Paul Clement Ft Joel Lwaga - Deni (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 516

  • @praygodmtera9907
    @praygodmtera9907 4 роки тому +4

    Imekaa poa sanasanasana ahadi za MUNGU ni kweli bro

  • @DrIpyana
    @DrIpyana 4 роки тому

    Hongera sana Paul Clement

  • @endlessdetailstz7663
    @endlessdetailstz7663 4 роки тому +1

    Daa wanangu nakubari kweli Mungu asemi uwongo pamoja#

  • @pendomwabuka8696
    @pendomwabuka8696 4 роки тому +1

    Mbarikikiwe watumishi wa Bwana👏👏👏

  • @rafaelmagesa2668
    @rafaelmagesa2668 4 роки тому +1

    Mungu hawezi kuahidi Kama Hana uhakika mi nachojua akiahidi anatimiza kwa wakati na majira yake .

  • @derickmarton
    @derickmarton 4 роки тому +11

    Vtote anavyo ahidi anaweza kutimiza
    Maana hasemi uongo wala hadanganyi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 am blessed jamani this project is too tight hivi kuna aliyebarikiwa kama mimi huko?!!🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @mimwaninelitha6666
    @mimwaninelitha6666 4 роки тому +6

    Nabarikiwa sana na uimbaji wenu HAKIKA MUNGU lolote analohaidi anatimiza

  • @dinnahsamwel9607
    @dinnahsamwel9607 4 роки тому +2

    Ahadi za Mungu sio deni..SUBIRI 💃🏿💃🏿🤸‍♀️😘😘🔥🔥💙🌹🙏

  • @nyotamayemba5887
    @nyotamayemba5887 4 роки тому +2

    Sure ... Mungu alichoahidi hawezi kusahau.... ahadi zake ni ndio na kweli... we Trust you Jesus😍😍😍

  • @wistonMiracle5726
    @wistonMiracle5726 4 роки тому +1

    Hatareee paul and joel Mungu awape zaidi

  • @barakaheshbornonline..2877
    @barakaheshbornonline..2877 4 роки тому +33

    Mara ya NNE hii sasa naurudiaaa huu wimbo bora MB zangu ziisheee !!!!

  • @aliceinnocent9976
    @aliceinnocent9976 4 роки тому +1

    Kazi nzuri sana,upendo na umoja mliokuwa nao muuzidisha na Mungu awabariki,nawapenda sana.

  • @laurahmwangala9823
    @laurahmwangala9823 4 роки тому +1

    Awesome 🔥Kweli Ahadi za Mungu ni kweli..🙏nice song 🙏 baraka

  • @theofficialbranny
    @theofficialbranny 3 роки тому +6

    Amen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽❤️ My two Favorite Tanzanian Ministers, Mbarikiwe sanaaaa 🙌🏽

  • @elizabethhumphrey3142
    @elizabethhumphrey3142 3 роки тому

    YAANI NYIE WATU MNAJUAGA KUNIFURAHISHA ...MZIDISHWE SANA KTK HUDUMA YENU......I LOVE U GUY'S

  • @liciahaven4026
    @liciahaven4026 3 роки тому +1

    Wow! God be praised. He is not man

  • @salvashaban9194
    @salvashaban9194 4 роки тому +58

    Can't wait to ❤❤❤ gonga like kama umependa huu wimboo

  • @LuganoEdom
    @LuganoEdom 4 роки тому +16

    VYOTE ANAWEZA KUTIMIZAAA.... Mungu hasemiii uongooooo alicho sema lazima atimizeeeeee

  • @selahythera1110
    @selahythera1110 4 роки тому +15

    Woooow,
    Ahadi za Mungu kwangu atatmiza 🙌🏾

  • @sophiamwamtobe9444
    @sophiamwamtobe9444 4 роки тому +1

    Kweli Mungu hasemi uongo wala hadanganyi ahaz zake sio deni, mbarikiwe nakaz zenu

  • @barakathadeus9229
    @barakathadeus9229 4 роки тому

    dah!! baba kisima hakikaukiwiii. Mungu azidi kuwainua

  • @enockisraelnashon5382
    @enockisraelnashon5382 4 роки тому +14

    Huu wimbo aisee una test flani hivii tamuuu aisee, with goood message..
    Groly to GOD

  • @latiphajackson4901
    @latiphajackson4901 4 роки тому +5

    Mm ni nan niccoment yaniiii💥💥💥💥💥♥️♥️♥️♥️♥️ Mungu Hasemi uongo wala hadanganyi alichoahidi hawezi kusahau🙏🙏🙏💥💥💥

