +1

    dk nichache sana ongezeni muda kipindi nikizuri tatizo ni muda

  • @shaloboy3861
    @shaloboy3861 4 роки тому +1

    Pastor ajielewi yani mungu huyo huyo ni mungu mara ni mwana mara mungu ni jeheva hapa akuna dini bali shirika la kutengeneza pesa

    • @johnzacharia2308
      @johnzacharia2308 4 роки тому

      We Kijana usimtukane muumba wako,ipo siku utagundua ukweli na utamshukuru mungu kwakukuokoa nakukutoa kwenye Giza, embu anza kumuomba mola wako alafu utaona utapata Majibu mazuri sana

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 роки тому

      Binadamu 100% na mungu 100%😂😂😂

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 3 роки тому

    Mashaallah ustadh yahya waeleweka vyema Allah akuhifadhi shekh wetu uutete dini ya Allah inshaallah pia du'a zetu zikufikie dadazako

  • @yahyajumaan3393
    @yahyajumaan3393 4 роки тому +2

    Mashaallah shekh yahya

  • @IdrisaKing-gb4rv
    @IdrisaKing-gb4rv Рік тому

    Mashallah

  • @Mwenyekiti1118
    @Mwenyekiti1118 3 роки тому

    Sheikh yahya natamani unifundishe Uwe Maalim wangu inshallah

  • @ukweliwauislamu9590
    @ukweliwauislamu9590 2 роки тому

    Masha Allah

    • @ukweliwauislamu9590
      @ukweliwauislamu9590 2 роки тому

      Utapeli wa pastor Ezakiel
      ua-cam.com/video/zziTVnzCvFU/v-deo.html

  • @haamidmct4520
    @haamidmct4520 4 роки тому +1

    ndugu zangu wakristo naomb kuuliza je uyu yesu ingkufia tumbon mwa mama yke kabla hajaj dunian au mung angeemua uyo bi maryam kabla ykumzaa yesu nyiny leo nani angkua mung wenu na jeer mzee imran ambyae kafariki kabla hajzaliwa mjuukuu wke ambaye munamuita mungu alikua anaabudia nin na mungu ambae n mjukuu wke ilikua hajzliwa je wao hawkuwa na mung kabla uyu yesu hajzaliwaa

    • @ritanget9174
      @ritanget9174 4 роки тому

      Mwili ndio ungekufa maana mungu ni roho roho yake ingekua bado iko hai mwili ndio huwa unakufa kwani hujui wajua mnafundishwa na mtume ambae alikua hajui kusoma wala kuandika sasa nyinyi hamuwezi kuelewa

    • @leornadjeffa6439
      @leornadjeffa6439 4 роки тому

      Nkama niseme pia mohammad angekufia tumbon ww engekuwa na lip...uliza swali lenye mantiki..

  • @binseif2216
    @binseif2216 8 місяців тому

    Sio kuwa mrefu hivo ni makisio alipozikwa kwahiyo wakaona bora kufanya huo urefu huenda akawa katkat au pembeni

  • @elephantisiolo4866
    @elephantisiolo4866 4 роки тому

    HAWANA HOJA KWELI JAZAKALLAHU KHEIR SHEIHK

  • @bennjanja2382
    @bennjanja2382 4 роки тому

    huyu pastor hajui biblia kabisa ,sheikh is on Point i salute you sir....... pastor isnt well versed na biblia ............. next time muiteni padre ndio wamesomea ndini miaka zaidi ya kumi kabla ya kutawazwa

  • @hamadamabali2895
    @hamadamabali2895 3 роки тому

    Trinity it's very difficult to explain see how this Christian how he Contradicting himself kweli ukweli Ukijitokeza uongo upotea

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 роки тому

    Mnaz una mume . Mbona unazaa . Muwembe unazaa embe .mume wake yupo wapi. Jiulize. Sasa mungu akisima kuwa inakuwa kwa rehema zake .

