Mungu anainyosha njia Yangu, barikiwa saana mtumishi wa Bwana Paul Clement. Ani playlists yangu priority songs n nyimbo zako, sometimes naona huwa unatunga nyimbo zako kwa ajiri yangu bac, Mungu azidi kukuinua ili ziendelee kuja za kutosha mpaka shetan aone aibu
Yesu asante kumtumia mtumishi wako kunivusha mahali naomba endelea kumuongoza zaidi "kiukweli kk Paul umenitungia huu wimbo umenitia nguvu sana Mungu akubariki
Natamani kuhudhuria live matamasha ya paul clement lkn sijawahi kupata nafasi ,na hata ck nikipata chance ya kuongea nae hta dk 5 nitatoa sadaka kanisani cause n m2 anayeimba kiasi cha kwamba wa2 wanafarijika kuliko hata anavyodhani,GOD BLESS U.
TRULLY ATAINYOSHA NJIA YANGU......HATA VIJE VIKWAZO NA MABONDE KIBAO, ATAINYOSHA TU KWA WAKATI WAKE SIOGOPI..!! BARIKIWA PAUL CLEMENT KWA BONGE LA TRACK, ONE LOVE FROM MOMBASA KENYA..!!
Kaka naipenda kazi ya Msalaba ndani yako...Jina LA Yehova liinuliwe milele..asante kwa himizo kupitia utenzi huu.Nasubiri kukuona Ijumaa ijayo Nairobi CITAM Karen pamoja na Soweto Gospel Choir
Dah hii song sichoki kusikiliza.......nimebarikiwa sana yes atainyoosha njia yang....na ameanza kuinyoosha asante sana kaka kwa ujumbe mzuri na nyimbo zako zinatubariki sana Mungu akubariki sana
Mungu nashukuru.kwa umbali tumekuja, umekua ukiniongoza na kuelakeza miguu yangu... naomba uendelee kua nami baba inyoshe njia nayo pitia ,mapito yakija nipe nguvu na ujasili eeh baba mwaminifu
Mungu wa mbinguni akubarik sana kaka kwa nyimbo hizi,, ninapo zisikiliza na kuitazama , Ghafra Uwepo wa BWANA hunitembelea kwa nguvu na mala humuadhimisha yeye kwa namna ya tofauti Sana. MUNGU WA MBINGUNI ALIYE MKUU SANA AENDELEE HATA KUINYOSHA NJIA YAKO, ADUI ASIPATE NAFASI KABISA.
We are having a worship Night in September and in our playlist we have 7 of your songs, this is proof that you are taking over East Africa at large. Your songs have been a blessing to us here in Kenya. God bless you Paul Clement
Yani hukoseagi mzee baba'napenda jumbe zako sana'na jinsi unavomtukuza Mungu:sikuizi wengi wameanza kuimba gospel taarab'yani mipasho ya kufuraisha watu tu:
Calvin john....made the song awesome.....big up kidoooo......your a bless to me and my family.....you sang with our late sister catherine mkami.....we hear the song together with her its a blessing
Mungu akubariki bro ....wimbo ni mzuri unatia nguvu na kuuwisha nafsi na mioyo iliovunjika ...I have faith to any one who will listen to this song will never be the same including me .....Kama unaamini na mimi unaweza ukaitikia AMEN 🙏
Mungu anainyosha njia Yangu, barikiwa saana mtumishi wa Bwana Paul Clement. Ani playlists yangu priority songs n nyimbo zako, sometimes naona huwa unatunga nyimbo zako kwa ajiri yangu bac,
Mungu azidi kukuinua ili ziendelee kuja za kutosha mpaka shetan aone aibu
Amen barikiwa sana mtumishi
Ameen mtumishi.
Amina
Sana
I know I'm kinda randomly asking but do anybody know of a good site to watch new movies online ?
