YESU HAJABEBA THAMBI YA MTU YOYOTE UOKOVU NI SIKU YA MWISHO BY UST NGUGI SALIM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 158

  • @abdulhafidhali664
    @abdulhafidhali664 4 роки тому +8

    Mashallah. Mungu tujaalie khusnulkhatima kwa waislamu wote... AMIYN

  • @faroukamir5484
    @faroukamir5484 4 роки тому +6

    Allah awalipe pepo yake hiyo kazi ni ngumu ..

  • @siamabakwe4274
    @siamabakwe4274 4 роки тому +3

    Jamanieee yesu akiwa mungu je Adam sababu nihi kaletwa dunian bila baba walla mama basi ndungu zetu sijuwi vp wanaelewa hivi vitu

  • @imranmohamed8627
    @imranmohamed8627 4 роки тому +2

    MashaAllah sheikh salim Allah akulipe kwa elimu unaotoa.. Wataelewa tu hata kibubu.

  • @ritasheriff7814
    @ritasheriff7814 3 роки тому

    Pastor amechanganyikiwa sana maana hajui ajibu vipi maswali haya ya hikima! Waislam Takbeer!!

  • @sulehassanshall6140
    @sulehassanshall6140 4 роки тому +3

    Mashekhe Musichoke Allah.Awazidishie Subra nahekma muendelee kuwaongoza wenzt wakrsto walio potea. .

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 4 роки тому

      Hao mashehe wamebeba maroho ya kishetani kwa ajili ya kuudanganya ulimwengu,kwani wanaujua ukweli ,YESU ndio njia ya kweli na uzima.MTU hawezi muona Mungu Baba wa mbinguni usipopitia njia ya YESU kristo, Bwana YESU akupe rehema ya kumjua .

    • @sulehassanshall6140
      @sulehassanshall6140 4 роки тому

      @@marianachriss2444 iko wapi andiko kwabblia mashehe wamebeba mashetan??? ila kwabblia ilitaja mashehe.Bibilia inasma kanisani kuna kiti cha enzi cha shetan..uislam unapiga vita mashetan .waislam niamaadui wa shetani lakini niyni wakirsto Rafiki yenu nishetani....ndio mashetan wamekaa katika nafci za wasio kua waislam.Ha
      amutaki kumsujudia mungu shetan Ndie Amewaambia musimsujudie mungu...kwasabb yeye shetan alikataa kumsujudia mungu ndio Anawatuma nanyinyi musimsujudie mungu..Shetan Atabaki kuwapoteza tu kanisni na uciku Anakuja kuwabaka wanaume nawanawake Musiokua waislam ..shetan Anakuja kuwabaka Akitenda kitendo cha ngono kwamiili yenu wakirsto .kwasabb muko wachafu hamuna kinga kwamiili yenu..wakirsto njooni kwauislam ili shetan Asiendelee kuwabaka..hio ndio kaz yashetan mukiwa kwakanisa shauri yenu .Ata Pauo mwenywe Alikua Akibakwa nashetan ucku...

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 4 роки тому

      Tafuta ushuhuda kwenye you tube yako search na andika ,ushuhuda wa shekhe aliyeokoka ,usikilize uone kilichomuokoa na sio mmoja wapo wengi we sikiliza hizo ushuhuda.

    • @safimabelle8230
      @safimabelle8230 4 роки тому

      Wakristo wote wana abudu masanamu kanisani na mizimu

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 4 роки тому

      @@safimabelle8230 basi ujue pia waislau,mnamuabudu,Shetani ambaye kwa siri iliyojifisha anaitwa Allah,poleni sana huyu Allah ni shetani wa vita na mwezi sio Muumba wa mbingu na nchi kama mnavyodhani,ni shetani lililojificha nyuma ya Pazia

  • @hillaryarande745
    @hillaryarande745 2 роки тому

    Wahubiri wa kikristo,ukosefu wa elimu, someni Quran, waislamu wakijua uko na elimu ya Quran,umesoma vitabu , maisha Muhammad,hadidhi nakuambia wsislamu wakikuona watakutoroka

  • @mussasaidesaidemussa7750
    @mussasaidesaidemussa7750 4 роки тому +1

    Muahurumie watu aoo awajui na awajijui kamba awajui .assante

  • @hassansharif6844
    @hassansharif6844 4 роки тому +1

    Ma sha Allah keep up the good work of Allah

  • @macrinajoseph1422
    @macrinajoseph1422 3 роки тому

    Yesu ni mwana wa mungu na dam yake inaondoa dhambi ulimwengu wote kwa kila anaeamini imeandikwa hivyo haitakuja kubadilika. Mpaka hukun utakapo simama juu ya ulimwengu wote.

