[53]MIMI NAABUDU WAUNGU WATATU SIO MMOJA..DAAWAH MITAANI [TRM GADEN]

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 57

  • @fadhilshafi2947
    @fadhilshafi2947 4 роки тому +6

    May Allah keep guiding you all my muslim brothers •. for sure christians need help •

  • @farahfarah3604
    @farahfarah3604 4 роки тому

    Sheikh yahye long life my brother mu islamu

  • @musasaanane2758
    @musasaanane2758 3 роки тому

    I like it so much

  • @ishaqdaawahkenya1213
    @ishaqdaawahkenya1213 4 роки тому +6

    Mashallah Allah atukumbalie amal zetu

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  4 роки тому

      Allahuma Amin Ustath Isak sasaka

    • @ismailmohamed8777
      @ismailmohamed8777 4 роки тому

      Masha Allah. Full clip

    • @haganagobu2524
      @haganagobu2524 4 роки тому

      @@kenyadawahtv90 subhanallah mungu tatu najilinda kwa jina la.mwenyzi mungu mungu ni mmoja tu hakuzaa Wala hakuzaliwa

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 4 роки тому +3

    Jazakaallahu khairan inshaallah

  • @islamicnewschannel2551
    @islamicnewschannel2551 3 роки тому

    Assalam Aleikum Akhui, Masha Allah Suleiman Mazinge mawaidha yake ni mazuri sana nimeipenda na inawaelisha watu wasiojua duniani unaendelea nini,mm ningependa Suleiman Mazinge, Uthman Mazinge na mashekhe wakubwa wenye elimu east Africa wamualike Dr Zakir Naik katika muhadhara iwe mkubwa na iwe uwanja mkubwa iwe Kenya au Tanzania, please ndugu yangu.

  • @siamabakwe4274
    @siamabakwe4274 4 роки тому +3

    Nawapenda nyinyi ok asante

  • @hananabeid5962
    @hananabeid5962 3 роки тому

    Allah awabariki Sana insha'Allah

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 роки тому +3

    Mungu ni mmoja tu dadaangu usighurike na dunia dadaangu Alf pole kama nimekuudhi🙏🙏🙏🇰🇪

    • @user-hb8vi9fx6g
      @user-hb8vi9fx6g 4 роки тому

      DADA ANAKOMAA MBAYAA!

    • @mwanaishahussein2635
      @mwanaishahussein2635 4 роки тому

      Yaani hafikirii pia kwani kuna mtoto alie zaliwa na baba 3 kwa mama mmoja?. 🤣🤣🤣 Yake kali

    • @mwanaishahussein2635
      @mwanaishahussein2635 4 роки тому

      Ajifanya ni msomi sana wa kingereza.ALLAH amuoneshe njia iliyo sahihi🤲🤲

  • @musasaanane2758
    @musasaanane2758 3 роки тому

    May Allah be with big brothers

  • @amaradiombera2198
    @amaradiombera2198 4 роки тому

    Unafurahisha sana ndugu ukueli nimoja

  • @jaffarumar5258
    @jaffarumar5258 4 роки тому +4

    Masha’Allah

  • @UMMYYFATMA
    @UMMYYFATMA Рік тому

    MashaAllah 🙏 🤲

  • @iddyally4439
    @iddyally4439 4 роки тому

    Allah awajalie sana mashekh wetu kazi nzuri sana Allah awape wepesi ishaallah

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 4 роки тому +1

    Maasha Allah Tabaaraka Allah hongereni kwa kazi nzuri. Ila Kuna sehemu mmoja naona haipo sawasawa.
    Hivyo mnavyo edit na kukata kata baadhi ya vipengele na vingine mnaviweka vinajirudia rudia.
    Naona haiko sawasawa. Inaondoa utamu wa flow ya maudhui yaliyokusudiwa.
    Na pia utampelekea baadhi ya watu mnaowahoji waanze kukataa mahojiano yenu kwani watahisi mnawakata maneno ili kupotosha na kuyaweka katika namna ambayo wao hawajakusudia.
    So, msikatekate vipengele wala kuyarudia rudia maneno, kama wanavyofanya Yusuph Da'wa, wao wa naweka kila kitu kama kilivyo. Inabakia ni mtu kuamua mwenyewe.
    Shukran kwa kunielewa

  • @habibizainab7300
    @habibizainab7300 4 роки тому +2

    Huyo mama amezunguka weeee mwisho amesema yesu ni mwana wa Adam nakamini hivo

  • @bulletproof8978
    @bulletproof8978 3 роки тому

    Mashaalha masheik wetu

  • @makenakendi282
    @makenakendi282 4 роки тому +2

    Mashaallah ALLAH BARIIK always

  • @khalidabu5259
    @khalidabu5259 2 роки тому

    Hakuna jini muzuri jini ni maraika wale mungu aliwatupa mbinguni pamoja na shetani

  • @hadijaateya7623
    @hadijaateya7623 4 роки тому +3

    Masha Allah

  • @alimussa5560
    @alimussa5560 3 роки тому

    That Sister is So clever but So much Programmed for she reads the Bible but translates the book as explained to her. The book is in front of her eyes but she can not see. May Allah open her mind to the truth.