  • @chazydeo7576
    @chazydeo7576 4 роки тому +1

    Mungu hawezi kuhaidi kitu kama hawezi kutenda hapa nimeelewa wimbo mzuri sana

  • @rosenyenyembe4698
    @rosenyenyembe4698 4 роки тому +1

    Nimengoja ahadi ya Mungu na Sasa nategemea baby no 3, l am happy

  • @zipporahnjugi
    @zipporahnjugi 4 роки тому +16

    Ahadi za Mungu sio deni, ni kweli, atatimiza.. 🔥🔥

  • @happinessshirima3279
    @happinessshirima3279 4 роки тому

    Mungu azid kuwabariki broo joel and poul Huwa nabarikiwa sana na nyimbo zenu

  • @jukaelyelisha6311
    @jukaelyelisha6311 4 роки тому +1

    Hongereni sana wapakwa mafuta wa bwana

  • @geraldmabwai3296
    @geraldmabwai3296 4 роки тому +41

    Mungu hasemii uongo wala hadanganyii,,, gonga like twende pamoja

  • @hellenzele5355
    @hellenzele5355 4 роки тому +2

    hakika mungu hawezi kudanganya atatimiza kila alichotuahidi🙏😘😍

  • @Joyprincess.
    @Joyprincess. 4 роки тому +24

    Oooh yeeees can't wait.... hapa Kenya Gospel Music ya Tanzania tumeikubali

  • @ivetamasae3172
    @ivetamasae3172 4 роки тому +3

    Woww.....congratulation so so much....you guys....may God bless you so much....

  • @mercymugala8846
    @mercymugala8846 4 роки тому +4

    Kweli Mungu asahau alicho ahidi ,Kwa wakati atatimiza maana si Deni

  • @barakaemmanuely8321
    @barakaemmanuely8321 4 роки тому +1

    Ahadi za Mungu niza kweli hata akawie ni kweli atatimiza😍😍😍😍

  • @thomasdunde1698
    @thomasdunde1698 4 роки тому +1

    Ni wimbo wa kukiri ushindi ndani ya NENO la MUNGU

  • @sifamartine1937
    @sifamartine1937 4 роки тому +2

    Ahadi za mungu ni kweli, ahadi za mungu subiri

  • @Peaceman-S
    @Peaceman-S 4 роки тому

    Nasubili kazi nyingne niwaone hawa jamaa na GOODLUCK GOZBERT kwa pamoja wakimtukuza Mungu🙏🙏🙏

  • @ankokevo1576
    @ankokevo1576 4 роки тому

    Av been waiting for this collabo kutoka kitambo💃💃💃🏃💃💃💃

  • @cleophaskaliunga362
    @cleophaskaliunga362 4 роки тому +1

    Go papa Clement Go...
    Hakuna jambo asiloweza kulitenda...Learning from you..
    His promises are yea and Amen

  • @hillarytheworshipper
    @hillarytheworshipper 4 роки тому +100

    I just love you two brothers..
    You have lived together
    You have schooled together
    You have fellowshipped together
    You have celebrated your weddings like the same way
    And now finally I needed to hear is this sweet melody here...
    Baraka Paul and Joel
    Nawapenda sana🇰🇪

  • @Bengramica
    @Bengramica 4 роки тому

    Ubarikiwe kaka kwa wimbo mzur 👍👍👍👍

  • @markm.4278
    @markm.4278 4 роки тому +3

    Nyundo kama Nyundo
    Mungu awabariki mno

  • @safirabrighton815
    @safirabrighton815 4 роки тому +6

    Barikiwa sana watumishi wa Mungu ❤

  • @DavidOSilaa
    @DavidOSilaa 4 роки тому +4

    Kubwa na nusu ....... 🔥🔥🔥🔥

  • @minnehtheewan8155
    @minnehtheewan8155 4 роки тому +14

    Indeed..."ahadi za mungu sio deni"God bless you guys

  • @kizubenda8657
    @kizubenda8657 4 роки тому +3

    Nyimbo sahihi katika wakati sahihi, nashukuru sana watumishi wa Mungu mbarikiwe.🙏

  • @mtawalatv
    @mtawalatv 4 роки тому +13

    Paul Clement Ahsante sana Wewe ni icon ya Taifa La Tanzania

  • @penelopestanley7021
    @penelopestanley7021 4 роки тому +3

    Barikiwa

  • @dr.peterik2586
    @dr.peterik2586 4 роки тому

    Jinsi navowapenda ninyi mapacha wa Yesu.Nimefurahi sana kuona collabo yenu

  • @debbieorah4128
    @debbieorah4128 4 роки тому +2

    Ahadi za Mungu sio deni. Am blessed

  • @ezekielwilium1853
    @ezekielwilium1853 3 роки тому +1

    Mungu awezi kusema uwongo

  • @gospotv
    @gospotv 4 роки тому +90

    Wimbo mzuri, ujumbe una mguso, waimbaji wana upako. LIKE.