  • @hillaryarande745
    @hillaryarande745 2 роки тому

    Uyu mchungaji amekosa elimu, between Quran,na bible ngani ilitangulia, uislamu umeanza juzi uare the one to teach this man

  • @mwajumamwajuma3756
    @mwajumamwajuma3756 4 роки тому

    Mashaallah yahaya mangu awape kheri waelekezeni wataelewa insha'Allaha 🙏🤝

  • @shabanirukundo4272
    @shabanirukundo4272 4 роки тому +1

    Asalam alaykum mashaallah masheikh wetu nimeipenda San mada hio mnavio mubana huyo pastor inshaallah Allah awape afyanjema

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  4 роки тому

      Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 4 роки тому

      Tafuta ushuhuda kwenye you tube yako andika ushuhuda wa shekhe aliyeokoka search usikilize ujue kilichomuokoa nini, na sio mmoja wapo wengi usidanganyike na maneno ya huyu shekhe yakakuridhisha

  • @saeedabunajash6235
    @saeedabunajash6235 4 роки тому +1

    Shukran sheikh Yahya kwa vipindi vizuri

  • @hamadamabali2895
    @hamadamabali2895 3 роки тому

    Wallah ukweli ukidhihirika Uongo ujitenga Mbali Mchungaji Sura yake inaonyesha kama ukweli unauona!

  • @siamabakwe4274
    @siamabakwe4274 4 роки тому +1

    Kabisa hapo ndipo kwasana Allah abariki live in uganda aksante

  • @shukurukoll7269
    @shukurukoll7269 4 роки тому +1

    " Absolutely" YESU hajabeba na hatobeba dhambi za yeyote. Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe tu. Allah SW Akubariki.

  • @h.alshidhani8971
    @h.alshidhani8971 4 роки тому +2

    Dhambi sio Thambi

  • @halimaomar3280
    @halimaomar3280 4 роки тому

    Allah barik Islam is the best am proud to be a Muslim alhamdulillah

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 4 роки тому

      Tafuta ushuhuda kwenye you tube yako search na andika ushuhuda wa shekhe aliyeokoka usikilize ujue kilichomuokoa nini na sio mmoja wapo wengi .

  • @nahoranenimanadaudi4374
    @nahoranenimanadaudi4374 4 роки тому +1

    Sheikhh Unepitiwa Quran unasomwa kwakuanza kumurani shet'ani Arakini Allah aksameh Sheikh

  • @makenakendi282
    @makenakendi282 4 роки тому +1

    Mashaallah

  • @siwajibufarida3428
    @siwajibufarida3428 4 роки тому

    Ma shaa Allah

  • @bilalomar1185
    @bilalomar1185 4 роки тому

    MashaAllah Ma'Sheikh wetu leo nafaidika sanaa Alhambulillah. Allah awalipe kila lakheri Ameen.

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 4 роки тому

      Tafuta ushuhuda wa shekhe aliyeokoka search kwenye you tube yako andika ushuhuda wa shekhe aliyeokoka usikilize, uone kilichomuokoa mini,na si mmoja wapo wengi,usindanganyike na maneno ya huyu

    • @bilalomar1185
      @bilalomar1185 4 роки тому

      @@marianachriss2444 Amani ya Bwana iwe nawe. dadangu nimeitizama shehena anaye dayi alikuwa mwislamu samahani sana kukwambiya ni mrongo na wapo wengi sana wana jitokeza kama huyo, sikatai wapo walio ritadi katika Uslamu lakin nikidogo sana, Alhamdulillah wanao silimu niwengi sana tena ni watu na ilimu zao na ni Mapasta na Dr . namnukuu alivyo sema Yesu alimshukiya na kitabu cha bibiliya' kumbuka Yesu alipo paa mbinguni hakuwacha bibiliya na haijuwi bibiliya. aliwacha vitabu 3 zaburi na Taurati na Injil. na hivi vitabu vitatu tuna viamini sote Waislamu na Wakristo na Mayahudi. samahani kama kunakosa hii nikatika kufamishana na kutafuta ilimu ya kweli ya mwenyezi Mungu.
      Shukran