  • @jafarykahera1727
    @jafarykahera1727 4 роки тому +1

    Dada silimu dini huna ndoomana hujui njia ya sawa njia tatu haupiti mwili mmoja mungu ni mmoja tuu

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 4 роки тому +2

    MashaAllah

  • @salumkaisi4907
    @salumkaisi4907 4 роки тому

    Wanaamini kidogo sana mambo ya mungu hawajui kuwa watarejea kwa Alie waumba

  • @wadimtwana7286
    @wadimtwana7286 4 роки тому +2

    Wakristo wabishi hata ukiwapa ukweli

  • @user-hb8vi9fx6g
    @user-hb8vi9fx6g 4 роки тому +1

    NI KAZI NZURI SANA MNAYO IFANYA ; KWANI JAMII YA WATU WENGI HAWAJA FIKIWA NA UKWELI WA DINI HIVYO KAZI YENU NI KUONDOA UZURU WA WATU MBELE YA MWENYEZI MUNGU SIKU YA QIYAAMA !
    AL-LAAH AKUHIFADHINI WAALIMU NA AKULIPENI KHERI

  • @themagnet4236
    @themagnet4236 4 роки тому

    Sitrategie nzuri hii haisumbuwi tena,inafaa saana

  • @jamilaomariomari8328
    @jamilaomariomari8328 4 роки тому +1

    May Allah guide them.subhanaAllah!

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 4 роки тому +1

    Kweli wakristo hawaelewi hata hesabu. Kama Yesu alikaa upande wa kuume wa Mungu hao ni wangapi.

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 4 роки тому +1

    Masha Allah, kazi nzuri, Allah awazidishie elmu, lakini videos zenu ni fupi na mnazirukisha-rukisha. Wajua sisi tunazidi kujifunza kwenu, mnapo soma maandiko tunataka kujua ni maandiko gani ili nasi tuandike ili tufikishe ujumbe wa La Ilaha Ila Allah

  • @adinanijackobo1328
    @adinanijackobo1328 4 роки тому

    ManshaAllah huyu mdada inshaAllah ipo siku atakuwa muislam

  • @myself4128
    @myself4128 3 роки тому

    Swali simple ni moja,,,
    Una mtoto wa kike Na pembeni Yupo Mohammad na Yesu,kabinti kana miaka 6 ,Kanaitwa Aisha,Je utampa nani akulelee kwa usalama mwanao kati ya hao manabii wawili??
    Je utamkabidhi Muhammad binti yako akulelee?

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 роки тому

    Kwakweli wakristo kazi

  • @malawatoaliasse7369
    @malawatoaliasse7369 4 роки тому +1

    Uyo mwanamke ni kama aliye wasema mugu kama wale waliyo kufuru ni sawa kwao uwambie usiwabie hawataamini

  • @omaryrashid1873
    @omaryrashid1873 4 роки тому

    Kazo ipooo

  • @jangombeboys4536
    @jangombeboys4536 3 роки тому

    jangombeboys1999

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 4 роки тому +2

    Na kama Yesu alikaa upande wa kuume roho mtakatifu alikaa upande gani?

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 4 роки тому

    Wakristo wanapozungumzia uhai wa Yessu huwa wanasema kuwa yeye yu Hai na hakufa lakini hawajui kuwa hata Iblisi amerefushiwa uhai na hajafa sasa hawajui kuwa ndio wanamuabudu hivi Sasa

  • @abdinasirmohamed2238
    @abdinasirmohamed2238 4 роки тому +1

    Whenever out xtian brethrens try to explain trinity they get more confused 🤣

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 4 роки тому

    Dada yangu uzungu mwingi, duuh balaaa

  • @VnKxwn
    @VnKxwn 4 роки тому

    Trinity is a joke... 🤣🤣

  • @khalidabu5259
    @khalidabu5259 2 роки тому

    Uislamu ulitoka Vatican na bibi ya Mohamed na jamaa mwingine hapo

  • @paulduke6712
    @paulduke6712 4 роки тому

    Umedagana watu ww sheik dini ampoyni yesu nidiye anapoyna

  • @senjotechpaperintl7568
    @senjotechpaperintl7568 4 роки тому

    Jesus is the son of God

  • @ismailadan694
    @ismailadan694 3 роки тому

    Ma sha Allah