    • @abednegopaul2623
      @abednegopaul2623 4 роки тому +3

      Sema usela mwingi humu au ndo tunaenda na wakatii??? nawaza

    • @elenilukwambe9795
      @elenilukwambe9795 4 роки тому

      A very nice song bro✌✌✌🤳🤳💪

    • @dannygalaton6327
      @dannygalaton6327 3 роки тому +1

      Amen

    • @graysonkade5326
      @graysonkade5326 3 роки тому

      a tip : watch series on flixzone. Me and my gf have been using it for watching lots of of movies lately.

    • @eastongordon9046
      @eastongordon9046 3 роки тому

      @Grayson Kade Yea, have been using flixzone for since december myself =)

  • @godfreyraphaely637
    @godfreyraphaely637 3 роки тому

    mungu anaweza,na anauhakika...mungu hana mashaka...kuweni waangalifu sana mnapokuwa mnamzungumzia MUNGU.

  • @rachelkaymax547
    @rachelkaymax547 4 роки тому

    Ahadi za Mungu sio Deni...Subiri,Amen... Barikiwa sana

  • @jescapius9259
    @jescapius9259 4 роки тому +7

    Ahadi za Mungu ni kweli🔥🔥

  • @farajakichali5130
    @farajakichali5130 4 роки тому

    Waooooooooh mungu awabarik sana nawapenda

  • @gauedwin1960
    @gauedwin1960 4 роки тому +3

    Wakuu wa vocal zao🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪

  • @wemalusweti7057
    @wemalusweti7057 3 роки тому

    Joel na Paul nawapenda zaidi I'm from Kenya nimependa zaidi uduma zenu na siku moja naomba Mungu aniunganishe na nyinyi kwa Utukufu wa Jina lake natamani kuimba kweli

  • @EmmaFrancis14
    @EmmaFrancis14 4 роки тому +14

    Muda si mrefu dude hewani #DENI

  • @joelemmanuel9616
    @joelemmanuel9616 4 роки тому

    Bro hakika nyie MNA jua mungu aendelee kuwa pandisha zaidiiii tens juu sanaa

  • @marthamutonga6920
    @marthamutonga6920 4 роки тому

    Wait and know that i am your God#Ahadi za mungu si deni ...Ni kweli

  • @angelwataigo2017
    @angelwataigo2017 4 роки тому

    Niwaimbaji wa gospel ninao wakubali sana ❤❤❤

  • @NeemaMnyuda
    @NeemaMnyuda 6 місяців тому

    Nawkubal wote mana nimesikiliza shuhuda zenu, mapito yenu daah mmenifarij hata mm kwle dhahabu ili iwe saf lazm ipite kweny moto mmbarikiwe sana broo zangu

  • @anithajaphet4587
    @anithajaphet4587 4 роки тому

    Mungu hawezi. kuahidi asichoweza kutimiza I love this God this song is a blessing

  • @alvanmato4783
    @alvanmato4783 4 роки тому

    GOD Bless you brothers mnatubariki sana #Ahadi za MUNGU sio Deni

  • @yumi_vipodozi
    @yumi_vipodozi 4 роки тому +1

    Ahadi za Mungu sio Deni, Ahadi za Mungu ni KWELI.
    Amen🙏

  • @davidngailo7966
    @davidngailo7966 4 роки тому

    Wimbo upo vizuri, Mungu awabariki kwa kweli na awatunze mwendelee kutupa madini ya Yesu yenye upako.

  • @joshymalinyo6057
    @joshymalinyo6057 4 роки тому

    Naona majembe ya gospel eastafrica nzima yamemeet....hatari 🔥🔥🔥

  • @barakaheshbornonline..2877
    @barakaheshbornonline..2877 4 роки тому +7

    Nimeirudia rudiaaa jamanii hii video!!!! Daaaaaaah!!!! It is very wonderful !!! Be blessed #paulclement #joellwaga

  • @evelynenishimwe1569
    @evelynenishimwe1569 4 роки тому +6

    Ahadi za Mungu ni kweli❤️❤️❤️ be blessed guys

  • @naomichuri1655
    @naomichuri1655 4 роки тому

    Ni kweli kabisa ahadi za Mungu wetu sio deni akikuahidi atatimiza,,,💓💓💓

  • @RithaKomba
    @RithaKomba 4 роки тому

    Powerful watumishi wa Mungu sio deni ni kweli💪💪

  • @annah67
    @annah67 4 роки тому

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️Ahadi za Mungu sio deni.... 🙌🙌🙌🙌🙌🙌@joellwaga@paulclement.. Awesome song God bless you guys.