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 4 роки тому

      @@bilalomar1185 Muamni Yesu atakuokoa na kuzimu,kazi ya shetani ni kuficha ukweli ,ili usijue kweli Mpaka unakufa,ukitaka kujua Jina LA Yesu linanguvu LA kweli,siku ,ukeemee pepo kwa Jina Yesu.lazima litii amri na kuondoka,halafu toa shetani kwa Jina LA mtume Mohammad uone kama litatii hilo Jina.au omba kila siku wewe mwenyewe kwa nafsi yako umwambie Mungu naomba nijue ukweli Juu ya Yesu kristo .ni kweli ni muokozi wetu?omba kila siku ,na ikiwezekana funga kwa ajili ya hili.na Mungu atakujibu maombi yako.ili uujue ukweli kwa vitendo wewe mwenyewe binafsi sio kwa kusikiliza pande zote mbili.

    • @bilalomar1185
      @bilalomar1185 4 роки тому

      @@marianachriss2444 Dadangu mpendwa muna nishangaza sana Wakristo nyote kwa u'jumla. munafanya Waislamu kuwa tunapinga Yesu il'hali tunampenda sanaaa kuliko dini zote ulimwenguni na tuna mweshimu sana pakatuna ita jina lake watoto wetu na jina ya mamake piya tunatumiya, ukisoma Qur'an utaona jina
      lake limetwajwa sana kuliko Muhammad Rasuli wa Allaah.
      lakin hatu mwabudu yesu wala muhammad na tukifanya kitu tunafanya kwa jina la Allah Mungu asiyekuwa na mshirika toyote Mungu aliye pekee Mungu anaye umba apendacho yeye.

    • @bilalomar1185
      @bilalomar1185 4 роки тому

      @@marianachriss2444 Hakika Tumekufunulia Wahy (ee Muhammadصلى الله عليه وآله وسلم) kama Tulivyomfunulia Wahy Nuwh na Nabiy baada yake. Na Tumemfunulia Wahy Ibraahiym na Ismaa’iyl na Is-haaq na Ya’quwb na dhuriya, na ‘Iysaa na Ayyuwb na Yuwnus na Haaruwn, Na Sulaymaan. Na Tumempa Daawuwd Zabuwr [An-Nisaa 4: 163]

  • @rachelevarist70
    @rachelevarist70 4 роки тому +3

    tatizo wakristo mnashindwa kuelewa lugha fasihi mngejua asili ya lugha mngeujua ukweli walio watafsria biblia ndowame wapoteza mwana wamungu kwa asili yake hamjui biblia haikushuka kwa kiswahili wala kingereza nyinyi inatakiwa mkasome lugha, kipindi waislam wanapeleka watoto madrasa nyinyi mnapeleka mashule ya kizungu hamna desturi yakujifundisha asili ya maneno ya mungu angalieni sasaivi mnavyopata shida yani wakristo kwenye mambo ya elimu ya dini mpo nyuma sana mnalazimisha tu lkn kiukweli kama sio tamaa za kidunia huwezi kua mkiristo wenzenu wanajua kujenga hoja nyinyi mnaishia kukufuru, wakristo amkeni tafuteni asili ya maneno mpate kujua ukweli wazungu hawawezi kuwaleteeni dini kwanza maadili hawana hakuna nabii alikua mzungu wala alipelekwa ulaya, waislam mnajitahidi sana wafundisheni waelewe hawajui asili ya lugha

    • @adijahmunyasia1449
      @adijahmunyasia1449 4 роки тому

      Umenena ukweli mtupu kakangu,mashaallah...Mungu akubariki,akujaalie elimu zaidi,akuongoze katika njia iliyonyooka,akupe umri mrefu wenye furaha na akujaalie mwisho mwema hapa duniani hadi kesho akhera

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 4 роки тому

      YESU ndio njia ya kweli na uzima MTU hawezi kumuona Mungu Baba wa mbinguni asipopitia njia ya YESU ,Pole sana nakuombea rehema ya kumjua YESU kabla hujafa ,maana ukifa kabla hujaijua njia ya kweli ya Bwana YESU umepotea.