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 роки тому

    Mchungaji anajaribu kueleza pointi vizuri shida kiswahili kinamsumbua kidogo.

  • @malicboy7973
    @malicboy7973 3 роки тому

    pastor kindly explain. wakati mtoto alikua kwa tumbo, alikua ni mungu ama mwanaadamu?
    Allah awazidishie hekima ma sheikh wetu.

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 роки тому

    Asa si akubari ukweli tuu

  • @pm6145
    @pm6145 4 роки тому

    You have a very healthy discussion I like.

  • @cetriclugonyi4452
    @cetriclugonyi4452 3 роки тому

    Sheikh na waislamu wote naomba tujadili kuh usahihi wa quran na mtume wenu tayari

    • @cetriclugonyi4452
      @cetriclugonyi4452 3 роки тому

      Kama utasema ama utaelewa kwa aya mmoja naomba aya hii yasema ama yamaanisha nini
      Quran 2:102
      Inasema malaika wawili waliteremsha uchawi:
      I.hawakudhuru mtu mpaka mungu aseme
      2.walifundisha uchawi
      Swali langu ni je;
      Kama Allah alishukisha uchawi na ucha tunaambiwa n amari ya ukafiri na ni Kazi ya shetani nataka sheikh apinge hii kisha niulize swali la pili na kama hamtajitokeza kupinga hii ama kueleza hii basi Allah ni shetani

  • @i.dclassic116
    @i.dclassic116 4 роки тому

    Shee unamjua mpaka meck ezedeck yeye anasema king salimu inamana hajui hata mandiko ALLAH awafamishe

  • @yassinmohamed8241
    @yassinmohamed8241 4 роки тому

    Allah Akbar

  • @bundatelcom2734
    @bundatelcom2734 3 роки тому

    Shekh kuna Qroan ya kiswahili? Nahtaji

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 роки тому

    Shida ya Waislamu wanalazimisha Quran iwe Biblia na Biblia iwe Quran

  • @Wambuiwakori
    @Wambuiwakori 3 роки тому

    Never argue with fools. The gospel of the the cross is foolishness to those who are perishing. Things of Holy Spirit are known by who are in Spirit of God but not of flesh.. Jesus will remain the way the truth and the life. If u hate tje son, u hate the father also. U can't separate the 2.

  • @shabanndaki6765
    @shabanndaki6765 4 роки тому

    Mfahamishe atafaham2 sheikh

  • @fatumamroki2716
    @fatumamroki2716 3 роки тому

    Masikin mtu anajarbu kulinga ukweli kwenye watu wenye masikio

  • @mohammedmbarouk5729
    @mohammedmbarouk5729 4 роки тому

    A.alaykm,hvi huyu pasta mbn anazunguka zunguka kama msuwaki mdomoni jaman?kaulizwa hvi!!jee huyo yesu alipokua tumboni mwa mama yke yaan bibi maryam alikua kama mungu ama kama mtu??yey hakujibu swali isipokua anatoa mazungumzo mengine kinyume na kile alichoulizwa,hvi jamani hawa wakristo na wengin kwann hamtaki kuja kwa Allah mkapata yalo mema kutoka kwake?yng ni hay,shekh yahya na wenzak hapo studio wallah nawapendeni kwa ajili Allah

  • @mohamedimohamedi8933
    @mohamedimohamedi8933 4 роки тому

    we have our Quran in hearts, why islam is difference

    • @abdur-rahmanmuhammad3426
      @abdur-rahmanmuhammad3426 4 роки тому

      There is no difference in Islam

    • @kijanahodari2080
      @kijanahodari2080 4 роки тому +1

      All Muslims in the world follow the 1 Qur'an you should read it not hearing from Pastors,a name can't make someone a Muslim bt practicing what the Qur'an says

    • @gaellemayan4719
      @gaellemayan4719 4 роки тому

      @@kijanahodari2080 does the quran say that you should discreminate others because they dont belive in the quran

