Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Hongereni sana wanasecilia, my lovely choir!! Keep on moving in praising and pro claiming the Word of God!!
Hongera Sana wanasecilia makuburi kwa kuja Njombe.tumefajika
Hongereni kwa utume na uhai katika uimbaji.
Hongera sana kwa utume huo. Ila kwa mujibu wa kanisa katoliki uimbaji ni lazima uiface altare. Si utaratibu hata kidogo kuigeuzia mgongo wenzetu wa makanisa mengine hilo la kawaida
Jamani huyu wamanyanga👌 duuuh, hakika Roho Mtakatifu anafanya kazi ndani yenu 🙏
Hakika huyu anafanya kazi njema sana, hasa pale anaposhtua kidogonafurahi na kubarikiwa sana.
Amen
Hii kali kuliko
Yan wameliamsha kanisa mpka watu tukajihisi tuko mbinguni
Safi sana Wanasecilia ..Mwenyezi Mungu awaongoze na kuwalinda
My choirs big up
Tusambaze upendo ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
hongereni sana wana cesilia
Mpaka unasema kweli Leo nilikuwa kanisani
Pwa pwa pwa pwa.........napitwa vingi!!!!!
JINA LA wimbo naomba tafadhali
Dah!!! Nishidaaaaa
Asee...! Wametisha sio kidogo
Congratulations
Safi sanaaa
Hakika na huo ndio uinjilishaji
Mungu azid kuwasimamia
Hongereni sana wanasecilia, my lovely choir!! Keep on moving in praising and pro claiming the Word of God!!
Hongera Sana wanasecilia makuburi kwa kuja Njombe.tumefajika
Hongereni kwa utume na uhai katika uimbaji.
Hongera sana kwa utume huo. Ila kwa mujibu wa kanisa katoliki uimbaji ni lazima uiface altare. Si utaratibu hata kidogo kuigeuzia mgongo wenzetu wa makanisa mengine hilo la kawaida
Jamani huyu wamanyanga👌 duuuh, hakika Roho Mtakatifu anafanya kazi ndani yenu 🙏
Hakika huyu anafanya kazi njema sana, hasa pale anaposhtua kidogo
nafurahi na kubarikiwa sana.