    • @rachelevarist70
      @rachelevarist70 4 роки тому +1

      @@marianachriss2444 huku mnasema yesu ni mungu uku mnasema ninjia yakwenda kwa mungu mungu yupi tena

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 4 роки тому

      @@rachelevarist70 usilolijua ni sawa na usiku wa Giza nene,Namuomba Bwana wa nuru akupe nuru uijue kweli,Ukiijua kweli hautaiacha kweli.Vyote ni vyake yeye Bwana YESU. Is the way. trust and life,is the real God ,Maana uungu u ndani yake, amepewa mamlaka yote ktk mbingu na nchi.ukimkataa YESU maana yake unataka kuzimu.

    • @rachelevarist70
      @rachelevarist70 4 роки тому

      duniani hakuna kuokoka nyinyi hayo maneno mnayatoa wapi? wakristo bana hoja hamna mnalazimisha yesu mwenyewe hamumjui kama hamjui ulizeni

  • @mamabukhar6591
    @mamabukhar6591 4 роки тому

    Kweli kabsa

  • @husnaodhiambo6848
    @husnaodhiambo6848 4 роки тому +1

    Mashallah elimu mzuri Mashallah

  • @johnzacharia2308
    @johnzacharia2308 4 роки тому

    Shetani achia watu Wa MUNGU ktk jina la YESU,Achia fahamu zao ulizowatia giza

    • @soccertv293
      @soccertv293 4 роки тому +2

      Uachiwe ww kwenye ushetani

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 2 роки тому

    Bibilia inasema "roho itendayo dhambi ndio itakayo kufa,"sasa Adamu na roho yake atende dhambi alafu dhambi io iamishwe mpaka kwa roho yangu,hii itakua ni dhulma kubwa

  • @siamabakwe4274
    @siamabakwe4274 4 роки тому +1

    And my question is who brought aagano jipya because prophecy left long ago I need the pastor to answer

    • @adijahmunyasia1449
      @adijahmunyasia1449 4 роки тому

      Hahahaa pastor will never answer you that querry...he will tell you that it's Jesus.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 4 роки тому +1

      Nahisi hawa Tawrat ya Nabii Mussa (a.s) wao huita agano la kale. Na Injil ya Nabii Issa (a.s) ndio huita agano jipya.

    • @adijahmunyasia1449
      @adijahmunyasia1449 4 роки тому

      @@alhamdulillah5796 la hasha,agano la kale la Musa ndilo agano lile lile alokuja kukamilisha Yesu na injili...Jesus came to fullfill Moses...agano jipya limeibuka baada ya yesu kupaa na kiliandikwa na watu warumi akina Paulo na Barnabas ndio walioanzisha kuita watu eti wakristo...yesu hakuwahi ambia wanafunzi wake kuwa hao ni wakristo wala hakuwahi tamka hilo neno wakristo wala ukristo kwa wanafunzi wake...hiyo ni propaganda ya Paulo baada ya yesu kupaishwa. So agano la kale sio ya Mungu bali iliandikwa na watu binafsi ili kuteka na kuwatoa watu kwa njia iliyonyooka ya kumuabudu Mungu mmoja kama alivyofanya yesu na mitume wa awali wote....wamepoteza wote waliokubali kupotea kwa kuiandika biblia wakidai kuwa ni kitabu cha Mungu na wakabadilisha kila kitu na wakaanza kumuita yesu kuwa ni Mungu...

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 4 роки тому +1

    Aaagh it's too short!!

  • @salimamry9432
    @salimamry9432 4 роки тому +1

    NUSRA ZA ALLAH ZIWALINDE BROTHERS.

  • @denismanyanga5879
    @denismanyanga5879 4 роки тому

    VEMA

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 роки тому

    Waislamu wahangaike na Quran yao kulazimisha yaliyo kwenye Quran yafanane na Yaliyo kwenye Biblia ni kupoteza mda

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 роки тому

      Qur'an,injil,taurat na zabur nivitabu vya mungu. Biblia ni kitabu ya nani?