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 4 роки тому

    Dah maswali hayo hayanaga majibu

  • @hamadinyawe1816
    @hamadinyawe1816 4 роки тому

    Pasta akitumia akili ya kuzaliwa ataelewa lakini akitumia phd hataelewa

  • @shafiimpilika41
    @shafiimpilika41 4 роки тому

    Makafi wote motoni

  • @rachelevarist70
    @rachelevarist70 4 роки тому

    ukristo ni dini ya upotevu yani uyo mchungaji anajikanyaga

  • @johnzacharia2308
    @johnzacharia2308 4 роки тому +2

    Pasta hapo unapoteza mda,mwenzako kapania kubisha sio kuelewa nawe unajitahidi kumwelewesha sasa utawezaje kumwelewesha mtu ambaye akili yake Ipo kwenye kubisha hata ukweli, fumbo la utatu mtakatifu huwezi kuelewa maana vitu hivyo nivyarohoni Sana, mtu aliyopo kwenye Giza fumbo hilo nigiza kwake,we waombee YESU huwaanawakoa watu wake hata akijificha msikitini wengine walitokewa hukohuko wakaokoka naleo wanasema YESU nibwana, we waombee waambie YESU ndiye muumba wao naanawapenda wote, hata mkibisha kwahoja za kibinadamu na mazingira nakujiona washindi haimbadishi huyu YESU kuwa siyo MUNGU, SOON mtamjua Kama siyo duniani mtajuta kumkuta kwenye Kiti chake mbinguni akiwahukumu watenda dhambi nawote waliomdhihaki mwenye masikio naasikie neno hili

    • @mariamali1887
      @mariamali1887 4 роки тому

      Hapo wakiristo ndiko mlipopotea kumuita mtume issa ni mungu. Pole yenu Allah awaongoze

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 4 роки тому

      #JohnZacharia ....Ushafeli tayari....Hayo unayoongea ni Brain wash’ hakuna katika maandiko...!....Ni vyema maelezo yako yakaendana na Maandiko..!...kinyume na hivyo itakua ni blah blah kama za huyo mchungaji na walimu wenu kanisani...!

    • @khalifankurunzinza3870
      @khalifankurunzinza3870 3 роки тому

      Yesu alipokua tumboni.alikua tumboni kama mungu au binaadamu

  • @hamadinyawe1816
    @hamadinyawe1816 4 роки тому +1

    Ilo andiko halijataja jina katika 3:16 na pasta anaongeza andiko Bible yasema usiongeze wala usipuguze

    • @adijahmunyasia1449
      @adijahmunyasia1449 4 роки тому

      Bible yenyewe iko corrupted ndio maana pastor haogopi kuondoa wala kuongeza kile anachotaka kwa sababu biblia yenyewe ilishaharibiwa na wa mishonari zama zile...kwa ufupi biblia sio kitabu cha Mungu maanake hakuna nabii au mtume wa MUNGU alopewa kitabu cha biblia...kama wakristo wanamfuata yesu kama wanavyojidai basi yafaa watumie INJILI ndicho kitabu alichopewa nabii Yesu.

  • @asdfnfmd5466
    @asdfnfmd5466 4 роки тому

    Which aya says in quran that muslims will go to aljan

  • @martinmkoba361
    @martinmkoba361 4 роки тому

    Mualikeni ndacha kama hajafunga kituo hicho🤣🤣

    • @alibell5246
      @alibell5246 3 роки тому

      Kwan yy ndacha ni nani na vitabu ndo vinasema

  • @user-wv2uy6iz5h
    @user-wv2uy6iz5h 4 роки тому

    Huyo hata hajui yualeza nn

  • @jamilaomariomari8328
    @jamilaomariomari8328 4 роки тому

    😂😂😂😂

  • @jnrhassan4629
    @jnrhassan4629 4 роки тому

    Sheikh yahya huyu pastor ni mturu sio? .jina erupe .