Kwa Imani atainyosha njia yangu
Calvin mdogo wangu Mungu azidi kuinuliwa kupitia sauti yako. God bless you
nimelia kwa furaha,kupitia huu wimbo umenipa imani kwa ninayopitia
Mungu azidi kukuinua Paul Clement,I can feel God is here🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Calvin john ....we ni htri kijan. daah ww ni moooto nimevuaa ... kofiaaa
Yesu asante kumtumia mtumishi wako kunivusha mahali naomba endelea kumuongoza zaidi "kiukweli kk Paul umenitungia huu wimbo umenitia nguvu sana Mungu akubariki
This song deserves 1000 likes and a 1000000 views
Natamani kuhudhuria live matamasha ya paul clement lkn sijawahi kupata nafasi ,na hata ck nikipata chance ya kuongea nae hta dk 5 nitatoa sadaka kanisani cause n m2 anayeimba kiasi cha kwamba wa2 wanafarijika kuliko hata anavyodhani,GOD BLESS U.
Naiona Tanzania yangu ikipiga hatua kwenye live band asante Mungu kwa hatua hii ...tunatamani zaidi na zaidi ....
Ni kweli atainyosha njia yangu , hata kama Ina mabonde mengi kiasi gani, Yeye atainyosha njia yangu maana hajawai kushindwa. Barikiwa Sana mtumishi
TRULLY ATAINYOSHA NJIA YANGU......HATA VIJE VIKWAZO NA MABONDE KIBAO, ATAINYOSHA TU KWA WAKATI WAKE SIOGOPI..!! BARIKIWA PAUL CLEMENT KWA BONGE LA TRACK, ONE LOVE FROM MOMBASA KENYA..!!
Mimi nilisubiri kuuona huu wimbo....nlichoka kuona vipande...mweh....nimebarikiwa...asubuhi hii.......Mungu akubariki.....
Calving unasautii nzur ubarkiwe mungu akuinue kwa viwango vya juu
Utukufu wa mwisho utakuwa mkubwa kuliko wa kwanza atainyosha njia yako ni wimbo uliobeba maneno yenye nguvu sana🔥🔥🔥 barikiwa mtumishi wa BWANA
Kaka naipenda kazi ya Msalaba ndani yako...Jina LA Yehova liinuliwe milele..asante kwa himizo kupitia utenzi huu.Nasubiri kukuona Ijumaa ijayo Nairobi CITAM Karen pamoja na Soweto Gospel Choir
Kaka Paul Clement
Unaonekana mbaali saan ndio maombi yangu usiache kunyenyekea najua uko mnyenyekev don't get tired
Hii nyimbo imenijenga kitu. Calvin John, Mungu huinua watu wake kwa wakati wake. Nyimbo ya Genesis nimesikiliza siku nzima
Kaka Utainuliwa zaidi ya hapa nimeuona moyo wako wa kutaka na wengine watoke kama ww esp huyo mshkaji ata hivyo ngoma kali kinoma
Waooh nikwer atainyosha njia yangu just bilivu👏👏👏👏👏👏
Wow powerfull...+254 napenda nyimbo zako Paul MUNGU akubariki
May the Lord bless you paul✨.words in your songs carries powerful messages.Napokea🙏 kunyooshewa njia yangu
Brorher paul siku zote unahudumia nafsi yangu Mungu aishiye ndani yako na Adumu milele wewe ni baraka sana. Atainyosha njia yangu
nyimbo ipo vzr mzd kubarkw na BWANA YESU
UIMBAJI MZURI MZURI UBARIKIWE SANA, NASHAURI USITUNGE NYIMBO FUPI NAMNA HII KURUDIA RUDIA MANENO WAKATI KUNA MISTARI YA BIBLIA IPO MINGI KUHUSU NJIA
Dah hii song sichoki kusikiliza.......nimebarikiwa sana yes atainyoosha njia yang....na ameanza kuinyoosha asante sana kaka kwa ujumbe mzuri na nyimbo zako zinatubariki sana Mungu akubariki sana
Wimbo mzuri... Unafariji, unafundisha... Good work... Mungu azidi kukuinua viwango vya juu zaiidi
Paul clément nimejifunza mengi kwako wewe ni mwalimu bora kwangu ijapo haunijui asante sana mimi Jérémie basua from congo
njia inamabonde na mapito mengi but siiogopi AMEN. brother PAUL CLEMENT
Mungu nashukuru.kwa umbali tumekuja, umekua ukiniongoza na kuelakeza miguu yangu... naomba uendelee kua nami baba inyoshe njia nayo pitia ,mapito yakija nipe nguvu na ujasili eeh baba mwaminifu
Saut nzito y Calvin inanifanya nimfatilie, nampend Sana.. Nyimbo yke y NI wew NI ringtone yngu..