  • @hillaryarande745
    @hillaryarande745 2 роки тому

    Ineed this people, Muslim people,wakiona ndacha uwa wanakimbia mbio,waubiri wetu kuweni na elimu,

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 4 роки тому

    Wewe muislamu,kabla hujafa okoka,Yesu ndio njia ya kukufikisha kwa huyo Allah,huwezi muona Allah usipopitia Jina LA Yesu.hizo ndio roho za mpinga kristo ,tunakataa kwa Jina LA Yesu.

    • @yusarjunkhanna4100
      @yusarjunkhanna4100 4 роки тому +1

      Dadangu Yesu ni mtume kama mitume wengine, kwahivyoo kama wampendaa Yesu lazima ufuate mwenendo wakee, wazunguu wasikupotezenii somaa bibilia utamjia Yesuu ni nanii. Usiwe na imanii potefuu

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 4 роки тому

      @@yusarjunkhanna4100 Siku ya mwisho utajua kama YESU ni njia ya upotevu au njia salama ,but JESUS love you,Hataki uenende kuzimu,muamini nae atakuokoa

    • @yusarjunkhanna4100
      @yusarjunkhanna4100 4 роки тому

      @@marianachriss2444 Hataa ww yesu yuakupendaa but lazima ujue Yesu alikuwa nanii, dini ganii, ni ndio tupate uzima wa milele kama wapendaa tufundishane bilaa kujalii nifuate kwa whatsapp nambari yanguu ni +96560386447 ilii tupate kufundishana kulingana na maandiko

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 4 роки тому

      @@yusarjunkhanna4100 Tafuta ushuhuda wa shekhe aliyeokoka search kwenye you tube yako andika ushuhuda wa shekhe aliyeokoka usikilize ujue kilichomuokoa nini na sio mmoja wapo wengi. Usikose kusikiliza

    • @soccertv293
      @soccertv293 4 роки тому

      @@marianachriss2444 soma dadaangu utaujua ukweli

  • @ritanget9174
    @ritanget9174 4 роки тому

    Kama Yesu ni mwana wa Mariam baba yake wa kumzaa ninani?Tuwambie wewe muislamu

    • @adijahmunyasia1449
      @adijahmunyasia1449 4 роки тому +2

      Sasa kwa ufupi wataka uwaambiwe babake yesu ni mungu? Mungu akusamehe kwa kufuru yako na kufuru ya wakristo wenzenu. Hebu nikuulize, babake na mamake Adam ni nani? Na babake na mamake Hawa (Eve) ni nani? Ukipata jawabu ya hizo utakuwa ushajijibu swali lako. Kwani kuzaliwa kwa yesu ni ajabu kubwa sana hadi yawapelekea kumuabudu,kwa nn msimuabudu Yule ambaye alilitamka neno katika kinywa chake,kwa nn mnaabudu neno msiabudu kule neno lilitoka?

    • @ritanget9174
      @ritanget9174 4 роки тому

      @@adijahmunyasia1449 wewe hata kumbe hujui kama Adamu aliumbwa na hawa alitolewa kwa ubavu wa Adamu fikiria kabla hujauliza Adamu hakuzaliwa kama mimi na wewe ujue hivyo ndio nime kuuliza babake Yesu ni Nani?kama mnasema sii mwana wa mungu nipe jibu

    • @yusarjunkhanna4100
      @yusarjunkhanna4100 4 роки тому +1

      @@ritanget9174 Yesu hawezi na hatokuwa mwana wa Mungu, maana sifa ya Mungu ni kuumba, na akitaka kufanya kitu akisema liwe linakuwa. Kwa ufupii Mungu ni muweza juu ya kila kituu na hakunaa kisicho shindikana kwa Mungu, hata ww uliumbwa ukiwa tumboni kwa mamako.Kwahivyo Munguu wakoo mpe sifa yake anayostahilii hamuhitajii binadamu katika kazii yakee. Ukitakaa kujua zaidii nitafutee

    • @ritanget9174
      @ritanget9174 4 роки тому

      @@yusarjunkhanna4100 mimi nimeuliza babake Yesu ni Nani? Kama si mwana wa mungu

    • @yusarjunkhanna4100
      @yusarjunkhanna4100 4 роки тому +1

      @@ritanget9174 Babake Adam ni nanii nijibu, ndio na mm nikupe jibuu languu?