  • @ushershaniyah7449
    @ushershaniyah7449 3 роки тому +1

    My question..why is muslims love arguing,whats your problem with Jesus Name. worship Allah let Christian worship what the bible tells them.go and argue with hindus too phoo

  • @asdfnfmd5466
    @asdfnfmd5466 4 роки тому

    ASALAM Aleikum ww sheokh

  • @muslihmohd9420
    @muslihmohd9420 4 роки тому

    Mwendelezo wa hii napata wapi

  • @ushershaniyah7449
    @ushershaniyah7449 3 роки тому

    Tafuteni pastor ambae amesomea biblia wachane kupenda kushinda.In Islam Allah has 100 names same as in Christian

  • @ritanget9174
    @ritanget9174 4 роки тому +2

    Tuwambie baba wa kumzaa Yesu anaitwa nani?kama mnakataa Yesu sio mwana wa mungu?Na adamu hakuzaliwa aliumba hakuzaliwa ujue.

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 4 роки тому

      W nae Ndio Uko mbali na mjadala.....Yesu hana baba....Adam hana baba wala hana Mama ‘ Sasa nani zaidi..?
      Miti nayo inazaa ‘ Unajua baba anaeizalisha..?.....Fungua akili yako usome uelewe..!

    • @ritanget9174
      @ritanget9174 4 роки тому

      @@ismailyusuph740 sasa ata hujui unacho sema sasa wa fananisha Yesu mpaka na miti umepotea Adamu aliumbwa ujue kabisa hakuna mjadala wa Adamu nyinyi mnasema Yesu sip mwana wa mungu ndio nauliza Baba yake Yesu anaitwa nani?sasa wewe unaanza kuuliza miti sasa unaonekana huna hoja.

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 4 роки тому

      #RitaNget .....kabla hujauliza au kushangaa baba wa Yesu’ jiulize kwanza Baba na Mama wa Adam na hawa ni nani..?....ukipata jibu Ndio mgeukie Yesu uone ana Ajabu gani kukosa baba..!
      Hiyo ya miti Sio hoja ni mifano ya kukutoa kwenye kiza na kukuonyesha kwamba MUNGU Anaweza kufanya anachotaka ‘ Mimea pia inazaa bila kuingiliana Lkn hushangai ‘ unamshangaa Yesu kakaa tunboni miezi tisa kama ww’ huo ni mkakati wa kupotezwa ‘ Yesu alikua na Babu’ bibi’ Mama ‘ baba wa kambo ‘wajomba ‘ shangazi’ ndugu’ Majirani’ hana ajabu yoyote kubwa’ Ndio maana nakwambia angalia ajabu za Adam na hawa kwanza waliotangulia kabla yake ‘ nao tuwaite MUNGU..?...Nyie wakristo Vp..?

    • @ritanget9174
      @ritanget9174 4 роки тому

      @@ismailyusuph740 wewe Adamu aliumbwa hakuzaliwa kama Mimi na wewe uko dunia ipi wewe?hujielewi njoo kwa Yesu atakufungua akili

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 4 роки тому +1

      #RitaNget ....Yaani ww mwanamke Lkn hujielewi’ KUZALIWA ni kitendo cha kutoka kwenye Mfuko wa UZAZI na mlango wa UKE .....!
      kabla ya kuzaliwa TUNAUMBWA...!...Yesu kabla hajazaliwa ALIUMBWA akiwa tumboni Mwa Mama yake’ unafikiri Yesu kazaliwa bila kuumbwa...?...Wewe wa wapi...!...