Mungu akufunike Poul na Calvin kaz nzur
Paul wewe nimtumushi wa Mungu. Anaedhani una Fanya entertainment hajakusoma bado.Unanigusa sana nauimbaji wako. NAKUPENDA from a brother to a brother.
TA TE TI TO TU. Safiii sana. Ridia ume waka kweli Mungu ana nyoosha njia. Thanks Paul clement vocalist ninae kuelewaaa sana
kweli njia yangu ina mabonde ...mapito nayo ni mengi BUT Mungu unanambia Nisiogope....
Kwa kweli na hakika
Mungu wa mbinguni akubarik sana kaka kwa nyimbo hizi,, ninapo zisikiliza na kuitazama , Ghafra Uwepo wa BWANA hunitembelea kwa nguvu na mala humuadhimisha yeye kwa namna ya tofauti Sana.
MUNGU WA MBINGUNI ALIYE MKUU SANA AENDELEE HATA KUINYOSHA NJIA YAKO, ADUI ASIPATE NAFASI KABISA.
Nakukubali bro👍 fanya kazi ya Mungu ila nyimbo hii imenigusa sana 🙏
Kila nikisikiliza nyimbo zako napata nguvu na hali ya kumtegemea mungu na kuona mafanikio yangu
Jmn nmebarikiwa mpk xo poaaaa guyz Mungu awabariki kwa colabo fantastic.........
Yaani utukufu huu ni Mkubwa mno barikiwa sana mtumishi hii ni level ya juu mno
Mungu naomba uinyooshe njia yang yenye kona na mabonde bonde
Asante bro Paul kwa huo wimbo umeubariki moyo wangu,Mungu atainyosha njia yangu Amen Amen
Napenda nyimbo zako sana unafanya vizuri,unasautu nzuri sana Mungu akubariki
Amen barikiwa Mungu akupe hekima akufundishe vyema ukawe manukato madhabahuni pake
Mungu awabariki
Aliemuona Elizabeth Michael katika tamasha aseme Amen.
Ubarikiweeee mnoo mtumishii
Ee mungu nyoosha njia yangu haijalishi ina mabonde,ina vikwazo vingi ninakutumainia wewe baba
Ipo Nguvu ya MUNGU ndan ya wimbo huu nmebarikiwa sanaa
Hakika atainyosha njia, nimebarikiwa sana na huu ujumbe Mungu akubariki sana
Wimbo umekuwa Baraka sana mtumishi
Uzidi kubarikiwa
MBONA WANAMZIKI HAWAONESHWI SANA SECOND PIANIST HATUMUON #maoni
Hongera sana wimbo mzuri sana, endelea kuzama katika moyo wa Munguv kuchimbua madin y utajiri mkuu
We are having a worship Night in September and in our playlist we have 7 of your songs, this is proof that you are taking over East Africa at large. Your songs have been a blessing to us here in Kenya. God bless you Paul Clement
Karibu ndugu,ni vipi naeza nkaungana na fisherRecords kutoka Kenya
Powerful sana hii ..wow
His songs are a blessing to us
MUNGU hawezi kuniacha njiani maana ameahidi hadi ukamilifu wa dahari
Yani hukoseagi mzee baba'napenda jumbe zako sana'na jinsi unavomtukuza Mungu:sikuizi wengi wameanza kuimba gospel taarab'yani mipasho ya kufuraisha watu tu:
Unanibariki mno paul Mungu aendelee kukupata mafuta mabichi
Mungu akubariki kila iitwapo Leo maana nyimbo zako zote huwa zinanibariki sana
ASANTE BABA WA MBINGUNI.Utainyosha njia yangu.
