NIKUFICHE JAMBO GANI? ~ Kwaya Kuu KKKT Mabibo Eexternal

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Karibu utazame wimbo mzuri utakaokufanya umtafakari Mungu na uweza wake, Tunatamani huu wimbo ukawe sala kwako na Mungu akubariki.
    NIKUFUCHE JAMBO GANI?

КОМЕНТАРІ • 55

  • @marymnzava6457
    @marymnzava6457 16 днів тому +1

    Aisee wimbo mzur mnooo

  • @joycefoya2778
    @joycefoya2778 7 місяців тому +1

    Nimebariwa sana na huu wimbo, Mungu azidi kuwainua viwango vya juu zaidi

  • @ringorose3653
    @ringorose3653 Рік тому +1

    Mungu wangu ninakuhitaji...kwa kinywa changu ninatamka.....Barikiwa waimbaji wote kwaya kuu

  • @consolathambuya2239
    @consolathambuya2239 Рік тому +3

    Hatimae Mungu ni mwema nimeupata wimbo wa moyo wangu🙏🙏

  • @simonkayoka3676
    @simonkayoka3676 Рік тому +4

    Melody 100%
    Ujumbe. 100%
    Sololist. 100%
    Clean video 100%
    Nimebarikiwa sana..hongereni sana external

  • @christinamillinga1867
    @christinamillinga1867 9 місяців тому +1

    Hakika nimebarikiwa Sana, Mungu awainuee kwa viwango vya juu waimbaji wote

  • @esterisengela3345
    @esterisengela3345 Рік тому +1

    Mungu awabariki mzidi kumtumikia kwa njia hii ya uimbaji👏👏👏👏👏👏

  • @Leecii5
    @Leecii5 Рік тому +1

    My favorite song❣️ I see my dad there🥰..Mbarikiwe waimba kwaya woote🙏

  • @chikulevy5
    @chikulevy5 Місяць тому +1

  • @emmanuelidafa2974
    @emmanuelidafa2974 11 місяців тому +1

    Mungu Awakumbuke mmenigusa sana. Namwona Baba Mzee Ishusha inapendeza sana. Mpangilio wa sauti nk mko vizuri. Big up kwa mwalimu Lanes na wengine, good

    • @kwayakuukkktmabiboexternal1601
      @kwayakuukkktmabiboexternal1601  11 місяців тому +1

      Karibu sana @emmanuelidafa tafadhali usisahau ku Subscribe na ku share channel yetu hii, Mungu akubariki.

  • @johnmwanawaasafu8573
    @johnmwanawaasafu8573 Рік тому +1

    Hongereni watumishi
    Flora kachema best vocalist
    Ana kitu na atafika mbali

  • @user-ce3op7qp4q
    @user-ce3op7qp4q 9 місяців тому +1

    Nikufiche Jambo Bwana Siri zangu zote wewe wazijua......daah!!, MUNGU awabariki Sana...🙏🙏

  • @rosegervas2280
    @rosegervas2280 8 місяців тому +1

    Thank God for this song Mungu awabariki sana

  • @suzysam6002
    @suzysam6002 8 місяців тому +1

    Mbarikiwe sana na MUNGU aliye hai

  • @elizabethtibenda7324
    @elizabethtibenda7324 11 місяців тому +1

    Huyo dada namuona tangu sunday school mabibo anamtumikia mungu kuimba ana sauti sanaaaa

  • @AliceHatibu
    @AliceHatibu 2 місяці тому

    Amen 🙏 🙏 🙏

  • @jacobnjeni2569
    @jacobnjeni2569 Рік тому +1

    Glory to God....mbarikiwe sana kwa huduma njema

  • @ringorose3653
    @ringorose3653 Рік тому +1

    Najua ni kwa rehemaa zako ndiyo sababu bado naishi..siku moja nikuonee Bwana unikumbuke sanaaaaaa

  • @NzikuJoshua
    @NzikuJoshua Рік тому +2

    👍👍🔥🔥

  • @vailethmsigwa9244
    @vailethmsigwa9244 8 місяців тому +1

    Nimewapenda bule hongereni kwa ujumbe mzr

  • @jerrybuya3694
    @jerrybuya3694 2 місяці тому

    Nikumbuke Bwanayesu

  • @dorothykabwoto
    @dorothykabwoto Рік тому +1

    Barikiwa sana waimbaji...

  • @user-fi8fc1ns9r
    @user-fi8fc1ns9r Рік тому +1

    Wimbo unanibariki sana Mungu azidi kuwainua

  • @jerrybuya3694
    @jerrybuya3694 4 місяці тому +1

    Mungu hafichwi kitu.

  • @wemaeliaugustino-fk2jb
    @wemaeliaugustino-fk2jb Рік тому +1

    Mko vzuri sana mbarikiwe

  • @annethamos7505
    @annethamos7505 Рік тому +1

    Nimebarikiwa sanaa 🙏

  • @GloriaMalila
    @GloriaMalila Місяць тому +1

    Natafuta hizi nyimbo nazipataje

  • @nyabwinyorobert214
    @nyabwinyorobert214 8 місяців тому

    Mbarikiwe sana wimbo wa toba huu

  • @GladnessMlaki-fe8sd
    @GladnessMlaki-fe8sd Рік тому +1

    Naipenda sana

  • @mgayaseth
    @mgayaseth Рік тому +1

    100%

  • @AliceHatibu
    @AliceHatibu 2 місяці тому

    A Nyimbo nzuri sana ina imba maisha yangu Mungu awabariki sana. Amen 🙏 🙏 🙏

  • @genrosematimbwi286
    @genrosematimbwi286 10 місяців тому +1

    Wimbo mzuri sana

  • @jacklinemacha2018
    @jacklinemacha2018 4 місяці тому

    Mungu awabariki sana

  • @jeansmalonga959
    @jeansmalonga959 10 місяців тому +1

    Je t'aime

  • @rosewolf2469
    @rosewolf2469 2 місяці тому

    Please share huu ujumbe wa Mungu 🙌🙌😭😭nashangaa hauna millions viewers watu wanapitwaa 🎧

  • @berthajohn3602
    @berthajohn3602 6 місяців тому +1

    Kudownload audio nawezaje

  • @RebeccaFrank-n2t
    @RebeccaFrank-n2t 10 місяців тому +1

    Naupata huu wimbo pls cwez kuudownload😥

  • @elizabethtibenda7324
    @elizabethtibenda7324 11 місяців тому +2

    Huyo dada namuona tangu sunday school mabibo anamtumikia mungu kuimba ana sauti sanaaaa

    • @kwayakuukkktmabiboexternal1601
      @kwayakuukkktmabiboexternal1601  11 місяців тому

      Karibu sana @elizabeth tafadhali usisahau ku Subscribe na ku share channel yetu hii, Mungu akubariki.

    • @suzysam6002
      @suzysam6002 8 місяців тому

      Walioitwa jina lake acha amtukiie MUNGU wake