  • @johnzacharia2308
    @johnzacharia2308 4 роки тому

    Maandiko yanasema MUNGU ameumba wema kwaajili yasiku njema, nawabaya kwaajili yasiku Ya ubaya(moto), kwahiyo siyo wote watakao mkubali YESU tangu kuzaliwa kwake hadi kufa Watu wengine walimpinga japo amekufa msalabani kwaupendo mkubwa kwao lakini hawaoni hawajui pumzi wanayovuta inayowafanya wapate nguvu yakumpinga kwenye midahalo yatoka kwake,kweli hichi nikipindi cha neema wema Wa MUNGU anawavuta wote wamrudie, ila hao wanaobisha Sana YESU anawapenda huwa wanakujaga kubadilishwa na moto mkali mpaka wananyooka nawanatangaza, habari za Yesu vizuri Sana Mimi nawaombe wote sikumoja simba wakabila La yuda, MUNGU wenu ajifunue kwenu namwokoke katika jina La YESU Kristo aliye hai namkamtangaze yeye kwawenzenu mpate wokovu na sikumpinga kila siku namuda umeisha neema ya MUNGU iwatembelee popote mlipo

  • @myself4128
    @myself4128 4 роки тому

    KAMA MUNGU ANAUMBA ANAVOTAKA KWANINI YESU PEKEYAKE ALIUMBWA PEKEYAKE TOFAUTI???kwanini watu wote mitume na manabij aaliyenda dhambi isipokua Yesu tu? Wote waliguswa na shetani ila Yesu kwanini Hakuguswa??

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 4 роки тому +1

      Acha kukwepa maada....Yesu hakuumbwa Tofauti peke yake.....hujamuona ADAM....HAWA...na WW Na MIMI wote Tumeumbwa tofauti....Adam hana baba wala Mama....Hawa katokana na ubavu wa Adam ‘ hawa hawajakaa tumboni ‘ Yesu na ww Na mimi wote tumekaa tumboni Mwa Mama zetu...!...we vipi..?
      Yaani hata Yesu mwenyewe anashangaa sisi kuzaliwa na baba na Mama...!...Hebu Soma uelewe...!

    • @leornadjeffa6439
      @leornadjeffa6439 4 роки тому +1

      YESU alikuwako hata kabla ya Adam...hpo ndo waisilamu hawajui...mm kama mkristo..ambaye YESU alikufa kwa ajili ya dhambi zangu.nitabaki naye ww muisilamu...baki na chenye waamini.

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 4 роки тому

      #LeornadJeffa ....kasome maandiko ndugu’ wote tulikuwepo kabla ya ulimwengu ‘ Mimi ww na yule....we Vp..?

    • @leornadjeffa6439
      @leornadjeffa6439 4 роки тому +1

      @@ismailyusuph740 npe ww andiko kuwa ww ulikuweko kabla ulimwengu....ninyi mtalia Amini KRISTO....usijifanye wajua...hamjui kusoma BIBLIA..mwadhani BIBLIA ni Quran waisoma kinyume wewe

    • @leornadjeffa6439
      @leornadjeffa6439 4 роки тому

      @@ismailyusuph740 ninyi mafarisayo..watu mliomkataa YESU...ndo mm nasema BIBLIA na Quran ni vitu mbili tofauti..YESU wa BIBLIA na Quran si mmoja na kama ni mmoja lazima waisilamu mkiri kuwa..
      1.Yesu mwana wa MUNGU.
      2.Yesu alikufa na kufufuka kwa ajili y dhambi za wanadamu.
      sasa kama hamtaamini hv issa wenu si YESU wetu wa biblia.

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 4 роки тому

    The pastor has been brainwashed by missionaries and walevi who wrote trinity verse now can't explain who God is, Christians are lost

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  4 роки тому +2

      My Allah guide him

    • @adijahmunyasia1449
      @adijahmunyasia1449 4 роки тому +1

      Extremely true my brother! Their PhD is for nothing because they don't even recognize their stand. Subhannallah!