Barikiwa Clement.Likes2019💞
Hongera sana bro unaupekee ktk huduma kama hujui ni wewe ambaye unaweza kutunga wimbo mmoja na ukauimba kwa version hata mia congrats
Ninaamini Mungu atainyosha njia yangu licha ya mabonde na vikwazo vingi Asante sana Paul kwa kusema kabisa na moyo wangu
Asanti kwa wimbo hu wanipa furaha. Mungu awa bariki
God bless you mtumishi mnafanya kazi nzuri sana nabarikiwa sana mimi na familia yangu
Kaka Paul clement ahsante kwa kunifanya nizidi barkiwa ila Calvin john mkuuu.... 🙌🙌
Calvin john....made the song awesome.....big up kidoooo......your a bless to me and my family.....you sang with our late sister catherine mkami.....we hear the song together with her its a blessing
Kweli, mungu atainyosha njia yangu, japo ina mabonge, milima, vikwazo vingi, atainyoosha njia yangu, amen napokea ubarikiwe sana
Atainyosha nia yangu nifanane naye
Mungu akubariki bro ....wimbo ni mzuri unatia nguvu na kuuwisha nafsi na mioyo iliovunjika ...I have faith to any one who will listen to this song will never be the same including me .....Kama unaamini na mimi unaweza ukaitikia AMEN 🙏
Double C(Clement en Calvin)..........you are doing an awesome job there .....may your cup never run dry.....God bless
🙌🙌🙌amen Yesu atainyosha njia yangu yenye mabonde na vikwazo Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu paul clement your songs are such a blessing!
atainyosha tu njia yangu,ataondoa viging vikwazo vingi vyoote
Atainyoosha njia yako, ubarikiwe mtumishi pau clement
Hakika naaamini Mungu wangu atainyoosha njia yangu,,, bro Paul ubarikiwe kwa ujumbe mzuri wenye mguso wa Mungu
Mimi nataka DVD za hii AWE nazipataje kaka Paul Clement
Kuuona 2 nkatafut like button,,,its powerful..
mtumishi napenda sana jinsi unavyoimba huku unaringa kwa kujiamini kwa kuwa unafahamu hakika kuwa Mungu ni mwaminifu milele
Nic San broo
Nyimbo zako zimekuwa baraka kwangu. Mungu akuinue zaidi
Amen, kazi iko njema San Mungu anaendelea kunyoosha njia za watu.
@paul Clement, Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri ambayo hakika ina nguvu na upako mwingi
Great sana, Bwana azidi kukutumia kama apendavyo
Wimbo bora sana, endelea kutubariki kwa tungo zako bora Paul.
Atainyoosha njia yako mtumishi paul clement
Nabarikiwa sana na nyimbo zako Mungu akubariki brooo👍🙌
Mungu akuinue kwa viwango vya juu zaidi sana sana mtumishi
Ameeen kazi njema na mungu ataendea kuonyesha njia kuu
Kweli Bwana atainyosha njia yangu. I claim that in Jesus name.
Amen! Nina imani atainyosha njia yangu
Nijapopitia magumu sitaogopa,Amen
Barikiwa Sana brother nyimbo nzuri napenda Sana live performance Mungu akuinue zaidi
Mapito nayo ni Mengi Ila
USIOGOPE 🔥
Uyu Calvin namuona mbaliii sanaaaa but definitely am blessed with the song
Mungu azid kukuinua bro, mashair yako hayabariki tuu Bali yanapandikiza hatua mpya mioyoni
Listening to this song in 2023 ❤❤❤❤ I'm blessed
This is for me once again,,,uliniandkikia mm,,I don't know ulijuaje Kuna ck ntakuwa Kwenye worse situation.MUNGU NA AINYOOSHE NJIA YANGU
Nice song my dad jimbo inanibariki sanaaa
Ubarikiwe kaka paul kwa huduma yako nzr maombi yangu kwako Mungu aendelee kukuinua zaidi.GOD BLESS YOU.
Nimebarikiwa na wimbo huu Ubarikiwe sana Paul Clement Mungu akufunue zaidi katika huduma yako
@@paulclement_ Ameni
Nabarikiwa sana na huu wimbo. MUNGU Awabariki
Aisee Paul barikiwa sana sana,ujumbe wa ushindi sana huu.Mpaka nimesubscribe channel.Mungu awainue wote kupitia kazi hii.
Mungu unayemtumikia azidi kukuinua Brother,#Powerfully annointing.
Naipenda huduma hii,mob love from kenya