  • @therezadeogratias8423
    @therezadeogratias8423 4 роки тому

    Nawapenda you two people, Mungu wa mbingu awabariki na kuwainua

  • @LuganoEdom
    @LuganoEdom 4 роки тому +12

    Mbarikiwe sana.. Wapendwa kwa ujumbe huuu MFIKE MBALI NAWAOMBEA SANA TUUU

  • @zakayomungai
    @zakayomungai 4 роки тому +7

    Ahead ya Mungu ingoje 🇰🇪🔥🔥

  • @innocentmwahalende4222
    @innocentmwahalende4222 3 роки тому +1

    Nawakubar San wazee

  • @blingkingsa3102
    @blingkingsa3102 4 роки тому

    MOG Ihi Ni kumbwa Kuliko aiseee 🙌🙌🙌

  • @vailethmwaisumo
    @vailethmwaisumo 4 роки тому

    Amen

  • @jasminemerce
    @jasminemerce 4 роки тому +4

    Amen, hakika Mungu hutimiza Ahadi zake 🙏🏽 My favorite Gospel Artists from Tanzania Joel & Paul Clement ❤️🙏🏽. Kenya inawapenda sana.

  • @bisengobubasha
    @bisengobubasha 4 роки тому

    Mungu awabariki

  • @hopewanyika7116
    @hopewanyika7116 4 роки тому +7

    Ameeeeeen
    Kwa kwel ahadi c deni ni kwel atatimiza🙏

  • @georsurempunga7101
    @georsurempunga7101 4 роки тому

    Ijapo kawia ingojee, inafanya haraka kuufikilia mwisho wake,.

  • @benjaminjohn3131
    @benjaminjohn3131 4 роки тому

    Amen amen, Mungu awatumie zaidi

  • @kingvictor2847
    @kingvictor2847 4 роки тому

    Brother paul clement wimbo wenu ni mzuri nisikilize na mimi wenda tutafanya collabo siku moja
    👉👉👉#kingvictorsuperhero

  • @stewartaustine2916
    @stewartaustine2916 4 роки тому

    Ahadi za Mungu ni kweli barikiwa boss

  • @trendsetter5756
    @trendsetter5756 4 роки тому

    Ahadi za mungu si deni💓💓💓

  • @asinanjuani5378
    @asinanjuani5378 3 роки тому

    This song is so deep Sijui kwanini naiskiza leo first time👌💥💥

  • @zakwetuupdate3387
    @zakwetuupdate3387 4 роки тому +26

    Ahad zamungu nikwel kama umeikubali
    Gonga

  • @manuelgwithus8331
    @manuelgwithus8331 4 роки тому

    Ahadi za Mungu sio deni... ni kweliiii

  • @mwelecelemalecela2928
    @mwelecelemalecela2928 4 роки тому

    Nimebarikiwa sana na hii nyimbo......be blessed#big fan of u guys

  • @queenmnyazi3217
    @queenmnyazi3217 4 роки тому

    Hata kama inachelewa, naingoja👏👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥... Barikiweni ndugu zangu. Wimbo uko na upako kweli.

  • @rebecaonesphoro5132
    @rebecaonesphoro5132 3 роки тому

    Waoooooh nice song brother's P & J
    Be blessed

  • @valentinamaberi7508
    @valentinamaberi7508 4 роки тому +2

    Ahadi za Mungu sio den kam unakubal gonga like

  • @mrbee5502
    @mrbee5502 4 роки тому

    Kuna wakati nimekaa nikafikiria collaboration yenu bro kumbe ilikua njiani big up kaka karibu Kenya tena💞💞💞💞💞🌹🌹🌹🌹🌹

  • @fatumaminde2877
    @fatumaminde2877 4 роки тому

    Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu

  • @gaspamgasa2366
    @gaspamgasa2366 4 роки тому

    dah asante Mungu hatimae mmetoa collabo nilikua nawaza sana mbona hamtoi nyimbo ya pamoja

  • @ednatadey8293
    @ednatadey8293 4 роки тому

    Aisee wimbo mzuri Sana barikiweni mno

  • @SWAHILINATION
    @SWAHILINATION 4 роки тому

    I am a big fun of your work! Keep shining brothers #swahilitotheworld

  • @ndeanaeddy
    @ndeanaeddy 4 роки тому

    Wow kweli Mungu nimwaminifu 🥰🇧🇮