    • @gaellemayan4719
      @gaellemayan4719 4 роки тому

      @@adijahmunyasia1449 shame on you my brother

    • @jameskabungo2733
      @jameskabungo2733 4 роки тому

      @@gaellemayan4719 matusi ya nini ukijua ukweli unafaa uufate

  • @adijahmunyasia1449
    @adijahmunyasia1449 4 роки тому

    Weeee pastor wacha kuongea uwongo. Mungu hawezi kugeuka akawa mtu na tena akawa mungu! PhD yako hiyo kubwa yote ni ya nn,hujui dini yako wala biblia huijui kabisa. Kubali sheikh Yahya akufunze usiende kupoteza wakristo ambao tayari washapotea,utachomwa weye hamna mungu yesu asilani!!! Ukristo mtihani mkubwa! Wasomi lakini hawajielewi kabisa!

    • @gaellemayan4719
      @gaellemayan4719 4 роки тому

      PHD na kumjua mungu inaendana aje masomo na dini ni vitu tofauti bro tuliza roho .

    • @adijahmunyasia1449
      @adijahmunyasia1449 4 роки тому

      @@gaellemayan4719 ukiwa huna elimu huwezi kujua ukweli wa kitu chochote kwenye jamii yako wala duniani. Elimu huondoa ujinga. Mababu zetu hawakuwa na elimu ya namna yoyote ndio maana waliabudu miungu zisizowasaidia wala zisizoweza kujisaidia. So usiseme elimu na dini ni vitu viwili tofauti,elimu ni dini coz utatambua mengi usoyafahamu coz elimu ni bahari kama tu vile dini. Wakristo hamna elimu kwa sababu mshakua na ule ujinga wa babu zenu wa kusema kuwa Yesu ni Mungu. Hamsomi kiupana mkatambua kuwa ni kwa nn walisema vile na pia hamtafuti kumfahamu yesu ni nani mbali na kupotoshwa. Elimu ni bahari hata ukawa na PhD milioni hutaweza kuelewa dini iwapo bado unaamini kwa upotofu na tamaa wa watu binafsi kama vile wazungu ili muuwaabudu ibilisi Lucifer miungu yao....wakristo mmepotea kubalini na mtubu mumrudie Mungu Mmoja na Mungu pekee Muumba. Toba ni bure!

    • @gaellemayan4719
      @gaellemayan4719 4 роки тому

      @@adijahmunyasia1449 Awe Yesu ama hata awe Mungu there is no difference coz yesu ni mwana wa mungu na pia sisi wote ni binadamu hatakama tunaabudu miungu tofauti lakini mwishowe sisi sote tutakufa na tutajua nani ni wa ukweli .

    • @adijahmunyasia1449
      @adijahmunyasia1449 4 роки тому

      @@gaellemayan4719 oooh ole wako kafiri ww! Yesu sio Mungu na wala sio mwana wa Mungu na wala hana mpango wa kuwa vitu viwili hivyo,weka hayo katika kichwa chako kitupu hicho! Hayo uliyoyatamka ni mambo ya wajinga maanake hata shetani huyo ibilisi unayemuabudu ww anajua yesu sio Mungu. Shetani anajua kuna Mungu Muumba na kuna Yesu mtume aliyetumwa na Mungu Muumba! Vipi shetani akushinde akili?! Naam,sote tutakufa na sio eti sote tutaenda peponi,la hasha ww na wakristo wenzako mtaenda direct jahannam na waislamu wote wataingia peponi,I hope umeona difference hapo! Kafiri na mwislamu ni vitu viwili vikubwa tofauti kabisa! Hata huyo yesu unayemtukuza saizi kuwa Mungu wako atakukana siku hiyo kuwa hakujui! Nazidi kusema tubuni wakristo mmepotea hatua kubwa sana! Vipi utasema kuwa kuabudu miungu ni sawa ?! We wamjua Mungu na miungu? Pastor wako alikufunza kuwa Mungu ni miungu??? Hamna akili wakristo hata hayawani na ibilisi wanawashinda. Nyinyi ni zaidi ya ibilisi!!!

    • @gaellemayan4719
      @gaellemayan4719 4 роки тому +1

      @@adijahmunyasia1449 sawa basi bro kuona ndio kuamini wacha tungoje hiyo wakati ikifika